Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hapa huwezi kumsikia Mzee Mwanakijiji, Mag3, nguruvi3, WildCard, wanachagia chochote hawa walikuwa wahuni.
Ritz, mbona hayo yakitokea sisi wengine tuliyaona kwa macho! Tena nimeyaona nikiwa naishi mnwembechai kwangu, halafu nikayaona jioni hiyo mahali pengine. Nina bahati '' kwasababu maalum'' sikuwa katika Curfew pale mwembechai.

Halafu tukashudia Himid Jongo akakibidhiwa msikiti tena na serikali jambo lililoleta mtafaruku kuwa amewasaliti watu.
Tuendelee hadi tukutajie kijana Athman au inatosha!
 

Vipi yule afisa wa polisi aliokuwa anatoa maangizo anamwambia polisi piga risasi ya kichwa huy ulimsikia au ulikuwa mbali na TV.
 
Naona umeshindwa kujibu ya Ramadhan Ali na ya Nyerere kuwepo Burma na kuishi kwa wasajili wa vyama mtaa wa Stanley unaleta yasiohusu.
Nitakujibu kwa kunukuu kitabu cha John Iliffe, ambaye kwa malengo ya ajabu mchochezi Mohamed Said aliamua kupotosha aliyoyaandika kama anavyopotosha kauli za marehemu wengi tu.
Kwa nini Mohamed Said anamkana Ramadhani Ali? Nitakujibu kwa fumbo...assets za AA ziliishia kwa nani?
Kama hilo halitoshi hapa chini kuna source nyingine kutoka kitabu cha A History of Africa 1915-1995
 
Last edited by a moderator:
Huyo ana kila sifa ya ufataani, ni mtu mfupi sana asiyeweza hata kutokeza mbele ya watu, anajificha nyuma ya pazia saa 24 kufitini tu.

wewe zomba acha kumshambulia mtu... Shambulia na pinga hoja zake, usijadili mtu jadili hoja zake... Lakini naona malengo yenu sidhani kama yatatimia.
 
Last edited by a moderator:
Mag3 naona umeshindwa kutuonesha Ramadhan Ali na sasa unatuonesha FaizaFoxy. Muulize your other ID atakukumbusha kisa chake. Ulikaa kimya, fumbo hufumbiwa mjinga.
Masikini zomba...unakumbuka nilivyomwambia mchochezi Mohamed Said toka siku ya kwanza? Okay, I repeat...he can run but he wont find a place to hide. Kuhusu ID usiwe na taabu, kwa umri wangu sina haja ya kuingia humu kwa ID zaidi ya Mag3, hapo rest assured...toka nimejiunga na JF tarehe 31 May, 2008, muziki wangu uko pale pale, simung'unyi neno, kwangu koleo ni koleo tu. Nakurudisha nyuma kwa Mwandishi John Iliffe ambaye mohamed amefanya jitihada kubwa kujificha nyuma ya maandishi yake, kumbe...! zile zile ngano za toka utoto.
Je sasa unakiri kudanganyika na porojo za Mohamed Said au bado? Nakukumbusha;

Viongozi wa juu wa AA ilipoasisiwa mwaka 1929 ni hawa:

  1. Cecil Matola - President
  2. Ramadhani Ali - Vice President
  3. Kleist Sykes Plantan - Secretary
bado unabisha?
 
Last edited by a moderator:
  1. Ramadhani Ali - Vice President
Unajua nilivyomsoma FaizaFoxy katika ukosoaji wake wa Mohammed Said alisema kitu ambacho labda hatujakipata vizuri na ninaamini kina ukweli: Mohammed Said anaamini ni kina Sykes ndio waliowaleta pamoja wazee wa Dar na ndio walikuwa viongozi wao - ni hisia ya ukuu (superiority) ya Wamanyema na Wazulu dhidi ya Wazaramo.

Haiwezekani Mohammed Said katika kusimulia habari za wazee wake asimjue Ramadhani Alii au hatima yake ilikuwaje.
 
Mohamed Said;

  • hamuenzi ex-officio leader wa Waafrika wasomi Dar es Salaam, Mtanganyika Mwalimu Cecil Matola
  • hamuenzi mfanya biashara maarufu mjini aliyepewa jina King of Marini, Mtanganyika Ramadhani Ali
  • hamuenzi Msomi wa kwanza mwafrika kufuzu udaktari, Mtanganyika Dr. Vedasto Kyaruzi
  • hamuenzi msomi Mwafrika wa kwanza mwenye masters ya Uchumi, Mtanganyika Mwalimu Julius Nyerere
lakini na badala yake anawaenzi former askari wa Kijerumani, wazulu na manyema...halafu zomba na Ritz wanaitikia, hewala bwana. Utumwa pia ni ulemavu.
 
Last edited by a moderator:

Nabisha sana tena, kasome tena historia yako.

Mohamed Said alikuandika hivi:


Wewe ukaanza kwa kutamba kuwa unanukuu "A Modern History of Tanganyika kilichoandikwa na John Iliffe"


Cha kushangaza! Nukuu yako ni hii hapa, haina alipotajwa Ramadhani Ali:

Nikakuuliza hivi:


Ukaona huna jibu, ukaja na kukumbusha kuwa Cecil Matola alikuwa muasisi wa AA lakini Ramadhani Ali hukumgusia kabisa ila ukaendelea na habari za FaizaFoxy, yote katika kutafuta pakutokea.:


Nikakukumbusha tena:
Mag3 naona umeshindwa kutuonesha Ramadhan Ali na sasa unatuonesha FaizaFoxy. Muulize your other ID atakukumbusha kisa chake. Ulikaa kimya, fumbo hufumbiwa mjinga.

Hapa sasa ndio patamu, ukaja huu uzushi, kwanza ukamnukuu John Iliffe bila kutaja ni chama kipi anakiongelea, jikumbushe nukuu yako:


Kwenye post hiyohiyo, hapo hapo chini ukasema:
Kwa nini Mohamed Said anamkana Ramadhani Ali? Nitakujibu kwa fumbo...assets za AA ziliishia kwa nani?
Kama hilo halitoshi hapa chini kuna source nyingine kutoka kitabu cha A History of Africa 1915-1995

Ukanukuu hivi:

Sasa, kwanza tazama jina umelikosea huyo ni Assa Okoth na si "Asa" Okoth. Pili Tazama nilipokuwekea rangi nyekundu.

Mohamed Said kaongelea AA msome vizuri post yake niliokubandikia hapo juu, wewe ukajibu AA. Unam quote Assa Okoth anaongela TAA.

Tena kwa kukujuza ingawa wewe hujaweka, hiyo ni Chapter 3 "Decolonisation in East Africa" page # 47 na kinachoongelewa hapo na Assa Okoth ni TAA siyo AA. Usitake kuchakachuwa.

Kama alivyokueleza Maalim Mohamed Said juu huko kuwa "huenda wamechanganyikiwa" mimi nakwambia wewe huenda umechanganyikiwa. Karudi tena usome vizuri.

Sikwambii umedanganya au umeleta porojo kama ulivyosema wewe huko juu, mimi nakwambia karudie tena kusoma.
 

Ukimuuliza Mohamed kuhusu hili anakutajia NECTA. Wakati huo yeye elimu yake kaipata St Joseph, Forodhani.
 

Na nilivyomsoma mimi alikuwa anataka "attention" yao wakuone ulivyoichakachuwa Qur'an na wakukemee, na nnakumbuka vizuri akaipata hiyo "attention" na wakakuonya baada ya hapo mpaka nawe ukakiri makosa. Halafu mkashirikiana kuchakuwa nyuzi na kuyafuta yaliyowasuta.

katazame ID yako mwingine kastukiwa kuchakuwa kwenu huko juu. Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Duuh!!!!!! hizi nondo si mchezo,by the way hali ya nchi si nzuri Mohamed Said isijekuwa maneno yako humu,yakaja stand against you in a court of law,cause it seems its just a matter of time
 
Last edited by a moderator:
Nabisha sana tena, kasome tena historia yako.
Mohamed Said kaongelea AA msome vizuri post yake niliokubandikia hapo juu, wewe ukajibu AA. Unam quote Assa Okoth anaongela TAA.
Naona kuna mtu kaanza kuchanganyikiwa hapa...kaazi kweli kweli!
 

Mohamed,
How would you have reacted if you were in power? These were hooligans and what they did was criminal. It was not frustration that led to the vandalizing of christian butcheries because no one has forced muslims to eat pork. If that was the first shot we are witnessing the second one and third ones in the killing of christian leaders. It is anarchy and deserves condemnation.
 
Duuh!!!!!! hizi nondo si mchezo,by the way hali ya nchi si nzuri Mohamed Said isijekuwa maneno yako humu,yakaja stand against you in a court of law,cause it seems its just a matter of time

Mtume Yussuf alifungwa kwa kusingiziwa alivyotoka jela akawa mtu adhim katika jamii.

Hilo halimtishi Muislaam hata chembe, pata darsa dogo hapa:
 
Mtume Yussuf alifungwa kwa kusingiziwa alivyotoka jela akawa mtu adhim katika jamii.

Hilo halimtishi Muislaam hata chembe, pata darsa dogo hapa:
WEWE ni "sidekick" wa MS,sisi tunaotoka bara tusiojua kiswahili tunakuita mtu kama wewe "nyumba ndogo"
 
Naona kuna mtu kaanza kuchanganyikiwa hapa...kaazi kweli kweli!

Unajitowa kimasomaso? usichanganyikiwe mchezo? wakati tumestukia chakachuwa yako? kwi kwi kwi teh teh teh.

Umeufyata hata cha kujibu huna, unakuja na viroja badala ya hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…