zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Shule za kata zisizo na waalimu. Shule za kata ambako wanafeli 60%? Ni kitu cha kujivunia kweli? What a shame!
Kwanza jiulize hiyo 40% waliopasi ni wangapi halafu tuambie wakati wa Nyerere walikuwa wangapi wanafanya mtihani wa sekondari? usije ukakuta hiyo 40% ni wengi kuliko miaka yote ya nyerere.