Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

kati ya wazee mufilisi ni huyu kizee ni gaidi wamchana kweupee ndo maana hataki kabisa kuwajadili wenzake Alshababu.

Kumbe anataka selikali iwasikilize kisa nyerere (mtu) badala yawaislam wasikilizwe na Kikwete (mtu)

Kutoka mtu watekelezewe na serikali, badala yakutoka mtu (nyerere) kuenda kwa Mtu (kikwete) astakafilullahi! mzee anagubu huyu!

Yeye nawakristo tu kucha kutwa waislam wenzake lo! awaguse nayeye anatafuta thawabu nani kasema?

Kawawa

Abdul Jumbe

Salim Ahmed Salim

Kalume Baba

Kalume Mtoto

Omar mahita

Alhassan mwinyi

Kikwete

.
.
.
Kwake adui ni nyerere tu basi huu nao ni ujuha kweli eti mwanahistria ....historia ya kujadili binadamu mmoja (JK nyerere)
 

Tungeweza kufanya mjadala.
Lakini kwa kuwa lugha yako ni kejeli...

Vipi najadili kejeli?
 
Mohamed Said,

..mbona Van Bergen naye anadai kuwa Wakristo walikuwa wanalalamika kwamba wananyimwa uongozi ktk Tanu?

Haikuwa hivyo.
Labda nidokeze ni wapi walinyimwa uongozi katika TANU?

Insha Allah naweza kuangalia na kutoa maelezo ikiwa nayajua.

Lakini baada ya 1958 milango ilikuwa wazi sana na Wakristo wengi
walichukua nafasi katika TANU.
 
Kejeli ipo wapi? Au hoja ni nzito! kama kawaida Sheikh Mohamed anatoweka kiaina.
Usiku mwema mzee Said

Ahsante Alamsik.
Umesema naandika ''ngano.''

Hiyo si lugha ya kuzungumza.
Ikiwa kitabu changu ni ngano.

Sasa mimi na wewe tunajadili nini?
Mlango wangu uko wazi.

Ikiwa unataka mjadala basi jitulize.
Andika kwa adabu.

We mwenyewe ushaniheshimu unaniita
''Mzee'' na mimi nimepokea heshima hiyo.

Sasa iweje unikejeli?
 
HOJA YA UBUNGE HUGOMBEWA HUJAITIZAMA KWA MLINGANYO SAHIHI...!

UTARATIBU WA UPATIKANAJI WA MPIGIWA KURA UNAFAHAMIKA NCHI HII TOKEA ZAMA NA ZAMA.

NAOMBA NISEME :nono:

:nono::nono::nono::nono:
Bado sijakuelewa. Mohamed tumeshaelewana na kukubaliana kwamba ubunge unagombewa na haugawanywi. Sasa kama kuna mfumo uliowazuia Waislamu kugombea viti vya ubunge, naomba ufafanue.
 


Mkuu naomba japo aya moja tuu moja tuu ukinipa ambayo inamakosa ya hesabu kwa Quraan tukufu basi nakupa
laki tano kwa kila aya ambayo utaitowa kwa kila aya ambayo inamakosa ya kihesabu lakini katika bible ninazo nyingi tuu ambazo zina contradict wenyewe kihesabu nitafute nitakupa ref.
 
Haikuwa hivyo.
Labda nidokeze ni wapi walinyimwa uongozi katika TANU?

Insha Allah naweza kuangalia na kutoa maelezo ikiwa nayajua.

Lakini baada ya 1958 milango ilikuwa wazi sana na Wakristo wengi
walichukua nafasi katika TANU.
Mohamed Said,

..unajua na mimi nitakuwa na-lift sentesi moja moja na kuharibu maudhui ya kitabu cha van bergen.

..nimefanya simple search ktk google "bergen + muslims + tanu".

..kilichorudi ni taarifa kwamba kuna maeneo Wakatoliki walikuwa wanakatazwa kujiunga na Tanu. Hapo Van Bergen alikuwa anamnukuu Kiwanuka.

..sehemu nyingine Van Bergen anasema wapo Wakatoliki waliokuwa wana-support harakati za uhuru. Anadai wapo waliokwenda mbali mpaka kumchangia Nyerere ktk safari yake kwenda UN in 1957.

..zaidi, kuna mgogoro tena unaelezewa humo wa uchaguzi wa mwaka 1963 ambapo Wakristo wa Bukoba walikuwa wanadai kwamba Tanu inapendelea Waislamu. Malalamiko hayo yalisababisha waalimu wa Kikatoliki 25 wasimame kama independent candidates wakipingana na wagombea wa Tanu.

..kutokana na msuguano huo wa Bukoba, Mwalimu Nyerere aliandika barua kwa Kanisa Katoliki akiwalaumu Maaskofu kwa kuingilia masuala ya siasa.

..kwa kweli kama tungeweza kupata hivi vitabu, au hata chapters chache ktk vitabu hivyo tungeweza kuwa na mjadala mzuri zaidi.

cc: Nguruvi3, Jasusi, Companero, Mzee Mwanakijiji
 
Tungeweza kufanya mjadala.
Lakini kwa kuwa lugha yako ni kejeli...
Vipi najadili kejeli?

Hapa Mzee MS hakijadiliwi kitabu chako kama mada kuu (japo inaweza kuwa ndani ya mnakasha). Kwa hiyo kusema ngano inweza kuwa mtazamo wa nguruvi 3 na usiwe mtazamo wa mtu mwingine.


Kejeli ipo wapi? Au hoja ni nzito! kama kawaida Sheikh Mohamed anatoweka kiaina.
Usiku mwema mzee Said





Napenda Mzee Mohammed Said anavyojua kukwepa hoja muhimu...........
Hupenda kujibu zile nyepesi tena kwa kirefu na kwa nukuu kadhaa kutoka kwenye kitabu chake.
Lakini hizi zinazofikirisha msitegemee 'mjadala wa hoja kwa hoja'...........Na hii si mara ya kwanza.
 

Wala haikunipitia kitu chochote.
Kwa kweli kabisa hiyo ni namna tu ya uandishi wangu.
 
Umesema naandika ''ngano.''Hiyo si lugha ya kuzungumza.Ikiwa kitabu changu ni ngano.
Ikiwa unataka mjadala basi jitulize.Andika kwa adabu.
Mohamed Said;5461998]Nakuwekea maandishi ya utafiti si "ngano" maana hao watu walikuwapo na walifanya hayo
Nilipata hilo neno baada ya wewe kulitumia.
 

Itakavyokuwa siwezi kujadili kejeli.
Aandikae afanye adabu na staha.
 

Itakuwa vizuri kama tunaweza kupata hiyo barua ambayo Nyerere aliliandikia Kanisa. Katika kitabu changu niemandika maneno haya yafuatayo kueleza mambo yalivyokuwa:

''...baada ya kupatikana kwa uhuru, ile nguvu ya Waislam iliyotumika kupambana na Waingereza kuleta uhuru, ikaonekana haina maana yoyote na haifai kitu tena. Kuvunjwa kwa Baraza la Wazee ndiyo ilikuwa kishiko cha mwisho cha Waislam katika TANU.

Baada ya hapo Kanisa lililokuwa pembeni wakati wa kudai uhuru sasa likajitokeza waziwazi kuwapiga vita Waislam katika TANU.

Katika kitendo ambacho kanisa halikupata kufanya, Kanisa Katoliki Bukoba liliteua wagombea wake wenyewe wapambane wa wagombea Waislam walioteuliwa na TANU kugombea nafasi katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

Kanisa lilisema limeweka wagombea wake binafsi kwa kuwa wana elimu kupita wagombea wa TANU Waislam.

Kampeni kama hii ilifanyika vilevile Kigoma. Hakuna ushahidi wowote unaoonyesha kuwa Nyerere, serikali au TANU yenyewe ilichukua hatua zozote dhidi ya Kanisa kwa kuchanganya ''dini na siasa.''
 
 
Naona mzee wa watu amepigwa cha kiutu uzima. 'Ngano'. Akili yote imetibuka. Mohamed Said ukitulia, zitendee haki hoja za Nguruvi3. Kwa kweli zinahitaji maelezo ya kina kutoka kwako.
 
Naona mzee wa watu amepigwa cha kiutu uzima. 'Ngano'. Akili yote imetibuka. Mohamed Said ukitulia, zitendee haki hoja za Nguruvi3. Kwa kweli zinahitaji maelezo ya kina kutoka kwako.

Wakutulia ni yupi?
Yule atoae kejeli au yule anaesihi kejeli ziachwe.

Mantiki inasema yule anaetuliza hamaki ndiye aliyetulia.

Ikiwa nitajibu kejeli mjadala utaharibika itakuwa ni kutukanana tu.

Tuna uzoefu huko nyuma yameandikwa humu mambo hata siwezi
kuyasema.

Humu wako watu wengi wanatusoma sasa tusiwakwaze kwa matusi.

Mwambie atulie aandike kwa adabu tutajadili Insha Allah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…