Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Wazazi nyumbani nitokeapo wanasikitishwa sana na uchochezi wenu unaolisambaratisha taifa hili, wanawalaani watu wenye mitazamo finyu ya sisi waislam na wao wakristo! wanashangaa kwanini hamjawahi kuwatetea wahazabe ambao mpaka leo wanaishi maporini kama wanyama bila huduma za afya wala malazi.
Kumbe wazazi wako ni Wakirstu halafu wewe siyo Mkirstu kwa nini wasikulaani wewe mtoto wao ambao siyo Mkiristu wakimbilie kutulaani sisi.Wazazi nyumbani nitokeapo wanasikitishwa sana na uchochezi wenu unaolisambaratisha taifa hili, wanawalaani watu wenye mitazamo finyu ya sisi waislam na wao wakristo! wanashangaa kwanini hamjawahi kuwatetea wahazabe ambao mpaka leo wanaishi maporini kama wanyama bila huduma za afya wala malazi.
Kama hoja zenu zingeilenga serikali bila kuathiri watu wengine, hakika tusingekuja hapa jamvini. Lakini sivyo mambo yalivyo, hoja zenu zinalengo ya kupandikiza chuki na kuligawa taifa kwa manufaa yenu binafsi.Jasusi,
Hoja ya Wapagani huletwa kama counter weight dhidi ya Waislam.
Sisi hupuuza.
Tunajua hali ya mambo itakapotakata itakuwa ni hoja zetu na serikali
na labda na kanisa.
Kumbe wazazi wako ni Wakirstu halafu wewe siyo Mkirstu kwa nini wasikulaani wewe mtoto wao ambao siyo Mkiristu wakimbilie kutulaani sisi.Wazazi nyumbani nitokeapo wanasikitishwa sana na uchochezi wenu unaolisambaratisha taifa hili, wanawalaani watu wenye mitazamo finyu ya sisi waislam na wao wakristo! wanashangaa kwanini hamjawahi kuwatetea wahazabe ambao mpaka leo wanaishi maporini kama wanyama bila huduma za afya wala malazi.
kaka umekwama!Bingwa wa kuchakachua JF endelea kuwandaganya kina Mwanakijiji na Nguruvi3 ambao hawahoji wanameza mazima. Kajipange upya uje tena.
Kama hoja zenu zingeilenga serikali bila kuathiri watu wengine, hakika tusingekuja hapa jamvini. Lakini sivyo mambo yalivyo, hoja zenu zinalengo ya kupandikiza chuki na kuligawa taifa kwa manufaa yenu binafsi.
Hapo ndipo unapokuwa kipofu kwa ushabiki wa kijinga, ebu nitajie shule moja tu ambayo wahazabe wamejengewa na huyo fisadi wako! Wahazabe wamevamiwa na kunyang'anywa maeneo yao ya asili ya kuwinda kwa sera mbovu za uwekezaji na sasa wanakufa njaa, huyo vasco da gama wako kashindwa hata kuwapa chakula cha msaada.Nashangazwa hata na mimi leo waliozibwa midomo, walionyimwa haki zao wakisema yaliyowakuta inakuwa uchochezi?
Hivi hao wahadzabe, Nyerere aliwafanyia nini kwa miaka 24 aliyokaa madarakani?
Lakini leo Kikwete kawawekea shule kila kata.
Hapo ndipo unapokuwa kipofu kwa ushabiki wa kijinga, ebu nitajie shule moja tu ambayo wahazabe wamejengewa na huyo fisadi wako! Wahazabe wamevamiwa na kunyang'anywa maeneo yao ya asili ya kuwinda kwa sera mbovu za uwekezaji na sasa wanakufa njaa, huyo vasco da gama wako kashindwa hata kuwapa chakula cha msaada.
Kumbe wazazi wako ni Wakirstu halafu wewe siyo Mkirstu kwa nini wasikulaani wewe mtoto wao ambao siyo Mkiristu wakimbilie kutulaani sisi.
......
Kama hoja zenu zingeilenga serikali bila kuathiri watu wengine, hakika tusingekuja hapa jamvini. Lakini sivyo mambo yalivyo, hoja zenu zinalengo ya kupandikiza chuki na kuligawa taifa kwa manufaa yenu binafsi.
.......
Uwe unaandika kama mtu alieenda shule, kwanini unajumlisha hoja za watu? unaposema "mmeshindwa" unamaana gani? nani ameshindwa?Naona mpaka sasa mmeshindwa kuonesha uchochezi na dhihaka za Mohamed Said kwa wapigania uhuru. Tunachokion ni kuenziwa na Mohamed Said kwa wapigania uhuru waliosahauliwa.
Jiulize, kwa historia iliyoandikwa kivukoni kwa kuanzia na kuishia kwa Nyerere huko ni kujenga. Na Mohamed Said anapokuja kuwakumbusha waliosahauliwa ambao walimpokea Nyerere wakamuweka majumbani kwao inakuwa uchochezi?
Huoni kuwa hapo anajenga kwa kukumbusha kuwa Waislaam hawakujali kuwa Nyerere ni mkatoliki, wakamuweka nyumbani kwao, wakala nae wakalala nae, wakamjulisha kwa jamii ya Kiislaam, wakamfanyia kila jema ambalo mgeni hustahili kufanyiwa halafu kawasahau. Fikiri, jiulize, kisha jijibu.
Hapana Ritz, mama yangu kabla ya kuolewa na baba yangu alikuwa muislam, aliolewa na baba ambaye alikuwa sio muumini wa dini yeyote, sasa sijui kama alipoteza uislam wake au vipi! nijuavyo, ikitokea baba akitaka kuchinja ng'ombe(baba alikuwa mfugaji) alilazimika kumuuita mzee wa kiislam amchinje ng'ombe kwa kitoweo. Sijui alikfanya hivyo kumheshim mama au vipi sina uhakika.
Nilichokiandika hapa ni kulaani mgawanyiko unaoletwa na nyie ambao mnaligawa taifa hili katika mapande ya WAO wakristo na NINYI waislam! hii ni hatari sana. Kwamba wazazi wangu wanilaani kwa kuwa ATHEIST, haina maana kwani mtu ukisha kuwa na umri wa miaka 18, unahaki ya kujiamulia mambo yako! au wewe hulijui hilo? watoto wako wakiukana uislam utawalaani?
Uwe unaandika kama mtu alieenda shule, kwanini unajumlisha hoja za watu? unaposema "mmeshindwa" unamaana gani? nani ameshindwa?
Hapana Ritz, mama yangu kabla ya kuolewa na baba yangu alikuwa muislam, aliolewa na baba ambaye alikuwa sio muumini wa dini yeyote, sasa sijui kama alipoteza uislam wake au vipi! nijuavyo, ikitokea baba akitaka kuchinja ng'ombe(baba alikuwa mfugaji) alilazimika kumuuita mzee wa kiislam amchinje ng'ombe kwa kitoweo. Sijui alikfanya hivyo kumheshim mama au vipi sina uhakika.
Nilichokiandika hapa ni kulaani mgawanyiko unaoletwa na nyie ambao mnaligawa taifa hili katika mapande ya WAO wakristo na NINYI waislam! hii ni hatari sana. Kwamba wazazi wangu wanilaani kwa kuwa ATHEIST, haina maana kwani mtu ukisha kuwa na umri wa miaka 18, unahaki ya kujiamulia mambo yako! au wewe hulijui hilo? watoto wako wakiukana uislam utawalaani?
R,
Mabucha yale yalikuwa yanavunja sheria ndogo za mji.
......
1) Kwanza huyo mama'ko alishatoka kwenye Uislaam, Uislaam hauruhusu mwanamke wa Kiislaam kuolewa na asiye Muislaam.
2) Mafundisho hayo ya miaka 18 katika Uislaam hakuna, sisi ni watoto kwa wazazi hata tunapozeeka. Hatuamuwi cha kufanya mzazi asichokitaka labda tu iwe mzazi anataka kutuondoa katika Uislaam na mafundisho yake na hata hapo hadhi yake ya uzazi itakuwa ipo palepale na hatuwezi kuhasimiana nae na badala yake tunatakiwa tuwe wanyeyekevu na kumuonesha lililo sahihi bila hata kumgunia.
.......
Bahati sana mimi sio muislam kwa hiyo hayo hayanifungi.
......
Nani alitakiwa kuchukua hatua dhidi ya wavunjaji sheria ndogo za mji?
......
Nani alitakiwa kuchukua hatua dhidi ya wavunjaji sheria ndogo za mji?