Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Ikiwa hizi ndizo nyendo zako na hawa ndio marafiki zako wakubwa, kuna haja ya serikali kuwa karibu zaidi nawe.
WC,
Kwani hairuhusiwi kwa Muislam kuwa karibu na Muislam mwenzake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa hizi ndizo nyendo zako na hawa ndio marafiki zako wakubwa, kuna haja ya serikali kuwa karibu zaidi nawe.
WC,
Watoto wa Kiislam na Waislam.
Hata Osama alikuwa anapendwa sana na Waislam. Alikuwa anaua wasio na hatia kwa kutumia jina la Mungu!
Hawa walikuwa watawala wa nchi zao. waliua raia wao, wa dini zao. Halafu Josip Bros Tito unamwonea. Osama alikuwa anaua "In the Name of God"!Ameua kuzidi hawa Wakatoliki safi Adolf Hitler, Pol Pot, au Tito.
Mbona hauko karibu na Mufti, Sheikh Shabaan bin Simba, au Alhad Musa Salum, Sheikh wa mkoa wako wa Dar Es Salaam!WC,
Kwani hairuhusiwi kwa Muislam kuwa karibu na Muislam mwenzake?
Hawa walikuwa watawala wa nchi zao. waliua raia wao, wa dini zao. Halafu Josip Bros Tito unamwonea. Osama alikuwa anaua "In the Name of God"!
......
Mbona hauko karibu na Mufti, Sheikh Shabaan bin Simba, au Alhad Musa Salum, Sheikh wa mkoa wako wa Dar Es Salaam!
........
Mkuu kila anaeandika kitabu huwa amefanya utafiti?1.Hili ndilo tunalolifanya hapa kutetea hadhi ya wanaukombozi wetu wa kiislamu na kufichua waliotaka kuwadhulumu.
2.Kumbe hii kwenu mnaona kama ni kuzima maasi ya waislamu mliotaka wakae kimya kikondoo huku mkiwakandamiza hata historoa yao!.Ikiwa ni hivyo basi hiyo safari wala haitofikia mwisho.
3.Hili jukwaa wala si sehemu muwafaka kujua historia ya Tanzania.Nani atakayetoa historia hiyo kwa usahihi.Akina Mwnanakijiji na Yerico wenyewe hawajielewi sembuse kutoa historia ya Tanzania.
Historia itakayokuwa ya maana ni ile ya Mohammed Saidi iliyofanyiwa utafiti na kuchapishwa kama kitabu.
4.Moyo huo kama unao basi ungeanza kwa baba yako halisi kwanza kwa kumhoji mambo ya msingi yanayolalamikiwa kwake na waislamu.
Hao ndiyo wanafiki na mawakala wa mfumo kirsto.
Nani anapima uislamu wenu na wa Shehe Simba?
......
Mara ya mwisho kuangalia matokeo ya Mitihani ilikuwa lini? Sijui unaposema watoto wenu hawafaurishwi una ushahidi gani
Mwaka 2011 matokeo ya kidato cha nne kwa baaadhi ya shule zenye watoto wengi wa Kiislamu na wa Kikristu
St. Mary Mbeya
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 317 FLD = 277(watoto wa Kikristu na Kiislamu wamefeli vibaya)
P3621 POPE JOHN PAUL II CENTRE
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 13 FLD = 30
S0298 FEZA GIRLS' SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 23 DIV-II = 7 DIV-III = 5 DIV-IV = 1 FLD = 0(chungulia uone majina ya mabinti wa Kiislamu wakifaulu na kupitishwa na NECTA kama ugomvi...)
TAQWA SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 8 DIV-II = 24 DIV-III = 58 DIV-IV = 167 FLD = 4
Naomba nikutajie wale wenye division 1 kutoka hii shule; ni muhimu kwangu kwani mdogo wangu (mkristu) alisoma hapa na hakufaulu (sijui ni kwa sababu ya dini yake???)
Evelyn Turab
Neema Danny
Revina Respiqus
Cathbert Shija
Deusdedit Daud
Festo Mathias
Leonard Sheka Justin
Mustapher Amani
Sasa hapo unaweza ukabaki na maswali mengine mengi tu...
Sasa hawa watoto wa Kiislamu wenye kufaulu katika shule mbalimbali hata zile za Wakristu; wanapita vipi kwenye NECTA hiyo hiyo? Je ni wakati gani baraza la mitihani litapata baraka ya kuweza kufelisha watoto wa Kiislamu na Wakristu bila kuonekana inaangalia dini? Je wanaruusiwa kuangalia matokeo tu?
Nguruvi.. unadhani hata hayajulikani yaliyojiri mle? Mbona yanajulikana sana. Mzee mmoja ambaye sasa ni marehemu aliwahi kunisimulia (yeye alikuwa anatoka Tanga) kuwa baada ya Waikela kujaribu kutoa hotuba yake hiyo, Nyerere alisimama na kumuuliza swali moja tu: Sisi sote tumepigania uhuru kama Watanganyika tukisisita usawa wa utu wa kila mtu bila kujali kabila na dini kwanini leo unataka kuleta mambo ya dini? Inasemekana Waikela aliinamisha kichwa chini na hakuna mtu yeyote aliyesimama kumuunga mkono kama alivyotarajia.
Ni baada ya kutoka hapo ndio tetesi zikaanza kusema ati Waikela kambwatukia Nyerere na hivyo watu wakamchukulia kama shujaa. Inasemekana Nyerere aliviagiza vyombo vya usalama vimuache Waikela aende anakokwenda na kupokelewa anavyopokelewa miongoni mwa makundi ya Waislamu. Kundi kubwa la Waislamu waliokuwa wanajua ile fitna ambayo Waikela alitaka kuileta walimuacha apotee katika historia.
Mara ya mwisho kuangalia matokeo ya Mitihani ilikuwa lini? Sijui unaposema watoto wenu hawafaurishwi una ushahidi gani
Mwaka 2011 matokeo ya kidato cha nne kwa baaadhi ya shule zenye watoto wengi wa Kiislamu na wa Kikristu
St. Mary Mbeya
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 317 FLD = 277(watoto wa Kikristu na Kiislamu wamefeli vibaya)
P3621 POPE JOHN PAUL II CENTRE
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 13 FLD = 30
S0298 FEZA GIRLS' SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 23 DIV-II = 7 DIV-III = 5 DIV-IV = 1 FLD = 0(chungulia uone majina ya mabinti wa Kiislamu wakifaulu na kupitishwa na NECTA kama ugomvi...)
TAQWA SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 8 DIV-II = 24 DIV-III = 58 DIV-IV = 167 FLD = 4
Naomba nikutajie wale wenye division 1 kutoka hii shule; ni muhimu kwangu kwani mdogo wangu (mkristu) alisoma hapa na hakufaulu (sijui ni kwa sababu ya dini yake???)
Evelyn Turab
Neema Danny
Revina Respiqus
Cathbert Shija
Deusdedit Daud
Festo Mathias
Leonard Sheka Justin
Mustapher Amani
Sasa hapo unaweza ukabaki na maswali mengine mengi tu...
Sasa hawa watoto wa Kiislamu wenye kufaulu katika shule mbalimbali hata zile za Wakristu; wanapita vipi kwenye NECTA hiyo hiyo? Je ni wakati gani baraza la mitihani litapata baraka ya kuweza kufelisha watoto wa Kiislamu na Wakristu bila kuonekana inaangalia dini? Je wanaruusiwa kuangalia matokeo tu?
Quran and Sunna.
........
So,kwa takwimu hizo ndizo zatosha kwako kuzifanyia justification na conclusion ili kuuaminisha ummah?
yapo mengi sana yaliyofichwa..
.......
Ritz,
Mke wangu wa pili ni Muislam. Sina chuki na Uislam hata kidogo. Mwenye chuki na Uislam ni mzee Mohamed ambaye ameutumia vibaya kwenye kitabu chake na mahubiri ya ajabu anayoendelea nayo sasa misikitini. Uliona virungu na mikong'oto ya jana?
Mke wangu ananieleza vizuri juu ya utii wa Muislam kwa Allah, wazazi na mamlaka za nchi. Muislam safi kabisa hawezi kuilazimisha serikali impe dhamana Sheikh Ponda kwa njia kama ile ya jana. Kuna haja ya kuwaangalia upya watu kama Mzee Mohamed. Serikali isibaki kukimbizana mabarabarani na hawa vijana wadogo ambao hata hawajui walifanyalo.
Yalete hapa hayo mengine yakudhihirisha hujuma za NECTA kwa watoto wa kiislamu
Qur'an na Sunna ndio dira ya muislaam,,Yupi anatumia Quran na yupi Sunna?
Yupi anatumia Quran na yupi Sunna?