Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Hivi Kikwete anajenga nchi au anaibomoa? Naona kama vile muungano unafia mikononi mwake, umoja wa watanzania unafia mikononi mwake, CCM inafia mikononi mwake. Na maliasili za Watanzania zinaporwa mikononi mwake. Kama huo ndio ujenzi basi tunaomba Mungu atunusuru na balaa linalotusubiri huko mbele.
 
Soma hiyo quotation ya mkandara, kuna mahali kauliza nami nimekubaliana naye kabisa. Hivi kumbe hata kusoma na kuelewa ni tatizo kwako! samahani huwa sijibu post zako though!

Kweli haiingiii akilini kabisa
 
Alaa mkuu wangu, haya ya kumpokea Mwinyi yametoka wapi?... mbona hata miye namkumbuka vizuri sana akija Mahiwa kuvizia mwali pale mtaani?..Swala ni vipi wewe bado mwana CCM chama ambcho ni cha Nyerere alowaanzisha mfumo kristu?
Mkuu Mkandara, maswali yako hayatapata majibu kwasababu ni confusion tupu inayotawala miongoni mwa wanazuoni na viongozi wa kiislam.

Mfumokristo ndio uliosababisha wazee wa Mohamed et al kuwekwa rumande, kufukuzwa na kunyimwa kazi according to them. Mwaka 1995-2005 zilikuwepo jitihada za kuhamasisha waislam wajiunge na CUF(wala sio siri) kwasababu ndicho chama kilichoonekana kutoa haki. Haya yalisemwa na sheikh Maarufu wa hapo Karikaoo ambako ndiko walipoishi wazee wa Mohamed.

Mwaka 2005 Sheikh huyo huyo akageuka na kusema waislam waiunge mkono CCM kwasababu ndicho chama kinachoonekana kutetea haki zao.

Mwaka 2010 Mohamed Said na wenzake walipita misikitini wakinon'onezana kutomachgua mtu wa dini nyingine(kasema Mohamed na Ushahidi upo)

Katika mnakasha suala la dhulma limepoteza maana halisi kwasababu mtuhumiwa wa kwanza Nyerere hayupo na hapo katikati wameingia watu wanaositiriwa. Sasa hivi si tena Nyerere ni Serikali. Hatusikii maonevu ya Mwinyi, ingawa ya Mkapa yanachomekwa chomekwa. Ya kikwete ndiyo kabisa.

Akifungwa shehe ni suala la serikali na DPP, mwaka 1963 na 1968 lilikuwa la Nyerere peke yake.
Tukaambiwa mfumokristo ulikuwa na mkono wa Nyerere hatujaambiwa Mwinyi na Kikwete waliuvunja vipi na kwanini bado upo.

Kwa mtazamo huo sijui kama kweli hawa watu wanafahamu nini tatizo lao. Laiti wangejua kuwa pesa za rada zimefisadiwa na madhara yake ni accross the board wasingenyanyua vinywa. Japo wangejua kuwa inflation ina uma kwa kila mtu wasingekuja na madai hayo.

Kibaya zaidi madai hubadilika kutokana na nyakati ''dynamic''. Huko nyuma tuliambiwa mfumokristo ulihodhi wizara ya elimu hadi kuwekwa padre. Hatukuwahi kusikia masheikh na ma-alhaji waliotumikia serikali hii.
Ghafla tumesikia namba za mitihani, sasa imekuja NECTA na kama vile speed haijapungua tunasikia shule za kata.

Ninachosema hapa ni kuwa People who instigate chaos they don't have a ground to stand.
They change positions every sunrise and sunset.
They have ambivalence and disorganized message for a mentally fit individual to comprehend.
The tactic of shoot every moving object is not helping them iota.
As a result of this, the confusion rein within themselves before they pass to ''consumers''
 

Funguwa nyuzi tukuoneshe maendeleo ya miaka 7 tu ya Kikwete halafu ufananishe na miaka 44 ya nyerere na vikaragosi vyake
 

Na udini alioutukuza tunaanza kula matunda yake phyisically.
 

Nguruvi3,

Ukianza kushambulia Waislam unakosea mbona nyie Makanisani wote mlikuwa mnaambiwa muichague Chadema mbona mambo yapo wazi Wakirsto wote ni Chadema na malengo yenu yanajulikana.

Tumeona kwenye uchaguzi mpaka kule Sumbawanga watu wakafukuzwa Kanisani kwa kuipigia kura CCM. Wewe upo Chadema kwa sababu ya dini yako kina Mkandara na wengine hawajitambui wamepanda basi hawajui safari yake.

Usipende kuwasemea Masheikh hata sisi tufahamu ukaribu wa Maskofu na Chadema pamoja na mapadri tusidanganyane hapa.
 
Niweke rekodi sawa sawa. Kwanza si mwanachama au mshabiki wa chama chochote cha siasa.

Pili,sijawashambulia dini nilichokifanya ni kunukuu maneno ya Sheikh Halifa wa msikiti wa mtoro katika kipindi nilichoandika hapo juu kwa maneno yake mwenyewe.

Tatu, nilichofanya ni kusema maneno ya Mohamed katika mnakasha huu na mingine iliyopita.

Nne, Mohamed amekiri kuwa yeye ni mwanazuoni na kiongozi wa waislam na hata kwenda mbali kuongea kwa niaba yao.
Ndivyo anavyofanya Ilunga, Farid na Mselm. Kosa langu ni nini kuwaita wanazuoni.

Wnazuoni maana yake ni ''scholars'' ambao wamebobea katika masuala mbali mbali. Uanzuoni haufungamani na dini au uumini. Mwanazuoni akikosea ni yeye si dini wala waumini, hapo jaribu kutafakari ili kuepuka spinning.

Mwisho, kila nilichoandika kipo na ushahidi wake ni vema basi tukajikita kuangalia hoja kama zizlivyo na kuacha kutumbukiza siasa au kiwacho ili kukidhi haja ya kubadili mwelekeo wa hoja au mada.

Ahsante
 

Mkuu wangu nafsi yako aikusuti kusema wewe si mwanachama wa chama chochote tunajauana miaka mingi labda kwa wale wasiokujua.
 
umesema vizuri; nilimpigia debe si kwa sababu nilikuwa namjua. Nilichokukatilia ni hicho ulichoongeza...
Kumbe kuna vitu unavipigia debe ukijiona unavijua halafu unagundua kuwa huvijui na kujigeuza rangi kama kinyonga.
Huu ndio ududuvule,huna dira.Unaruka bila kujua uendako halafu unajigonga.
 
Hilo kwa Mohamed ni kaa la moto hawezi kulizungumzia hata chembe,

Anatambua wazi kuwa wazee wake ni zao lilelile lililopinga usharika wa wakristu ndani ya AA na ni wale wale walioanzisha chama chs kiislamu cha AMNUT kilichokuwa na ideology yakipekee yani ya (usisi)
 
Mkuu Mkandara maneno mazito sana bila shaka Mzee wetu Mohamed Said zomba Ritz chama ....watajifunza jambo hapa.


 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere wewe wazee wako walifanya nini? walikuwa katika wale wasiotaka Uhuru wa kanisa katoliki au?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu nafsi yako aikusuti kusema wewe si mwanachama wa chama chochote tunajauana miaka mingi labda kwa wale wasiokujua.
Ritz, mbona hujibu hoja za msingi za mkuu Nguruvi3? au umeamua kuiga mtindo wa mzee wako Mohamedi wa kukwepa hoja kwa visingizio vidogo vidogo kama hivi! hoja za Nguruvi3 bado ni za msingi na zinatakiwa wewe uzikanushe au ukubali mapigo yake. Jaribu kuzipitia tena hizi hapa
 

Nijibu hoja zipi?
 
Funguwa nyuzi tukuoneshe maendeleo ya miaka 7 tu ya Kikwete halafu ufananishe na miaka 44 ya nyerere na vikaragosi vyake
Nyerere aliongoza miaka 44?
angeweza tu kuongeza mwaka hata mmoja baada ya ile 23 aliyokuwa madarakani tusingefika hapa tulipo, sijui ni kwanini aling'atuka mapema.
 

Kwa kukusaidia ni kuwa ukweli ni lazima usemwe japo utakuumiza.

Vile vile mtu anatakiwa kujua historia ya jambo kabla kulichukulia hatua kwani kwa kujua huko ataweza kujua mabaya na mazuri ya jambo hilo ma kisha utafuta njia bora ya kurekebisha sio kufumbia macho eti kw sababu alikusomesha.

Ikumbukwe kuwa JKN alikuwa ni mwanadamu kama wanadamu wengine na mara nyingi tu aliwahi kukosea ni vizuri kubainisha makosa yake na kutafuta njia muafaka ya kuyatatua lakin si kufucha ukweli wa mayendo yake.

nakupa pole
 
Nyerere aliongoza miaka 44?
angeweza tu kuongeza mwaka hata mmoja baada ya ile 23 aliyokuwa madarakani tusingefika hapa tulipo, sijui ni kwanini aling'atuka mapema.

Una matizo ya kusoma, soma vizuri nilipokuwekea nyekundu:
By zomba

Funguwa nyuzi tukuoneshe maendeleo ya miaka 7 tu ya Kikwete halafu ufananishe na miaka 44 ya nyerere na vikaragosi vyake

Nyerere 24 + Kikaragosi cha mwanzo 10 + kikaragosi cha pili 10. Jumla inakuwa ngapi?
 
Una matizo ya kusoma, soma vizuri nilipokuwekea nyekundu:


Nyerere 24 + Kikaragosi cha mwanzo 10 + kikaragosi cha pili 10. Jumla inakuwa ngapi?
Na cha tatu mwaka wa 8 sasa, kinajidai kiko bize angani huku tunachinjani buchani kama kitoweo. Tunauana makanisani,....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…