Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar



Kwanini Abdul hakutaka kuwa Rais wa kwanza wa Tanganyika?
 
Tatizo lako kubwa ni kufikiri kuwa sisi tuna madai, napenda ufahamu kuwa sisi hatudai wala hatudaiwi. Sisi tunaeleza kilichokuwepo bila kuchakachuwa.

Nini ambacho hufaham mpaka dakika hii?

Upo hapo ulipo?
Uzuri wa matutusa kama ninyi ni kwamba huwa hamna msimamo ulio nyooka (you are always not consistent), leo utasema hili kesho utageuka na kulikana ulilolisema jana! sasa soma kwa makini haya yaliyoletwa na rafiki yako kipenzi Ritz;
Haya linganisha na makelele yako hapo juu!
 

Hoja zipi zakujibiwa nyie kazi yenu kupinga kila kitu mnachotakiwa kufanya nyie kuja na majibu mbadala dhidi ya Mohamed Said,

Mohamed akiandika akitaja majina ya waasisi wa TAA, TANU nyie mpinge muonyeshe waasisi ambayo mnaowajua siyo kuja na maneno matupu.
 
Last edited by a moderator:

Hicho kitabu cha Bergen Jan Pvan nimemletea Jasusi,

Hata wewe ni rafiki yangu kipenzi hakuna audui wazee wetu wametufundisha ivyo.
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Saidi, mnakasha huu ni "critique" tosha ya HISTOHISIA yako. Ni hapa tunapopata maelezo na ufafanuzi "live" kutoka kwako na kwa wachangiaji wengine. Hii ya watu waandike kitabu naona unatumia kama kichaka kutaka kufichia uongo na uchochezi wako.
 



What more can you say?
 

this is petty history...
 

G,

Inaelekea hilo la kuandika kitabu limekushindeni.
Sistaajabu kwani naelewa uzito wa kuandika kitabu.

Mimi siwezi kujificha kwenye kichaka chochote.
Lakini huo ukweli wenu mbona hatuuoni.

Mengi ni kutoka kwangu.
Wasomaji wanapata darsa zangu.

Kisha nyie mnafuatilia nyuma kwa kejeli na kebehi.

Nakuwekeeani vitu vya ndani kabisa hata Nyaraka
za Taifa (National Archive) hawana.

Mko tuliiiii...
Kama vile hamjui kusoma.

Hivi ndivyo tunavyoendesha mnakasha ambao
sasa wasikizaji wamepita 70,000.
 

Wacha hizo wewe mzee ametoa ushauri mzuri kwasababu sio watu wote walokisoma kitabu cha mzee mohamed said wako hapa jf kwahiyo nyinyi mnaodai ni uchochezi wazindueni kwa kuandika kitabu chenu sawa bwana mdogo?
 
Kwanini Abdul hakutaka kuwa Rais wa kwanza wa Tanganyika?

MM,

Abdu angechukua uongozi wa TANU 1954 ingekuwa tabu sana
kupata mwelekeo wa umoja wa Watanganyika.

Angalia ile picha ya TANU pale New Street ya Waislam watupu.
Waingereza wangepata mahali pa kupenyeza fitna zao.

Wasingeshindwa kuihusisha TANU na Al Jamiatul Islamiyya na kusema
na kukipa chama nembo ya udini.

Ingelikuwa tabu sana kujinasua hapo na hasa kama wangejitokeza Wakristo
wakaunda chama cha siasa.

Hii ndiyo sababu ya kutaka kumleta Chief Kidaha katika TAA na kisha iundwe
TANU Kidaha akiwa rais wake.

Nyerere alijaza vizuri sana ile nafasi na ingawa palikuwa na matatizo lakini
yaliwezwa kutatuliwa bila ya TANU kutetereka.

Ilikuwa picha ya aina yake pale Mnazi Mmoja Sheikh Suleiman Takadir anapanda
jukwaani anasoma dua kisha anamkaribisha Nyerere kuhutubia.
 
Duh mkuu Nguruvi3 utashangaa bado watabisha ha ha ha raha duniani.

Ngongo/Nguruvi,

Umeweka maswali mengi.
Mimi siwezi kuwa katili kiasi nisikupe ahueni ya kupumua.

Naona Matola kakukaa sana na unajaribu kumgonganisha
na Kleist.

Mimi sina haja ya kumdunisha Matola na hata nikitaka
kumkweza Kleist nitakuwa nafanya kazi ambayo haina
ulazima.

Katika waasisi wale wote wa African Association ni Kleist
peke yake aloacha kumbukumbu zake nyuma baada ya kifo
chake 1949.

Sina haja ya kuzieleza nyaraka za Sykes ni mashuhuri kote.

Unafurahishwa na neno Nyerere ''kambwaga'' Abdu Sykes.
Mimi nitakufurahisha kama nilivyosema mimi si ''sadist'' kuwa
nijisikie raha kwa mateso na maumivu yako.

Nilisema hapa Nyerere amesema hajui Abdu alikuwa na cheo
gani katika TAA.

Kimbembe chake sote tumekishuhudia.

Unadhani hiyo yako ya ''kubwagwa'' na mghafiliko wa Nyerere
kuhusu Abdu kipo kizito?

Achilia mbali hilo.

Ile kuwa kitabu kizima cha historia ya TANU kimeandikwa jina la
Abdu halimo na hii yako ya ''kubwagwa'' ipi kubwa?

Ningeweza kuandika mengi kujaribu kujibu yote uloweka lakini
ndiyo iwe nini?

Mimi nakupa ushindi nataka ufurahi.

Yote ulosema wewe uko sawa kabisa.
Wazee wangu si lolote si chochote...

Lakini nina ombi moja tu.

Lau kwa mukhtasari tuhadithie historia ya wazee wako katika
TANU.
 
hivi waislam J.K., MWINYI, SALIMIN na wengine walioongoza katika nchi hii, wameifanyia nini Tanzania?
 

DM,

Nilikutana na Chief Kidaha David Makwaia 1967/68.

Mwanae ambae ndiye mtemi wa Wasukuma hivi sasa
nimesomanae darasa moja.

Yeye ndiye alinichukua kwenda kumuona baba yetu.
Wakati ule mzee wetu alikuwa akiishi Nairobi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…