THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Mag3,
Wala mie sijakutaja nilichofanya nilikuwa nakujibu wewe baada ya kunitaja.
Mag3, mnafiki ni chakula ya mamba leo hii unasema wewe na wenzako kuwa mnahubiri upendo, na umoja tofauti na Mohamed Said anahubiri uchochezi.
Sisi wewe na wenzako ndiyo mnasema hawa Waislam hawana akili za kuongoza wana akili za madrasa tu na kazi yao kukaa vibarazani ni kunywa gahawa.
Sisi wewe ndiyo ulisema hujawahi kuwasikia hawa wazee wa gerezani toka mwaka 1961 upo shule umekuja kuwasikia leo inamaana hawakupigania uhuru Mohamed Said anadanganya hawa wazee hawakuwepo.
Si wewe na wenzako mnakesha JF kuwakejeli na kuwadhihaki Waislam kuwa hawataki kusoma wajinga.
Alichofanya Mohamed Said ni kuandika historia iliyofichwa kuhusu harakati za Waislam dhidi ya ukololoni wa Waingereza katika Tanganyika.
Wewe na wenzako mlivyokuwa na chuki dhidi ya Uislam na Waislam ndiyo mnaita uchochezi.
Na hakuna aliowazimisha kuikubali wala kuikataa,,
Tunashangaa povu lao ni la nini,
Mufilisi kabisa hawa jamaa..