Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ndugu zanguni basi hili jambo tulimalize tusonge mbele
na mjadala wetu.

Tusameheane.
Mzee Mohamed Saidi, mbona Tanzania Kwanza alipomshambulia Mkandara hukusema kitu? Tunapomkumbusha jamaa yako huyo kwamba huyo mwanamke hastahili heshima yoyote unakuja na ushauri! Kemea kwanza tabia za wafuasi wako kwanza.
 
Son...

Ahsante kwa kipande hicho hapo juu.

Nimesoma na kwa kweli hii habari sikupata kuijua kabla.

Mwaka 2011 nilikuwa Ujerumani Berlin na Humburg na
nilikuwa na wasaa wa kuonana na kuzungumza na wanahistoria
wengi lakini haya sikukumbananayo.

Nilikuwa na ofisi Zentrum Moderner Orient (ZMO) pale Berlin taasisi
maarufu katika mambo ya Orient na Ujerumani nikifanya utafiti na
kuandika lakini haya yalinipita.

Nakushukuru kwa hidaya hii.

Ikiwa una mengine nitafurahi ukiyaweka hapa jamvini.
 
Mzee Mohamed Saidi, mbona Tanzania Kwanza alipomshambulia Mkandara hukusema kitu? Tunapomkumbusha jamaa yako huyo kwamba huyo mwanamke hastahili heshima yoyote unakuja na ushauri! Kemea kwanza tabia za wafuasi wako kwanza.

G,

Hapana haja ya kuendeleza hili nimekujibu huko nyuma
ikiwa hujaridhika si neno.

Hilo mosi.
Pili sina ''mfuasi'' hapa JF.

Sote ni wachangiaji kama walivyo wachangiaji wengine.
Kuunga mkono hoja hakumfanyi mtu kuwa ''mfuasi,''
 
Matola,

Kazi ndiyo hii nafanya.

Angalia huko post za nyuma idadi ya paper
nilizotoa katika vyuo na makala nilizoandika.

Niko JF kwenye hii mada sasa mwezi mmoja
natoa darsa.

Mkuu ni darsa gani ambalo watu hawajibiwi maswali?unataka tukusikilize tu!
 
Mohamed Said,

Nakumbushia hawa watu Listowel Judith na John Iliffe, naongeza na Bergen Jan Pvan.

Nipe habari zao hawa watu.
 
Last edited by a moderator:

Son...

Nimeona nami nikupe zawadi kutoka ''Under the Shadow of British Colonialism.'':

It was at the Central Hotel Nairobi that I came to meet Jomo Kenyatta, Bildad Kaggia, Tom Mboya, W.W. Awori and other Kenyan nationalists.

I used to talk about my father and what he was doing in Tanganyika to further many issues of African interests.

Mboya was a keen listener and he used to urge me to return back home and help in the struggle.

I also received many letters from Abdulwahid askingme to come home.

He told me in his letters that the struggle against the British had begun.

I knew I had to get back home and join the struggle or I would miss an important opportunity to play a role in the history of my country.

Following persistent letters from my father asking me to come home I had to leave Kenya and return home to join in the struggle.

When I left Nairobi to return home in 1948 I was 21 years old.

It would take us six years to found TANU the party of Tanganyika's independence...
 
Hivi mwanamke anayeandika maneno kama haya hapa chini anastahili heshima gani? Mbona mnakuwa wanafiki hivi?

Swali la kawaida hilo, una tatizo lipi hapo? alitaka kujuwa kama nyama ilichinjwa kihalali, jee, na huyo mwana ambae mama'ke alichinjiwa nyama kihalali na yeye alipatikana kihalali?
 
Mkuu ni darsa gani ambalo watu hawajibiwi maswali?unataka tukusikilize tu!

Umeuliza swali kuhusu mauaji ya Mwembechai umejibiwa jibu ulitaki unataka uonyeshwe video.
 
Kweli Mungu kamuumbua mnafika hebu msomeni Yericko Nyerere, anajifanya Mwalimu alikuwa baba yake alikuwa anamudithia habari za Mshume Kyate wakati mdogo.
Hilo kwangu si sehemu ya mnakasha huu, ikiwa waona ni muhimu andika barua ya maombi kujs kwangu/nyumbani kwangu upate ufafanuzi kama nitaona una hoja ya msingi juu ya hilo.
 
Last edited by a moderator:
G,

Hapana haja ya kuendeleza hili nimekujibu huko nyuma
ikiwa hujaridhika si neno.

Hilo mosi.
Pili sina ''mfuasi'' hapa JF.

Sote ni wachangiaji kama walivyo wachangiaji wengine.
Kuunga mkono hoja hakumfanyi mtu kuwa ''mfuasi,''
Hebu rudia kusoma haya maneno ya binti yako zubeda
Alikuwa akimleta Muislamu wakati wa kuchinja ok! jee, kabla ya kumwingilia Mama ako alimleta Shehe wa kumfungisha ndoa? au walifunga ndoa kwa Mkuu wa Wilaya?
Sasa msikie ustaadh mwenzio Zomba anavyoyachukulia maneno hayo!
Swali la kawaida hilo, una tatizo lipi hapo? alitaka kujuwa kama nyama ilichinjwa kihalali, jee, na huyo mwana ambae mama'ke alichinjiwa nyama kihalali na yeye alipatikana kihalali?
Hawa jamaa ndio wewe Mohamedi umekuwa ukiwaunga mkono na wakati mwingine unawaagiza wajibu hoja za wachangiaji wengine hapa jamvini. Sasa ukiitwa mzee mnafiki na usie na maana yoyote utakasrika?
 
Mohamed Said, zingatia ombi la Nguruvi3 ni muhimu sana kwamstakabali wa taifa letu.
 
G,

Sina sababu ya kumtuma mtu chochote.
Mimi mwenyewe najiweza sana.

Alhamdulilah.
 
Hilo kwangu si sehemu ya mnakasha huu, ikiwa waona ni muhimu andika barua ya maombi kujs kwangu/nyumbani kwangu upate ufafanuzi kama nitaona una hoja ya msingi juu ya hilo.

Kuna ufafanuzi muhimu kama wa Andrew Nyerere, mtoto wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye amekukana.
 
Last edited by a moderator:

mkuu ritz naomba nikusahihishe mzee mwanakijiji ni mtu hatari kwa jamii yote ya watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…