Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Nimekusoma na nimekuelewa, lakini kuna tofauti kubwa sana kati ya Uislam na Uarabu na pia kuna Tofauti kubwa sana kati ya Ukristo na Uzungu

sidhani hao uliowaweka hapo wameachieve hayo kwa sababu ya Uislamu wao

unaweza kutuambia hiyo sayansi iliishia wapi? je unaweza amini kuwa Uislam ndio uliyoua hiyo sayansi ya Uarabuni?
 

Kituko,

Hao niliokuwekea hapo ni Waislam siyo waarabu hebu wasome tena, kuna wahindi, Wapakistani, Waajemi kutoka Iran, na mataifa mengine hao siyo waarabu.

Weka hayo unayosema tuyaone.
 


Povu lisikutoke sana kuutetea mfumo kristo,kama imekuumiza sana kwa watu kuusema ukweli huu ni juu yako Mr Fool..

"Sometimes you have to pick the gun up to put the Gun down"

Face it..!!
 

Kituko,

Naona hutaki kuamini hizi habari za miaka ya 1075, 1150, 1332, 699, 767,

Unasema udhani kama wameachieve haya kutokana na Uislam wao. Labda tufahamishe wewe wameachieve kutokana na nini.

Hujue miaka hiyo Ulaya Marekani zilikuwa giza tupu.

Hiyo elimu yote wameitoa ndani ya Qur'an.
 
teh teh teh! mkuu sikuwezi, hadi huko umefika???
halafu huko bumbuli ambako yalikuwa makazi ya wazungu na wamissionary ndo hakuna wasomi wala maendeleo
kuna vizee vinajua hadi lugha ya kijerumani na havina shule,
umemjibu vizuri sana huyo tutusa, matatizo ya ya Bumbuli hayajasababishwa na dhulma dhidi ya wakristo, ni matatizo yao wenyewe.
 


People don't realize how a man's whole life can be changed by one book,,

QUR'AN..
 
Povu lisikutoke sana kuutetea mfumo kristo,kama imekuumiza sana kwa watu kuusema ukweli huu ni juu yako Mr Fool..

"Sometimes you have to pick the gun up to put the Gun down"

Face it..!!
Tatizo kubwa ambalo wewe hulioni na hutakaa ulione ni kwamba huishi kwa mawazo yako! unasubiri mzee Mohamedi Saidi aseme kitu halafu wewe ubebe kidufu kushangilia wazo lisilo kuwa lako! Sasa unapiga kidufu kama zuzu kuutangaza mfumo kristo ambao huujui, ukiulizwa ufafanue ni kitu gani hicho,unajaa mapovu na kuanza kutukana ovyo! Sasa kama kweli unaamini kuna hicho kitu mfumo kiristo, wewe muislam safi ulipataje nafasi kwenda Mzumbe? na uliwezaje kufaulu mtihani wa NECTA wewe na waislam wenzako? Kuniita mimi ni mr Fool hakubadirishi ukweli kwamba wewe ni muongo na mchumia tumbo uliyejaa chuki na ubinafsi, mtu usietumia hata chembe ya akili yako kutafakali mambo! The only tittle you deserve is an old sick imbecile giant.
 
Mohamed Said,

Unafundisha hili darsa la historia ya Tanganyika kwa ustadi mkubwa mpaka mtu wa darsa la chini kabisa anakuelewa.

Tunaendelea kukusoma...

Ritz,

Hawa ni wazee wetu wanazungumza kutoka kaburini.
 
Ritz
Una uhakika gani kuwa walioko kwenye zile list za majina ya wasomi wa kiislam, ni waislam kweli? Ninacho kiona pale ni majina ya kiarabu arabu. Kumbuka kuwa hata wakristo na wapagani wa huko wanatumia majina hayo hayo.
 
Last edited by a moderator:
Ritz
Una uhakika gani kuwa walioko kwenye zile list za majina ya wasomi wa kiislam, ni waislam kweli? Ninacho kiona pale ni majina ya kiarabu arabu. Kumbuka kuwa hata wakristo na wapagani wa huko wanatumia majina hayo hayo.

N,

Waislam tunaijua historia yetu.
Toa hofu.
 
Mohamed Said, Unafundisha hili darsa la historia ya Tanganyika kwa ustadi mkubwa mpaka mtu wa darsa la chini kabisa anakuelewa. Tunaendelea kukusoma...
Ritz, wewe endelea kumeza ngano lakini kumbuka "good is never enough where better is possibe" Hata tungekiri kuwa wazee wa Mohamed Said walikuwa good, the truth remains that they weren't good enough...they may have been good, but there was someone better being awaited. Once Nyerere stepped in, like tsunami, there was no stopping him...Abdulwahid Sykes tried, Zuberi Mtemvu tried, AMNUT tried, UMT tried but they all fell by the wayside. Better, like always, triumphed in the end and marched on!

Ritz, take a moment and ask yourself, why didnt Abdulwahid, with all his flamboyance, wisdom and leadership skills, become the first President of TANU? Why didnt Abdulwahid, with all his following, admiration and unparalleled charm, become the first President of Independent Tanganyika? Who, before 1961, made sure that the names of "wazee wa Mohamed" didnt spread like wild fire across Tanganyika and all corners of the country and so be able to live on by themselves without some disgruntled Mohamed Said digging them up? The answer to all these questions is that they didnt have what it takes to be that kind of leader.

Ritz, dont just be an automaton, totally lacking in independent judgment like Mohamed Said's zombie! Be curious, ask yourself why, inspite of his ridicuolous claims, he is playing down the roles of the first Presidents of AA in 1929 (Cecil Matola), TAA in 1948 (Dr. Vedasto Kyaruzi) and TANU in 1954 (Mwalimu Julius Nyerere) and why, not one of his heroes, was ever a founder President! Ask yourself why he is trying his best to playdown the role of Governor Sir Donald Cameroun in the founding of AA and even providing a dwelling? why, why, why!
 
Last edited by a moderator:

If you read my comment carefully, you will find I gave a couple of other suggestions. What do you think about them too?
 

Mag3,

Unachangnaya mambo.

Hapajakuwa hata wakati Abdu alimpinga Nyerere.
Suala la Nyerere kuwa hodari kuwapita wenzake hakuna anaelipinga.

AMNUT kweli ilitaka kupambana na Nyerere na TANU lakini Waislam
waliikataa.

Kyaruzi hakuwa President wa TAA 1948.
Mwaka 1948 President alikuwa Mwalimu Thomas Plantan na katibu
wake Clement Mohamed Mtamila.

Hamza na Abdu walipompindua Mwalimu Thomas Plantan 1950
ndipo Kyaruzi akawa President na Abdu Secretary.

Hapa nitakuongozea kitu.
Aliyewezesha uchaguzi ufanyike alikuwa Schneider Abdillah Plantan.

Ofisi ya AA ilijengwa na uongozi wa association kati ya 1929 na 1933.
Haya kaeleza Kleist katika kumbukumbu yake.

Picha ya ufunguzi ipo katika kitabu changu.

Ukipenda nenda East Africana University Library angalia A.D. Sykes "The
Life of Kleist Sykes," University of Dar es Salaam Ref. No. JAN/HIST/143/15.

Utapata historia nzima ya African Association.


Jitulize na isome vizuri historia ya African Association.

Hivi unavyoandika na kuchanganya mambo huwa inavunja heshima na mimi huenda
nikakupuuza.

Kweli napenda mnakasha lakini si na mtu asiyejua anachokizungumza.
 


"So early in my life, I had learned that if you want something, you had better make some Great efforts."

Islam teaches us so,something that ridiculous boy like you wont come to understand,,

You keep on showing me your stupidity,and I'll show you my intelligence..

You don't have to be a man to understand reality which MOHAMED SAID IS TELLING YOU. All you have to do is to be an intelligent human being...

hide your stupidity Mr Fool..
 
Literacy Rates of the World - Bottom countries with the lowest literacy rates...nchi zinazoshika mkia kwa kuwa na watu mbumbumbu wasiojua kusoma na kuandika;

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] 1. Guinea[/TD]
[TD] 41.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 2. Senegal[/TD]
[TD] 39.3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 3. Somalia[/TD]
[TD] 37.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 4. Sierra Leone[/TD]
[TD] 35.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 5. Chad[/TD]
[TD] 34.5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 6. Mali[/TD]
[TD] 31.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 7. Niger[/TD]
[TD] 28.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 8. Afghanistan[/TD]
[TD] 28.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 9. Burkina Faso[/TD]
[TD] 21.8
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Guinea
- Approximately 85% of the population is Muslim
Senegal - Islam is practiced by approximately 94 percent of the country's population
Somalia - Muslims are estimated at over 90%
Sierra Leone - Muslims are estimated to comprise 60% of its population
Chad - 54% areMuslim, 20% Roman Catholic, 14% Protestant, 10% animist, and 3% atheist.
Mali - An estimated 90% of Malians areMuslim (mostly Sunni and Sufi)
Niger - Between 80 to more than 98 percent of the population is Muslim
Afghanistan - Over 99% of the Afghan population is Muslim
Sudan - N/A
Burkina Faso - 60.5% of the population practice Islam, and that the majority of this group belong to the Sunnibranch

Naona Mwalimu Nyerere alifanya kazi kubwa ya kuwanyima elimu Waislaam...si Tanzania tu bali Afrika na Bara Asia.
 
hii niliipata sehemu, sijui ina ukweli????
 
Nyumba katoa Cameroun wewe unasema Sykes
kanisa limempeleka Nyerere UNO wewe unatuambia sijui mwekahazina gani
No wonder Nyerere HAKUANDIKA kitabu,sababu ingebidi aongope ili kuwalinda hawa wavaa kanzu
ufisadi,backstabbing,ubadhirifu ndio ilikuwa middle name ya hawa wazee wako.Nyerere for the sake of unity amekwenda na mengi kaburini-la sivyo many of your heroes wangekuwa zero
 
Cha muhimu nilichojifunza kutokana na mnakasha huu ni kuwa makini na waandishi.
Yupo jamaa mmoja tukiwa wadogo alikuwa anatutisha sana, "Usiende kwa yule bibi ni mchawi na sisi
sote huwa hatuendi....atakuroga. Ameua wengi tena anachukia sana watu wa mtaa wetu".

Na kweli kwa kiasi fulani alifanikiwa kwa sababu alikuwa anajua kuumba uongo na kuubadilisha kuwa "ukweli".
Wapo wenzangu ambao walianza kumuogopa yule bibi na kumtenga. Lakini mimi kuna wakati nilikuwa nikienda
na sikurogwa kama ilivyokuwa inasemwa.

Ajabu moja kubwa ni hii: Yule
bibi alikuwa ana uwanja mkubwa na sote pamoja na yule jamaa mzushi tulikuwa tukienda na kucheza raha mustarehe na kwa amani kwenye huo uwanja.
Tena wakati mwingine tunachuma maembe kwenye miti yake bila bugdha!!

Lakni yule mzushi haishi vituko kumsema vibaya yule bibi, na zaidi wapo waliokuwa wanamfuata yule jamaa kwenye
hadithi zake za uzushi. Sasa baada ya kukua nikagundua yule bibi alichukiwa kwa sababu wakati huo alifanikiwa
kimaisha tofauti na Babu/bibi yake yule mzushi. Jambo zuri kuhusu hili ni kuwa zile chuki hazikurithishwa kwa kizazi
cha mzushi.

What a coincidence kwamba kila nikikumbuka ya utotoni kama hilo huwa inanisaidia kutafakari hasa kwenye aina ya mnakasha kama huu!
 

Son...

Mimi sina tatizo na hayo usemayo.
Umesema na umesikika.

Nami nimeandika kadri ya uelewa wangu.
Tuendelee na mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…