Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Huna mpya wewe kwani hutumii akili yako! Hufanyi kitu mpaka ustaadh Mohamed akuamlie.


Mwalimu JK Nyerere aliwahi kusema katika moja ya hotba zake akanena Wazanaki wanasema " UBUBISUBISU OBUWERE EKIRO KIRIMBURA" akiwa na maana ya MFICHAFICHA MARADHI KILIO KITAMFICHUA.

Na sasa ndio mnaumbuka.
 

Nafikiri inatakiwa ufunguke zaidi na kujifungua na kufikiri nje ya box.

hebu jaribu kufuatilia haya.
1. Tokea NECTA ianzishwe makatibu wake wote ni wakristo. na manaibu katibu wake wote ni wakristo.

2. NECTA ni chombo cha muungano lakin haijapata tokesa kuwa katibu wake mtendaji au naibu katibu wake mtendaji kuwa kutoka Znz.

Kuna mengine mengi tu sifikiri kama wataweza kanusha. Hilo ni chaka tu la kubeba wakristo na kukandamiza waislam.

 

Kinachonifurahisha kutoka kwako na kujisikia murua unavyopambana kuitetea serikali ya CCM kwenye suala la NECTA.
 
Leo hii umekuwa msemaji wa serikali ya CCM kweli mfumo Kirsto kiboko ukija kwenye swala la NECTA Wakirsto wote wanarudi CCM.

ritz, zomba, MS, dulla msavivor, zubeda. nawapenda sana.
 

NECTA ni 'uozo' usistahiki kuwepo katika dunia hii ya digital.
 
Mohamed Said,

Naomba tujikite kidogo kwenye historia yetu ya Tanganyika kumuelezea mzalendo Kasella Bantu.

Kuna ike picha maarufu iliozua matatizo kuna watu fulani waliupachika uso wa Kasella Bantu kwa maana walichakachuwa kuingiza uso wa Kasella Bantu ili kuonekana na yeye alikuwemo.

Unaweza kutupa kisa hiki.
 
Last edited by a moderator:
Abdulwahid Sykes alikuwa Rais wa Tanganyika African Association mpe heshima yake.

Ritz,

Abdu alikuwa zaidi ya hayo.

Yeye ndie alikuwa kiungo kati ya "the intelligentsia"
akina Hamza Mwapachu, Nyerere, Steven Mhando,
Michael Lugazia na wengineo na wazee watu wazima
walounda Baraza la Wazee wa TANU?

Kitu kingine yeye ndiye aliyekuwa na nyumba yenye
nafasi kufanyia mikutano ya siri na zile lunch zao na
diner wakitumia kuweka mipango ya TANU.

Makachero walikuwa hawapungui nje ya ofisi yake pale
Kariakoo Market na mtaani kwake Stanley wakinusa na
kuangalia nani kaingia nani katoka nk.

Kubwa zaidi siku zile uongozi ni kutoa fedha kuendesha
mambo na Abdu wanaomjua wanasema alikuwa mtu karim
sana.

Kuna taarifa za kikachero zimefunguliwa Uingereza baada ya
miaka 50 nazisaka katika archive yangu nikizipata nitaziweka
hapa Insha Allah.

Taarifa hizo zimuunganisha hata na barua za siri akiandika
Tanganyika Standard zilizokuwa zikikera serikali na wakati
ule alikuwa kijana wa miaka 26.

Waingereza walipokuja kufafananisha baadae na uandishi
wake akiwa kiongozi wa TAA wakajiridhisha ni yeye ndiye
mwandishi.

Ingekuwa leo tungemwita "Abdu Sykes Mchochezi."

Yapo mengi sana...
 

Ritz,

Sina tanesco Insha Allah akirudi nitakuwekea movie nzima.
Mimi ndiye niliibua sakata lile katika New African.

Kwanza hili gazeti mmoja wa wahariri kijana mmoja wa Kihindi
akiitwa Versi Hirji nilikutananae London miaka ya 1990.

Alishawahi kuchapa makala zangu na akizipenda.

Sasa tulipokujaonana Uingereza ikawa na yeye kapata source
ya habari za kuuzia gazeti.

Tena mie nikimpa makala bure yeye hakubali akiniletea cheque
ya malipo.

Insha Allah ntakurushia tayarisha haluwa.
Hakuna cha bure.

There is no free lunch in America.

Ukiona Mmarekani kakualika chakula cha mchana
basi jua ana lake.
 

Kumekucha...

Inabidi nimemwambie zomba, atayarishe Mandi ya mbuzi na uji wa shurba pamoja na faruda.

Kwa ajili ya ndugu zetu wanasoma huu munakasha.
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere,

Kipi kilichomfanya Kasella Bantu kutorekea uhamishoni alikwenda nchi gani na alikaa uko muda gani tufahamishe.
 
Last edited by a moderator:
Kumekucha...

Inabidi nimemwambie zomba, atayarishe Mandi ya mbuzi na uji wa shurba pamoja na faruda.

Kwa ajili ya ndugu zetu wanasoma huu munakasha.

Ritz,

Ahsante lakini mie sifunui kawa hadi nimuone
sahib wangu Yericko Nyerere kakunja goti jamvini.

Vinginevyo hali mtu.
We unadhani haya tungeyapataje kama si yeye.
 

Hivi mnaizungumzia NECTA hii?
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Leadership List of NECTA since its Inception 21-11-1973
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Chairmen
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S/N
[/TD]
[TD]Year
[/TD]
[TD]Name
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1.
[/TD]
[TD]1973 - 1977
[/TD]
[TD]P. Msekwa
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2.
[/TD]
[TD]1977 - 1980
[/TD]
[TD]I. M. Kaduma
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3.
[/TD]
[TD]1980 - 1988
[/TD]
[TD]N. A. Kuhanga
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4.
[/TD]
[TD]1988 - 1992
[/TD]
[TD]G.R.V. Mmari (Prof)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5.
[/TD]
[TD]1992 - 1999
[/TD]
[TD]M.L Luhanga (Prof)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6.
[/TD]
[TD]1999 - 2004
[/TD]
[TD]G.R.V. Mmari (Prof)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7.
[/TD]
[TD]2004 - 2007
[/TD]
[TD]E. Mwaikambo (Prof)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8.
[/TD]
[TD]2007 - todate
[/TD]
[TD]R.S. Mkandala (Prof)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Secretaries
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S/N
[/TD]
[TD]Year
[/TD]
[TD]Name
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1.
[/TD]
[TD]1973 - 1978
[/TD]
[TD]R. Kiyao
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2.
[/TD]
[TD]1978 - 1986
[/TD]
[TD]D.J. Bagenda
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3.
[/TD]
[TD]1986 - 1992
[/TD]
[TD]A. Modesti
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4.
[/TD]
[TD]1994 - 1997
[/TD]
[TD]P.P. Gandye
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5.
[/TD]
[TD]1998 - 2005
[/TD]
[TD]E.M. Nkumbi (Dr)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6.
[/TD]
[TD]2005 - todate
[/TD]
[TD]J.L. Ndalichako (Dr)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mag3, Nguruvi3,

Tufahamisheni orodha ya Marais wa TANU waliopita tupeni majina yao.
 
Last edited by a moderator:
Kumekucha...

Inabidi nimemwambie zomba, atayarishe Mandi ya mbuzi na uji wa shurba pamoja na faruda.

Kwa ajili ya ndugu zetu wanasoma huu munakasha.

Sheikh wangu halwa ya lozi ya Gidemi tayari, nnaipitia sasa hivi. InshaAllah tutaanza na shurba itafatia Mandi na tutamalizia kwa, halwa na gahwa, baadae tutapata tendeshake. Mjarab.

MashaAllah, tunasubiri "movie".

Yericko Nyerere, Nguruvi3, Mag3, Jasusi, Mzee Mwanakijiji na wapambe wenu, mnakaribishwa rasmi, kwa heshima na taadhima.
 
Ritz,

Ahsante lakini mie sifunui kawa hadi nimuone
sahib wangu Yericko Nyerere kakunja goti jamvini.

Vinginevyo hali mtu.
We unadhani haya tungeyapataje kama si yeye.

Mimi nipo nimejikita zaidi kwenye hoja za msingi kupinga uchochezi wako mkuu,


Swahiba naomba nipe mtazamo wako kuwa ingetokea aliyeuawa pale Zanzibar kwa sababu za uchochezi wako na wawenzio ni Shehe, nini unadhani kingetokea?
 
Unajuaje kuwa hao wote walikuwa wakristo? NECTA ni chombo cha kitaalamu, iweje ung'ang'anie maswala ya dini kwenye chombo cha kitaaluma?
 
Kinachonifurahisha kutoka kwako na kujisikia murua unavyopambana kuitetea serikali ya CCM kwenye suala la NECTA.
Nani kakwambia nina ugomvi na CCM? Wewe unasababu gani kumtetea mkuu wa shule anayetoa taarifa za kizushi?
 
Kwani hao walikuwa na matatizo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…