Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ritz,
Mke wangu wa pili ni Muislam. Sina chuki na Uislam hata kidogo. Mwenye chuki na Uislam ni mzee Mohamed ambaye ameutumia vibaya kwenye kitabu chake na mahubiri ya ajabu anayoendelea nayo sasa misikitini. Uliona virungu na mikong'oto ya jana?

Mke wangu ananieleza vizuri juu ya utii wa Muislam kwa Allah, wazazi na mamlaka za nchi. Muislam safi kabisa hawezi kuilazimisha serikali impe dhamana Sheikh Ponda kwa njia kama ile ya jana. Kuna haja ya kuwaangalia upya watu kama Mzee Mohamed. Serikali isibaki kukimbizana mabarabarani na hawa vijana wadogo ambao hata hawajui walifanyalo.

Huyo mkeo si Muislaam ni murtaad, mwanamke wa kiislaam akiolewa na mwanamme ambae si Muislaam anakuwa amejitowa katika Uislaam. Asikae anajidanganya kuwa yeye ni Muislaam.
 
Wale ni Wasimbete. Msimbete anahitaji mkalimani kuongea na jamii, koo nyingine za Wakurya? Wanatofautiana lafudhi na matamshi ya maneno tu. Mila, desturi, tabia ni zilezile tu.
Asante kwa tuisheni. Je, hata Waikizu na Waisenye pia wanazingatia mila hizi? Mimi nimekulia Musoma mjini na haya mambo sikuyaona sana pale kwa sababu wakazi wengi, kama ulivyosema, ni Wajita, Waruri, Wakwaya na Wakiroba.
 
Nona mjadala umeshawashinda sasa,mmeamua kudiscuss mambo yenu ya makabila ya kwenu huko sasa..

Mnatia huruma saana..
 
Yangu macho.
 
Anza kwanza wewe kututhibitishia uhalali wa kumwita nyerere baba yako mzazi ili hali wana familia kama kina Adrew nyerere wanakukana waz waz,twende ngazi kwa ngazi,
haya anza basi kuutoa huo uthibitisho kwa manufaa ya jukwaa hili na mada hii..

Hana jibu jamani, mwacheni, ni mambo ya aibu.
 
]Kihistoria Chuo Kikuu hicho kilianzishwa kwa madhumuni gani? %ge kubwa ya wanafunzi inatoka kwenye ethinic group hipi na kwa NINI?[/SIZE]

......

Aah, Howard University ilianzishwa 1867 kwa ajili ya Wamarekani weusi. Baada ya utumwa ubaguzi uliendelea Marekani dhidi ya weusi mpaka wakati wa harakati za Dr. Martin Luther King Jr miaka ya 50-60.

Kwa hiyo kulikuwa na vyuo vilivyoanzishwa kwa ajili ya weusi kukiwa pamoja na Moorehouse College na Tuskegee Institution.

Kwa miaka mingi majority ya waliosoma pale walikuwa ni black Americans, na kutoka Carribea na West Indies.

Lakini baada ya juhudi za intergration Howard nayo ilianza kuchukua wanafunzi wa kizungu na kwa sababu inapokea fedha za serikali lazima kuwepo wazungu pale ingawa majority ya wanafunzi bado ni black americans.
 
Nona mjadala umeshawashinda sasa,mmeamua kudiscuss mambo yenu ya makabila ya kwenu huko sasa..

Mnatia huruma saana..
Unatia huruma mwenyewe. Mambo ya makabila ameyazusha Barubaru. The last time I looked huyu yuko kwenye kundi lako.
 
Ulisema uislamu wa nyinyi na shehe Simba unatofautishwa kwa quran na sunna, ndio nikahoji yupi ni quran na yupi ni sunna?

Acha kuniwekea maneno mdomoni sijakuambia Uislam wetu unatofautishwa na Qur'an na Sunna,

Ili kuwa Muislam lazima ufuate Qur'an na Sunna kwa pamoja.
 
Jasusi,

Pale Musoma maeneo ya Mkendo Kati, Majita, Kawawa, Makoko, kuna wazee wowote ambao unawajua walipigania uhuru.
 
Last edited by a moderator:
Jasusi,

Pale Musoma maeno ya Mkendo Kati, Majita, Kawawa, Makoko, kuna wazee wowote ambao unawajua walipigania uhuru.
Ritz,
Naona mnakasha umeisha. Unamfahamu marehemu Benedict Maato? Unamfahamu marehemu Oswald Marwa Mang'ombe?
Unamfahamu mzee Muga? Na Suleiman Kitundu je?
 
Ritz,
Naona mnakasha umeisha. Unamfahamu marehemu Benedict Maato? Unamfahamu marehemu Oswald Marwa Mang'ombe?
Unamfahamu mzee Muga? Na Suleiman Kitundu je?

Jasusi,

Mnakasha umeisha vipi wakati ndiyo zamu yenu na nyie kutupa habari za wazee wenu wa mikoani waliopigania uhuru...
 
Jasusi,

Mnakasha umeisha vipi wakati ndiyo zamu yenu na nyie kutupa habari za wazee wenu wa mikoani waliopigania uhuru...
Ritz,
Wazee wetu hawakunyanyaswa na Nyerere kama walivyofanyiwa wazee wake Mohamed. Yeye kaandika kitabu kusimulia manyanyaso ya wazee wake. Labda Nyerere angewanyanyasa wazee wetu na sisi tungeandika. Lakini kumbuka usemi "avumaye baharini na wengine wamo." Mohamed anataka kutuaminisha kuwa wazee wake walikuwa "vital" katika harakati za uhuru akisahau kuwa na wengine wamo.
 
Jasusi,

Mkutano wa Tabora- Njia ya kuelekea Uhuru mwaka 1958 mkoa wa Mara waliwakilishwa na nani.
 
Back
Top Bottom