Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wewe, ondoa upuuzi huu, hapa hatujadili mafunzo ya uislam, bali histohisia ya mzee wako Mohamed Saidi!
 
Bado sijarudi. wewe unafikiri mawasiliano tuliyonayo sasa ni sawa na wakati wa Nyerere? huku tunarushiwa virungu huku tunawasiliana.
wewe naona ni lot of bark na bite-nadhani hata masjid hukwenda umejifungia ndani
 
Mkuu naona unajaribu kuweka maneno mdomoni mwangu.
Nimesema Uislam wa Tanzania una asili yake kwa sehemu kubwa toka Oman, sasa uongo ni upi hapa???
Nimeuliza miaka 800 waliokwepo hapa (Tanzania ya zamani) hawajajenga chuo kikuu mpaka mwa 1968 ndio EAMWS ndio wanapanga mpango huo, wewe unataja Al Azhar. Sijasema Uislam kwa ujumla wake ila nazungumzia walioleta Uislam hapa kwetu.

Narudia tena tatizo la waislamu wa hapa kwetu ni tamaduni zao zaidi ya Dini yao. Badala ya kutazama tatizo watu wanapeleka lawama kwa Nyerere. Hebu jiulize mbona Waislamu wa Upareni,Uchagani, Bukoba wamesoma kuliko waislamu wa pwani?? Je wao Nyerere hakuwaona au la??
Nyerere kama mtawala yeyote yule lazima angepambana na watu wanaochezea utawala wake kwa namna yeyote ile, alifnaya kwa waislam na wakristo pia.
Tatizo ni utamaduni ambao umeathiriwa kwa kiasi kikubwa na ujio wa Oman katika pwani yetu.
 
Mimi nilidhani usingeghadhibika badala yake kwakuwa Mzee Mwanakijiji amesema "inasemekana" wewe ungemdai alete ushahidi wa haya anayodai!
 
Bado sijarudi. wewe unafikiri mawasiliano tuliyonayo sasa ni sawa na wakati wa Nyerere? huku tunarushiwa virungu huku tunawasiliana.
Haukumwona na kumsikia AHMED Msangi wa Kanda Maalum? SULEIMAN Kova kastaafu nini? MfumoKristo umewapanga vizuri mno hawa jamaa. Yaani ni kama ilijua Dar Es Salaam ni yao wenyewe!
 
Haukumwona na kumsikia AHMED Msangi wa Kanda Maalum? SULEIMAN Kova kastaafu nini? MfumoKristo umewapanga vizuri mno hawa jamaa. Yaani ni kama ilijua Dar Es Salaam ni yao wenyewe!

Sijamuona nilikuwa bize kugombea haki ya mtu anaedhulumiwa haki yake ya msingi.
 
Ahmed aliongea jana usiku saa2. Haki gani hiyo unaitafuta usiku! Au nanyi mnayo Valentine day?

Kwani nyie mnayo Valentine Day?

Jee, ulikuwa unamjuwa Chamwenyewe kabla hujamsoma Mohamed Said?
 
Kwa hiyo nakusingizia ukusema Oman wana utajiri wa mafuta?
 
wengine wanaangalia jinsi wewe mchochezi unavyosulubiwa kwa uwongo wako!
 
wewe naona ni lot of bark na bite-nadhani hata masjid hukwenda umejifungia ndani

Pata darsa dogo:

Kwa hiyo nakusingizia ukusema Oman wana utajiri wa mafuta?

Ni kweli wanayo mafuta na gesi. Kuna vijana Watz nafawahamu, wanafanya kazi kwenye kampuni za mafuta na gesi huko Oman.
Hakuna uongo hapo.
 
Kwa hiyo nakusingizia ukusema Oman wana utajiri wa mafuta?
what do you get by challenging the obvious
"Oman is a middle-income economy that is heavily dependent on dwindling oil resources. Because of declining reserves and a rapidly growing labor force, Muscat has actively pursued a development plan that focuses on diversification"
 
Kwani nyie mnayo Valentine Day?

Jee, ulikuwa unamjuwa Chamwenyewe kabla hujamsoma Mohamed Said?
Valentine ina ukatoliki ndani yake sana tu. Msiiguse kabisaa. Katika wazee wote wa Mohamed, wangu na chaguo langu ni Mshume Kiyate tu.
 
wengine wanaangalia jinsi wewe mchochezi unavyosulubiwa kwa uwongo wako!

Pata darsa dogo:

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…