Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Maalim,kakutana na vichwa humu,anapewa yeye darsa,anajuta kuijua JF maana huko kwote alikopitia alikuwa haulizwi hard hitting questions,humu kakutana na no nonsense approach ya akina Mwanakijiji basi MS anaona aibu kupandisha bendera nyeupe

Son...

Mdomo haumkatai bwana wake.
Unaweza ukasema hapa maneno elfu kumi dhidi yangu.

Hakuna cha kukuzuia.
 
huyo ni "fringe player" Mohamed Said kwa agenda yake anawapandisha chart

Son...

Idd Tosiri ni katika kundi la wale wazalendo karibu ya 20
waliohudhuria mkutano wa kwanza wa TANU pale Arnautoglo.

Kadi yake ya TANU ni na. 25.

Alikuwa vilevile ni mwanachamawa Al Jamiatul Islamiyya fi
Tanganyika. Idd Tosiri na ndugu yake Idd Faiz ndiyo
walompeleka Nyerere Bagamoyo kwendakumjulisha kwa
Sheikh Mohamed Ramia.

Alikuwa mtu wa kujiweza akimiliki nyumba kadhaa Kariakoo.
 
Mag3, Mimi hufanya lile nilitakalo.

Kama ulivyofanya hapa chini katika kuandika historia ya TANU;
Hayo hapo juu ni maandishi yako yaliyofanyiwa utafiti...Julius Kambarage Nyerere, from a complete nonentity to President of TANU in 15 months! Kweli Mohamed Said hufanya lile alitakalo.
 
Mag3,

Mimi hufanya lile nilitakalo.

mzee wangu tazama hoja za mzee mwezako Mag3 kwa jicho la tatu.. Hilo jibu sio stahiki kabisa.

Mwisho; naomba uwe makini na hapo kwenye RED usije taka mambo ayatakayo Sheikh Ilunga Hassan Kapungu ya kuwahimiza waislamu kuwauua mapadri, maaskofu na wachungaji.
Hivi ukiendaga hata huko Us na Uk ndio huwa unajibu hivyo kwa hoja za msingi kama hizo?
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapo unataka maelezo? Mimi ni muandishi in the sense that I have a degree in journalism and I have worked in the media profession. Mimi si mwandishi in the sense that I have not published anything worthwhile. Context. Mukhtadha.
Unalo jengine?

Sina, wajuao hawaneni.
 
Maalim,kakutana na vichwa humu,anapewa yeye darsa,anajuta kuijua JF maana huko kwote alikopitia alikuwa haulizwi hard hitting questions,humu kakutana na no nonsense approach ya akina Mwanakijiji basi MS anaona aibu kupandisha bendera nyeupe

Kweli kabisa, vichwa vinavyoulizwa mama'ko nani? vikashindwa kujibu.
 
Kama ulivyofanya hapa chini katika kuandika historia ya TANU;

Hayo hapo juu ni maandishi yako yaliyofanyiwa utafiti...Julius Kambarage Nyerere, from a complete nonentity to President of TANU in 15 months! Kweli Mohamed Said hufanya lile alitakalo.

Hilo ilikuwa ujiulize wewe. Au huo ndio muujiza wake wa Utakatifu? nasikia kuna miujiza minane ya Nyerere, kweli? ipi hiyo?
 
Kwanini huyu Nyerere alibadilisha jina kutoka nani sijui akawa Julius?
 
Usiniletee mambo yasiyo na maana kwa hisani yako.
Kawatishe wengine siyo mimi.

Mbona sina sababu ya kukutisha mkubwa wangu; miye nasema ninachokijua tu. Kwamba inasemekana uko miongoni mwa marecruiter wa Muslim Brotherhood Tanzania ukiwa unapigwa tafu na jamaa mmoja wa kwenye shirika maarufu la Umma. Inasadikika kuwa zipo nyaraka zinazokuunganisha wewe na baadhi ya matukio ya udini nchini. Hivyo sina sababu ya kukutisha.
 
Mama Maria aliwahi kuoa/kuolewa na wanawake wengine?
 
Havard ya kuchakachuliwa.

Hapana wewe! Usidharau shule za watu. Howard ina hadhi na historia yake ya kipekee. Na imetoa wasomi wengi tu akiwemo chief justice, akina Andrew Young, madaktari na malawyer chungu nzima.
 
Leo unaweza kunyayua sauti? hata baada ya kuaibishwa kote? amma kweli, Waswahili hunena "Mwana wa ... hata awe ndani ya chupa atatoa kidole". Swadakta.
 
Hapana wewe! Usidharau shule za watu. Howard ina hadhi na historia yake ya kipekee. Na imetoa wasomi wengi tu akiwemo chief justice, akina Andrew Young, madaktari na malawyer chungu nzima.

Na wewe pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…