Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Katika orodha yako tayari unafifisha Matola na kumkweza Klest, malengo yakiwa ni yaleyale ya kumfifisha Nyerere na kumkweza Abdul

Yani kabisa hutambui Cecil Matola alikuwa nani ndani ya AA pale 1929 mpaka 1933????!!!!

Wala hutambui maudhui ya Sir Cameron?

Je wayatambua malengo/ideology/filosofia/dhana ya AA?

Kwanini ilibadili filosifia yake baada ya kuishika hatamu kwa Klest?
 

Sasa wewe unelewaa kusoma lakini au ili mradi upinge tu? Mohamed Said kanukuu maandiko ya Sivalon, sasa muulize Sivalon. Au huelewi kilichoandikwa?
 
Last edited by a moderator:

Kwa kiasi fulani nafatilia majadala huu bila kuchangia chochote ila kwa hili imenibidi niseme limenisikitisha na kuhuzunisha na baada ya vifo hivi pengo anasema walio kufa pale ni wahuni
 
"Hawa Pro-Chadema JF wanakesha JF kuiponda CCM lakini NECTA ikiguswa wote wanarudi CCM." Ritz haya maneno unayatoa wapi??????
 
Last edited by a moderator:
mkuu hao nimeshawapotezea, hawatumii akili katika kufikiri badala yake wanatumia vitabu vya maruhani.
 

Hapa huwezi kumsikia Mzee Mwanakijiji, Mag3, nguruvi3, WildCard, wanachagia chochote hawa walikuwa wahuni.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kiasi fulani nafatilia majadala huu bila kuchangia chochote ila kwa hili imenibidi niseme limenisikitisha na kuhuzunisha na baada ya vifo hivi pengo anasema walio kufa pale ni wahuni

Mkuu unalishwa maneno na kuyaamini kirahisi hivyo?
 
""During the struggle for independence,
he worked very closely with Muslim colleagues, both at
the grassroots and national levels. For example, of the four
delegates from Mara Region who were selected to attend
the inaugural meeting of TANU in 1954, he was the only
Christian. The other three were all Muslims.
Furthermore, during the pre-independence period,
all schools were owned and operated by Christian or
other non-Muslim Institutions. Mwalimu Nyerere
realised the dangers which lay ahead because of the
segregation imposed by this Christian-based structure
of education. Hence, as soon as he obtained the power
to do so, as head of the independent government
of Tanganyika, he promptly nationalised all nongovernment
schools to give equal opportunities to
all Tanganyikans, Christians, and Muslims alike"
 
Ni dhana yakufikirika tu yenye kupandikizwa

Mauaji ya Mwembechai ulikuwa wapi? Ulikuwa bado upo Mkendo Kati.

Picha za video kupitia ITV kwenye taarifa ya habari wameonyesha polisi akipokea maagizo anaambiwa piga risasi ya kichwa na anapiga kweli.
 
Kwa kiasi fulani nafatilia majadala huu bila kuchangia chochote ila kwa hili imenibidi niseme limenisikitisha na kuhuzunisha na baada ya vifo hivi pengo anasema walio kufa pale ni wahuni

Isalia,

Nakuongezea na hii kutoka sakata la mabucha ya nguruwe.
Ni excerpts kutoka paper niliyotoa Kenyatta University 2006
''Sheikh Kassim Juma and the Pork Riots of 1993.'':

''The District Commissioner was contemptuous at the imams and he impressed upon them that the butcheries were legally licensed and the government was duty bound to protect them from being molested by few ‘Muslim fundamentalists.'

It was this government reaction which broke the camel's back.

On Easter Friday while Christians were observing the crucifixion of Christ a group of Muslims in Magomeni, Tandale and Manzese in Kinondoni District went on rampage and demolished pork butcheries owned by Christian traders.

In an operation on that Easter Friday afternoon a group of Muslims youngsters like well trained commando squad moved swiftly through Kinondoni District demolishing pig butcheries amidst chants of Allahu Akbar.

This was the first ever physical attack by Muslims on Christian property justified by religious belief since independence.

In taking the law into their own hands Muslims had fired their first warning shot.

When news of the attack became known the government held its breath.


President Mwinyi who was in Zanzibar on official engagement unwisely and driven by the fear that the country was moving towards the dreaded clash between Muslims and Christians, issued a hurried condemnation of the attack and ordered that all those responsible for the attack should be made to feel the full weight of state power.

By that statement a simple case of few frustrated young Muslims hotheads driven to action by insensitivity of the government to genuine grievances, was blown out of proportion into a national crisis.

The government and party media including the state radio warned of the dangers of ‘Muslim fundamentalists in Tanzania.'

The Christian lobby saw in Mwinyi's statement a blank cheque to crash all Muslims it considered dangerous to their interests.

The Prime Minister and Vice-President John Malecela issued a strong statement condemning the attack. [1]

In an interview with the BBC Swahili Service, Malecela referred to the imams and other Muslims who were arrested as a result of the pork conflict as ‘hooligans whose aim is to acquire power through religion.'[2]


The Minister of Home Affairs and Deputy Prime Minister Augustine Mrema, issued a statement saying that he was convinced the act was precipitated by an outside Muslim power to destabilise the country.

The Secretary General of the CCM Horace Kolimba giving the position of the party said that those who attacked the butcheries were not Muslims but hooligans whose aim was to overthrow the government.[3]


And Muslims patiently waited...



[1] Mzalendo, 11 April, 1993.

[2] BBC Swahili Service interview of 12 April 1993.

[3] Uhuru , 15 April, 1993.
 
Mkuu ungetuwekea hiyo video tape tuone hali ya hilo eneo kiusalama kama ilimlazimu askari ku-shoot to kill(nikimaanisha hamasa ya watu zidi ya vyombo vya usalaam)

Hata hivyo ili sawa linaweza kuwa tatizo sasa ni nini suluhu yake hatuwezi tukawa tunalalamika tu,na kupandikiziana chuki za Kidini ni hatari kwa ustawi wa Taifa letu
 
Mkuu unalishwa maneno na kuyaamini kirahisi hivyo?

sio kulishwa maneno ni ukweli, vipi wale viongozi wa dini ya kiislam waliotiwa ndani kwa shindikizo la kanisa bila kupewa dhamana pia ni kulishwa maneno na bado ilunga na yeye hayuko mbali
 
Mzee NECTA kama kawaida yako...kati ya wewe au mzee wako lazima mmoja atakuwa anafanya kazi NECTA.

zomba,

Hawa Pro-Chadema JF wanakesha JF kuiponda CCM lakini NECTA ikiguswa wote wanarudi CCM.

Wanarudi CCM sababu wote ni Mfumo.........!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…