Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hapana. Kwao Mama Maria hakuna mila hizo. Ndio maana nimemwambia Barubaru aache uwongo. Kama hajui kitu aulize kwanza. Mara kuna makabila zaidi ya 27 sasa huwezi kuwaweka wote kwenye kapu moja.
Nikusahihishe kidogo kaka yangu Jasusi,

Anakotoka Maria Nyerere mila hii ipo sana tu. Wasimbete ni Wakurya ingawa wenyewe hawataki kuitwa hivo.

Kabila la mkoa wa Mara lisilo na mila hii ni WAJITA na jamii zake kama Waruri na Wakwaya. Makabila mengine yote yaliyobaki mkoa ule wanayo mila hii hata Wajaluo!

Mila hii inatumika pale mama anapokuwa na mali lakini hana au hakuzaa mtoto wa kiume. Anamlipia mahari binti wa mtu. Yule binti akizaa, yule mama mlipa mahari anawa-adopt watoto wale kama wajukuu wake wa damu.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapo unataka maelezo? Mimi ni muandishi in the sense that I have a degree in journalism and I have worked in the media profession. Mimi si mwandishi in the sense that I have not published anything worthwhile. Context. Mukhtadha.
Unalo jengine?
Huna lolote!.Mara ni mwandishi mara si mwandishi.Hata hujui nani mwandishi na nani si muandishi.
 
Nguruvi.. unadhani hata hayajulikani yaliyojiri mle? Mbona yanajulikana sana. Mzee mmoja ambaye sasa ni marehemu aliwahi kunisimulia (yeye alikuwa anatoka Tanga) kuwa baada ya Waikela kujaribu kutoa hotuba yake hiyo, Nyerere alisimama na kumuuliza swali moja tu: Sisi sote tumepigania uhuru kama Watanganyika tukisisita usawa wa utu wa kila mtu bila kujali kabila na dini kwanini leo unataka kuleta mambo ya dini? Inasemekana Waikela aliinamisha kichwa chini na hakuna mtu yeyote aliyesimama kumuunga mkono kama alivyotarajia.

Ni baada ya kutoka hapo ndio tetesi zikaanza kusema ati Waikela kambwatukia Nyerere na hivyo watu wakamchukulia kama shujaa. Inasemekana Nyerere aliviagiza vyombo vya usalama vimuache Waikela aende anakokwenda na kupokelewa anavyopokelewa miongoni mwa makundi ya Waislamu. Kundi kubwa la Waislamu waliokuwa wanajua ile fitna ambayo Waikela alitaka kuileta walimuacha apotee katika historia.

ha haa haaa! Kumbe na wewe umesimuliwa na mzee kutoka Tanga.

Wewe ukitumia neno INASEMEKANA sawa lakini Mohamed Said akitumia ilo neno ni tatizo kwako.

Ngano za Mwanakijiji hizi.
 
Nguruvi.. unadhani hata hayajulikani yaliyojiri mle? Mbona yanajulikana sana. Mzee mmoja ambaye sasa ni marehemu aliwahi kunisimulia (yeye alikuwa anatoka Tanga) kuwa baada ya Waikela kujaribu kutoa hotuba yake hiyo, Nyerere alisimama na kumuuliza swali moja tu: Sisi sote tumepigania uhuru kama Watanganyika tukisisita usawa wa utu wa kila mtu bila kujali kabila na dini kwanini leo unataka kuleta mambo ya dini? Inasemekana Waikela aliinamisha kichwa chini na hakuna mtu yeyote aliyesimama kumuunga mkono kama alivyotarajia.

Ni baada ya kutoka hapo ndio tetesi zikaanza kusema ati Waikela kambwatukia Nyerere na hivyo watu wakamchukulia kama shujaa. Inasemekana Nyerere aliviagiza vyombo vya usalama vimuache Waikela aende anakokwenda na kupokelewa anavyopokelewa miongoni mwa makundi ya Waislamu. Kundi kubwa la Waislamu waliokuwa wanajua ile fitna ambayo Waikela alitaka kuileta walimuacha apotee katika historia.

MM,

Siwezi kukukatalia hiyo "version" yako ya yaliyotokea siku ile.

Binafsi katika kuandika kitabu changu nimekutana na maelezo
tofauti kwa jambo lile lile moja.

Muhimu ni kuwa hili jambo lilitokea.
Waikela akasema yake na Nyerere akasema yake.

Kubwa zaidi ni kuwa sote tumejifunza historia iliyotaka
kutupotea.
 
WildCard,

Una chuki sana na Waislam pambana na Mohamed Said usipambane na Misikiti na Waislam dhihaka na kejeli zako wewe siyo wa kwanza toka karne ya 7 watu wanaukejeli na kudhihaki wote saizi wametangalia mbele ya haki Uislam unasonga mbele sembuse wewe.
Ritz,
Mke wangu wa pili ni Muislam. Sina chuki na Uislam hata kidogo. Mwenye chuki na Uislam ni mzee Mohamed ambaye ameutumia vibaya kwenye kitabu chake na mahubiri ya ajabu anayoendelea nayo sasa misikitini. Uliona virungu na mikong'oto ya jana?

Mke wangu ananieleza vizuri juu ya utii wa Muislam kwa Allah, wazazi na mamlaka za nchi. Muislam safi kabisa hawezi kuilazimisha serikali impe dhamana Sheikh Ponda kwa njia kama ile ya jana. Kuna haja ya kuwaangalia upya watu kama Mzee Mohamed. Serikali isibaki kukimbizana mabarabarani na hawa vijana wadogo ambao hata hawajui walifanyalo.
 
Nikusahihishe kidogo kaka yangu Jasusi,

Anakotoka Maria Nyerere mila hii ipo sana tu. Wasimbete ni Wakurya ingawa wenyewe hawataki kuitwa hivo.

Kabila la mkoa wa Mara lisilo na mila hii ni WAJITA na jamii zake kama Waruri na Wakwaya. Makabila mengine yote yaliyobaki mkoa ule wanayo mila hii hata Wajaluo!

Mila hii inatumika pale mama anapokuwa na mali lakini hana au hakuzaa mtoto wa kiume. Anamlipia mahari binti wa mtu. Yule binti akizaa, yule mama mlipa mahari anawa-adopt watoto wale kama wajukuu wake wa damu.

Mkuu kwani wanaitwa Wasimbete au WASIMBITI, kwani Kikurya kinafanana na Kimsimbiti kweli? Haya ni makabili mawili tofauti, kwa nini unataka wajulikane kama ni Wakurya wakati wana kabila lao linalo julikana.
 
Wewe, ondoa upuuzi huu, hapa hatujadili mafunzo ya uislam, bali histohisia ya mzee wako Mohamed Saidi!
Kumbuka mnchokipinga hapa katika historia ya Mohammed ni kutaja nafasi kubwa ya waislamu katika kupigania uhuru wa Tanganyika.Ikiwa hutaki kusikia habari ya uislamu basi usisome uzi huu.
 
Mkuu kwani wanaitwa Wasimbete au WASIMBITI, kwani Kikurya kinafanana na Kimsimbiti kweli? Haya ni makabili mawili tofauti, kwa nini unataka wajulikane kama ni Wakurya wakati wana kabila lao linalo julikana.
Wale ni Wasimbete. Msimbete anahitaji mkalimani kuongea na jamii, koo nyingine za Wakurya? Wanatofautiana lafudhi na matamshi ya maneno tu. Mila, desturi, tabia ni zilezile tu.
 
Ndugu yangu, pengine wewe humfahamu huyu Prof Maliki.
Huyu jamaa katika theory zake na Mohamed athibitishe kama ni uongo, mara zote alikuwa akisema dhulma kwa waislam wa Tanzania(kumbuka huyu ni mpakistan) haiwezi kukabiliwa kwa kutumia watu wa daraja la juu.

Ni lazima ziwepo jitihada za kuufanya umma ujitambue kuwa unadhulumiwa kwasababu nguvu kubwa ipo katika umma wa mtaani.Hivyo ni lazima jitihada zifanyike kwa watu wa chini .

Apparently hakuongea jambo baya, kimsingi alichokuwa anaongea ni kuwa lazima watu wasio na uelewa wachochowe kwanza kwani wao ndio fire engine.

Haya tunayoona ya kutafuta sababu za kuumba umba, kumfanya Nyerere kama mhalifu mkubwa sana, kutafuta sababu za kulihusisha kanisa katika mambo ya uislam na kutoeleza ukweli kama uongo wa namba za mitihani na NECTA lengo lake si kumsaidia mtu ajitambue ni kuchochea watu kwa kutowaambia ukweli.

Huwezi kuwa na shule imefungwa kwa kukosa wanafunzi halafu ukawaambia wakazi wa eneo hilo tatizo ni mfumo kristo na NECTA ni kigango cha kanisa. Huu ndio ujinga wa kuifanya jamii hiyo isijitambue bali ijitambue kubeba mawe hata kama haina sababu. Sikiliza DVD ya Ilunga ambaye ni mshirika wa Mohamed.
Wao wanasema Ua Askofu kwa siri maana imesisitizwa katika Korani.
Think about that!

Hatusemi kwa kubuni tunajua akina Mohamed na misision zao za kuliangamiza taifa, sio siri hili hata Mohamed analijua. Huwezi kuzua uongo kama wa namba za mitihani ambazo huko mitaani wanajua ni dhulma halafu ukasema unalitakia heri taifa hili.

Mapambano kama ya Geita sio wote wanasikitika, wapo wanaofurahi kazi zao zimeanza kutoa matunda waliotaraji.
Kwamba nafsi za wanadamu kwao si kitu, muhimu watekeleze azma zao.

Mauaji ya Rwanda yalichanganiwa sana na viongozi wa dini ya kikristo, usidhani hilo haliwezi kutokea kama hatutachukua hatua za kuwakemea hawa ''wapakistani'' wanaotaka kulivuruga taifa.
Wana supply nzuri tu ya pesa, so don't under estimate the impact and legacy of Malik.
Hebu tuwekee hiyo vidio tuisikilize.Yawezekana wewe kama wale maaskofu waliokaa Kurasini hujaweza kufahamu hiyo vidio.Hapa tupo ambao tutakusaidia kukuelewesha.
 
Ritz,
Mke wangu wa pili ni Muislam. Sina chuki na Uislam hata kidogo. Mwenye chuki na Uislam ni mzee Mohamed ambaye ameutumia vibaya kwenye kitabu chake na mahubiri ya ajabu anayoendelea nayo sasa misikitini. Uliona virungu na mikong'oto ya jana?

Mke wangu ananieleza vizuri juu ya utii wa Muislam kwa Allah, wazazi na mamlaka za nchi. Muislam safi kabisa hawezi kuilazimisha serikali impe dhamana Sheikh Ponda kwa njia kama ile ya jana. Kuna haja ya kuwaangalia upya watu kama Mzee Mohamed. Serikali isibaki kukimbizana mabarabarani na hawa vijana wadogo ambao hata hawajui walifanyalo.

Bahati nzuri tunajuana kwa michango yetu humu jamvini wakati mwingine napenda michango yako inaamsha Waislam kuwajua maadui wao.

Uislam ni dini una taratibu zake mwongozo wake ni Quran na Sunna, hakuna ndoa ya Muislam na asiyekuwa Muislam iwe kwa mwanamke au kwa mwanaume. Habari za mke wako unazileta jamvini.
 
Mbona sina sababu ya kukutisha mkubwa wangu; miye nasema ninachokijua tu. Kwamba inasemekana uko miongoni mwa marecruiter wa Muslim Brotherhood Tanzania ukiwa unapigwa tafu na jamaa mmoja wa kwenye shirika maarufu la Umma. Inasadikika kuwa zipo nyaraka zinazokuunganisha wewe na baadhi ya matukio ya udini nchini. Hivyo sina sababu ya kukutisha.

MM,

Ikiwa usemayo kweli sasa si usubiri nikamatwe nishtakiwe?

Ushahidi upo anaenipa mapesa anajulikana tena mfanyakazi
shirika la uma, sheria ya ugaidi ipo...

Hizo propaganda zimepitwa na wakati sana kuwa Sheikh Hassan
bin Amir kakamatwa anataka kupindua serikali ya Nyerere...

Sasa leo wewe unazirudisha hizo wakati wake umepita.

Hakuna mwenye uwezo leo wa kuwatia hofu Waislam.

Sasa sisi tunasubiri mazungumzo vipi tutajikwamua katika
tatizo hili.

Kitabu cha Njozi na changu kimebadili fikra za wengi.

Ikiwa wewe bado uko kule Muislam hawezi kudai haki
yake hadi ahongwe na "mkono kutoka nje" baki huko
huko.
 
Bahati nzuri tunajuana kwa michango yetu humu jamvini wakati mwingine napenda michango yako inaamsha Waislam kuwajua maadui wao.

Uislam ni dini una taratibu zake mwongozo wake ni Quran na Sunna, hakuna ndoa ya Muislam na asiyekuwa Muislam iwe kwa mwanamke au kwa mwanaume. Habari za mke wako unazileta jamvini.
Nimekufahamisha tu kuwa nina mke Muislam. Kama ndoa za aina hiyo dini yenu haizitambui, hilo ni lenu. Maisha yangu mimi ni zaidi ya DINI. Sihangaishwi na DINI katika maamuzi yangu mengi kabisa.

Maadui wa Waislamu hawako nje ya Uislam wenyewe. Anzieni hapo.
 
Na mimi hivi ndivyo ninavyokufahamu mzee wetu. Ukikutana na watu wa elimu ndogo, uelewa mdogo kama wengi wanaokwenda misikitini, yanakuwa haya yanayoendelea sasa. Wakichapwa virungu wakaswekwa ndani kisha wakipata dhamana ukakutana tena misikitini unawarudisha tena mabarabarani.

WC,

Wewe unafanya utani katika hili tatizo.

Kwangu mie hili ni jambo kubwa ambalo
lazima serikali walitazame.

Ndiyo maana naandika kwa uangalifu sana.
 
(1).Nafurahi kuona mwamko wa watanzania kulinda hadhi za wanaukombozi wetu na kuulinda umoja wetu,

(2).Safari ya kuzima maasi ya kiroho ni ndefu na inahitaji busara sana, mwitikio wa watu katika uzi huu ni dhahiri shahiri watanzania waaunga mkono juhudi za mashauriano ya kuzima uasi unaoongozwa kiroho na akina Mohamed Said na kundi lake,

Watanzania wenzangu, tujikite katika mashauruano, tusijadili watu, kwakuwa kufanya hivyo ni kupoteza shabaha ya mashauriano haya.

(3)Tunataka watanzania wenzetu wote wasioijua historia ya uhuru na harakati zake basi watumiejukwaa hili kuijua, hata wale waliopotoshwa na maasiya kiroho ya Mohamed nao warejee kundini mwa umoja wa kitaifa.

(4)Mzee Mohamed Said akiwa kama baba yangu mzazi sitamnyamazia pale anapolifarakanisha taifa kwa ngano zake hasa akitumia mwito wa kiroho.
1.Hili ndilo tunalolifanya hapa kutetea hadhi ya wanaukombozi wetu wa kiislamu na kufichua waliotaka kuwadhulumu.
2.Kumbe hii kwenu mnaona kama ni kuzima maasi ya waislamu mliotaka wakae kimya kikondoo huku mkiwakandamiza hata historoa yao!.Ikiwa ni hivyo basi hiyo safari wala haitofikia mwisho.
3.Hili jukwaa wala si sehemu muwafaka kujua historia ya Tanzania.Nani atakayetoa historia hiyo kwa usahihi.Akina Mwnanakijiji na Yerico wenyewe hawajielewi sembuse kutoa historia ya Tanzania.
Historia itakayokuwa ya maana ni ile ya Mohammed Saidi iliyofanyiwa utafiti na kuchapishwa kama kitabu.
4.Moyo huo kama unao basi ungeanza kwa baba yako halisi kwanza kwa kumhoji mambo ya msingi yanayolalamikiwa kwake na waislamu.
 
Ishara ya kushikwa
pabaya!!!!

nani kafurahia ushoga? waisalm nyie si ndo mabingwa? Mtafute Dr. Nyoni
wa udsm, department ya sociology, akupe hints za mashoga. aliwahi
kufanya utafiti, kujua wako wangapi tz, na atakueleza wengi wao
wanatokea wapi au ni dini gani!!!!

Mkuu baada ya kubanwa kwenye Id yako ya Yericko Nyerere naomba umekuja kivingine
 
Wanajamvi,

Habari ambazo nimezipata kutoka chini ya kapeti(sina uhakikanazo sana) Mzee Mohamed Saidi ni muakilishi wa kikundi cha kigaidi cha Al-shabab hapa nchini kwa kufadhiliwa na serikali ya Irani. Inasemekana makutano na mipango yao yote huwa
inafanyika Zanzibar kwenye makazi ya kiongozi mmoja wa Uamusho....serikali inafatilia.
 
WC,

Wewe unafanya utani katika hili tatizo.

Kwangu mie hili ni jambo kubwa ambalo
lazima serikali walitazame.

Ndiyo maana naandika kwa uangalifu sana.
Hapana Mzee Mohamed. Vijana hawa tunaowaona mabarabarani wana mahala wanakoanzia. Wapo watu wanatumia uwezo wao mdogo wa kufikiri na kupambanua mambo. Wapo wanatumia umasikini wao, ukosefu wao wa AJIRA kuwasukumia mabarabarani kwa mambo ya kijinga kabisa. Na wewe Mzee Mohamed ni mmoja wao.

Sheikh Amir alipoondolewa Tanganyika na kurudishwa kwao mambo mengi yalitulia. Serikali isibaki kukimbizana na vijana hawa wadogo. Hata Marekani ilipotaka kupunguza nguvu za Al Qaeda ilimtafuta Osama.
 
Nimekufahamisha tu kuwa nina mke Muislam. Kama ndoa za aina hiyo dini yenu haizitambui, hilo ni lenu. Maisha yangu mimi ni zaidi ya DINI. Sihangaishwi na DINI katika maamuzi yangu mengi kabisa.

Maadui wa Waislamu hawako nje ya Uislam wenyewe. Anzieni hapo.

Hapo huna mke una hawara mke ni yule ambaye sheria zilizowekwa na mungu zinamtambua,hapo unaposea hutambui swali la dini ni pumzi ndio zinazokupa kiburi subiri zitakapo katika
 
Nimekufahamisha tu kuwa nina mke Muislam. Kama ndoa za aina hiyo dini yenu haizitambui, hilo ni lenu. Maisha yangu mimi ni zaidi ya DINI. Sihangaishwi na DINI katika maamuzi yangu mengi kabisa.

Maadui wa Waislamu hawako nje ya Uislam wenyewe. Anzieni hapo.

Na mie ndiyo nakufahamisha kwenye Uislam hakuna ndoa ya Mkirsto na Muislam.

Sasa huyu mke wako hawezi kuwa Muislam sababu afuati Uislam unavyotaka, Uislam auitaji watu, watu ndiyo wanauitaji Uislam, kwa sheria za Uislam anachofanya ni kuzini tu.
 
Back
Top Bottom