Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ni rahisi sana kubomowa, si rahisi kujenga. Ikiwa nyumba inayomchukuwa mtu miaka 2 kuijenga unaweza kuibomowa kwa siku moja tu, sasa piga hesabu nchi iliyobomolewa kwa miaka 44 mfululizo, itachukuwa muda gani kuijenga? Nakwambia miaka 44 kwa kuwa Nyerere 24, chaguo lake la kwanza 10, chaguo lake la pili 10.

Nchi hii ndio kwanza Kikwete kaanza kuijenga ipasavyo, kumbuka kuwa yeye tu hakuwa chaguo la Nyerere na yeye ndiye tunashuhudia akileta mabadiliko ya kweli ya utawala mpaka ya uchumi.

Hata wapigania Uhuru waliosahauliwa na Nyerere na vikaragosi vyake kwa miaka 44 tumeona wakikumbukwa rasmi kwa mara ya kwanza kwenye awamu hii ya uongozi.

Hivi Kikwete anajenga nchi au anaibomoa? Naona kama vile muungano unafia mikononi mwake, umoja wa watanzania unafia mikononi mwake, CCM inafia mikononi mwake. Na maliasili za Watanzania zinaporwa mikononi mwake. Kama huo ndio ujenzi basi tunaomba Mungu atunusuru na balaa linalotusubiri huko mbele.
 
Soma hiyo quotation ya mkandara, kuna mahali kauliza nami nimekubaliana naye kabisa. Hivi kumbe hata kusoma na kuelewa ni tatizo kwako! samahani huwa sijibu post zako though!

Kweli haiingiii akilini kabisa
 
Alaa mkuu wangu, haya ya kumpokea Mwinyi yametoka wapi?... mbona hata miye namkumbuka vizuri sana akija Mahiwa kuvizia mwali pale mtaani?..Swala ni vipi wewe bado mwana CCM chama ambcho ni cha Nyerere alowaanzisha mfumo kristu?
Mkuu Mkandara, maswali yako hayatapata majibu kwasababu ni confusion tupu inayotawala miongoni mwa wanazuoni na viongozi wa kiislam.

Mfumokristo ndio uliosababisha wazee wa Mohamed et al kuwekwa rumande, kufukuzwa na kunyimwa kazi according to them. Mwaka 1995-2005 zilikuwepo jitihada za kuhamasisha waislam wajiunge na CUF(wala sio siri) kwasababu ndicho chama kilichoonekana kutoa haki. Haya yalisemwa na sheikh Maarufu wa hapo Karikaoo ambako ndiko walipoishi wazee wa Mohamed.

Mwaka 2005 Sheikh huyo huyo akageuka na kusema waislam waiunge mkono CCM kwasababu ndicho chama kinachoonekana kutetea haki zao.

Mwaka 2010 Mohamed Said na wenzake walipita misikitini wakinon'onezana kutomachgua mtu wa dini nyingine(kasema Mohamed na Ushahidi upo)

Katika mnakasha suala la dhulma limepoteza maana halisi kwasababu mtuhumiwa wa kwanza Nyerere hayupo na hapo katikati wameingia watu wanaositiriwa. Sasa hivi si tena Nyerere ni Serikali. Hatusikii maonevu ya Mwinyi, ingawa ya Mkapa yanachomekwa chomekwa. Ya kikwete ndiyo kabisa.

Akifungwa shehe ni suala la serikali na DPP, mwaka 1963 na 1968 lilikuwa la Nyerere peke yake.
Tukaambiwa mfumokristo ulikuwa na mkono wa Nyerere hatujaambiwa Mwinyi na Kikwete waliuvunja vipi na kwanini bado upo.

Kwa mtazamo huo sijui kama kweli hawa watu wanafahamu nini tatizo lao. Laiti wangejua kuwa pesa za rada zimefisadiwa na madhara yake ni accross the board wasingenyanyua vinywa. Japo wangejua kuwa inflation ina uma kwa kila mtu wasingekuja na madai hayo.

Kibaya zaidi madai hubadilika kutokana na nyakati ''dynamic''. Huko nyuma tuliambiwa mfumokristo ulihodhi wizara ya elimu hadi kuwekwa padre. Hatukuwahi kusikia masheikh na ma-alhaji waliotumikia serikali hii.
Ghafla tumesikia namba za mitihani, sasa imekuja NECTA na kama vile speed haijapungua tunasikia shule za kata.

Ninachosema hapa ni kuwa People who instigate chaos they don't have a ground to stand.
They change positions every sunrise and sunset.
They have ambivalence and disorganized message for a mentally fit individual to comprehend.
The tactic of shoot every moving object is not helping them iota.
As a result of this, the confusion rein within themselves before they pass to ''consumers''
 
Hivi Kikwete anajenga nchi au anaibomoa? Naona kama vile muungano unafia mikononi mwake, umoja wa watanzania unafia mikononi mwake, CCM inafia mikononi mwake. Na maliasili za Watanzania zinaporwa mikononi mwake. Kama huo ndio ujenzi basi tunaomba Mungu atunusuru na balaa linalotusubiri huko mbele.

Funguwa nyuzi tukuoneshe maendeleo ya miaka 7 tu ya Kikwete halafu ufananishe na miaka 44 ya nyerere na vikaragosi vyake
 
Na udini alioutukuza tunaanza kula matunda yake phyisically.
 
Mkuu Mkandara, maswali yako hayatapata majibu kwasababu ni confusion tupu inayotawala miongoni mwa wanazuoni na viongozi wa kiislam.

Mfumokristo ndio uliosababisha wazee wa Mohamed et al kuwekwa rumande, kufukuzwa na kunyimwa kazi according to them. Mwaka 1995-2005 zilikuwepo jitihada za kuhamasisha waislam wajiunge na CUF(wala sio siri) kwasababu ndicho chama kilichoonekana kutoa haki. Haya yalisemwa na sheikh Maarufu wa hapo Karikaoo ambako ndiko walipoishi wazee wa Mohamed.

Mwaka 2005 Sheikh huyo huyo akageuka na kusema waislam waiunge mkono CCM kwasababu ndicho chama kinachoonekana kutetea haki zao.

Mwaka 2010 Mohamed Said na wenzake walipita misikitini wakinon'onezana kutomachgua mtu wa dini nyingine(kasema Mohamed na Ushahidi upo)

Katika mnakasha suala la dhulma limepoteza maana halisi kwasababu mtuhumiwa wa kwanza Nyerere hayupo na hapo katikati wameingia watu wanaositiriwa. Sasa hivi si tena Nyerere ni Serikali. Hatusikii maonevu ya Mwinyi, ingawa ya Mkapa yanachomekwa chomekwa. Ya kikwete ndiyo kabisa.

Akifungwa shehe ni suala la serikali na DPP, mwaka 1963 na 1968 lilikuwa la Nyerere peke yake.
Tukaambiwa mfumokristo ulikuwa na mkono wa Nyerere hatujaambiwa Mwinyi na Kikwete waliuvunja vipi na kwanini bado upo.

Kwa mtazamo huo sijui kama kweli hawa watu wanafahamu nini tatizo lao. Laiti wangejua kuwa pesa za rada zimefisadiwa na madhara yake ni accross the board wasingenyanyua vinywa. Japo wangejua kuwa inflation ina uma kwa kila mtu wasingekuja na madai hayo.

Kibaya zaidi madai hubadilika kutokana na nyakati ''dynamic''. Huko nyuma tuliambiwa mfumokristo ulihodhi wizara ya elimu hadi kuwekwa padre. Hatukuwahi kusikia masheikh na ma-alhaji waliotumikia serikali hii.
Ghafla tumesikia namba za mitihani, sasa imekuja NECTA na kama vile speed haijapungua tunasikia shule za kata.

Ninachosema hapa ni kuwa People who instigate chaos they don't have a ground to stand.
They change positions every sunrise and sunset.
They have ambivalence and disorganized message for a mentally fit individual to comprehend.
The tactic of shoot every moving object is not helping them iota.
As a result of this, the confusion rein within themselves before they pass to ''consumers''

Nguruvi3,

Ukianza kushambulia Waislam unakosea mbona nyie Makanisani wote mlikuwa mnaambiwa muichague Chadema mbona mambo yapo wazi Wakirsto wote ni Chadema na malengo yenu yanajulikana.

Tumeona kwenye uchaguzi mpaka kule Sumbawanga watu wakafukuzwa Kanisani kwa kuipigia kura CCM. Wewe upo Chadema kwa sababu ya dini yako kina Mkandara na wengine hawajitambui wamepanda basi hawajui safari yake.

Usipende kuwasemea Masheikh hata sisi tufahamu ukaribu wa Maskofu na Chadema pamoja na mapadri tusidanganyane hapa.
 
Niweke rekodi sawa sawa. Kwanza si mwanachama au mshabiki wa chama chochote cha siasa.

Pili,sijawashambulia dini nilichokifanya ni kunukuu maneno ya Sheikh Halifa wa msikiti wa mtoro katika kipindi nilichoandika hapo juu kwa maneno yake mwenyewe.

Tatu, nilichofanya ni kusema maneno ya Mohamed katika mnakasha huu na mingine iliyopita.

Nne, Mohamed amekiri kuwa yeye ni mwanazuoni na kiongozi wa waislam na hata kwenda mbali kuongea kwa niaba yao.
Ndivyo anavyofanya Ilunga, Farid na Mselm. Kosa langu ni nini kuwaita wanazuoni.

Wnazuoni maana yake ni ''scholars'' ambao wamebobea katika masuala mbali mbali. Uanzuoni haufungamani na dini au uumini. Mwanazuoni akikosea ni yeye si dini wala waumini, hapo jaribu kutafakari ili kuepuka spinning.

Mwisho, kila nilichoandika kipo na ushahidi wake ni vema basi tukajikita kuangalia hoja kama zizlivyo na kuacha kutumbukiza siasa au kiwacho ili kukidhi haja ya kubadili mwelekeo wa hoja au mada.

Ahsante
 
Mkuu wangu nafsi yako aikusuti kusema wewe si mwanachama wa chama chochote tunajauana miaka mingi labda kwa wale wasiokujua.
 
umesema vizuri; nilimpigia debe si kwa sababu nilikuwa namjua. Nilichokukatilia ni hicho ulichoongeza...
Kumbe kuna vitu unavipigia debe ukijiona unavijua halafu unagundua kuwa huvijui na kujigeuza rangi kama kinyonga.
Huu ndio ududuvule,huna dira.Unaruka bila kujua uendako halafu unajigonga.
 
Baada ya mapinduzi hayo wakamtafuta kafir msomi Dr. Vedasto Kyaruzi wakamfunda, wakamfundisha kuvaa, wakamfundisha siasa...kisha wakamkabidhi madaraka awe Raisi wa kwanza wa TAA...je kwa nini baada ya Abdulwahid kumpindua baba yake, ikawa lazima atafutwe huyo wa kuja kuiongoza TAA?

Wakamtafuta kafir Nyerere, wakamfunda, wakamfundisha ustaarabu wa mjini, wakamfundisha siasa na alipoiva wakamkabidhi uongozi wa TAA na miezi kumi na tano baadaye baada ya wazee hao wa Gerezani kuunda TANU wakamkabidhi uongozi awe Raisi wa kwanza wa TANU.

Mkuu Mkandara, ni kwamba tunarudi kule kule...wazee wa Mohamed Said baada ya kuunda AA mwaka 1929 wakamtafuta msomi, wakuja Myao, CEcil Matola, wakamfunda, wakamfundisha ustaarabu kabla ya kumkabidhi madaraka awe Raisi wa kwanza wa TAA.

Hayo ndiyo maelezo ya Mohamed kuwa wazee wake ndio waliopigania uhuru, hao wengine walipewa tu madaraka...swali linalotusumbua wengine na gumu kulielewa ni kwa nini hawa wazee waliopigania uhuru si kama Watanganyika bali Waislaam, waliweza kukabidhi uongozi kwa makafir. Zuberi Mtemvu, Muislaam, akaamua kuanzisha chama (sijui kama yeye alikianzisha peke yake) lakini akakataliwa na Watanganyika kwa ujumla wao.

Kuona hivyo Waislaam ambao hawakutaka kuongozwa na makafir, wakaanzisha chama cha Waislaam AMNUT, lakini nao wakakataliwa na Waislaam wenzao. Kulingana na simulizi za Mohamed Said, tunashuhudia mara tatu wazee wake wanaanzisha vyombo na mara zote tatu wakakabidhi madaraka kwa makafir...kulikoni? Haya, hata baadaye kama wanayodai Kafir huyo huyo akaamua kuwaundia baraza lao BAKWATA lakini nalo wakalikataa!

Akaja Mwinyi, Muislaam mwenzao, akasema kila kitu ruhsa, akaamua kuvunjilia mbali misingi yote aliyojenga Kafir, akatuzalishia wachochezi na walalamishi...akina Ponda, akina Mohamed Said, akina zomba...duh!
Hilo kwa Mohamed ni kaa la moto hawezi kulizungumzia hata chembe,

Anatambua wazi kuwa wazee wake ni zao lilelile lililopinga usharika wa wakristu ndani ya AA na ni wale wale walioanzisha chama chs kiislamu cha AMNUT kilichokuwa na ideology yakipekee yani ya (usisi)
 
Mkuu Mkandara maneno mazito sana bila shaka Mzee wetu Mohamed Said zomba Ritz chama ....watajifunza jambo hapa.

Ndio historia ya TAA maana kabla ya mapinduzi ya Abdul Wahid kumpindua baba yake na kuongoza, chama cha TAA kilikuwa kijiwe tu cha wazee wa Kariakoo tena niseme gerezani.. Hivyo enzi hizo wakristu wengi walikuwa wakiishi kuanzia Ilala kota Msimbazi na kuelekea Magomeni na hawakuwa sehemu ya kijiwe hicho.

Hivyo waliposhika kina Abdul uongozi ndio wakaanza kuchukua wanachama kutoka sehemu mbali mbali nchini pasipo kujali dini wala makabila na kukifanya chama hicho cha kisiasa. Walimhitaji Nyerere sana tu kutokana na elimu, kipaji na uwezo wake ktk kuwaunganisha Watanzania wote, jambo ambalo baadhi ya wanachama kina Takadir hawakupenda kuona TAA inachukua hata watu kutoka bara. Sasa tujiulize kama hawa watu kina Takadir hawakutaka watu kutoka bara, hicho chama cha TAA kingekuwa kinapigania Uhuru wa kina nani?
 
Last edited by a moderator:
Hilo kwa Mohamed ni kaa la moto hawezi kulizungumzia hata chembe,

Anatambua wazi kuwa wazee wake ni zao lilelile lililopinga usharika wa wakristu ndani ya AA na ni wale wale walioanzisha chama chs kiislamu cha AMNUT kilichokuwa na ideology yakipekee yani ya (usisi)
Yericko Nyerere wewe wazee wako walifanya nini? walikuwa katika wale wasiotaka Uhuru wa kanisa katoliki au?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu nafsi yako aikusuti kusema wewe si mwanachama wa chama chochote tunajauana miaka mingi labda kwa wale wasiokujua.
Ritz, mbona hujibu hoja za msingi za mkuu Nguruvi3? au umeamua kuiga mtindo wa mzee wako Mohamedi wa kukwepa hoja kwa visingizio vidogo vidogo kama hivi! hoja za Nguruvi3 bado ni za msingi na zinatakiwa wewe uzikanushe au ukubali mapigo yake. Jaribu kuzipitia tena hizi hapa
Niweke rekodi sawa sawa. Kwanza si mwanachama au mshabiki wa chama chochote cha siasa.

Pili,sijawashambulia dini nilichokifanya ni kunukuu maneno ya Sheikh Halifa wa msikiti wa mtoro katika kipindi nilichoandika hapo juu kwa maneno yake mwenyewe.

Tatu, nilichofanya ni kusema maneno ya Mohamed katika mnakasha huu na mingine iliyopita.

Nne, Mohamed amekiri kuwa yeye ni mwanazuoni na kiongozi wa waislam na hata kwenda mbali kuongea kwa niaba yao.
Ndivyo anavyofanya Ilunga, Farid na Mselm. Kosa langu ni nini kuwaita wanazuoni.

Wnazuoni maana yake ni ''scholars'' ambao wamebobea katika masuala mbali mbali. Uanzuoni haufungamani na dini au uumini. Mwanazuoni akikosea ni yeye si dini wala waumini, hapo jaribu kutafakari ili kuepuka spinning.

Mwisho, kila nilichoandika kipo na ushahidi wake ni vema basi tukajikita kuangalia hoja kama zizlivyo na kuacha kutumbukiza siasa au kiwacho ili kukidhi haja ya kubadili mwelekeo wa hoja au mada.

Ahsante
 
Ritz, mbona hujibu hoja za msingi za mkuu Nguruvi3? au umeamua kuiga mtindo wa mzee wako Mohamedi wa kukwepa hoja kwa visingizio vidogo vidogo kama hivi! hoja za Nguruvi3 bado ni za msingi na zinatakiwa wewe uzikanushe au ukubali mapigo yake. Jaribu kuzipitia tena hizi hapa

Nijibu hoja zipi?
 
Funguwa nyuzi tukuoneshe maendeleo ya miaka 7 tu ya Kikwete halafu ufananishe na miaka 44 ya nyerere na vikaragosi vyake
Nyerere aliongoza miaka 44?
angeweza tu kuongeza mwaka hata mmoja baada ya ile 23 aliyokuwa madarakani tusingefika hapa tulipo, sijui ni kwanini aling'atuka mapema.
 
Mkuu wangu naona umerudia uchafu ule ule wa mkoloni na kuupamba tu. Sasa kama unajua mkoloni alitugawa ili atutawale kwa nini leo wewe unataka tugawanyike?.. Ebu fikiria Kenya leo wajaluo waliokuwa wamemezwa na Wakikuyu wakianza nao kuandika kitabu juu ya harakati za Wajaluo kupigania Uhuru watafika kweli....

Pengine nimekosea ktk hilo maana Wajaluo wameanza nao kujitambulisha kama wao na matokeo yake tumeyaona uchaguzi wa mwaka 2006 maana uje tu ya kwamba hata hao Wakikuyu hawatataka kuipoteza nafasi walokweisha ikamata.

La muhimu ni ni basi? Nyie mnaoyaona maenevu wa Ukoloni mnatakiwa kufanya kinyume chake na Nyerere alitupa mfan mzuri sana ktk utawala wake. Wewe unayeandika hapa ni zao la Nyerere, huyo muhammed Sid, zomba, Ritz, Mwinyi na hata Kikwete pamoja na wengine wote wanaoandika hapa JF wamesoma wakati wa Nyerere tena BURE lkn maajabu hao hao ndio wapinzani wakubwa wa Nyerere kwa sababu ni matunda ya ile kasumba ya mkoloni.

Badala ya nyie kulaani kitendo cha Mwinyi kurudisha mashule na Hospital mikononi mwa kanisa mnatumia nguvu kubwa kuzungumzia yule alowakomboa. Mnakuwa kama Wazanzibar ambao hawajui ya kwamba harakati kubwa ya UHUru wa Zanzibar ilikuwa kuondokana na utawala wa Mwarabu... na wote kina Abraham Babu, Sultan na wengine wengi tu (Umma Party) walipata elimu na mafunzo Cuba na Urusi ili kuikomboa nchi yao lkn leo hii umesikia wapi wakizungumzwa kwa sifa ama kuandikwa ktk historia ya Zanzibar?...

Kwa kukusaidia ni kuwa ukweli ni lazima usemwe japo utakuumiza.

Vile vile mtu anatakiwa kujua historia ya jambo kabla kulichukulia hatua kwani kwa kujua huko ataweza kujua mabaya na mazuri ya jambo hilo ma kisha utafuta njia bora ya kurekebisha sio kufumbia macho eti kw sababu alikusomesha.

Ikumbukwe kuwa JKN alikuwa ni mwanadamu kama wanadamu wengine na mara nyingi tu aliwahi kukosea ni vizuri kubainisha makosa yake na kutafuta njia muafaka ya kuyatatua lakin si kufucha ukweli wa mayendo yake.

nakupa pole
 
Nyerere aliongoza miaka 44?
angeweza tu kuongeza mwaka hata mmoja baada ya ile 23 aliyokuwa madarakani tusingefika hapa tulipo, sijui ni kwanini aling'atuka mapema.

Una matizo ya kusoma, soma vizuri nilipokuwekea nyekundu:
quote_icon.png
By zomba
Funguwa nyuzi tukuoneshe maendeleo ya miaka 7 tu ya Kikwete halafu ufananishe na miaka 44 ya nyerere na vikaragosi vyake

Nyerere 24 + Kikaragosi cha mwanzo 10 + kikaragosi cha pili 10. Jumla inakuwa ngapi?
 
Una matizo ya kusoma, soma vizuri nilipokuwekea nyekundu:

Nyerere 24 + Kikaragosi cha mwanzo 10 + kikaragosi cha pili 10. Jumla inakuwa ngapi?
Na cha tatu mwaka wa 8 sasa, kinajidai kiko bize angani huku tunachinjani buchani kama kitoweo. Tunauana makanisani,....
 
Back
Top Bottom