Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mohamed Said,

Kwa kweli una vitu vingi sana vya historia ya Tanganyika hata hao wanaokupinga wananufaika na wewe hawawezi kusema lakini computers zao zimehifadhi maandiko yako.
 
Last edited by a moderator:
Nakushauri mdogo wangu bora ungekaa kwenye thread zenu za Chadema na CCM.

Huku anga za AA. TAA. EAMWS. KAR. TAGSA. TANU. TRAU. PC.

Unapokuja anga hizo uje kusoma.
Heheeehee mkuu usiwtishe wenzio, kila mtu hapa anaweza kuchangia ama kuuliza maswali ilimradibtu asitoke nje ya mada hii.
 
Unajua baada ya hoja za namba za mitihani kuonekana ya kipuuzi isiyo na mashiko, sasa Mohamed anatafuta kitu kingine NECTA.
Mohamed ni mzee Mgumu sana kuelewa! nimempata kila siri ya tatizo bado hataki kuelewa yeye anatafuta kile anachodhani kitaamsha hisia. Ndio maana husema kila mara yeye ni tatizo kabla ya tatizo.

Shule zinafungwa bila wanaunzi hilo halishughulishi akili yake hata kidogo. Shule ina wanafunzi 250 na walimu wawili, hilo kwake haliingii akilini. Watoto wanaozwa wakiwa na 13 yrs haligusi fikra za mzee wetu! Hakuna mwamko mjasani hadi Mikindani, Ngomekwonge hadi Mkuranga huu ni ukweli Mohamed usighilibu watu, ni ukweli.

Mohamed, anataka kuongea na serikali sijui kuhusu nini, ningemshauri amchukue Ilunga ili wakaiambie serikali namna wanavyoweza kutumia ushawishi wao kutoa nafsi za wanadamu kama hawatsikilizwa maana wameshaanza.

Mohamed amekiri kuwa kitabu chake na cha Njozi kimeeneza chuki aliyotaraji hata kama kufanya hivyo ni kufur mbele ya mwenyezi.

Jamani wanjamvi, Mohamed ni mwanafunzi wa Malik yule mpakistani anayefadhili masheikh kwenda kusoma Pakistan.
Malik alikuwepo Dar ndiye aliyetuachia hawa akina Mohamed. Mohamed na Ghessany na Uamsho lao moja.
Msiomjua Mohamed, yeye ndiye master mind ya vurugu zote hawa akina Ponda wanatumika tu.

Kitu kimoja juu ya mzee Said, hata siku moja hutamuona katika vurugu. Yeye anajua sana kuchochea hii kada ya chini ,wakati ukifika anatoweka. Ndio master mind wanavyofanya kazi. Nakuhakikishia hata siku moja hutamuona akiwa katika maandamano, never!

Waislam wenye akili zao wanapeleka watoto shule FEZ, st Mary n.k Wnapambana kuhakikisha kuwa elimu ni ukombozi.
Hawamsikilizi Ilunga na Mohamed, na hakika katika uzi huu asiye elewa kuhusu huyu mzee basi ajue ana tatizo.

Kinachoniuma ni jinsi Mohamed anavyopita huko vichochoroni na vijijini kuwalaghai kwa makusudi kabisa waislam wasio na upeo kwa kutumia neno Uislam. Kuwaongopea na kuwalisha kile asichoweza kukitetea au kukishuhudia.
Si mnaona alivyoshindwa kutetea hoja zake, alivyoumbuka kwa kuzusha!
 
Heheeehee mkuu usiwtishe wenzio, kila mtu hapa anaweza kuchangia ama kuuliza maswali ilimradibtu asitoke nje ya mada hii.

Wapi nimemtisha nimempa ushauri tu kama mdogo naona toka Andrew Nyerere, mtoto wa kwanza Mwalimu kukuuliza mama yako ni nani mpaka sasa hivi kichwa chako akijakaa vizuri. Umeishamjibu?
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said,

Kwa kweli una vitu vingi sana vya historia ya Tanganyika hata hao wanaokupinga wananufaika na wewe hawawezi kusema lakini computers zao zimehifadhi maandiko yako.

Sahihisho,

Mohamed Said, hana vitu vingi vys historia ya Tanganyika, bali anavyo vingi vya Gerezani na nu mjuzi wa kujazia vile avitakavyo ili viwe historia ya nchi ya ndoto aitakayo yaani ya kiislamu.

Jambo hilo ni ndoto kwa Mohamed Said na kundi lake,na halitatukia hata kwa miaka milioni mia sita ijayo
 
Last edited by a moderator:
Wapi nimemtisha nimempa ushauri tu kama mdogo naona toka Andrew Nyerere, mtoto wa kwanza Mwalimu kukuuliza mama yako ni nani mpaka sasa hivi kichwa chako akijakaa vizuri. Umeishamjibu?

Ndugu unapoteza tu mda wako bure, sitakujibu chochote na sitaingia kwenye mada hiyo,

Tuendelee na mada iliyopo ihusuyo uchochezi wenu kwa taifa
 
Last edited by a moderator:

Hivi wewe una ubavu leo hii wa kuongelea NECTA? Ina maana umeshasahau.
 
Hakika ahali yangu Mohamed Said wewe ni bahri ya historia na unamengi sana kama wanajamvi wangetulia ungetupa mengi zaidi.

Allah akubarik

Nguruvi3,

Hebu tutajie hata Masheikh wawili tu kutoka Tanzania ambao wanasomeshwa Pakistan na wanafadhiliwa na Marik.
 
Last edited by a moderator:

Shekh Mohamed,

Huyu I ni nani?
 
Waislam wenye akili zao wanapeleka watoto shule FEZ, st Mary n.k Wnapambana kuhakikisha kuwa elimu ni ukombozi.
Hawamsikilizi Ilunga na Mohamed, na hakika katika uzi huu asiye elewa kuhusu huyu mzee basi ajue ana tatizo.

!

Nimechukua kipande hiki tu!

Ninavyojua ni kwamba wale waturuki walipoanzisha Feza nia yao ilikua iwe shule ya watoto wa kiislam tu lakini wakaambiwa kwamba wakifanya hivyo nikama kuwabagua watoto wa kikristo.
 
hakika akutukanae hakuchagulii tusi.

Anaalikwa kwenye vyuo vikuu mbalimbali na vyenye kuhishimika Duniyani kutoa mihadhwara mbalimbali kuhusu historia hiyo sasa leo kweli imekuwa uchochoroni.

Nitabu vyake vinasomwa na watu mbalimbali africa na duniani kote kwani amevitoa kwa lugha ya kiingereza nayo leo inakuwa kama michezo ya akina kanumba.

labda utudadavulie barazani ni wapi kama yeye anapita uchochoroni?
 
Ndugu unapoteza tu mda wako bure, sitakujibu chochote na sitaingia kwenye mada hiyo,

Tuendelee na mada iliyopo ihusuyo uchochezi wenu kwa taifa

Kuna post niliandika kuwa huna ubavu huo. Hapa umeyakinisha.
 
Duh..yote tisa lakini kwa stori tu.. mzee hujambo!! maana ukidhania hawezi kuja na simulizi la Marehemu basi anakuja nalo jingine.. sasa sijui anataka tuamini nini kwenye hili stori.. jamaa aliamua kufa kuliko kusoma ukweli?
 
Hata Nyerere ktk kusherehekea Birthday yake mwanzoni mwa mwaka 1999 alitamba kuwa ana uhakika wa kuishi mpaka miaka 100! ghafla tukamuona uwanja wa ndege akisindikizwa akiwa anafuraha kuelekea London kwa matibabu lakini alirudi akiwa maiti
 
Duh..yote tisa lakini kwa stori tu.. mzee hujambo!! maana ukidhania hawezi kuja na simulizi la Marehemu basi anakuja nalo jingine.. sasa sijui anataka tuamini nini kwenye hili stori.. jamaa aliamua kufa kuliko kusoma ukweli?

MM,

Nina mengi.

Mimi namshukuru Allah nimepata makuzi ambayo si wengi
wa wakati wangu waliyapata.

Kabla sijenda shule nikicheza na mtoto wa Kizungu rafiki
yangu Gregory namkumbuka hadi leo na dada yake Kate.

Nimeiona ''the cream of Dar es Salaam'' ya 1950s kwa
macho yangu.

Nimecheza mpira viwanja vya Mnazi Mmoja nimevaa ''Gola''
hivi vilikuwa viatu vya mpira akivaa Stanley Mathews wakati
wenzangu wakicheza peku peku.

Nilipata ujanja wa kujua mambo na kuijua lugha ya Kiingereza
nikiwa na umri mdogo sana.

Nilijifunza kuingiliana na watu katika umri mdogo.
Sikushangai wewe kunistaajabu.

Mguu wangu umekanyaga miji mikubwa ya dunia kuanzia New York
hadi Geneva.

Kuanzia J' Burg hadi Cairo na kwingi tu.
Sina sababu ya kuja hapa na kusema uongo.

Niongope ili iwe nini au iniongezee nini.
Sikusema Kitundu kafa kwa ajili ya kuonana na mimi.

Hiki kisa nimekileta baada ya Jasusi kumtaja Mzee Kitundu.
 
Duh..yote tisa lakini kwa stori tu.. mzee hujambo!! maana ukidhania hawezi kuja na simulizi la Marehemu basi anakuja nalo jingine.. sasa sijui anataka tuamini nini kwenye hili stori.. jamaa aliamua kufa kuliko kusoma ukweli?

Kwani watu wakifa wanaweka miadi kwamba kesho nitakufa?
Kwamba shehe aliweka miadi na Mohamed kwahio aahirishe kifo chake?
 
Duh..yote tisa lakini kwa stori tu.. mzee hujambo!! maana ukidhania hawezi kuja na simulizi la Marehemu basi anakuja nalo jingine.. sasa sijui anataka tuamini nini kwenye hili stori.. jamaa aliamua kufa kuliko kusoma ukweli?

Hahahaaa...hahahaaaaa.. Mzee MM, kama umechoka na majadiliano nimeipenda hiyo "Duh"
 
N,

Ndiye yeye.
Usimwite ''mwandishi.''
Mohamed Said
Samahani kwa kukirudisha nyuma. Hili suala la Abubakar Ulotu bado halijakaa vizuri kichwani kwangu. Kama ndiye yeye aliyeandika (japo umesema tusimwite "mwandishi") kitabu Cha Historia ya TANU ambayo hukuipenda, halafu ni yeye huyu huyu, akaja kuanzisha chama cha kiislam cha NRA mwaka 1995, ni kitu gani kilimbadilisha msimamo kutoka kwenye msimamo wake wa zamani? Ni baada ya kukutana na wewe?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…