THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Dullah, kama kiingereza kinakushinda kwanini unaking'ang'ani? sasa hapo kwenye rangi nyekundu ndio kiingereza gani?
Mohamed, mbona hiyo dhulma huioneshi na kuithibitisha! Unachokifanya ni kuchochea chuki tu mwanzo mwisho! umaskini uliopo sasa hivi katika nchi yetu wala hauchagui dini ya mtu wala kabila, hakuna mwenye nafuu kwa sababu ya dini yake! wenye heri ni mafisadi tu, nao hawabaguani kwa dini zao, wewe hulioni hilo. Huduma za afya pale Mhimbili ni mbovu kwa walala hoi wote bila kujali dini zao. Kama ni elimu duni katika shule za kata ni kwa watoto wote bila kujali dini zao!G,
Panapo dhulma hayo ndiyo matokeo.
Safi sana! kwahiyo unathibitisha kuwa uchochezi wa mzee Mohamedi Saidi umezaa matunda ya chuki! Lakini fahamu wazi kwamba waislam hawapo D'salaam tu.
Usisahau Geita na sakata la kuchinja. Ulivyo mpuuzi unaona hayo ni mambo ya kujivuni!Basi nakuota Dar es Salaam nenda Mwanza,
Anza na Msikiti mkubwa Ijumaa, Rufiji, Lumumba, Makongoro, Shamsia, Nuur, Mabatini, Meman,
Nenda kasema maneno yako uone Mwanza hiyo takupata na Bukoba, Shinyanga, Tanga, Kigoma, Morogoro.
Mohamed, mbona hiyo dhulma huioneshi na kuithibitisha! Unachokifanya ni kuchochea chuki tu mwanzo mwisho! umaskini uliopo sasa hivi katika nchi yetu wala hauchagui dini ya mtu wala kabila, hakuna mwenye nafuu kwa sababu ya dini yake! wenye heri ni mafisadi tu, nao hawabaguani kwa dini zao, wewe hulioni hilo. Huduma za afya pale Mhimbili ni mbovu kwa walala hoi wote bila kujali dini zao. Kama ni elimu duni katika shule za kata ni kwa watoto wote bila kujali dini zao!
Usisahau Geita na sakata la kuchinja. Ulivyo mpuuzi unaona hayo ni mambo ya kujivuni!
Hapo kwenye rangi nyekundu ndipo penye mzizi wa HISTOHISIA yako! tangu ulipoanza kuimba hizo nyimbo zako za uchochezi hujawahi kutoa ushahidi thabiti kuthibitisha madai yako haya zaidi ya kujenga hoja kupitia hisia na dini ya kislam kuungwa mkono.
Dullah, kama kiingereza kinakushinda kwanini unaking'ang'ani? sasa hapo kwenye rangi nyekundu ndio kiingereza gani?
Mkuu, waswahili wanasema 'Kiingereza cha kuombea maji'Dullah, kama kiingereza kinakushinda kwanini unaking'ang'ani? sasa hapo kwenye rangi nyekundu ndio kiingereza gani?
Ritz,
..na mimi naungana na Jasusi kuomba utuletee maandishi ya Van Bergen na siyo kunukuu alichosema kutoka kwa waandishi wengine.
..mimi nimeona sehemu za kitabu cha Van Bergen kwenye mtandao, bahati mbaya huwezi ku-copy na kuleta hapa JF. Lakini from what I have seen so far, sidhani kama ukisoma kitabu kizima, au hata chapter chache, utafikia conclusions alizofikia Mohamed Said.
. Companero aliahidi kutusaidia ktk hili, lakini nadhani amebanwa na shughuli nyingine.
CC: Nguruvi3, Mag3
Boko, nilisha kwambia wewe kiwango chako ni cha chini sana, sasa ona unavyojidharirisha! Unawezaje kusifia kiingereza kibovu anachokiandika mwenzio Dullah hapa! Watu wanaoijua lugha hii wana washangaa sana mnapopongezana kwa ujuha huu. Pole mwanakwetu, sio kosa lako, ndio mfumo wa elimu uliozulea hivyo! ukiunganisha na elimu ya madrasa iliyokukuza na kukufanya kukalili na kuamini kila unachoambiwa basi inakuwa tabu kwelikweli!Dulla hapo GWALIHENZI na mwezake KIBONDE umewaacha mbali sana kithungu weupe hao!
Dullah, don't pretend! you are not what you boast to be!You know me well,
I am smarter than that..
'you are not organised"
Ritz,
..na mimi naungana na Jasusi kuomba utuletee maandishi ya Van Bergen na siyo kunukuu alichosema kutoka kwa waandishi wengine.
..mimi nimeona sehemu za kitabu cha Van Bergen kwenye mtandao, bahati mbaya huwezi ku-copy na kuleta hapa JF. Lakini from what I have seen so far, sidhani kama ukisoma kitabu kizima, au hata chapter chache, utafikia conclusions alizofikia Mohamed Said.
. Companero aliahidi kutusaidia ktk hili, lakini nadhani amebanwa na shughuli nyingine.
CC: Nguruvi3, Mag3
mkuu husahau
Boko, nilisha kwambia wewe kiwango chako ni cha chini sana, sasa ona unavyojidharirisha! Unawezaje kusifia kiingereza kibovu anachokiandika mwenzio Dullah hapa! Watu wanaoijua lugha hii wana washangaa sana mnapopongezana kwa ujuha huu. Pole mwanakwetu, sio kosa lako, ndio mfumo wa elimu uliozulea hivyo! ukiunganisha na elimu ya madrasa iliyokukuza na kukufanya kukalili na kuamini kila unachoambiwa basi inakuwa tabu kwelikweli!
Dullah, don't pretend! you are not what you boast to be!
Barking as a hungry dog, sending no message, poor young boy why can't you go back to classroom!you cannot think of being acceptable to others until you have first proven acceptable to yourself first,
you do not even believe on yourself,how can you be independent thinker?
to me, the thing that is worse than shame is stupidity and lack of confidence., You see, I could conceive shame, but I could not conceive stupidity like that of yours..
Dullah, it is obvious that you are not an english speaker that is why you get into trouble. You write a lot of words wothout making any sense, why can't you spare a time to learn english before coming here? By the way, have you abandoned your favourite madrasa! i think madrsa is a proper place for you and not here.Sitting together and having discussion with Great thinkers doesnt make you a great thinker as well,
I once told you that,you are not to be so blind with stupidity to the extent that you cant face reality,
Stupidity is just Stupidity,
I don't even call it stupidity when it's in self defense; I call it ridiculousness...
kanjanja..