Ritz, nimeingia nimekuta umenitajataja mara nyingi tu lakini ngoja nikutoe hofu...tofauti kubwa kati yangu na wewe ni kuwa mimi ni binadamu anayehitaji kufanya kazi, kupumzika, kulala na akiamka awe fresh aweze kutumia vizuri akili zake alizopewa na Muumba wake. Kwanza, mimi si kipaza sauti wa mchochezi kama
Mohamed Said, hilo moja na la pili ni kuwa nazisoma hizi hekaya zake kama ambavyo ningesoma za alfu lela ulela...they are entertaining but just a collection of cooked stories...neither true nor relevant.
Mohamed Said hakimbilii tena kumnukuu John Iliffe, you wanna know why? I bet you dont! Kwa sasa anahangaika akijaribu kumnukuu Judith Listowel ambaye mwanzoni hakutaka kabisa kukubaliana na aliyoandika, you wanna know why? I bet you dont! Ameulizwa kwa nini hajaweza kuwahoji wazee waliokuwapo na bado wako hai lakini kama kawaida ya muongo hilo hathubutu kulifanya, you wanna know why? I bet you dont! Salama yake iko katika kuwanukuu marehemu ambao wametangullia mbele ya haki! I can bet, even that, you dont wanna know why!
Tazama hapa chini huyu mchochezi alivyoumbuliwa na maandishi ya John Iliffe;
Baada ya kuumbuliwa na hayo maandishi,
Mohamed Said karudia kule kule (in his shell)!...katika utetezi wake anapobanwa, hakimbilii tena kumnukuu John Iliffe, hapana, anajinukuuu yeye mwenyewe na kujaza page za JF na porojo zake za toka utotoni, porojo zile zile tunazozipinga kuwa hazina ukweli wowote. Lakini cheerleader wake mkuu
Ritz halali wala hapumziki, anakesha hapa JF akipiga filimbi kwa kuzirudiarudia hizo ngano za mwalimu wake...hakika inachosha.
Ritz, ungekuwa unatusoma sisi tunaompinga huyu mchochezi ungegundua tofauti moja kati yetu naye...wakati sisi tunahubiri upendo, umoja na amani kama Watanzania, yeye kajikita katika kuwagawa Watanzania katika misingi ya dini akijitahidi kupandikiza mbegu za chuki miongoni mwetu. Sijui kama patakalika siku atakapokutana uso kwa uso na Mmanyema Mkristo na ni bahati ilioje kuwa mpaka wakati huu anazeeka hiyo balaa haijawahi kumfika, alhamdulilahi!