Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

GOD SENT
mwinyi_nyerere_mama_maria_butiama.jpg
Jasusi

Hapa vipi, kisha anza kubadilika rangi? ilikuwa tayari?
 
Hivi huu mnaouita mfumo kristu sijui, ndiyo unamfanya mtoto wa kiislamu ajibu sivyo ndivyo kwenye mtihani?????

Unamuuliza mwanafunzi swali, Makao makuu ya Tanzania ni mkoa gani? Mwingine anajibu MBAGALA, Mingine DODOMA. Sasa mfumo kristu ndo umemfundisha huyu mtoto makoa makuu ya tz ni MBAGALA? Acheni kubwabwaja, wasomesheni watoto zenu. Huu ujinga wa kujifariji kwa kuonewa na mfumokristu hautawafikisha popote. Unapohisi njaa hupigi kelele, unatafuta chakula unakula.

Inabidi uende ndani zaidi ya hapo ulipoishia. Huyo mtoto na hiyo shule iko wapi? ina waalimu wangapi na wepi? ukitujibu hayo tutaingia ndani zaidi.
 
N,

Tunaweza tukajadili lakini si kwa namna hii.
Mimi hupenda adabu na utulivu.

Mwambie Mag ajitulize aandike vyema Insha Allah
mie nipo.
Mag3 kaandika vema, kasema Rais wa kwanza wa TAA ni Cecil Matola, mwalimu na msomi.
Kasema makamu alikuwa Ramadhani Ali Mzaramo na katibu ni K.Sykes mzulu.
Kaendelea kusema asset za AA ziliishia kwa familia tajwa.
Tena huko nyuma kasema na nyumba ilitolewa na D.Cameron na halijakanushwa.

Upande wa pili unasemaje? Matola hakuwepo, hakuwa mwalim au Rais wa TAA?
Ramadhani Ali hakuwepo?

Tuweke historia vema mi sijaona wapi Mag3 kakosea nini kueleza anachokijua, je, wengine na hasa Mohamed mna hoja gani kwa upande wenu?
 
Kama wee unaona vitu hivi ni sawa basi, laa ajabu nini? Kwani kwenda mwezini tusi au ndio maumbile ya mwenyezi Mungu? bila shaka mama yangu huenda na dada zangu in fact kila mwanamke amejaliwa hilo, ni sifa kubwa na ndio maana tumezaliwa au wewe mjuzi kuliko Mungu hadi unaona kitendo hicho ni aibu isozungumzwa?..Ati mfumo kristu ni sawa na mfumo wa damu, I mean jamani, sasa wewe ndio ulouunda huo mfumo kristu hadi ujue unavyofanya kazi...
Mkuu Mkandara hichi ndicho tunachosema kila siku. Ukimuuliza mfumokristo ni dude gani atakwambia vitu vya ajabu kweli kweli ili mradi tu kameza .
Mohamed Said katuharibia kizazi mzee huyu. Mohamed, Mo, Muddy!
 
Hadi hivi sasa Mohammed Said ameshindwa kuonesha kauli au tendo hata moja la Nyerere ambalo lilikuwa ni dhidi ya Waislamu au Uislamu. Amejitahidi kumfanya watu wamchukie lakini leo hii watu wanamkumbuka kwani yote aliyoyapigania kwa watu wake yanatamaniwa. Kwa muda mrefu alikuwa na uwanja huru wa kueneza simulizi lake bila kupingwa na akaamini kuwa litaendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu.
NYERERE AMHUJUMU KIONGOZI WA WAISLAMU
...............InspektaJenerali wa Polisi, Hamza Aziz, mdogo wake Dossa alipopokea amri kutoka kwa rais kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani kuwa amkamate Sheikh Hassan bin Amir,hakuweza kuamini masikio yake. Alitaka afahamishwe sababu za kutaka kukamatwa Mufti ­ kiongozi wa juu kabisa katika safu ya uongozi wa Waislam katikaTanzania.
Alipoambiwa kuwa sababu ni kuwa anaihujumu serikali, Hamza Aziz alimwambia Waziri wa Mambo yaNdani kuwa huenda kuna makosa katika amri ile. Alimfahamisha waziri kuwa yeye binafsi alikuwa anamfahamu mzee yule toka yeye Hamza alipokuwa mtoto mdogo.Akimfahamu Sheikh Hassan bin Amir kama mwalimu na mtu aliyeshiriki katika ukombozi wa Tanganyika. Msimamo wake heshima na hadhi yake mbele ya Waislamu ipo juu kabisa. Inspekta Jenerali wa Polisi alimwambia waziri kuwa haitawezekana kwake yeye kutii amri ile kwa sababu yeye haamini kuwa tuhuma zile dhidi ya Mufti Sheikh Hassan bin Amir ni za kweli. Nyerere alifahamishwa na Waziri wa Mambo ya Ndani kuwa Inspekta Generali wa Polisi, Hamza Aziza mekataa kutii amri yake ya kumkamata Mufti. Nyerere alitoa amri kwa Usalama waTaifa kumkamata Sheikh Hassan bin Amir. Hii ilikuwa ni kinyume na utaratibu kwa kuwa Usalama wa Taifa hawana mamlaka ya kukamata watu.
Usiku wa manane siku hiyo hiyo Sheikh Hassan bin Amir alikamatwa na makachero wa Usalama waTaifa akapelekwa uwanja wa ndege na kurudishwa Zanzibar.

Hebu eleza ni kwa vipi tendo hili la kukamatwa mufti wa waislamu lilikuwa ni kwa maslahi ya uislamu?.
Kilicho wazi ni kuwa wewe na wenzako mmeshindwa kuonesha wapi ulipo uchochezi wa Mohammed Said.
Najua hutajibu na Si muhimu kwangu ujibu..Muhimu wasomaji wajue kuwa wewe si mtetezi wa hoja bali ni mshindani tu na mgumu kuelewa na kwamba katika huu mjadala umeshindwa kupumua kisawa sawa.Umebaki unahema tu na kurusha mateke.
Kwa muda mrefu hapa JF ukiwa mmoja ya waanzilishi ulikuwa na uwanja mpana wa kujidai na kujaza post lakini kumbe michango yako ni bure kabisa.Huwa unaandika ili ubishane tu.
Unaposema Amejitahidi kumfanya watu wamchukie lakini leo hii watu wanamkumbuka kwani yote aliyoyapigania kwa watu wake yanatamaniwa. Huu ni aina ya kujidanganya kwako na kuleta maneno yasiyokuwa na maana.Hapa wewe umeshindwa na hoja wanaomkosoa Nyerere ni wengi.Ukiingia mitaani hali ni zaidi halafu wewe ndio kwanza unaleta maneno ya kipuuzi.
 
N,

Neno hilo ukilileta katika Kiswahili linakuwa tusi.

Unajua Kiswahili ni lugha ya wastaarabu na maneno
yake yanakwenda hivyo hivyo
.

Napenda uzingatie kuwa lugha inakwenda na utamaduni
wa jamii wanayoizungumza lugha hii.

Ndiyo maana Waswahili hatusemi, ''Kuja hapa.''
Tunasema, ''Tafadhali njoo.''

Halikadhalika kuna maneno hatutumii kwa kuchelea
kuudhi.
Mohamed Saidi ni mzee wa ajabu na mnafiki wa kutisha! iweje neno "upuuzi" alilolitumia Nguruvi3 likupe shida sana mpaka ulete hii ngonjera yako, wakati maneno haya ya binti yako zubeda uyaone ni muafaka katika lugha hiyo hiyo ya kiswahili? au kiswahili anachotumia Nguruvi3 ni cha bara na kile cha zubeda ni cha wazee wako wa Gerezani na Tandamti?
Alikuwa akimleta Muislamu wakati wa kuchinja ok! jee, kabla ya kumwingilia Mama ako alimleta Shehe wa kumfungisha ndoa? au walifunga ndoa kwa Mkuu wa Wilaya?
 
Mohamed Saidi ni mzee wa ajabu na mnafiki wa kutisha! iweje neno "upuuzi" alilolitumia Nguruvi3 likupe shida sana mpaka ulete hii ngonjera yako, wakati maneno haya ya binti yako zubeda uyaone ni muafaka katika lugha hiyo hiyo ya kiswahili? au kiswahili anachotumia Nguruvi3 ni cha bara na kile cha zubeda ni cha wazee wako wa Gerezani na Tandamti?
hao jamaa mkuu wameshaishiwa hoja sasa wanaangalia sarufi za maneno.
 
NYERERE AMHUJUMU KIONGOZI WA WAISLAMU
...............InspektaJenerali wa Polisi, Hamza Aziz, mdogo wake Dossa alipopokea amri kutoka kwa rais kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani kuwa amkamate Sheikh Hassan bin Amir,hakuweza kuamini masikio yake. Alitaka afahamishwe sababu za kutaka kukamatwa Mufti - kiongozi wa juu kabisa katika safu ya uongozi wa Waislam katikaTanzania.
Alipoambiwa kuwa sababu ni kuwa anaihujumu serikali, Hamza Aziz alimwambia Waziri wa Mambo yaNdani kuwa huenda kuna makosa katika amri ile. Alimfahamisha waziri kuwa yeye binafsi alikuwa anamfahamu mzee yule toka yeye Hamza alipokuwa mtoto mdogo.Akimfahamu Sheikh Hassan bin Amir kama mwalimu na mtu aliyeshiriki katika ukombozi wa Tanganyika. Msimamo wake heshima na hadhi yake mbele ya Waislamu ipo juu kabisa. Inspekta Jenerali wa Polisi alimwambia waziri kuwa haitawezekana kwake yeye kutii amri ile kwa sababu yeye haamini kuwa tuhuma zile dhidi ya Mufti Sheikh Hassan bin Amir ni za kweli. Nyerere alifahamishwa na Waziri wa Mambo ya Ndani kuwa Inspekta Generali wa Polisi, Hamza Aziza mekataa kutii amri yake ya kumkamata Mufti. Nyerere alitoa amri kwa Usalama waTaifa kumkamata Sheikh Hassan bin Amir. Hii ilikuwa ni kinyume na utaratibu kwa kuwa Usalama wa Taifa hawana mamlaka ya kukamata watu.
Usiku wa manane siku hiyo hiyo Sheikh Hassan bin Amir alikamatwa na makachero wa Usalama waTaifa akapelekwa uwanja wa ndege na kurudishwa Zanzibar.

Kweli kabisa akili yako inakutuma kuamini simulizi hili? Nikikuuliza swali moja tu kwenye hili hutajibu...
 
MM,

Huna haja ya kuniamini.

Mara nyingi nimesema hapa mie nakuelezeni
mambo haya kama tunavyoyajua Waislam.

Unapotoa madai unataka watu wakuamini vinginevyo usingeyatoa. Lakini wapo wanaoamini kwa sababu hawataki kuuliza kama ina make sense. Hawa ndio rahisi wewe kuwashawishi kwa simulizi zako. Na kwa kiasi kikubwa umechangia sana kuwapotosha Waislamu kwa simulizi hizi ambazo hazina msingi wa historia, zenye kupotosha ukweli, na zilizojaa geresha nyingi ya maneno.
 
Mohamed Saidi ni mzee wa ajabu na mnafiki wa kutisha! iweje neno "upuuzi" alilolitumia Nguruvi3 likupe shida sana mpaka ulete hii ngonjera yako, wakati maneno haya ya binti yako zubeda uyaone ni muafaka katika lugha hiyo hiyo ya kiswahili? au kiswahili anachotumia Nguruvi3 ni cha bara na kile cha zubeda ni cha wazee wako wa Gerezani na Tandamti?

G,

Inawezekana post yangu ya kujaribu kusuluhisha
imekupita.

Nimesema lugha hizi hazipendezi.
 
Unapotoa madai unataka watu wakuamini vinginevyo usingeyatoa. Lakini wapo wanaoamini kwa sababu hawataki kuuliza kama ina make sense. Hawa ndio rahisi wewe kuwashawishi kwa simulizi zako. Na kwa kiasi kikubwa umechangia sana kuwapotosha Waislamu kwa simulizi hizi ambazo hazina msingi wa historia, zenye kupotosha ukweli, na zilizojaa geresha nyingi ya maneno.

MM,

Wewe ni mtu mmoja.
Nashukuru nazungumza na wewe.

Lakini mimi fikra na mawazo yangu
nimeelekeza kwa hawa 60,000+
wanaotusikiliza.

Wengi hawakupata kusikia haya
ninayoeleza humu JF.

Hawa ndiyo walengwa wangu na
wala nia yangu si kuwa waniamini.

Lengo langu wasikie Waislam tunasemaje.
 
MM,

Wewe ni mtu mmoja.
Nashukuru nazungumza na wewe.

Lakini mimi fikra na mawazo yangu
nimeelekeza kwa hawa 60,000+
wanaotusikiliza.

Wengi hawakupata kusikia haya
ninayoeleza humu JF.

Hawa ndiyo walengwa wangu na
wala nia yangu si kuwa waniamini.

Lengo langu wasikie Waislam tunasemaje.

hapo kwenye RED suala sio kusikiliza kila kisemwacho ili mradi kimesemwa na muislamu la hasha bali ni kuangalia VALIDITY ya kile kisemwacho pasipo shaka.

Na kama unataka tuamini chochote kisemwacho; kwasababu kimesemwacho na muislamu basi... Basi na huyu hapa chini tumuamini na kumkubalia kile akisemacho!!?!!!????

http://m.youtube.com/watch?gl=US&hl=en&client=mv-google&v=AFY0yAGVDe0
 
hapo kwenye RED suala sio kusikiliza kila kisemwacho ili mradi kimesemwa na muislamu la hasha bali ni kuangalia VALIDITY ya kile kisemwacho pasipo shaka.

Na kama unataka tuamini chochote kisemwacho; kwasababu kimesemwacho na muislamu basi... Basi na huyu hapa chini tumuamini na kumkubalia kile akisemacho!!?!!!????

SHEIKH ILUNGA: Wauweni Maaskofu na Mapadre - YouTube

Kama ni mtazamo wako,una haki hiyo..
Ila wenye kuuona uhalisia wameuona na kuuthamini..
 
Back
Top Bottom