R,
Hapa mimi kazi yangu moja tu.
Kukuhabarisheni Waislam wanaona vipi hali ya nchi.
Hii ilikuwa hali ilivyokuwa 1993.
Ila moja sijalisema labda.
Kabla ya kuvunjwa mabucha ya nguruwe maimamu
walikwenda kwa DC Bwana Wilson Mukama kumtahadharisha
kuhusu mabucha ya nguruwe na Mukama akawatusi.
Nani alikuwa Rais na Amir Jeshi wakati ule?
Kuna wakati inamlazimu askari kutumia risasi za moto
Hapana Ritz, mama yangu kabla ya kuolewa na baba yangu alikuwa muislam, aliolewa na baba ambaye alikuwa sio muumini wa dini yeyote, sasa sijui kama alipoteza uislam wake au vipi! nijuavyo, ikitokea baba akitaka kuchinja ng'ombe(baba alikuwa mfugaji) alilazimika kumuuita mzee wa kiislam amchinje ng'ombe kwa kitoweo.
Sijui alikfanya hivyo kumheshim mama au vipi sina uhakika. Nilichokiandika hapa ni kulaani mgawanyiko unaoletwa na nyie ambao mnaligawa taifa hili katika mapande ya WAO wakristo na NINYI waislam! hii ni hatari sana.
Kwamba wazazi wangu wanilaani kwa kuwa ATHEIST, haina maana kwani mtu ukisha kuwa na umri wa miaka 18, unahaki ya kujiamulia mambo yako! au wewe hulijui hilo? watoto wako wakiukana uislam utawalaani?
Alikuwa akimleta Muislamu
wakati wa kuchinja ok! jee, kabla ya kumwingilia Mama ako alimleta Shehe
wa kumfungisha ndoa? au walifunga ndoa kwa Mkuu wa Wilaya?
Polisi walivyotumia risasi za moto kwenye maandamano ya Chadema kuuwa waandamanaji na kumua Mwangosi walikuwa sawa.
Hilo linanisikitisha sana, sijui dhamira ya muovu huyu.Mohamed Said;
lakini na badala yake anawaenzi former askari wa Kijerumani, wazulu na manyema...halafu zomba na Ritz wanaitikia, hewala bwana. Utumwa pia ni ulemavu.
- hamuenzi ex-officio leader wa Waafrika wasomi Dar es Salaam, Mtanganyika Mwalimu Cecil Matola
- hamuenzi mfanya biashara maarufu mjini aliyepewa jina King of Marini, Mtanganyika Ramadhani Ali
- hamuenzi Msomi wa kwanza mwafrika kufuzu udaktari, Mtanganyika Dr. Vedasto Kyaruzi
- hamuenzi msomi Mwafrika wa kwanza mwenye masters ya Uchumi, Mtanganyika Mwalimu Julius Nyerere
Hivi ni kwanini wakati wa Nyerere mara nyingi alikuwa akichagua Muislamu kuwa Waziri wa mambo ya ndani? lakini wizara ya Elimu ilikuwa hapewi Muislamu au Mpagani?
1) Kwanza huyo mama'ko alishatoka kwenye Uislaam, Uislaam hauruhusu mwanamke wa Kiislaam kuolewa na asiye Muislaam.
2) Mafundisho hayo ya miaka 18 katika Uislaam hakuna, sisi ni watoto kwa wazazi hata tunapozeeka. Hatuamuwi cha kufanya mzazi asichokitaka labda tu iwe mzazi anataka kutuondoa katika Uislaam na mafundisho yake na hata hapo hadhi yake ya uzazi itakuwa ipo palepale na hatuwezi kuhasimiana nae na badala yake tunatakiwa tuwe wanyeyekevu na kumuonesha lililo sahihi bila hata kumgunia.
Hivi ni kwanini wakati wa Nyerere mara nyingi alikuwa akichagua Muislamu kuwa Waziri wa mambo ya ndani? lakini wizara ya Elimu ilikuwa hapewi Muislamu au Mpagani?
Hizo ni hisia zako za kipuuzi tu zenye kufifisha medula yako
Mohamed Said eti ni kweli Hassan Diria amewahi pigwa search airport DAR es Salaam kwa tuhuma za kusafirisha unga nje??
"President Ali Hassan Mwinyi, Prof. Kighoma Malima, Fatma Said Ali, Hassan Diria and Mustapha Nyang'anyi became favourite targets of ridicule by the private tabloids"
Shekh MS,
Wilson Mukama ni yule aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM taifa?
Na Nyerere kwa kumpoteza Hanga ashtakiwe wapi? Na wale maelfu kama si mamilioni waliokuwa wanahamishwa makazi yao ya asili na kutupwa maporini, walioliwa na Simba haya, walioumwa na Nyoka haya, waliouguwa mpaka wakafa haya. Jee, huyajuwi? Ulishasema ashtakiwe wapi?
Sasa yuko kwa Hakim wamahakim.
Polisi walivyotumia risasi za moto kwenye maandamano ya Chadema kuuwa waandamanaji na kumua Mwangosi walikuwa sawa.