Jasusi,
Nakuheshimu lakini nashangaa unaanza matusi sisi wengine uhuni tumeishastaafu kama utataka kunirudisha kwenye uhuni pana shaka tarudi.
Kutokukubaliana mie na wewe kwenye hoja siyo uadui wala ugomvi hakuna haja ya kutukanana hakuna ambaye hawezi kutukana.
Tusifike huko Jasusi nakuheshimu kama mkubwa wangu na wewe niheshimu kama mdogo wako.
Actually nashangaa kwa nini hawa wapumbavu wa UAMSHO bado hawajachukuliwa hatua zozote.
Na kina kasnga tumbo, kambona, tuntemeke, kasela bantu, nkHivi uwakamate Masheikh wa Waislaam uwaweke rumande, mmoja baada ya mwingine, wengine uwafukuze nchi, wengine uwahamishe kutoka makazi yao ya asili kuwapeleka kwingine, ufunge jumuia ya Kiislaam iliyokuwa na inaonesha kuleta maendeleo ya haraka haraka kwa Waislaa, Yote hiyo kwako wewe siyo dhulma?
Wakikosa hoja wanaanza viroja.
Na kina kasnga tumbo, kambona, tuntemeke, kasela bantu, nk
Na wenyewe tuite ni dhuluma dhidi ya ukristo?
Na kina kasnga tumbo, kambona, tuntemeke, kasela bantu, nk
Na wenyewe tuite ni dhuluma dhidi ya ukristo?
Labda matusi nayo ni silaha.
Dullah,
Katika maelezo yako umeonyesha ulifanya juhudi binafsi mpaka ulipofikia.
Sasa juhudi zako zote za kusoma kwa bidii kwa nini azikuhujumiwa na mfumo kristo?
Je? Hali iliyopo leo huko lindi na mtwara watoto wamechaguliwa hawalipoti vipi miaka hiyo ya
nyuma hali ilikuwaje?
Umefanya ufafanuzi mzuri lakini mwisho kabisa tumeachana kwa makusudi unataka kutuaminisha tena sehemu kwenye Waislam wengi tatizo linaweza kuwa dini yao ndio maana hawataki kusoma.
Labda tufahamishe nchi kama Dubai, Misri, Saudia Arabia, Qatar, Kuweit, Iran, watu wao hawapendi shule na hawana elimu.
Umefanya ufafanuzi mzuri lakini mwisho kabisa tumeachana kwa makusudi unataka kutuaminisha tena sehemu kwenye Waislam wengi tatizo linaweza kuwa dini yao ndio maana hawataki kusoma.
Labda tufahamishe nchi kama Dubai, Misri, Saudia Arabia, Qatar, Kuweit, Iran, watu wao hawapendi shule na hawana elimu.
Mkuu Ritz, heshima kwako
kwanza uelewe sina interest na mambo ya Dini kwangu hayana nafasi
Pili labda nikwambie nimemsoma Moh kwa muda Mrefu na kwenye minakasha yote inayomuhusu Moh nimeifatilia mwanzo mpaka mwisho, katika moja ya maoni yake alizungumzia kuwa nyuma kielimu kwa baadhi ya maeneo yenye Waislam. Na katika kumalizia alilifanya hilo tukio lilikuwa ni makusudi ya Serikali ama niseme ni njama za Nyerere na Kanisa lake la Kikatoliki dhidi ya Waislam
Hiyo hoja ya Mzee Moh imechukuliwa nzima nzima na Waislamu wengi na hata wasomi wakiwemo DULLAH MSAVIVOR, ukimsoma Dullah anakwambia mamake ndio alimuencourage kupiga shule na alipofika sekondary walijikuta wako (Waislamu) wachache na moja kwa moja aliingia kwenye upepo wa Mzee Moh kuwa Waislam walibaguliwa kuingia Masekondary
Hoja ni kuwa
Utafiti ufanywe wa kujua sababu hasa ni nini?
mimi nilieleza hivi
1) Utamaduni na mila unaweza kuwa ni chanzo kikubwa kwa baadhi ya maeneo kutozingatia Elimu, hili nililiona usukumani miaka ya nyuma kwa wengi kushiriki zaidi kwenye ufugaji na kilimo. pia inaweza kuwa kwenye maeneo yenye Waislamu wengi pia kutozingatia Elimu kutokana na mila ama Tamaduni zao (kuolewa mapema, elimu za unyago na jando) uvuvi?
2) Nilizungumzia Dini pia inaweza kuwa chanzo cha watu kutofatilia Elimu, hapa tatizo kubwa ni nani anatafsiri maandiko ya Dini na anayatafsiri kwa malengo gani?. Kuna imani iliyokuwepo ZAMANI kuwa Elimu ya Kizungu ni ya Kikristo hivyo kwa Muislamu kushiriki hiyo elimu ni sawa na kujisilimisha na kuwa Mmisheni, swali ni kuwa watu wa hayo maeneo wameelimishwa kuwa hilo sio sahihi? na elimu ya Kizungu haihusiani na mtu kusilimu?
Je tafsiri na Mahubiri kama ya kule Nigeria ya BOKO HARAM, yaani Elimu ya Kimagharibi ni haramu ni tafsiri sahihi ya Uislamu? je tunajuaje kama hayo yanayotafsiriwa Nigeria hayatafsiriwi kule Kilwa, Tabora, Kigoma nk?
Nadhani Mzee kama Moh angejitahidi kutumia nguvu na wakati wake kuwaelimisha Waislamu kuhusu umuhimu wa Elimu hasa katika maeneo yenye uvivu na kutozingatia elimu kama kule Kilwa nk, zaidi ya kuwaonyesha kuwa kukosa kwao elimu kumesababishwa na Nyerere na Kanisa lake la Kikatoliki
Dullah,
Katika maelezo yako umeonyesha ulifanya juhudi binafsi mpaka ulipofikia.
Sasa juhudi zako zote za kusoma kwa bidii kwa nini azikuhujumiwa na mfumo kristo?
Je? Hali iliyopo leo huko lindi na mtwara watoto wamechaguliwa hawalipoti vipi miaka hiyo ya
nyuma hali ilikuwaje?
Hapo Mfumo kristo katika NECTA ulikuwa haufanyi kazi?
Huu ni ushahidi tosha kuwa mafanikio yako yalitokana na kujituma kwako, Huo uchache wa Waislamu ulioukuta Sekondary ulisababishwa na kutojituma kwao tofauti na wewe ulivyokuwa unajituma,
na labda nikwambie tu hilo halikuwa kwa Waislamu tu bali hata Wakristo liliwaathiri, miaka niliyokuwa na Nasoma kulikuwa na Wakristu wachache sana wa kabila la Kigogo, Wasumbwa, Wasukuma, japo yalikuwa ni makabila yenye Wakristo wengi lakini walikuwa ni wachache sana mashuleni na wala hapakuwa na hila ya kuwabeba kuwapelekwa sekondary bila kujituma kwao., na wengi mazingira na culture ndio zilikuwa zinawaathiri same na hayo yanayotokea Lindi na kilwa sasa
Tuna tatizo la Kitamaduni ambalo Waislam wanalinasibisha na DIni, kama maeneo yenye Waislamu wengi hayana maendeleo ya Kielimu basi wajaribu kuangalia ni nini kinachosababisha hilo, ni dini ama ni utamaduni? kuliko kuweka dhana ya uonevu
Actually nashangaa kwa nini hawa wapumbavu wa UAMSHO bado hawajachukuliwa hatua zozote.
Nilichosimamia mimi ambacho wewe hukukielewa vizuri ndugu yangu ni kwamba tuliokawa smart darasan tulikuwa wengi,,
Lakin tuliochukuliwa kwenda maeneo kama yale tulikuwa ni wachache sana hali ya kuwa uwezo tulikuwa nao..,
Mohamed Said hoja zake umezielewa au umezizichukua kwa hisia zako kama wenzako??
Ujinga ni mzigo!Mmejenga nyinyi au mmevirithi??
na walijenga kwa faida zenu au kwa faida zao?
kilichowapelekea wao kuzijenga ni kwa kuwa walikua kutawala taifa hili ambalo lilikua na wananchi wa iman mbali mbali,za kimila na kiislam,kwan wao walivofika hapa uislam ulikua ushaingia miaka mingi kias,,
kwhiyo kilichowaleta hapa hasa ni hii nchi ya tanzania kuitawala,cha ajabu walipoondoka na kuacha hizo istitutions nyinyi mmeibuka vifua mbele na kutamba kuwa mmejnga nyinyi hali ya kuwa haiko hivyo..
Tunachopigania kwa sasa ni usawa wa mambo,na sio kukumbatia uongo na uonevu uliodumu miaka na miaka..
Hisia za Wenzangu wakina nani?
Ukweli upo na simamia ukweli Daima
siko hapa kubishana
Hayo ndio majibu kwa hoja za kisomi?Naona povu linakutoka ovyo muongo waheed, msubiri kiboko yako zomba, uje uchezee za uso.
Ujinga ni mzigo!