Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kupokea tu na kuendelea na uchochezi na chuki za kidini hakutoshi,

Bali yafanyie kazi na umuogope Mungu kama unaamini kuna Judgement day.

Inabidi wewe uoneshe ni wapi kafanya uchochezi na chuki za kidini, sisi tunaona aliyefanya hayo Nyerere.

Mpaka sasa hamjatuonesha kama kichwa cha huu uzi kinavyodai.
 
hapo kwenye RED suala sio kusikiliza kila kisemwacho ili mradi kimesemwa na muislamu la hasha bali ni kuangalia VALIDITY ya kile kisemwacho pasipo shaka.

Na kama unataka tuamini chochote kisemwacho; kwasababu kimesemwacho na muislamu basi... Basi na huyu hapa chini tumuamini na kumkubalia kile akisemacho!!?!!!????

SHEIKH ILUNGA: Wauweni Maaskofu na Mapadre - YouTube

Ni nani aliyekutaka uamini? Jee, wewe umekuja na kipi valid? njoo nacho tutakusoma, mwenye kukuamini atakuamini asiyekuamini hatokuamini.

Cha muhimu hapa, wengi tumesoma mwenzenu anaejiita Yericko Nyerere (kina Nyerere orojino wamemkana humu, hawamjui) akileta madai ambayo mpaka sasa hakuna mmoja wenu aliyethubutu kuyaonesha. Jee, hamuoni kuwa nyinyi ndio mliojazwa "ubaguzi wa ujinga" na mnakaa mnaaminishwa dikteta anaweza kuwa mtakatifu mnakubali. Hivi hamuoni? basi hata hamsikii? hakika maradhi yamo ndani ya mioyo yenu.
 
Last edited by a moderator:
Kupokea tu na kuendelea na uchochezi na chuki za kidini hakutoshi,

Bali yafanyie kazi na umuogope Mungu kama unaamini kuna Judgement day.

Onyesha wapi kafanya uchochezi.
 
Hadi hivi sasa Mohammed Said ameshindwa kuonesha kauli au tendo hata moja la Nyerere ambalo lilikuwa ni dhidi ya Waislamu au Uislamu. Amejitahidi kumfanya watu wamchukie lakini leo hii watu wanamkumbuka kwani yote aliyoyapigania kwa watu wake yanatamaniwa. Kwa muda mrefu alikuwa na uwanja huru wa kueneza simulizi lake bila kupingwa na akaamini kuwa litaendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu.
Mungu hamfichi mnafiki, hakika Mohamed amedhihirisha msemo wa wahenga kuwa sikio halizidi kichwa,

Amedanganya wacheche wengi wamemuumbua.
 
hapo kwenye RED suala sio kusikiliza kila kisemwacho ili mradi kimesemwa na muislamu la hasha bali ni kuangalia VALIDITY ya kile kisemwacho pasipo shaka.

Na kama unataka tuamini chochote kisemwacho; kwasababu kimesemwacho na muislamu basi... Basi na huyu hapa chini tumuamini na kumkubalia kile akisemacho!!?!!!????

http://m.youtube.com/watch?gl=US&hl=en&client=mv-google&v=AFY0yAGVDe0
Na hili wameanza kulitekeleza kwa vitendo.
 
quote_icon.png
By Ritz
Yericko Nyerere,

1} Mzee wako alipokuwa hai alikuelezea chochote kuhusu wazee wa kariakoo katika harakati za kutafuta uhuru.

2} Tupe ushahidi kuwa Chifu Maliale ndiyo aliyetoa pesa za kumpeleka Mwalimu Nyerere UN.

3} Kabla Mwalimu Nyerere ajafariki ameishawahi kuuwambia ni nani aliyekuwa rafiki yake kipenzi wakati yupo TANU. /QUOTE]




MAJIBU

1) Swali hilo linajibiwa na nukuu ya mwalimu Nyerere niliyoiweka kwe uzi maalumu pale juu.



2) Kama ulifuatilia vema mjadala wangu na Mohamed Said juu ya kisa hicho nilisema mwezi kesho nitakwenda Butiama nitajitahidi walau kupata picha ya msaada huo wa Chifu Marealle

3) Sikumuuliza na hakuwahi kuniambia, lakini mimi ninajua kuwa alikuwa Mzee Mshume

Kweli Mungu kamuumbua mnafika hebu msomeni Yericko Nyerere, anajifanya Mwalimu alikuwa baba yake alikuwa anamudithia habari za Mshume Kyate wakati mdogo.
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye RED suala sio kusikiliza kila kisemwacho ili mradi kimesemwa na muislamu la hasha bali ni kuangalia VALIDITY ya kile kisemwacho pasipo shaka.

Na kama unataka tuamini chochote kisemwacho; kwasababu kimesemwacho na muislamu basi... Basi na huyu hapa chini tumuamini na kumkubalia kile akisemacho!!?!!!????

SHEIKH ILUNGA: Wauweni Maaskofu na Mapadre - YouTube

R,

Nimesema mara nyingi kuwa kazi yangu
ni kufikisha yale ambayo hamkupatapo
kuyasikia.

Jambo la kuniamini ni jingine.
 
Kupokea tu na kuendelea na uchochezi na chuki za kidini hakutoshi,

Bali yafanyie kazi na umuogope Mungu kama unaamini kuna Judgement day.

Matola,

Kazi ndiyo hii nafanya.

Angalia huko post za nyuma idadi ya paper
nilizotoa katika vyuo na makala nilizoandika.

Niko JF kwenye hii mada sasa mwezi mmoja
natoa darsa.
 
Inabidi wewe uoneshe ni wapi kafanya uchochezi na chuki za kidini, sisi tunaona aliyefanya hayo Nyerere.

Mpaka sasa hamjatuonesha kama kichwa cha huu uzi kinavyodai.
Huwezi kukiona kwa sababu umepofushwa na chuki zako dhidi ya Nyerere!
 
Mohamed Said,wazee wako hawakukusimulia kuhusu huyu-

Extract Date: 16 Sept 2007[h=4]Mahjub bin Adam Mohamed[/h]In the vast, agonising mosaic of the Holocaust, Mahjub bin Adam Mohamed was simply one more piece, one of millions of the Nazis' victims lost to obscurity without a funeral or a grave.
Now bin Adam is to make history in Germany by becoming the first black person to be given a memorial in his adopted country as an individual victim of the genocide of the Third Reich. A Stolperstein - a bronze 'stumbling block' - will be erected on the ground outside the house in Berlin where he lived.
The memorial will be placed so that pedestrians have to step around it, and its aim is to stop future generations from thinking of the Holocaust in terms of anonymous, faceless numbers. Until now the markers have been almost exclusively established at Jewish homes, but bin Adam's Stolperstein will serve as a reminder of other minorities, the black people, the disabled, homosexuals, gypsies, communists, political dissenters and Jehovah's Witnesses, who were also murdered under Hitler's regime.
The Stolperstein is a project conceived by Cologne-based artist Gunter Demnig. He plans to create a total of 12,000 markers outside houses, giving the name of the person or persons who lived there and the date on which they were taken to a concentration camp. Munich is the only city to have so far refused to have the markers, saying that they would encourage anti-Semitism.
bin Adam, who was born in Tanzania, joined the then colonial German East Africa services when he was 10 years old and served with the army. He emigrated to Berlin in 1929, where he immediately got into trouble with the authorities by walking into the Foreign Ministry and demanding his outstanding service pay.
Although his request was refused, he decided to stay, working as a waiter in hotels and taking small parts in films. He had roles in more than 20 movies with stars such as Zarah Leander, Hans Albers and Willy Birgel, even after the war broke out. He also taught Swahili at the Oriental Workshop.
He married a German woman, Maria Schwander, and they had three children - Adam, Annemarie and Bodo - but his family struggled to make ends meet because of his excesses, which included numerous affairs that resulted in several illegitimate children. He was still in dispute with the authorities over money for his time in the armed forces when he was arrested in 1941, charged with the crime of 'miscegenation' - racial intermarriage - and taken to Sachsenhausen concentration camp, where he died in November 1944.
The plaque, which will stand outside his former home on Brunnenstrasse in Berlin's Mitte district, comes with the release of a book about him, Truthful Till Death, by Marianne Bechhaus-Gerst. The book focuses attention on the persecution of black people under the Third Reich, which included forced sterilisation and, ultimately, extermination.
By the start of the 20th century, Germany had extensive colonies in Africa and it is often claimed that German doctors carried out genetic experiments on East Africans. After the First World War, France occupied the German Rhineland, deploying colonial African soldiers as the occupying force. The result was hundreds of children born to German women by African soldiers who then became a target for Hitler. In Mein Kampf, he referred to them as 'Rhineland Bastards'.
By 1937, every identified mixed-race child in the Rhineland had been forcibly sterilised, often without anaesthetic. By the outbreak of war most black people had fled. The few who remained were exterminated
 
Last edited by a moderator:
Kama wee unaona vitu hivi ni sawa basi, laa ajabu nini? Kwani kwenda mwezini tusi au ndio maumbile ya mwenyezi Mungu? bila shaka mama yangu huenda na dada zangu in fact kila mwanamke amejaliwa hilo, ni sifa kubwa na ndio maana tumezaliwa au wewe mjuzi kuliko Mungu hadi unaona kitendo hicho ni aibu isozungumzwa?..Ati mfumo kristu ni sawa na mfumo wa damu, I mean jamani, sasa wewe ndio ulouunda huo mfumo kristu hadi ujue unavyofanya kazi...

Nimefuatilia huu uzi muda mrefu bila kuchangia lakini sasa naona nianze kwa Mkandara,
Mkuu nakuomba uache kujibizana na wanawake maana si utamaduni wetu wa Kitanzania hasa kwa wasta arabu kujibizana na Mama zetu au akina dada zetu! halafu Mwanamme kuongea ongea mambo ya ukeni hadharani sidhani kama ni maadili! Ndio maana binadamu tuko tofauti na Wanyama kwa kujisitiri na nguo ili kuficha viungo vya uumeni na uukeni! kama unafundisha somo la ngono shuleni hayo ni mengine lakini kuongea na kujibishana na wanawake kuhusu maumbile yao ya ndani na namna mzunguko wa damu za kike unavyofanya kazi, sidhani kama ni sawa!

Kama nimefikiri tofauti na wewe naomba msamaha na naungana na Mohamed Said tuendeleze huu mjadala kwa busara na kauli za kistaarabu!
Nashukuru!
 
Unapotoa madai unataka watu wakuamini vinginevyo usingeyatoa. Lakini wapo wanaoamini kwa sababu hawataki kuuliza kama ina make sense. Hawa ndio rahisi wewe kuwashawishi kwa simulizi zako. Na kwa kiasi kikubwa umechangia sana kuwapotosha Waislamu kwa simulizi hizi ambazo hazina msingi wa historia, zenye kupotosha ukweli, na zilizojaa geresha nyingi ya maneno.

Mkuu, Mwanakijiji,

Unatumia vigezo gani kuhalalisha kauli yako ya kuwa Waislamu wamepotoshwa na simulizi za Mohamed Said? Jee, umewapa Waislamu hao aina bora na simulizi ya kweli kuhusu historia ya nchi hii ili wasiendelee kupotoshwa na Mohamed Saidi? kama mbadala huo umeshawafikia Waislamu naomba na mimi nijulishe ili ni usome kuhalalisha kauli yako!
Vinginevyo nadhani si haki kuponda simulizi za MS,na kwa kweli utakuwa hujawatendea haki Waislamu kwa kuwaambia wamepotoshwa na MS!

Mkuu, hii ni kwa nia safi kabisa ya kutoka moyoni nakuomba thibitisha kwa vitendo na wala kauli au matamko hayatasaidia kushawishi Waislamu wasiamini kile anachosema MS!

MM,
Umewanyooshea kidole Waislamu kuwa wamepotoshwa na MS sawa!, jee, hakuna hata Mkiristo au mpagani mmoja alipotoshwa na simulizi hizo? mtandao wako ni wa kiwango gani mpaka uwe unafahamu hisia za Waislamu na Wakristo wote?

Mwisho,
Nakuomba Mkuu jaribu kuwa Mtanzania kwanza kuliko kuweka udini mbele kwa sababu nimekusoma mahali fulani ukimtaka Askofu Pengo atoe kauli au astaafu kuhusu mashambulizi dhidi ya Mapadre lakini hukutaka Shehe mkuu atoe kauli kuhusu kumwagiwa tindikali Shehe!
Sidhani kama kauli za Pengo zinaweza kutatua tatizo la nchi yetu! kwani tuna Serikali, na Mahakama ambazo bado zinafanya kazi sasa ukimtaka Kiongozi wa dini ya Katoliki atoe Tamko atatoa tamko kwa ajili na dhidi ya nani?

Natanguliza shukrani na kuwaomba nyote tuweke Uzalendo mbele badala ya Udini?
 
Shule za kata zisizo na
waalimu. Shule za kata ambako wanafeli 60%? Ni kitu cha kujivunia kweli?
What a shame!

Mkuu ivi unajua matokeo siyo mabaya kwa shule za kata pekee? Jitegemee shule ya Jeshi kati ya wanafunzi 618 waliofanya mtihani 443 wamepata 0, hivyo tusiyatizame matokeo kijuujuu
 
Nguruvi3,

Nadhani hilo neno ''usikimbie'' ni pambo katika kuzungumza kwako.
Hukusudii kuniambia mimi kuwa nakimbia.

Nani hapa wakunikimbiza mimi?
Kwa hakika simuoni.

Hayo majina yote unayonipa ni ya watangulizi wangu lakini unaonekana
umeyapenda sana.

Ingawa inaweza kuwa ni ''sacarsm.''

Nimetaka tukunje jamvi nilipoona matusi.

Mimi siogopi hiyo nembo ya ''ugaidi.''
Ningeliogopa nisingetoa ofa ya uzi makhsusi tujadili.

Ngoja nikupe kitu.

Baada ya kukamatwa uwanja wa ndege kumbe pasi yangu ilikuwa imewekewa
alama maalum ya utambulisho.

Popote nitakapoitoa hiyo pasi maofisa wa uhamiaji wanaona ile alama
katika
computer zao na wanajua mimi ni mtu wa ''hadhi'' gani.

Baada ya kukamatwa nilisafiri tena na nilipotoa pasi yangu kwa ofisa wa
uhamiaji
''he was a bit fascinated with what he saw he had to call a colleague to
share
what he had just seen.''

Sasa wakawa wananitazama huku wanacheka.

Nilipowauliza nini kinawachekesha katika pasi yangu wakasema hakuna kitu

wakaigonga nikaendelea na safari.

Hapo ndipo nikajua pasi yangu imewekewa kitu makhususi cha
kunitambulisha.

Niko Schipol Amsterdam nishafanya secuity check zote nangoja kuingia
katika ndege
inakwenda Detroit Marekani niko katika mstari.

Nikachopolewa kutoka kwenye mstari mimi peke yangu nikawekwa pembeni kwa
mahojiano
zaidi.

Huyo askari ana mabastola na kila kitu na nywele zake ni ''crew cut''
nikajua huyu US Army
Marine Corp.

Kuingia Marekani mambo yakawa ni hayo hayo tena na zaidi.
Pasi ilipelekwa mwenye ofisi nyingine kwa uchunguzi zaidi na hii baada
ya mahojiano makali...

Nimesimama mstarini kama nusu saa nasubiri.
Nikahofu huenda nikarudishwa Tanzania.

Niko New York nimetia kadi yangu kwenye ATM ya Chase Bank.
Imekataa kusoma chochote...

Kumbe yote hiyo ni security check kutokana na historia yangu...
Siku ya pili ndiyo kadi ikasoma na kutoa fedha.

Walikuwa tayari nishakuwa-cleared...

To me I find all this very amusing.
Wala sitokwi povu na haya yote ila yanazidi kuremba shajara (diary)
yangu.

Jana nilitokwa povu kwa kuwa BD alikuwa anacheza shere na marehemu.
Sikuwezi kustahamili upuuzi kama ule.

Na nikasema huo ni upuuzi.

Kwa hiyo hayo mambo ya ugaidi nimeyazoea na ninajua kikitokea nini
nifanye nini.

Waamerika ni rafiki zangu.
Humtishi mtu kwa kumsakazia rafiki yake.

BD kaona yeye atanitisha kunambia kuwa natafutwa na CIA/FBI Usalama wa
Taifa.
Ndipo nikamjibu wakatafutwa sie mie mimi maarufu sitafutwi.

Najulikana sana.

Hata jiwe linajua nyumba yangu ilipo.

Mkuu MS, naomba nikiri wazi una kipaji cha kuandika najua Yericko
Nyerere na team, wako facinated by ur writting skills, mtu ambaye naona
mnauwezo unaofanana ni Rutashubanyuma, Mzee asante kwa Darsa
 
Nimefuatilia huu uzi muda mrefu bila kuchangia lakini sasa naona nianze kwa Mkandara,
Mkuu nakuomba uache kujibizana na wanawake maana si utamaduni wetu wa Kitanzania hasa kwa wasta arabu kujibizana na Mama zetu au akina dada zetu! halafu Mwanamme kuongea ongea mambo ya ukeni hadharani sidhani kama ni maadili! Ndio maana binadamu tuko tofauti na Wanyama kwa kujisitiri na nguo ili kuficha viungo vya uumeni na uukeni! kama unafundisha somo la ngono shuleni hayo ni mengine lakini kuongea na kujibishana na wanawake kuhusu maumbile yao ya ndani na namna mzunguko wa damu za kike unavyofanya kazi, sidhani kama ni sawa!

Kama nimefikiri tofauti na wewe naomba msamaha na naungana na Mohamed Said tuendeleze huu mjadala kwa busara na kauli za kistaarabu!
Nashukuru!
Hivi mwanamke anayeandika maneno kama haya hapa chini anastahili heshima gani? Mbona mnakuwa wanafiki hivi?
Alikuwa akimleta Muislamu wakati wa kuchinja ok! jee, kabla ya kumwingilia Mama ako alimleta Shehe wa kumfungisha ndoa? au walifunga ndoa kwa Mkuu wa Wilaya?
 
Mohamed, Matokeo ya kidato cha nne yapo hapa.
Tumeyapitia na tunakuomba uyapitie ili tuwe katika page moja.

Mnakasha kuhusu NECTA, shule, majina, vigango vya kanisa, mfumokristo, mfumosawa n.k. upo karibu kuanza.
 
Mkuu MS, naomba nikiri wazi una kipaji cha kuandika najua Yericko
Nyerere na team, wako facinated by ur writting skills, mtu ambaye naona
mnauwezo unaofanana ni Rutashubanyuma, Mzee asante kwa Darsa

UPIU,

Ahsante ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom