Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hata Nyerere ktk kusherehekea Birthday yake mwanzoni mwa mwaka 1999 alitamba kuwa ana uhakika wa kuishi mpaka miaka 100! ghafla tukamuona uwanja wa ndege akisindikizwa akiwa anafuraha kuelekea London kwa matibabu lakini alirudi akiwa maiti
Azma yake ingetimia lakini akina Mkapa walimkolimba ili wale nchi kwa raha mustarehe!
 


Kwa kweli unashangaza sana,
Na ni bahati mbaya sana mwanadam kuwaza namna hii,sasa hii njia ya kuwawekea watu maneno yako vinywani mwao ina mantiki gani?
Hebu tuambie wewe ukitakaje?ukweli usisemwe?basi andika maandiko yako kuupinga huu ukweli ili kuiondoa hii hali kwa jamii ambayo tayari ishapambanukiwa na kweli hii,
Kwa taarifa yako sasa,hapa hatujadili kwamba kina nani wachochez au kina nani wanachochea,hapa tunasema ule ukweli uliofichwa ili kulinda hadhi za wachache kilazima na kukandamiza haki za wengi kilazima,wewe kama utaona kinachozungumzwa hapa ni chuki na uchochez ni juu yako na una haki pia kuamini hivo,
kwa ufupi hatuwez kulandana katika uelewa wa mambo na kufanana katika mihemko,mihemko yako wewe ya udini yumkin haiwez landana na mihemko ya wengine wanaotaka kuona kweli ikisimama hata kama ni chungu..
 
Hapo umejibu kwa adabu baada ya kuambiwa kuna wenzakokama wewe waliukejeli uislam sasa nimifupa imebaki ardhini na wenzako ni kina farao(firauni)alikuwa na majibu kama haya lakini leo yuko wapi bwana mdogo
Wewe kijana unamatatizo ya kuelewa mambo, kwanini unalazimisha imani zako kwa watu wengine? Mimi siogopi kufa kwani nilazima nitakufa tu hatakama nitakuwa nimeslim kama ulivyo wewe. Huna hana haja ya kunitisha kwa umauti.
 
Kama u mkweli jitaje na wataje.

Kwa kuongezea hapo hapo,akiona haitoshi akae kitako kuandika ukweli anaoufaham na kuitangazia dunia,na sio kukaa hapa kukejeli kazi za wanaume wa shoka waliojitolea kwa maslahi ya wengi..!
 

Wananchi waliokusudiwa ni Watanzania wote. Nimekupa mfano wa kanisa katoliki Tanzania na kanisa katoliki Msumbiji.
Yale ya Njozi kusema kuwa polisi ni armed wing of the catholic church ni kupandikiza chuki tu dhidi ya kanisa katoliki kwa sababu kwa fikra zenu mmeshaliona kuwa ni adui wa uislamu. Lakini point yangu ni kuwa si kweli kanisa katoliki lilikataza wafuasi wake wasishiriki katika harakati za uhuru. Haiingii akilini kanisa lisilotaka Tanganyika kuwa huru kuchangia tiketi ya mwanaharakati wa Kitanganyika kwenye UN ku petition juu ya uhuru.
 
Wao ndio walimpa leukemia iliyomfikisha kuwa na Ukosefu wa Kinga Mwilini?

Anyway, tusiende huko. Umesikia kule Alabama weusi wengi walipata vifo vya kansa baada ya kiwanda cha Koch Brothers kumwaga sumu kwenye maji ya mito yao>
 
Kwa kuongezea hapo hapo,akiona haitoshi akae kitako kuandika ukweli anaoufaham na kuitangazia dunia,na sio kukaa hapa kukejeli kazi za wanaume wa shoka waliojitolea kwa maslahi ya wengi..!

Hawezi thumma hawezi. Huyo atabaki na ufataani tu, kuandika historia si sawa na kuandika vijarida vya udaku
 
Anyway, tusiende huko. Umesikia kule Alabama weusi wengi walipata vifo vya kansa baada ya kiwanda cha Koch Brothers kumwaga sumu kwenye maji ya mito yao>

Hata Bhopal walikufa wengi na mpaka sasa wanadhurika kwa sumu ya viwandani, na yeye labda alitembelea huko siku hizo akawa ni victim au siyo?
 
Hata Bhopal walikufa wengi na mpaka sasa wanadhurika kwa sumu ya viwandani, na yeye labda alitembelea huko siku hizo akawa ni victim au siyo?
Like I said, tusiende huko. What I know is not fit for print.
 
Hawezi thumma hawezi. Huyo atabaki na ufataani tu, kuandika historia si sawa na kuandika vijarida vya udaku


Basi anazeeka vibaya sana,pindi pale wenzake wanapozeeka huzeeka kwa hekima na busara,yeye MWANAKIJIJI huzeeka na unafiki + uzushi + uzandiki,mwishowe watu sampuli hii huishia kuwa "WAZEE WA BUSARA"..
 
Like I said, tusiende huko. What I know is not fit for print.

Ushawataja mpaka "Mkapa" eti wamemkolimba. Sasa unajidai unachojuwa not fit for print. Usilete utani kwenye mambo ya kitaifa, unajuwa sisi tuna uchungu sana wa kuondokewa na Nyerere.
 
Ushawataja mpaka "Mkapa" eti wamemkolimba. Sasa unajidai unachojuwa not fit for print. Usilete utani kwenye mambo ya kitaifa, unajuwa sisi tuna uchungu sana wa kuondokewa na Nyerere.

Hata na wewe una uchungu? Basi yaishe.
 
Mzee Said hata mimi wazee wangu ndio walikuwa waasisi wa AA na TANU hiyo hiyo.. so dunia zetu haziko tofauti sana. Tofauti ni kuwa wazee wako wewe ni wa dini moja tu...
Mwanakijiji kama unavyojielezea kwamba ni bingwa wakubishana!!
Ukweli uongo unabisha kwa vile unavyotaka wewe.
Ulisema hapa ulibishana na shehe nusu mwaka kama sio mwaka mzima.
Wengine wakikuacha uendelee na kile unachokitetea hata kwamba uongo nikuona kwamba wanabishana na kivuli ndio maana wanakuacha uaminicho kuokoa muda wao kwa mtu ambaye kaweka headphone yenye music kwenye masikio yake na hasikii kingine bali music wake.
Ukikutana na mtu wa aina hio ni bora uendelee na mambo yako kuliko kupoteza muda.
Nina uhakika huyo shehe uliyebishana naye mwaka mzima alikuacha uendelee kusikiza music wako,

Nakumbuka mwaka 2005 tulibishana sana kule DHB kuhusu Kikwete.
Uliweka kila cha kumtetea Kikwete kwamba unamjua na kupinga mambo mengi tuliyokuelezea kuhusu Kikwete.
Leo hii umeukubali ukweli kuhusu Kikwete na umehamia Chadema.
Unakumbuka uliyokua unamtetea ndio unayapinga sasa kupitia Chadema?

Ndio maana katika post zako zote hapa hakuna ninayoiamini kwani hata uongo unaweza kuutetea.
Na ndio maana mtu kama wewe watu wanakuacha tu usikilize music wako kwenye headphone.
 
Ushawataja mpaka "Mkapa" eti wamemkolimba. Sasa unajidai unachojuwa not fit for print. Usilete utani kwenye mambo ya kitaifa, unajuwa sisi tuna uchungu sana wa kuondokewa na Nyerere.

zomba
Hebu nikumbushe tena zile sifa za mnafiki.
Halafu nikumbushe na lile neno la kiarabu mnalotamka kumlaani baba wa Taifa-siju lanatui nini.
Halafu jipime...
 
Last edited by a moderator:

Ndio sehemu ya porojo hizo; sijawahi kumtetea Kikwete kuwa namjua. Ndio tatizo la kutosoma mtu kaandika nini. Unaanza kuwa kama Mzee Said hapa kuandika historia kutoka kwenye hisia...
 
Kituko kingine Mwanakijiji na Uislam au Waislam wapi na wapi jamani lini kwako Muislam hakawa na jema bahati nzuri mabandiko yako yapo mengi sana fikra zako kuhusu Waislam zipo wazi kabisa.
Ritz, hivi kweli unaamini hakuna Waislaam wanaopinga hizi njama za huyu mchochezi? Unaamini kuwa katika wote wanaompinga Mohamed Said katika huu uzi hakuna Muislaam? Laiti ungejua! Huu uzi umewafungua macho wengi Waislaam kwa Wakristo wanaoiona hii nchi kama yetu sote bila kujali dini wala kabila...lakini bahati mbaya, kama ilivyo wakati wote, wako waathirika wa hizi porojo za hatari ambao hawaoni na hivyo hawahoji!

On a sidenote, naomba nikuulize Ritz, imekuwaje kwenye hii thread hadi hapa ilipofikia chama haonekani, je hukumshtua safari hii?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…