Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

G,

Panapo dhulma hayo ndiyo matokeo.
Mohamed, mbona hiyo dhulma huioneshi na kuithibitisha! Unachokifanya ni kuchochea chuki tu mwanzo mwisho! umaskini uliopo sasa hivi katika nchi yetu wala hauchagui dini ya mtu wala kabila, hakuna mwenye nafuu kwa sababu ya dini yake! wenye heri ni mafisadi tu, nao hawabaguani kwa dini zao, wewe hulioni hilo. Huduma za afya pale Mhimbili ni mbovu kwa walala hoi wote bila kujali dini zao. Kama ni elimu duni katika shule za kata ni kwa watoto wote bila kujali dini zao!
 
Safi sana! kwahiyo unathibitisha kuwa uchochezi wa mzee Mohamedi Saidi umezaa matunda ya chuki! Lakini fahamu wazi kwamba waislam hawapo D'salaam tu.

Basi nakuota Dar es Salaam nakupeleka Mwanza,

Anza na Msikiti mkubwa Ijumaa, Rufiji, Lumumba, Makongoro, Shamsia, Nuur, Mabatini, Meman,

Nenda kasema maneno yako uone Mwanza hiyo takupata na Bukoba, Shinyanga, Tanga, Kigoma, Morogoro.
 
Basi nakuota Dar es Salaam nenda Mwanza,

Anza na Msikiti mkubwa Ijumaa, Rufiji, Lumumba, Makongoro, Shamsia, Nuur, Mabatini, Meman,

Nenda kasema maneno yako uone Mwanza hiyo takupata na Bukoba, Shinyanga, Tanga, Kigoma, Morogoro.
Usisahau Geita na sakata la kuchinja. Ulivyo mpuuzi unaona hayo ni mambo ya kujivuni!
 
Mohamed, mbona hiyo dhulma huioneshi na kuithibitisha! Unachokifanya ni kuchochea chuki tu mwanzo mwisho! umaskini uliopo sasa hivi katika nchi yetu wala hauchagui dini ya mtu wala kabila, hakuna mwenye nafuu kwa sababu ya dini yake! wenye heri ni mafisadi tu, nao hawabaguani kwa dini zao, wewe hulioni hilo. Huduma za afya pale Mhimbili ni mbovu kwa walala hoi wote bila kujali dini zao. Kama ni elimu duni katika shule za kata ni kwa watoto wote bila kujali dini zao!

G,

Hayo ya Muhimbili madogo kwetu.
Kubwa ni hili la dhulma iliyotokana na njama dhidi ya Uislam:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [1]

Sivsalon unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam.

Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects.

First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam. The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa.

The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]

There are also two works by Muslim writers focusing on post-independence relations between the government and Muslims. The first is an undergraduate dissertation by Dr K. Mayanja Kiwanuka, ‘The Politics of Islam in Bukoba District' (1973);[3] and the second is a research paper ‘Islam and Politics in Tanzania' (1989)[4]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).

[2]Ibid. p 37.

[3] K. Mayanja Kiwanuka, The Politics of Islam in Bukoba District (1973), B.A. Thesis, University of Dar es Salaam.

[4] Mohamed Said, ‘Islam and Politics in Tanzania' (1989) and Tewa's unpublished manuscript ‘A Probe In the History of Islam in Tanzania',and Waikela's papers and newspaper cuttings on the crisis were of great help. This paper was later published by Al Haq International (Karachi) Vol. 1 No. 3 August- December 1993, under the same heading.
 
Usisahau Geita na sakata la kuchinja. Ulivyo mpuuzi unaona hayo ni mambo ya kujivuni!

Ukifika Mwanza Nyerere road kuna Msikiti mkubwa Mwanza nzima huo Msikiti kiwanja chake kilitolewa na Marehemu Sheikh Amin Abdalah ambaye aliwekwa kizuizini na Nyerere.

Usidhani Mohamed Said anaongea bure.
 
Hapo kwenye rangi nyekundu ndipo penye mzizi wa HISTOHISIA yako! tangu ulipoanza kuimba hizo nyimbo zako za uchochezi hujawahi kutoa ushahidi thabiti kuthibitisha madai yako haya zaidi ya kujenga hoja kupitia hisia na dini ya kislam kuungwa mkono.

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [1] unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam. Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects. First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam. The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa. The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2] There are also two works by Muslim writers focusing on post-independence relations between the government and Muslims. The first is an undergraduate dissertation by Dr K. Mayanja Kiwanuka, ‘The Politics of Islam in Bukoba District' (1973);[3] and the second is a research paper ‘Islam and Politics in Tanzania' (1989)[4] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).
[2]Ibid. p 37.
[3] K. Mayanja Kiwanuka, The Politics of Islam in Bukoba District (1973), B.A. Thesis, University
of Dar es Salaam.

[4] Mohamed Said, ‘Islam and Politics in Tanzania' (1989) and Tewa's unpublished manuscript
‘A Probe In the History of Islam in Tanzania',and Waikela's papers and newspaper cuttings on the
crisis were of great help. This paper was later published by Al Haq International (Karachi) Vol. 1 No.
3 August- December 1993, under the same heading.
 
Ritz,

..na mimi naungana na Jasusi kuomba utuletee maandishi ya Van Bergen na siyo kunukuu alichosema kutoka kwa waandishi wengine.

..mimi nimeona sehemu za kitabu cha Van Bergen kwenye mtandao, bahati mbaya huwezi ku-copy na kuleta hapa JF. Lakini from what I have seen so far, sidhani kama ukisoma kitabu kizima, au hata chapter chache, utafikia conclusions alizofikia Mohamed Said.

. Companero aliahidi kutusaidia ktk hili, lakini nadhani amebanwa na shughuli nyingine.

CC: Nguruvi3, Mag3
 
Last edited by a moderator:

JokaKuu,

Unachopinga ni nini kutoka kwenye hicho kitabu.
 
Last edited by a moderator:
Dulla hapo GWALIHENZI na mwezake KIBONDE umewaacha mbali sana kithungu weupe hao!
Boko, nilisha kwambia wewe kiwango chako ni cha chini sana, sasa ona unavyojidharirisha! Unawezaje kusifia kiingereza kibovu anachokiandika mwenzio Dullah hapa! Watu wanaoijua lugha hii wana washangaa sana mnapopongezana kwa ujuha huu. Pole mwanakwetu, sio kosa lako, ndio mfumo wa elimu uliozulea hivyo! ukiunganisha na elimu ya madrasa iliyokukuza na kukufanya kukalili na kuamini kila unachoambiwa basi inakuwa tabu kwelikweli!
 
Ritz,

..na mimi naungana na Jasusi kuomba utuletee maandishi ya Van Bergen na siyo kunukuu alichosema kutoka kwa waandishi wengine.

..mimi nimeona sehemu za kitabu cha Van Bergen kwenye mtandao, bahati mbaya huwezi ku-copy na kuleta hapa JF. Lakini from what I have seen so far, sidhani kama ukisoma kitabu kizima, au hata chapter chache, utafikia conclusions alizofikia Mohamed Said.

. Companero aliahidi kutusaidia ktk hili, lakini nadhani amebanwa na shughuli nyingine.

CC: Nguruvi3, Mag3

mkuu husahau
 
mkuu husahau

Companero,
Tuwekee hapa kitabu cha van Bergen naona Ritz anataka kutuingiza choo cha kike. Sidhani kuwa van Bergen aliandika kuwa Nyerere alitayarishwa na waingereza kuitawala Tanganyika. Waingereza walimwona Nyerere mkorofi na kuna wakati walimzushia kesi ya kukashifu leo hao hao ndio wawe wamemwandaa kutawala? Ritz tuambie hizo nukuu umezitoa kitabu gani ili tusonge mbele.
 
Boko, nilisha kwambia wewe kiwango chako ni cha chini sana, sasa ona unavyojidharirisha! Unawezaje kusifia kiingereza kibovu anachokiandika mwenzio Dullah hapa! Watu wanaoijua lugha hii wana washangaa sana mnapopongezana kwa ujuha huu. Pole mwanakwetu, sio kosa lako, ndio mfumo wa elimu uliozulea hivyo! ukiunganisha na elimu ya madrasa iliyokukuza na kukufanya kukalili na kuamini kila unachoambiwa basi inakuwa tabu kwelikweli!

Sitting together and having discussion with Great thinkers doesnt make you a great thinker as well,

I once told you that,you are not to be so blind with stupidity to the extent that you cant face reality,

Stupidity is just Stupidity,

I don't even call it stupidity when it's in self defense; I call it ridiculousness...

kanjanja..
 
Dullah, don't pretend! you are not what you boast to be!

you cannot think of being acceptable to others until you have first proven acceptable to yourself first,

you do not even believe on yourself,how can you be independent thinker?

to me, the thing that is worse than shame is stupidity and lack of confidence., You see, I could conceive shame, but I could not conceive stupidity like that of yours..
 
Barking as a hungry dog, sending no message, poor young boy why can't you go back to classroom!
 
Sitting together and having discussion with Great thinkers doesnt make you a great thinker as well,

I once told you that,you are not to be so blind with stupidity to the extent that you cant face reality,

Stupidity is just Stupidity,

I don't even call it stupidity when it's in self defense; I call it ridiculousness...

kanjanja..
Dullah, it is obvious that you are not an english speaker that is why you get into trouble. You write a lot of words wothout making any sense, why can't you spare a time to learn english before coming here? By the way, have you abandoned your favourite madrasa! i think madrsa is a proper place for you and not here.
 
Back
Top Bottom