Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hata waziri/naibu wa elimu/wakurugenzi wote baraza la mitihani/necta/watungaji/wasahihishaji mitihani wote wangekuwa ni waislam, bado waislam mngeendelea kulalama kuna mfumo kristo. Mkristo hana sababu ya kulalamikia NECTA ukizingatia mitihani ipo pale karibu mwaka mzima baada ya kusahihishwa...kama umeonewa ni suala la kuappeal tu...

kwani wakristu hawapati zero?!!!
 
Ritz,
Naona mnakasha umeisha. Unamfahamu marehemu Benedict Maato? Unamfahamu marehemu Oswald Marwa Mang'ombe?
Unamfahamu mzee Muga? Na Suleiman Kitundu je?

Jasusi,

Mzee Suleiman Kitundu,

Siku zake za mwisho tukawa tunaswali sala ya dhuhr
Msikiti wa Kitumbini pamoja kila siku.

Tukafahamiana kwa kuonana lakini hatujuani.

Mie kila nikimtazama naingiwa na simanzi.
Naisemeza nafsi yangu.

Huyu si yule Kitundu aliyekuwa bega kwa bega
na Nyerere ndani ya TANU na serikali kuupiga vita
Uislam na EAMWS...

Sasa anaswali.

Kipindi hicho Waislam wako taabani.
Hatufurukuti.

Basi siku hiyo nikamfuata pale msikitini nikamsalimu.
Nikamwambia nataka nimpe paper niloandika kuhusu EAMWS.

Akafurahi sana.
Siku ya pili nafika msikitini simuoni Mzee Kitundu.

Namtafuta nimpe ile paper.

Nawauliza waumini kama kuna mtu kamuona Mzee Kitundu.

Jamaa wakaniambia Mzee Kitundu kafariki ghafla usiku wa
kuamkia leo.
 
Acha kuniwekea maneno mdomoni sijakuambia Uislam wetu unatofautishwa na Qur'an na Sunna,

Ili kuwa Muislam lazima ufuate Qur'an na Sunna kwa pamoja.

Sikuwekei ndivyo ulivyojibu,

Sasa nakuuliza upya, je uislamu wa wewe pamoja na kundi lenu linaloongozwa na Mohamed Said, unatofautiana kwa lupi na ule wa Shehe Issa bin Simba?
 
Hivi sweke 34, unafanya kazi NECTA ikitajwa tu lazima utokee kutetea au mzee wako ndiyo boss maana povu linavyokutoka kuzidi hata Pinda.
 
Last edited by a moderator:

Umehamia huko sasa??
Basi fungua uzi mpya na tutakufuata bila kukubakisha kama tunavokusulubisha hapa..
Welcome to Islam..
'the mankind religion"
 
Jasusi,

Mzee Suleiman Kitundu,

Siku zake za mwisho tukawa tunaswali sala ya dhuhr
Msikiti wa Kitumbini pamoja kila siku.

Tukafahamiana kwa kuonana lakini hatujuani.

Mie kila nikimtazama naingiwa na simanzi.
Naisemeza nafsi yangu.

Huyu si yule Kitundu aliyekuwa bega kwa bega
na Nyerere ndani ya TANU na serikali kuupiga vita
Uislam na EAMWS...

Sasa anaswali.

Kipindi hicho Waislam wako taabani.
Hatufurukuti.

Basi siku hiyo nikamfuata pale msikitini nikamsalimu.
Nikamwambia nataka nimpe paper niloandika kuhusu EAMWS.

Akafurahi sana.
Siku ya pili nafika msikitini simuoni Mzee Kitundu.

Namtafuta nimpe ile paper.

Nawauliza waumini kama kuna mtu kamuona Mzee Kitundu.

Jamaa wakaniambia Mzee Kitundu kafariki ghafla usiku wa
kuamkia leo.
Moja ya athari kubwa zilizojaa katika maandiko yako ni kama hivi hapa, unataka kutulisha ngano kuwa mzee Kitundu alikuwa na manung'uniko/chuki/kihoro dhidi ya Nyerere.

Japokuwa haukubahatika kuongea nae yale mliyokusudia lakini tayari wewe ulishambebea akili na unakihalalisha alichotaka kukwambia baada ya kumpa paper zako.

Hii ni hatari sana kama unajiita mtafiti wa historia kisha unapita njia hizo nakuja na majibu mbele ya kadamnasi hivi.

Najivunia kukiita kitabu chako ni ngano, najivunia kuona mamia wameujua ukweli na lengo lako kupitia uzi huu,

Tumia nawe fursa hii kujitakasa na kuwahubiria yaliyomema waislamu wenzio ambao kwa hakika wanakuamini kuliko hata mungu wao.
 
Sikuwekei ndivyo ulivyojibu,

Sasa nakuuliza upya, je uislamu wa wewe pamoja na kundi lenu linaloongozwa na Mohamed Said, unatofautiana kwa lupi na ule wa Shehe Issa bin Simba?

Nakujibu tena ili kuwa Muislam lazima ufuate vitu viwili Qur'an na Sunna, Uislam hauna mfuasi wala kundi la mtu. Uislam ni dini ya ALLAH wote tunajisalimisha kwake.

Nyie ndiyo wafuasi wa Yesu kwenye Uislam hakuna kitu kama hicho wala hakuna aliye bora zaidi ya mwingine mmbora ni yule anayemcha ALLAH.
 
Asante kwa tuisheni. Je, hata Waikizu na Waisenye pia wanazingatia mila hizi? Mimi nimekulia Musoma mjini na haya mambo sikuyaona sana pale kwa sababu wakazi wengi, kama ulivyosema, ni Wajita, Waruri, Wakwaya na Wakiroba.
Wajita na jamii yao pekee ndio hawana mila hii. Wakiroba nao ni Wakurya sana tu. Waikizu, Waisenye, Wanatta, Wakabwa, Waikoma, Wangoreme, ..., wote wanaizingatia na kuitekeleza vizuri tu mila hii. Kusudio kubwa la mila hii ni kumwokoa mama au baba ambaye hakubahatika kupata mtoto wa kiume jina la familia yake lisipotee. "Wajukuu" wa aina hii wanakuwa adopted kama unavyomwona Mario Balloteli wa AC Milan.
 
Nakujibu tena ili kuwa Muislam lazima ufuate vitu viwili Qur'an na Sunna, Uislam hauna mfuasi wala kundi la mtu. Uislam ni dini ya ALLAH wote tunajisalimisha kwake.

Nyie ndiyo wafuasi wa Yesu kwenye Uislam hakuna kitu kama hicho wala hakuna aliye bora zaidi ya mwingine mmbora ni yule anayemcha ALLAH.
Hapa sasa unataka kumuudhi mzee wetu Mohamed. Uislamu wake ni bora zaidi. Ndio maana hata ajifiche kona ipi ya msikiti jina lake likitajwa tu hata sheikh wa siku hiyo anasahaulika! Haukumsoma nini.
 
Huyo mkeo si Muislaam ni murtaad, mwanamke wa kiislaam akiolewa na mwanamme ambae si Muislaam anakuwa amejitowa katika Uislaam. Asikae anajidanganya kuwa yeye ni Muislaam.
Hayo ndio baadhi ya mapungufu ya wazi ya DINI yenu. Kwani mimi mbwa au ng'ombe? Hamtaki tu Quran isailiwe vizuri ili muondokane na mapungufu mengi yaliyoko mle. Yamewadumaza sana. Mnakubali Mtume( S.A.W) alikuwa mwanadamu kama sisi lakini mapungufu yake ni taboo kuyataja!

Mapenzi hayana DINI, KABILA wala RANGI.
 
Hapa sasa unataka kumuudhi mzee wetu Mohamed. Uislamu wake ni bora zaidi. Ndio maana hata ajifiche kona ipi ya msikiti jina lake likitajwa tu hata sheikh wa siku hiyo anasahaulika! Haukumsoma nini.

Naona hoja zimeisha unaleta viroja.
 
Kama anavyosema Iliffe katika review yake inayo zungumzia kitabu cha Mohamed Said:

"One is its detailed information on the network of Muslim townsmen who, as the author rightly insists, were at the center of anti-colonial politics in Tanganyika but are much less known than the Western educated Christian clerks and teachers.."

Sasa kama hiyo ndio established view point ya scholars walio bobea kwenye field hii (i.e. authorities), Mohamed Said amefanya kosa gani kwa ku 'shed' more light juu ya ukweli huo.

On the contrary, it raises more questions about why their history is not as well known - does it not?
 
Naona mnakasha umeisha asante sana Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Mag3 Yericko Jasusi nanreen WildCard na wengineo kwa kutuambia Historia yenye uhalisia, asante sana mzee wetu Moh' Said nimefurahia kukusoma una kipaji cha kuhadithia masimulizi na kumvutia msikilizaji,lazma ni-admit! Nimejifunza kitu kikubwa kwako
 
Last edited by a moderator:
Hayo ndio baadhi ya mapungufu ya wazi ya DINI yenu. Kwani mimi mbwa au ng'ombe? Hamtaki tu Quran isailiwe vizuri ili muondokane na mapungufu mengi yaliyoko mle. Yamewadumaza sana. Mnakubali Mtume( S.A.W) alikuwa mwanadamu kama sisi lakini mapungufu yake ni taboo kuyataja!

Mapenzi hayana DINI, KABILA wala RANGI.

Una dini lakini adui yako mkubwa ni Uislam...unajua wewe ni mtu muhimu sana kwenye huu munakasha michango yako inawavuta Waislam kumjua adui yao.
 
Back
Top Bottom