Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ni kweli wanayo mafuta na gesi. Kuna vijana Watz nafawahamu, wanafanya kazi kwenye kampuni za mafuta na gesi huko Oman.
Hakuna uongo hapo.

Wewe umesema Oman wana utajiri wa mafuta nakuuliza tena Oman wana utajiri wa mafuta?
 
Valentine ina ukatoliki ndani yake sana tu. Msiiguse kabisaa. Katika wazee wote wa Mohamed, wangu na chaguo langu ni Mshume Kiyate tu.

Pata darsa dogo:

Source : The Satanic (Catholic) Origins of Saint Valentine's Day

Tupe kidogo habari za Mshume Kiyate.
 
Wewe umesema Oman wana utajiri wa mafuta nakuuliza tena Oman wana utajiri wa mafuta?

Achana nae huyo wanakutoa nje ya mada kwa makusudi kabisa, hana mpango.
 

Bora umenisaidia kumjibu huyu jamaa. Nilishafikia uamuzi wa kutojibu swali lake He/She wants to discuss the obvious.
 

Ushawahi kumsikia Bibi Tatu Bint Mzee kabla ya kumsoma Mohamed Said?
 
"Nyerere was a devoted christian" ama hujui hilo?

Punguza ghadhab hakuna asiyelijuwa hili si ndiyo maana anataka kupewa utakatifu?

Sasa mwambie Yericko Nyerere ajibu hili au wewe msaidie:
By Andrew Nyerere

Yericko alisema Mwalimu Nyerere ni baba yake mzazi,mimi nimesema tu,that is news to me,sina taarifa. Mama yake mzazi ni nani?
 
Last edited by a moderator:
Mke mmoja, na mama'ke si ana wake zake, hujui mila za Kizanaki?

Au ilikuwa mama wa "offside"?

sio wazanaki tu bali makabila yote ya mkoa wa mara hata wanawake nao wanaoa.

nilijifunza haya maajab nilipokuwa huko wakti nipo mwanza.

Tusubiri jibu la Yericko
 
Mbona tunafuata mfumo wa Juma la Kiislamu? Jumamosi yetu inafuatia Ijumaa; wakati kwa nchi za Magharibi zenye mfumo wa Kikristu siku yao ya kwanza ya Ijumaa ni Jumapili...

Suala la msingi hapo ili kuondoa utata kwa Serikali isiyo na dini mlitakiwa siku yenu ya mapumziko kiserikali iwe ijumaa nne au ijumAA TANO na sio ijumaa pili ambayo ni siku ya mapumziko ya wakatoliki, na madhehebu mengine ya kiislam na ijuma mosi siku ya mapumziko ya SDA (sabato),
lakin hayo yote waislam huko Tanzania wanavumilia sasa nyie suala dogo tu la kuchinja basi imekuwa kelele mji mzima.

Kweli alichopanda JKN miaka 50 iliyopita sasa ndio kinataka kutoa matunda. mnataka muwakabe waislam hata mpaka kwenye penati.

tuyombe heir
 


Kwa kukusaidia tu siku ya kupiga kura ni siku inayokuwa ni mapumziko kwa Serikali ambayo kwa serikali yenu ni ijumaa pili. kama mtakubali siku ya mapumziko kiserikali kuwa ijumaa nne au ijumaa tano nasi na siku ya kupiga kura itapangwa hivyo hivyo.

Vile vile umesema kupumzika ijumaa pili ni mazoea . Vipi kuchinja katika kwa kitoweo cha jamii waliozoeleka kufanya hivyo ni waislam au sio? sasa vipi mnataka kuwanyang'anya uhuru huo?

nafikiri wakristo hapa wanataka chokochoko.

tuombe heri.
 
Kwani baba yako alikuwa na wake wangapi? wacha kujidharirisha na wewe, eboo!

Baba yako alikuwa na mke mmoja,na mtu akisema yeye ni mtoto wa Mwalimu,kwamba Mwalimu Nyerer ni baba yake mzazi,ina maana anatuambia jambo ambalo hatulifahamu.
Baada ya Mwalimu kufariki,alifika mtu hapa kutoka Tanga,akasema yeye ni mtoto wa Mwalimu. Anasema Mwalimu alifika Tanga wakati fulani,wakati wa harakati za uhuru. Sasa,mimi siwezi kumwambia,'We mwongo,odoka hapa,usiniudhi' Kama yeye amesema ni mtoto wa Mwalimu mimi natakiwa kumsikiliza tu.
 
GOD help us-yaani huyu ndio Mohamed Said anamuweka on a level playing field na wazee wake???? This borders blaspemy
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…