Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kila siku nakuambia wewe ni mtupu sana kwenye historia ya Tanganyika.

Rais wa kwanza wa African Association ni mwalimu Thomas Plantan.
 

Patamu hapo, sasa mnaanza kumruka mgala mwenzenu, nangoja mumruke na P Van Bergen.
 
Mohammed baada ya kusoma hii post kasema Mnh,Nimekusoma.Halafu kajiondokea zake.
Mimi namwambia huyu Mzee kweli anasomeka.Siku nyengine atakoma kutetea ujinga na dhulma.
Kwa jinsi hali inavyokwenda mjadala hauko mbali kufungwa.Tusingependa iwe hivyo lakini kwa uzoefu wa huko nyuma ikifika hapa watetezi wakuu wakawa wameishiwa nguvu refa huchukua uamuzi wa busara.
Kuhusiana na hapo juu mimi ningesema hivi.
This philosophy of yours has never existted.As far as I know the sources were exclusively mentioned and for your side,Mzee Mwankijiji you have never approached Mohammed to show you his sources.You just use hearsays to believe that they never existed.
Apart from that give us example where if the source dies the fact also becomes dead.
 
Kituko kingine Mwanakijiji na Uislam au Waislam wapi na wapi jamani lini kwako Muislam hakawa na jema bahati nzuri mabandiko yako yapo mengi sana fikra zako kuhusu Waislam zipo wazi kabisa.

Msome Mwanakijiji na ombi la mwaka kwa Askofu Pengo! (nukuu toka post ya MK leo)

Alikuwepo Askofu Mkuu Oscar Romero; alisimama dhidi ya utawala wa kidikteta na akatoa ujumbe wa kinabii (prophetic message). Alifanya hivyo baada ya mapadre wake kuuawa na utawala dhalimu. Pengo amezoea kukaa katika starehe mno, kula na kunywa na wakubwa na ameacha kusimama kama nabii. Anapenda heshima. Wakati umefika kwa Pengo kuonesha kuwa anastahili cheo alichonacho.

Tunahitaji Oscar Romero wetu... vinginevyo huku tunakokwenda kubaya. Oooh ninavyoogopa kusikia Shehe kauawa; Msidhani haiwezi kutokea au kwamba hawa Wakristu ambao ndani ya wiki moja viongozi wao wawili wameuawa nao wataendelea kukaa kimya..

Pengo... utafanya nini.... ( Mwisho wa kunukuu)



Hivi Mwanakijiji anafikiri Pengo anaweza saidia kuleta maelewano na maridhiano? amesahau kauli za maudhi na kukatisha tamaa za Askofu wake mwaka 2001 alipowalaumu wafuasi wa CUF waliouwawa na Serikali ya Mkapa huko Zanzibar na dar kwa kusema walistahili kuuwawa kwa sababu hata wao walikuwa na silaha ktk maandamano na silaha yenyewe ni mawe na mawe huuwa!

Huyu ndie Mwanakijiji anamuomba atoe kauli kuhusu hali ya nchi ilivyo sasa!



 
Ushawataja mpaka "Mkapa" eti wamemkolimba. Sasa unajidai unachojuwa not fit for print. Usilete utani kwenye mambo ya kitaifa, unajuwa sisi tuna uchungu sana wa kuondokewa na Nyerere.

Mi uchungu wangu nilitaka afikishwe mahakamani na kujibu kesi 1, 2, 3, 4, 5, ................. lakini nina hakika huko aliko atakutana na Hakimu wa mahakimu!
 

MM,
Unataka Waislamu waondoke CCM waende chama gani? na wakitoka CCM watamuachia nani? na huko unakotaka waende vyama vyenyewe ni vya nani? Jee, nilini mmeacha kukinasibisha CUF na Waislamu? umenishangaza sana Mzee, unaonesha udini wa dhahiri shahiri! Zito kabwe, Arfi na wanachama wengi sana wao si Waislamu? au kwa maono yako Waislamu wakijiunga na vyama vya kisiasa hawaruhusiwi kuchanganya dini na Siasa?

Ni kwanini leo umemsihi Kardinali Pengo atoe tamko? Pengo ni nani ktk nchi hii? au unataka achanganye dini na siasa ili Serikali imkamate halafu wewe na Chama chako mpate sababu ya kuleta machafuko na kumfanya Kikwete ashindwe kutawala?

Unamlaumu MS, kuwa ni mchochezi na anaetaka kuleta machafuko lakini wewe ndie una dalili zote za kuleta machafuko na sintofahamu miongoni mwa Wa TZ!

Kwa taarifa yako Waislamu wa TZ hawana ugomvi na Wakristo, Wapagani au dini yoyote! wameishi na wenzao kwa wema na ukarimu kama dini yao inavyo amrisha!
Waislamu wana madai yao ya msingi kwa Serikali na wanataka iwajibu na kuchukua hatua muafaka! badala ya Serikali kujibu hoja za Waislamu, wewe Mwanakijiji na Kanisa lako huwa na tabia ya kuisemea na kuitetea Serikali! sasa Waislamu waongee na nani? Kanisa au Serikali?

Ushahidi ni pale Waislamu wakidai mahakama ya Kadhi, OIC, ubaguzi wa elimu, MOU, nk, MK na Kanisa huwa mnajitokeza waziwazi na kujibu hoja za Waislamu! ndio maana sasa Waislamu wanaona waachane na Serikali na kujibizana na Kanisa kwa Lugha watakayoielewa!
 
Kila siku nakuambia wewe ni mtupu sana kwenye historia ya Tanganyika.

Rais wa kwanza wa African Association ni mwalimu Thomas Plantan.
Ndugu hebu nipe darasa wewe uijuae historia ya Tanganyika, Matola na Plantan nani aliingoza AA na kwa vipindi vipi?
 
Hivi kuna kitabu ama maelezo yoyote yanayoonyesha mchango wa WAKRISTU ktk harakati za Uhuru wa Tanganyika? - Kiasi kwamba wewe Mohammed Said umeona haikuwa haki kutowazungumzia Waislaam!

Mimi nakusoma sana lakn najaribu kuunganisha hoja yako sipati jibu...Maana hata huyo Nyerere aliyeandikwa vitabu vingi hazungumziwi kwa kusifiwa kwa Ukristu wake.
 
Hilo ndilo linalotusikitisha tuluo wengi tukimuona ndugu huyu akieneza sumu ya udini usio na tija kwa taifa.

Najiuliza sana lengo lake n nini?
 


Mkandara kadandia daladala linaloelekea Tabata, kaingia ndani kabisa na kukaa siti ya nyuma na kuanza kusoma gazeti lake huku anakunywa COCACOLA!

Abiria wanazidi kuingia na kujaza sehemu ya mbele! basi linaendeshwa na kukaribia Tabata, ghafla Mkandara anakurupuka na kumuuliza abiria mwenzake hivi basi laelekea wapi? anajibiwa kwani wewe wenda wapi? Mkandara anajibu Kimara! duh! mwenzake anaanza kucheka na kumshangaa Mkandara yaani umekaa ndani ya gari na kustarehe muda wote huo na nauli umelipa lakini hujui gari laelekea wapi!

Ushauri kwa Mkandara: anza kusoma topic hii tangu mwanzo ndipo uje kuchangia!
 
Dada hujui kuwa Mkandara alikuwepo na alichangia sana siku za mwanzo za uzi huu?
 
Mkuu wangu naona umerudia uchafu ule ule wa mkoloni na kuupamba tu. Sasa kama unajua mkoloni alitugawa ili atutawale kwa nini leo wewe unataka tugawanyike?.. Ebu fikiria Kenya leo wajaluo waliokuwa wamemezwa na Wakikuyu wakianza nao kuandika kitabu juu ya harakati za Wajaluo kupigania Uhuru watafika kweli....

Pengine nimekosea ktk hilo maana Wajaluo wameanza nao kujitambulisha kama wao na matokeo yake tumeyaona uchaguzi wa mwaka 2006 maana uje tu ya kwamba hata hao Wakikuyu hawatataka kuipoteza nafasi walokweisha ikamata.

La muhimu ni ni basi? Nyie mnaoyaona maenevu wa Ukoloni mnatakiwa kufanya kinyume chake na Nyerere alitupa mfan mzuri sana ktk utawala wake. Wewe unayeandika hapa ni zao la Nyerere, huyo muhammed Sid, zomba, Ritz, Mwinyi na hata Kikwete pamoja na wengine wote wanaoandika hapa JF wamesoma wakati wa Nyerere tena BURE lkn maajabu hao hao ndio wapinzani wakubwa wa Nyerere kwa sababu ni matunda ya ile kasumba ya mkoloni.

Badala ya nyie kulaani kitendo cha Mwinyi kurudisha mashule na Hospital mikononi mwa kanisa mnatumia nguvu kubwa kuzungumzia yule alowakomboa. Mnakuwa kama Wazanzibar ambao hawajui ya kwamba harakati kubwa ya UHUru wa Zanzibar ilikuwa kuondokana na utawala wa Mwarabu... na wote kina Abraham Babu, Sultan na wengine wengi tu (Umma Party) walipata elimu na mafunzo Cuba na Urusi ili kuikomboa nchi yao lkn leo hii umesikia wapi wakizungumzwa kwa sifa ama kuandikwa ktk historia ya Zanzibar?...
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli TANU haikuwa ya Nyerere peke yake. Lakini Nyerere personified TANU and you cannot talk about TANU without mentioning Nyerere, whether you like it or not. Hao wengine wote walikuwa na supporting roles tu. Huwezi leo kuwaelevate na kuwa star of the movie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…