Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
Huyu nimekaa nae jirani,sidhani kama ni wa enzi hizoZomba,
Nimewaza sana kuhusu huyu Ramadhani Ali.
Isiwe huyu Mag3 anamkusudia Ramadhani Shabani.
Manake Mag kasema mfanya biashara.
Duka la Ramadhani Shabani lilikuwa Mtaa wa Swahili
na Msimbazi kama unakwenda Morogoro Road.
Duka lake lilikuwa mkono wa kulia.
Ramadhani Shabani akikaa Upanga na aliuliwa dukani
kwake na majambazi.