Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Wazazi nyumbani nitokeapo wanasikitishwa sana na uchochezi wenu unaolisambaratisha taifa hili, wanawalaani watu wenye mitazamo finyu ya sisi waislam na wao wakristo! wanashangaa kwanini hamjawahi kuwatetea wahazabe ambao mpaka leo wanaishi maporini kama wanyama bila huduma za afya wala malazi.
G,
Hakijakufikia kisa cha Sheikh Abubakar Mwilima na Nyerere
kuhusu jamii zilizoathirika na ukoloni?
Sheikh Mwilima alilileta suala la Wahzabe, Wabarabaig akawajumuisha
pamoja na Waislam katika Kamati Kuu ya CCM.
Akamuomba mwenyekiti atupie jicho...
Waingereza wana msemo, "the rest is history."
Iko post niliweka baada ya kuulizwa swali na Bi Zubeda.
Itafute.