Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Sasa kama ndiyo hivyo kwanini hujajibu swali la msingi la Mohamed Said kuwa kwanini wazee hawa hawakuandikwa kwenye historia?

Mkuu ili uweze kuchangia kwa mafaa isome mada husika kisha soma post ya kwanza mpaka hapa tulipo, na itafurahisha na kukusaidia zaidi kuchngia mada hii ikiwa umekisoma kwa weledi kitabu cha Mohamed Said kinachojadiliwa hapa.

Karibu sana mkuu.
 
Hawa Masheikh walishiriki kama WATANGANYIKA wengine wengi walivyoshiriki. Mzee Mohamed anataka tutambue ushiriki wao kuwa maalum na wa KIDINI sana. Anataka tuwatambue kama Ayattolah Ruhollah Khomeini alivyoshiriki kumwondoa Shah Ahmed Reza Pahlavi wa Iran!
 

WC,

Huo ni wasiwasi tu.

Kila kitu kikiwa na nembo ya Uislam basi hutia hofu.

Mimi kama mwanasayansi ya jamii nilitaka nionyeshe
nafasi ya Waislam katika harakati za kupigania uhuru
wa Tanganyika.
 
Ritz nimecheka sana, nala chapati za kumimina!
Hujanitendea haki kwa jambo moja, mimi sijataja msikiti hata mmoja, kwahiyo usiniwekee maneno!

Katika orodha yako uliyoitaja umesahau Kheri, Kisutu, Manyema, Tambaza, Maamur, Lindi, Tungi n.k.

Hakuna kitu kama hicho, kuna mkate wa kumimina.
 

WC,

Hivi ndivyo kupiga vita udini?:

Sivalon has revealed that the Church has been able to create its own lobby which controls 75% of the seats in the parliament. Among these seats 70% are held by Catholics and the rest are divided among Muslims and Christian denominations.

The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [1] unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam.

Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects.

First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam.

The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa.

The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]


[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).

[2]Ibid. p 37.

[1] Sivalon, op.cit. p. 49.

Ukipenda naweza nikaongeza vitu zaidi jinsi Mwalimu alivyoupiga vita udini.
Unasemaje nilete?
 
Mkuu ili uweze kuchangia kwa mafaa isome mada husika kisha soma post ya kwanza mpaka hapa tulipo, na itafurahisha na kukusaidia zaidi kuchngia mada hii ikiwa umekisoma kwa weledi kitabu cha Mohamed Said kinachojadiliwa hapa.

Karibu sana mkuu.

Wewe jibu swali wacha kubabaisha. Wewe ndio uisome mada yako halafu ulete ushahidi, mpaka sasa hatujaona? tunaona Mohamed Said akizidi kuwapa darsa.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
WC,

Huo ni wasiwasi tu.

Kila kitu kikiwa na nembo ya Uislam basi hutia hofu.

Mimi kama mwanasayansi ya jamii nilitaka nionyeshe
nafasi ya Waislam katika harakati za kupigania uhuru
wa Tanganyika.

Laiti ungefanya hivyo wala usingepata tabu na siii wengine. You have tried to rewrite Tanganyika's history!
 
WC,

Huo ni wasiwasi tu.

Kila kitu kikiwa na nembo ya Uislam basi hutia hofu.

Mimi kama mwanasayansi ya jamii nilitaka nionyeshe
nafasi ya Waislam katika harakati za kupigania uhuru
wa Tanganyika.
Nafasi ya Waislam ipo. Nafasi isiyokuwepo ni ya UISLAM kwenye kudai( sio kupigania) uhuru na kuanzisha TANU.

Hata kule Iran sio Uislam uliotumika kumng'oa Shah wao kwa kuwa naye alikuwa Muislam.

Chama kilichoanzishwa hapa Tanganyika kwa kutumia Uislam wa baadhi ya Waislam ni AMNUT. Kikafa mapema tu kwa sababu hiyohiyo.
 
Ndio sehemu ya porojo hizo; sijawahi kumtetea Kikwete kuwa namjua. Ndio tatizo la kutosoma mtu kaandika nini. Unaanza kuwa kama Mzee Said hapa kuandika historia kutoka kwenye hisia...

Bahati mbaya hakuna DHB sasa
Na kama ipo labda iko updated kwahio threads za zamani hazipo.

Mwaka 2005 ukitetea CCM kuwa madarakani siulikua wampigia debe Kikwete?
Tuliokua tunaona mbali toka zamani ukatuona hatuna tunalolijua kwasababu wewe ni bingwa wa kubishana.

Kweli ni mshangao mkubwa wewe uliyekua unaitetea CCM usiku kucha leo wewe ndio Chadema.

Kwangu mimi nakuona wewe kama kasuku!
Bingwa wa kuongea lakini kuongea lakini sio maneno yake.
 

Nakumbuka miaka ya nyuma nilishawahi kusema huyu ni mtu mfupi sana kupita uwiano wa kimo cha Watanzania, na hii kubisha kwake kwa kujificha nyuma ya pazia kunamfanya ajione yeye ni mrefu. Kama anabisha atuwekee picha yake.
 

Mkikosa hoja mnaanza viroja. kwi kwi kwi teh teh teh!
 

MM,

Nimekusoma.
 
Sivalon aliongopa sana tu kuhusu composition ya Bunge letu. Hakuna wakati tangu uhuru Bunge letu limewahi kuwa na 70% ya Wabunge Wakatoliki. Majimbo yapi hayo nchi hii? Allegation hii pia iliwahi kusemwa kuhusu Cabinet mojawapo ya Mwalimu kwamba kajaza Wakatoliki mle. Mwalimu alipowatuma watu kuchunguza akakuta Wakatoliki ni yeye na Sir George Kahama ambaye hata hivo alikuwa amefanya maendeleo kama yangu. Ana wake wawili!

Mzee Mohamed Mohamed, Press conference ya Mwalimu pale Kilimanjaro Hotel, mwaka 1995, uliisikia?
 

Hotuba hii maarufu sana.
Inarudiwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…