Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Na hakuna aliowazimisha kuikubali wala kuikataa,,

Tunashangaa povu lao ni la nini,

Mufilisi kabisa hawa jamaa..
 
Unataka kutuambia kwamba kama wewe usingeandika, ukweli wa wazee wako kushiriki katika mapambano kama watanganyika na sio kama waislam ungebadilika?

Tatizo siyo Waislam ungebadilika, tatizo Wazee wetu walikuwa wametoshwa na historia alichofanya Mohamed Said ni kuwarudisha.
 
Kwanini usiwe unajibu unachoulizwa? mbona maswali ya kipuuzi ya akina Ritz unayajibu? Au ni kwa sababu yanakupa ujiko?

Hizi fikra zako upo huru kuongea chochote hakuna wa kukuzuia.
 
hapo ndipo palipo na ngoma; watetezi wa Mohammed Said watakapogundua kuwa wameuziwa pakacha tupu la histohisia hawataweza kujirudi na kusema tulipotoshwa; watatokomea mmoja mmoja...
Sio kwamba hawajui kwamba Mohamed anadanganya, uislam ndio kamba inayowafunga hawa jamaa. Nikama vile Abushiri alivyo tumia uislam kama "unifying idology" kuwaunganisha waislam kupambana na wajerumani kutetea maslahi yake ya kibiashara.
 
Tujaalie akitetea biashara.
Kuna ubaya gani kupambana na mtu anaekuja kukudhulumu?
 
Tatizo siyo Waislam ungebadilika, tatizo Wazee wetu walikuwa wametoshwa na historia alichofanya Mohamed Said ni kuwarudisha.
Unadanganya Ritz, wazee wale hawakutoswa na historia! wangetoswa vipi na historia ambayo wao ndio waliijenga? tunasema Mohamed anakosea kuangalia uislam wa wazee hawa badala ya utanganyika wao.
 
Not necessarily... wakati mwingine maswali hayajibiwi kwa vile magumu, hayaeleweki, yanaogopwa n.k...

Hakuna maswali magumu hata wewe kuna maswali unayapuuza tu kuyajibu siyo kuwa ni magumu kwa kuwa ni ya kipuuzi tu.
 
Ndio ujanja wako mzee Said; huupendi ukweli, unauogopa kwa sababu unatisia simulizi lako. Yaani ata kumpa Nyerere haki yake ya kihhistoria unaona unampa asichostahili..
Kuchosha kwako kuko hapa.Utetezi wako ni wa kibaguzi.Unataka Nyerere apewe haki yake ambayo hata hivyo hakunyimwa lakini haki za wapigania uhuru wengine huna habari nazo.
Uadui na uchoyo wa Nyerere kwa wapigania uhuru wengine na kwa waislamu wa kawaida ndio haki yake ambayo amepewa kikamilifu katika historia ya Mohammed Said.
Kwa upande wako mwenyewe ni mjanja sana katika mijadala kutokana na uzoefu wako wa muda mrefu.Lakini hujui kuwa kunguru mjanja hunaswa na tundu bovu.
Tabia yako ni kuwa vumbi likitimka hapa unajificha.Ukirudi hujibu chochote cha maana ulichoulizwa.Unazusha maswali ambayo huko nyuma yameshajibiwa.
Kama ni kutokutoa haki basi wewe unaongoza,na si hivyo tu bali wewe ni mtovu wa nidhamu kwa tafiti za kielimu.Mtu kama Mohammed Saidi aliyetumia miaka na kuwasilisha mahojioni halisi na wapigania uhuru wewe unaita ni simulizi.
Mzee Mwanakijiji huna heshima kabisa na kazi za kitafiti ambazo zimeshathaminiwa na mamlioni ya watu nje na ndani ya nchi.
Kwa kutoweza kuleta utetezi wa maana kupinga historia ya Mohammed Said huoni kwamba unajitukana mwenyewe?.
Fuata ushauri wa Barubaru iwapo umeishiwa au umechoka basi tulia usome tu michango ya wenzako.
 
Gwalihenzi unachuki sana na uislamu na wala wewe sio wakwanza kuwa hivyo wameshapita mafirauni wakubwa kuliko wewe, wewe umesema huna dini uislamu unakuwashia nini?
 
Tujaalie akitetea biashara.
Kuna ubaya gani kupambana na mtu anaekuja kukudhulumu?
Hakuna ubaya, na hakuna anayemlaumu Abushiri kupambana na watu waliokuja kukwamisha biashara yake murua ya kuwauza binadamu wenzake! kama vile ambavyo hatuwalaumu wakoloni wa Kijerumani na kiingereza waliojenga reli ya kati na Tanga kuimarisha uchumi wa kikoloni.
 
Kwanini usiwe unajibu unachoulizwa? mbona maswali ya kipuuzi ya akina Ritz unayajibu? Au ni kwa sababu yanakupa ujiko?

G,

Nyie hamuulizi kujua mnauliza kubisha.
Mie kama maswali nimejibu siku nyingi.

Mmefadhaika na kitabu changu kwa kuwa
kimekuleteeni mambo mapya.

Hizo post kutoka "Under the Shadow of
British Colonialism" kote nilikohadhir
kilichofatia ni kuombwa nizidi kueleza hiki
au kile.

Nyie mmepigwa na butwa.

Isizidi Mwanakijiji anasoma kisha chembelecho
Zomba anakuja na viroja na kutaka ati nimjibu.

Viroja vinajibika?
 
Gwalihenzi unachuki sana na uislamu na wala wewe sio wakwanza kuwa hivyo wameshapita mafirauni wakubwa kuliko wewe, wewe umesema huna dini uislamu unakuwashia nini?

Hana dini lakini adui yake mkubwa ni Uislam na Waislam.
 
G,

Ndiko uliokoangukia huko?
Unataka twende huko?
 
Hana dini lakini adui yake mkubwa ni Uislam na Waislam.

Ritz,

Ukisikia hana dini basi jua ni mpenzi wa Ukristo.
Nimekutana na wengi sampuli hiyo.

Mambo ya kizamani kabisa kujinasibu na ukafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…