Mzee Said hata mimi wazee wangu ndio walikuwa waasisi wa AA na TANU hiyo hiyo.. so dunia zetu haziko tofauti sana. Tofauti ni kuwa wazee wako wewe ni wa dini moja tu...
Mwanakijiji kama unavyojielezea kwamba ni bingwa wakubishana!!
Ukweli uongo unabisha kwa vile unavyotaka wewe.
Ulisema hapa ulibishana na shehe nusu mwaka kama sio mwaka mzima.
Wengine wakikuacha uendelee na kile unachokitetea hata kwamba uongo nikuona kwamba wanabishana na kivuli ndio maana wanakuacha uaminicho kuokoa muda wao kwa mtu ambaye kaweka headphone yenye music kwenye masikio yake na hasikii kingine bali music wake.
Ukikutana na mtu wa aina hio ni bora uendelee na mambo yako kuliko kupoteza muda.
Nina uhakika huyo shehe uliyebishana naye mwaka mzima alikuacha uendelee kusikiza music wako,
Nakumbuka mwaka 2005 tulibishana sana kule DHB kuhusu Kikwete.
Uliweka kila cha kumtetea Kikwete kwamba unamjua na kupinga mambo mengi tuliyokuelezea kuhusu Kikwete.
Leo hii umeukubali ukweli kuhusu Kikwete na umehamia Chadema.
Unakumbuka uliyokua unamtetea ndio unayapinga sasa kupitia Chadema?
Ndio maana katika post zako zote hapa hakuna ninayoiamini kwani hata uongo unaweza kuutetea.
Na ndio maana mtu kama wewe watu wanakuacha tu usikilize music wako kwenye headphone.