Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ritz, wapi nimekejeli uislam hapa JF! unesha mchango wangu wa kukejeli uislam.
 
JK,

Waikela alimsimanga Nyerere.

Kwa ufupi alimwambia usingekalia kiti kama
si sisi Waislam kukuweka hapo.
Mohamed Said,

..kama Mzee Waikela alisema hivyo basi siyo kitu cha ajabu kwamba dola ilimshughulikia.

..tena si ulisema hiyo risala iliandikwa na Sheikh Hassan Bin Ameir?? sasa ajabu ni nini kwamba na yeye alirudishwa kwao Zanzibar?

..misukosuko hiyo iliwakumba pia viongozi wa vyama vya WAFANYAKAZI, kama kina Kassanga Tumbo.

..kwa mtizamo wangu nadhani mambo haya yalihusu SIASA na siyo DINI.

cc😡Jasusi, Mag3, Ritz, zomba
 
Last edited by a moderator:

Elimu ni haki ya kila raia na Nyerere kwa kuwa alikuwa Mtawala huo ni wajibu wake na Serikali yake kuwapa Elimu raia na kamwe si fadhila! kwani alimsomesha Mohamed Said kwa pesa zake za mfukoni? nadhani unahitaji elimu ya uraia kutambua haki yako!
 
Hehe maajabu mengine hayo, je alijuaje kuwa kuns siri zimevuja ikiwa katika makutano ya awali na Mohamed hakumwambia kuwa siri zake anazo zaidi ya kusema anapepa tu?
 
Hehe maajabu mengine hayo, je alijuaje kuwa kuns siri zimevuja ikiwa katika makutano ya awali na Mohamed hakumwambia kuwa siri zake anazo zaidi ya kusema anapepa tu?

Hivi kuna maajabu kama yako kulazimisha wewe mtoto Julius Kambarage Nyerere.

Lini ulisema utaenda Butiama nyumbani kuchukuwa ushahidi.

Ukienda msalimie sana Mama Maria mwambie sisi tupo.
 

JK,

Kwetu sisi Waislam dini haijapata kuwa chini hata siku moja.
Hata katika kipindi kile kigumu cha Nyerere na masheikh kuwa
jela.

Chanzo si kama Waislam walikuwa wanataka fujo.
Tatizo lilikuwa Nyerere na Kanisa Katoliki.

Taarifa zilikuwapo kuwa Nyerere anashirikiana na Kanisa kuwavunja
nguvu Waislam na Uislam katika siasa.

Inaaminika khasa ile khutba ilikuwa kalamu ya Sheikh Hassan bin Amir.

Waikela na masheikh wengi niliozungumzanao waliofungwa wanasema
wao wanashukuru kuwa walifungwa kwa ajili ya Uislam.
 
Ritz, wapi nimekejeli uislam hapa JF! unesha mchango wangu wa kukejeli uislam.
Hapo umejibu kwa adabu baada ya kuambiwa kuna wenzakokama wewe waliukejeli uislam sasa nimifupa imebaki ardhini na wenzako ni kina farao(firauni)alikuwa na majibu kama haya lakini leo yuko wapi bwana mdogo
 
Mohamed Said,

..hakuna mahali nimesema Dini ya Kiislamu imepata kuwa chini.

..mimi hoja yangu imejikita ktk risala ya Waislamu ambayo umeripoti ilikuwa titled "moto wa Waislamu..."

..sasa kama Muislamu anatoa risala yenye maudhui hayo, na juu yake anamnyooshea kidole "uso kwa uso" Amiri Jeshi Mkuu, unategemea nini kitafuatia??

..Mzee Waikela na wenzake walifanya makosa kumtishia Mwalimu, Raisi wa nchi, bila kuwa wamefanya maandalizi ya kukabiliana naye.

..Labda, nikuulize: Je, angetokea mwanachama wa jumuiya za wafanyakazi akasoma risala kama aliyoisoma Mzee Waikela, what do u think would have happened to him? Nini unafikiri kingemfika mwandishi wa risala hiyo, pamoja na hicho chama cha wafanyakazi??
 
Last edited by a moderator:
Source: Mfumo Kristo: Aliyeanzisha Udini Tanzania ni Nyerere



 
Mohamed Said, ana ya tawala za kingeria tangu nchi hiyo ipate uhuru unazitazama kama za mfumo kristu ama za kiislamu?
 
Mohamed Said, aina ya utawala wa Nigeria tangu nchi hiyo ipate uhuru unaitazama kama ya mfumo kristu ama ya kiislamu?
 
Mbona unaangaika na Multiple's ID's. Mohamed Said habari ingine.

Ritz,

Nilikuwa natalii ''notes'' zangu nimekutana na hii kutoka
''Under the Shadow of British Colonialism'':

1957

''I did not return to Korogwe after getting well.
I was transferred to Moshi Labour Office.

I immediately began to organise for TANU.
I renewed my contact with my friend Chief Thomas Marealle.

I had known Marealle since late 1940s when I joined the Labour Department.
I was voted in as TAGSA secretary Marealle as president in 1951.

I stayed with Marealle at his house in Kiboroloni and then after I had settled he made his town house available to me.

I organised a meeting at Machame Girls School in which Nyerere came to give a speech accompanied by an American woman Meida Springer and Ali Mwinyi Tambwe.

Meida Springer was from the labour movement in the USA.

I was able to convince Hamza Aziz and Iddi Mwajasho to attend the Machame meeting in which Nyerere spoke.

Hamza Aziz and Mwajasho were young police officers stationed at the Police Training College.

After this meeting the two were reprimanded by the government for getting involved in politics contrary to service regulations.

In organising the Machame meeting I had earned for myself the wrath of the colonial administration.
''
 
na bahati mbaya au nzuri waliokuwa wanautetea kwa nguvu zote kuliko wewe toka karne ya 1 hawapo tena leo.
 
MM,

Sina ugomvi na hayo uloweka hapo juu.
Yapo mengi na serikali iko kimya.


Yapi sasa ya huko necta? Umedai NECTA haipasishi watoto wa Kiislamu..nimekuwekea ushahidi kuwa wapo watoto wa Kikristu wengi wanafeli na wapo wa Kiislamu wanafaulu..labda useme hawa watoto siyo Waislamu...
 
na bahati mbaya au nzuri waliokuwa wanautetea kwa nguvu zote kuliko wewe toka karne ya 1 hawapo tena leo.

Nakushauri mdogo wangu bora ungekaa kwenye thread zenu za Chadema na CCM.

Huku anga za AA. TAA. EAMWS. KAR. TAGSA. TANU. TRAU. PC.

Unapokuja anga hizo uje kusoma.
 

Raha sana kuwa sasa unaweza kuulizia kuhusu wazee wa Kiislaam na michango yao katika hii nchi. Hawavumi lakini wamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…