Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mohamed Said,

..tumesoma ktk vyombo vya habari kwamba kuna taasisi ya Kiislamu imejenga shule 7 na misikiti 700.

..katika mazingira kama hayo inakuwa vigumu sana kujenga hoja kwamba suala la elimu mnalitilia mkazo unaostahili.

cc: Ritz, Jasusi, Nguruvi3, Kituko
 
Last edited by a moderator:
Na ni ngumu pia kaumini kuwa hizo zilikuwa local contribution kutoka kwa wananchi na wala si donation iliyosemwa na mwandishi hapo post za nyuma kuwa wakristo na taasisi zao zinaendeshwa kwa donation.

Kila kitu kinaji-contradict ndiyo maana tunasema maandishi mengi hayasimami katika ukweli zaidi ya uchochezi.
 
MM,

Sidhani kama tatizo ni kugawana madaraka.

Kitabu changu nia yake ilikuwa kueleza historia
ya kweli
ya harakati za kudai uhuru.

Lakini hili hujalifanya; umelalamika kuwa wazee wako walisahauliwa au hawakuenziwa baada ya Uhuru. Swali ni ulitaka Nyerere afanye nini mara baada ya Uhuru kwa wazee wako?

a. Wapewe nafasi fulani za uongozi
b. Kila anapotajwa Nyerere na wao watajwe
c. Nyerere angewapa malipo ya michango yao ambayo wengine hata walifilisika (Serikali ingewalipa kitu fulani kwa mchango wao)
d. Nyerere angepitia vitabu vyote ambavyo vimenadikwa ili kuona kama 'wenzie' wametajwa
e. ...

Ungependa nini kifanyike kati au nje ya hayo?
 

Umesahau kuzitaja hizi nchi zenye Waislam wengi ngoja nikuongezee.

10) Dubai

11) Saudia Arabia

12) Qatar

13) Kuwait

14) Indonesia

15) Misri

16) Pakistan

17) Malaysia

18) Iran

19) Uturuki
 
Ritz
Una uhakika gani kuwa walioko kwenye zile list za majina ya wasomi wa kiislam, ni waislam kweli? Ninacho kiona pale ni majina ya kiarabu arabu. Kumbuka kuwa hata wakristo na wapagani wa huko wanatumia majina hayo hayo.

Ni kweli unachosema huku nyuma wote walikuwa wanatumia majina hayo hayo.

Lakini hawa niliowataja mimi wote ni Waislam kama unataka kujilidhisha basi mpitie moja mmoja usome maelezo yao yameandikwa.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli unachosema huku nyuma wote walikuwa wanatumia majina hayo hayo.

Lakini hawa niliowataja mimi wote ni Waislam kama unataka kujilidhisha basi mpitie moja mmoja usome maelezo yao yameandikwa.
Ritz,

..ni kweli elimu dunia ilianzia huko kwa Waislamu, lakini wazungu walikuja kuwapiga bao.

..kuna Muislamu uliyemtaja amepata Nobel Prize ya Chemistry, umesahau kueleza kwamba ni raia wa Marekani na huko ndiko anakofundisha.
 
Last edited by a moderator:

Mag3,

Better to stumble with toe than toungue.

Hujui unachokiandika unalazimisha vitu haya mambo hayaitaji porojo yanaitaji uzame kwenye historia ya uhuru wa Tanganyika.

Angalia unavyochanganya miaka tu hujui rais wa kwanza wa AA alikuwa nani hujui rais wa kwanza wa TAA alikuwa nani hujui historia ya TANU wewe na Nyerere tu.

Endelea kuwadanganya jamaa zako.
 
Last edited by a moderator:


Vema sana,inaonesha sasa umeanza japo kuelewa na kukubali ya kwamba kazi ya kitabu kile ni kuelezea historia ndefu ambayo imesahauliwa kwa makusudi ama kufutwa kwa makusudi ndan ya nchi hii,,

Skia babu,amua wewe unaloliona ni la muhimu na la maana,kitu kikubwa zaid ambacho kimefanyika ni kueleza historia hiyo waz waz na watu wameelewa,intention ya kitabu haikua kupandikiza chuki na kumpuuza nyerere..

"ACTIONS ARE BY THEIR INTENTIONS.."

MOHAMED SAID EXPOSED HIS INTENTION,SO WHATS YOUR INTENTION MZEE MFIA DINI??
 
Ritz,

..ni kweli elimu dunia ilianzia huko kwa Waislamu, lakini wazungu walikuja kuwapiga bao.

..kuna Muislamu uliyemtaja amepata Nobel Prize ya Chemistry, umesahau kueleza kwamba ni raia wa Marekani na huko ndiko anakofundisha.

JokaKuu,

Kwanza naomba unielewe mie kuyaleta hayo majina siyo kwa ajili ya kubishana.

Kuna mwezetu nilikuwa najadiliana naye akasema akasema dini ya Kiislam ndiyo sababu ya watu kushindwa kusoma nikamwambia siyo kweli katika Uislam Surah ya kwanza kwenye Qur'an IQRA tumeambiwa tusome.

Ndio nikamuekea hayo majina nadhani umenielewa hayo mengine siwezi kuchangia.
 
Last edited by a moderator:


Eeeh

Hii nayo akili??
 
Ritz,

..ulipaswa ku-aknowledge kwamba ile trend ya Waislamu kuwa ndiyo vinara wa elimu na maarifa ilifika mahali ikawa-reversed.

..elimu na maarifa vilitoka kwa Waislamu vikaenda Ulaya kwa "Wakiristo" na hao ndiyo walioleta "Ukiristo" huku Afrika.

..mazingira hayo yamechangia kwa kiwango kikubwa hali tuliyonayo sasa hivi Tanzania. ndiyo unaona ile taasisi ya Waislamu imejenga shule 7 na misikiti 700.

..YES, Qur'an inahimiza Waislamu kusoma lakini facts on the ground zinanielekeza kuamini kwamba Waislamu hawazingatii maamrisho hayo.
 
Last edited by a moderator:

JokaKuu,

Ni mtu wa gani kwanza kuizunguka dunia kwa kutumia bahari.
 
Last edited by a moderator:
Upuuzi huo wa kupenda penda kucopy na kupaste bila kufaham uhalisia wake,,

Propaganda kama hizo wanaozishabikia ni watu wasio na upeo tuh kama wewe

je kuna ukweli?
 
Dullar, Intelligent people always do not boast, they show their abilities. Only imbecile and empty headed people like you keep on boasting with their pseudo-intelligence. You haven't shown anything remarkable in this debate more than your religious hooliganism.
 

MM,

Mimi "silalamiki" maana "kulalamika" neno hilo linatokana na
neno "ulalamishi."

Mimi nilipoona upungufu katika historia ya uhuru nimenyanyua
kalamu na kuandika ukweli ulivyo na ndiyo maana leo tuko hapa.

Wala sijasema kuwa akitajwa Nyerere na Rashid Sisso atajwe.

Wala sielewi tabu ikupatayo na wahka ulokukumba.

Historia nishaifanyia marekebisho.
Abdu na Ally Sykes wametunukiwa medali.

Nategemea Insha Allah siku za usoni wengine wengi katika wazee
wangu nao watapewa heshima zao.

Kwa kweli mimi nimeridhika na kazi yangu moyo wangu umetulia
sana.

Alhamdulilah.
 

Ritz,

Ungemshauri asome kitabu cha Judith Listowel
"The Making of Tanganyika." Kitabu hiki kingempa
msingi mzuri.

Nimempa rejea moja ni kutoka "memoir" ya Kleist
semina paper aliandika Daisy Aisha Sykes 1968.

Daisy kasanifu lakini alichoandika ni kutokana na mkono
wa babu yake Kleist kuhusu maisha yake.

Kazi hii Daisy kaifanya chini ya usimamizi wa John Illife
mwalimu wake wa historia.

Daisy mimi ni dada yangu tumezungumza mengi kabla
ya mimi kuandika kitabu cha baba yake Abdu Sykes.

Mag hana akijuacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…