Kupokea tu na kuendelea na uchochezi na chuki za kidini hakutoshi,
Bali yafanyie kazi na umuogope Mungu kama unaamini kuna Judgement day.
hapo kwenye RED suala sio kusikiliza kila kisemwacho ili mradi kimesemwa na muislamu la hasha bali ni kuangalia VALIDITY ya kile kisemwacho pasipo shaka.
Na kama unataka tuamini chochote kisemwacho; kwasababu kimesemwacho na muislamu basi... Basi na huyu hapa chini tumuamini na kumkubalia kile akisemacho!!?!!!????
SHEIKH ILUNGA: Wauweni Maaskofu na Mapadre - YouTube
Kupokea tu na kuendelea na uchochezi na chuki za kidini hakutoshi,
Bali yafanyie kazi na umuogope Mungu kama unaamini kuna Judgement day.
Mungu hamfichi mnafiki, hakika Mohamed amedhihirisha msemo wa wahenga kuwa sikio halizidi kichwa,Hadi hivi sasa Mohammed Said ameshindwa kuonesha kauli au tendo hata moja la Nyerere ambalo lilikuwa ni dhidi ya Waislamu au Uislamu. Amejitahidi kumfanya watu wamchukie lakini leo hii watu wanamkumbuka kwani yote aliyoyapigania kwa watu wake yanatamaniwa. Kwa muda mrefu alikuwa na uwanja huru wa kueneza simulizi lake bila kupingwa na akaamini kuwa litaendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu.
Na hili wameanza kulitekeleza kwa vitendo.hapo kwenye RED suala sio kusikiliza kila kisemwacho ili mradi kimesemwa na muislamu la hasha bali ni kuangalia VALIDITY ya kile kisemwacho pasipo shaka.
Na kama unataka tuamini chochote kisemwacho; kwasababu kimesemwacho na muislamu basi... Basi na huyu hapa chini tumuamini na kumkubalia kile akisemacho!!?!!!????
http://m.youtube.com/watch?gl=US&hl=en&client=mv-google&v=AFY0yAGVDe0
By Ritz
Yericko Nyerere,
1} Mzee wako alipokuwa hai alikuelezea chochote kuhusu wazee wa kariakoo katika harakati za kutafuta uhuru.
2} Tupe ushahidi kuwa Chifu Maliale ndiyo aliyetoa pesa za kumpeleka Mwalimu Nyerere UN.
3} Kabla Mwalimu Nyerere ajafariki ameishawahi kuuwambia ni nani aliyekuwa rafiki yake kipenzi wakati yupo TANU. /QUOTE]
MAJIBU
1) Swali hilo linajibiwa na nukuu ya mwalimu Nyerere niliyoiweka kwe uzi maalumu pale juu.
2) Kama ulifuatilia vema mjadala wangu na Mohamed Said juu ya kisa hicho nilisema mwezi kesho nitakwenda Butiama nitajitahidi walau kupata picha ya msaada huo wa Chifu Marealle
3) Sikumuuliza na hakuwahi kuniambia, lakini mimi ninajua kuwa alikuwa Mzee Mshume
hapo kwenye RED suala sio kusikiliza kila kisemwacho ili mradi kimesemwa na muislamu la hasha bali ni kuangalia VALIDITY ya kile kisemwacho pasipo shaka.
Na kama unataka tuamini chochote kisemwacho; kwasababu kimesemwacho na muislamu basi... Basi na huyu hapa chini tumuamini na kumkubalia kile akisemacho!!?!!!????
SHEIKH ILUNGA: Wauweni Maaskofu na Mapadre - YouTube
Kupokea tu na kuendelea na uchochezi na chuki za kidini hakutoshi,
Bali yafanyie kazi na umuogope Mungu kama unaamini kuna Judgement day.
Huwezi kukiona kwa sababu umepofushwa na chuki zako dhidi ya Nyerere!Inabidi wewe uoneshe ni wapi kafanya uchochezi na chuki za kidini, sisi tunaona aliyefanya hayo Nyerere.
Mpaka sasa hamjatuonesha kama kichwa cha huu uzi kinavyodai.
laanatull
Kama wee unaona vitu hivi ni sawa basi, laa ajabu nini? Kwani kwenda mwezini tusi au ndio maumbile ya mwenyezi Mungu? bila shaka mama yangu huenda na dada zangu in fact kila mwanamke amejaliwa hilo, ni sifa kubwa na ndio maana tumezaliwa au wewe mjuzi kuliko Mungu hadi unaona kitendo hicho ni aibu isozungumzwa?..Ati mfumo kristu ni sawa na mfumo wa damu, I mean jamani, sasa wewe ndio ulouunda huo mfumo kristu hadi ujue unavyofanya kazi...
Unapotoa madai unataka watu wakuamini vinginevyo usingeyatoa. Lakini wapo wanaoamini kwa sababu hawataki kuuliza kama ina make sense. Hawa ndio rahisi wewe kuwashawishi kwa simulizi zako. Na kwa kiasi kikubwa umechangia sana kuwapotosha Waislamu kwa simulizi hizi ambazo hazina msingi wa historia, zenye kupotosha ukweli, na zilizojaa geresha nyingi ya maneno.
Shule za kata zisizo na
waalimu. Shule za kata ambako wanafeli 60%? Ni kitu cha kujivunia kweli?
What a shame!
Nguruvi3,
Nadhani hilo neno ''usikimbie'' ni pambo katika kuzungumza kwako.
Hukusudii kuniambia mimi kuwa nakimbia.
Nani hapa wakunikimbiza mimi?
Kwa hakika simuoni.
Hayo majina yote unayonipa ni ya watangulizi wangu lakini unaonekana
umeyapenda sana.
Ingawa inaweza kuwa ni ''sacarsm.''
Nimetaka tukunje jamvi nilipoona matusi.
Mimi siogopi hiyo nembo ya ''ugaidi.''
Ningeliogopa nisingetoa ofa ya uzi makhsusi tujadili.
Ngoja nikupe kitu.
Baada ya kukamatwa uwanja wa ndege kumbe pasi yangu ilikuwa imewekewa
alama maalum ya utambulisho.
Popote nitakapoitoa hiyo pasi maofisa wa uhamiaji wanaona ile alama
katika
computer zao na wanajua mimi ni mtu wa ''hadhi'' gani.
Baada ya kukamatwa nilisafiri tena na nilipotoa pasi yangu kwa ofisa wa
uhamiaji
''he was a bit fascinated with what he saw he had to call a colleague to
share
what he had just seen.''
Sasa wakawa wananitazama huku wanacheka.
Nilipowauliza nini kinawachekesha katika pasi yangu wakasema hakuna kitu
wakaigonga nikaendelea na safari.
Hapo ndipo nikajua pasi yangu imewekewa kitu makhususi cha
kunitambulisha.
Niko Schipol Amsterdam nishafanya secuity check zote nangoja kuingia
katika ndege
inakwenda Detroit Marekani niko katika mstari.
Nikachopolewa kutoka kwenye mstari mimi peke yangu nikawekwa pembeni kwa
mahojiano
zaidi.
Huyo askari ana mabastola na kila kitu na nywele zake ni ''crew cut''
nikajua huyu US Army
Marine Corp.
Kuingia Marekani mambo yakawa ni hayo hayo tena na zaidi.
Pasi ilipelekwa mwenye ofisi nyingine kwa uchunguzi zaidi na hii baada
ya mahojiano makali...
Nimesimama mstarini kama nusu saa nasubiri.
Nikahofu huenda nikarudishwa Tanzania.
Niko New York nimetia kadi yangu kwenye ATM ya Chase Bank.
Imekataa kusoma chochote...
Kumbe yote hiyo ni security check kutokana na historia yangu...
Siku ya pili ndiyo kadi ikasoma na kutoa fedha.
Walikuwa tayari nishakuwa-cleared...
To me I find all this very amusing.
Wala sitokwi povu na haya yote ila yanazidi kuremba shajara (diary)
yangu.
Jana nilitokwa povu kwa kuwa BD alikuwa anacheza shere na marehemu.
Sikuwezi kustahamili upuuzi kama ule.
Na nikasema huo ni upuuzi.
Kwa hiyo hayo mambo ya ugaidi nimeyazoea na ninajua kikitokea nini
nifanye nini.
Waamerika ni rafiki zangu.
Humtishi mtu kwa kumsakazia rafiki yake.
BD kaona yeye atanitisha kunambia kuwa natafutwa na CIA/FBI Usalama wa
Taifa.
Ndipo nikamjibu wakatafutwa sie mie mimi maarufu sitafutwi.
Najulikana sana.
Hata jiwe linajua nyumba yangu ilipo.
Hivi mwanamke anayeandika maneno kama haya hapa chini anastahili heshima gani? Mbona mnakuwa wanafiki hivi?Nimefuatilia huu uzi muda mrefu bila kuchangia lakini sasa naona nianze kwa Mkandara,
Mkuu nakuomba uache kujibizana na wanawake maana si utamaduni wetu wa Kitanzania hasa kwa wasta arabu kujibizana na Mama zetu au akina dada zetu! halafu Mwanamme kuongea ongea mambo ya ukeni hadharani sidhani kama ni maadili! Ndio maana binadamu tuko tofauti na Wanyama kwa kujisitiri na nguo ili kuficha viungo vya uumeni na uukeni! kama unafundisha somo la ngono shuleni hayo ni mengine lakini kuongea na kujibishana na wanawake kuhusu maumbile yao ya ndani na namna mzunguko wa damu za kike unavyofanya kazi, sidhani kama ni sawa!
Kama nimefikiri tofauti na wewe naomba msamaha na naungana na Mohamed Said tuendeleze huu mjadala kwa busara na kauli za kistaarabu!
Nashukuru!
Alikuwa akimleta Muislamu wakati wa kuchinja ok! jee, kabla ya kumwingilia Mama ako alimleta Shehe wa kumfungisha ndoa? au walifunga ndoa kwa Mkuu wa Wilaya?
Mkuu MS, naomba nikiri wazi una kipaji cha kuandika najua Yericko
Nyerere na team, wako facinated by ur writting skills, mtu ambaye naona
mnauwezo unaofanana ni Rutashubanyuma, Mzee asante kwa Darsa