Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wewe unasema ni ATHEIST mtu ambaye anaamini kwamba hakuna Mungu, mkanamungu.

Sasa hiyo amani unayosema itatoka wapi bila Mungu.

Wewe ni ATHEIST halafu unaogopa Uislam kuwa unaleta uchochezi uoni kama unajichanganya.
Sasa unataka tuanzishe mjadala mwingine wa imani zetu, kwangu mimi amani itakuwepo tukiepusha hizi 'religious prejudices'.
 
Watu wa Kanisa Muko wapi?!...Sisi wengine Tunataka ku-Balance haya mambo......
Tuujue ukweli kwani inaonekana kuna kitu under the sakafu kimefichwa kwa masilahi ya kundi fulani.......SASA TUFIKI MAHALI TUWE KAMA AFRIKA YA KUSINI tuwe na tume ya maridhiano ya kuwa 'MIMI NILIMUUA BABAYAKO ....nk nk NA TUSAMEHEANE KWELI' vinginevyo hatuwezi kufichwa historia na kupewa MAMA ambaye si wa kukuzaa na kumuacha mama mzazi........Huwa najiuliza MOYONI NA AKILINI vitu kama MOU ya kanisa na Serikali kwenye Nchi kama yetu maana yake ni nini?????!!!!!!........Aaaaaahhhhhhhh..........Nakata tamaaaaa MAKANISA HAYAHUBIRI YALIYO KWELI TOKA MOYONI NA ROHONI......ningekuwa na uwezo ningehama NCHI NA URAIA......

 
Kama kanisa au mtu mwingine analidhika na uchochezi wako mimi hayo hayanihusu hata kidogo, lakini Mohamedi, amini usiamini amani na utangamano wa taifa letu ndio vinatupa fursa hii adhimu ya kufanya mnakasha huu kwa raha zetu. La si hivyo sasa hivi tungekuwa tunaulizana majina kwa ajili ya kutaka kuuana. Ni wajibu wangu na wako kuitunza amani hii kwa gharama yoyote.
 
Niwaulize swali wana JF hasa katika uzi huu....Hii Nchi ni ya nani?...... Nani anaicontrol?......
Tahadhali USIKURUPUKE KUNIJIBU.....Think a Million....
 
Ritz,

Mie hao hawanipi shida kabisa.

Binadamu yoyote anaemtolea jeuri Allah
wala hafai hata kuzungumzanae.
Mwache Allah mwenyewe atoe hukumu yake dhidi ya mtu huyo. Sasa kama hafai hata kuzungumza nae mtu huyo atapataje ujumbe wa huyo Allah? Au unadhani kutumia jina la Allah kueneza chuki zako binafsi ndio uungwana?Kwani huyu Allah hajui kuna watu wanatofautiana na mawazo yako maovu?
 
Mkuu Gwalihenzi Kujua au kuifichua Historia iliyofichwa siyo UCHOCHEZI.....ni tabia na mbinu ya kundi faidika kuficha ukweli kwa maslahi yao.....Hoja zitolewe na watu watajua nani MCHOCHEZI anayefaidika na mfumo uliojificha.....UNAKUMBUKA hadithi ya Sungura na rafiki yake Fisi?......Nasisitiza Katika Nchi yetu kwa Mtazamo wangu kuna kundi ambacho haliko sawa kwa maslahi ya Taifa.....

 
Soma michango ya wenzako huko nyuma utajua nini kimejili mpaka kauli hii kuwekwa hapa.
 
Sasa unataka tuanzishe mjadala mwingine wa imani zetu, kwangu mimi amani itakuwepo tukiepusha hizi 'religious prejudices'.
Watu kama hawa wakiumwa ndio utajua ukweli wao niwaoga vibaya kwavile sasahivi ana afya za safari lager anaona dunia yote mali yake pole bro avator yako kwanza inadhalilisha mama zetu!
 
mhh, Nimesoma, nimeelewa sasa ni utekeelzaji. Kila mmoja anaweza kuwa na hoja sawia, lkn penye wawili ni lazima mmoja awe mshindi. Ushindi hapa unategemea kila mtoa mada na wachangiaji wanavyoweza kuilelewa mada na kuichambua bila upendeleo wa udini kwenye vichwa vyao. Nilichokiona hapa ni kila mmoja kuvutia upande wa dini yake kwa kulaumu upande wa pili, hatutafika. Hivi ni vipi tukisahahu yaliyofanywa na akina nyerere tukaanza upya bila kubeba mizigo ya upendeleo na ubaguzi wa kidini iliyokwisha kujazwa mioyoni mwetu na wale walotutangulia au wanaotulea kiimani ambao bado wanakumbatia ubinafsi na upendeleo huku wakijua kuwa kumbagua mtu kwa msingi wa imani yake ni dhambi? EBU TUACHE NA TUJENGE UADILIFU, Tanzania itakuwa mahali pazuri pa KUISHI NA KUABUDU
 


Wao hawaioni hiyo kama ni dhulma..!

Kwenye mioyo yao kuna maradhi yasiyotibika,hawatupi shida sisi..
 
Watu kama hawa wakiumwa ndio utajua ukweli wao niwaoga vibaya kwavile sasahivi ana afya za safari lager anaona dunia yote mali yake pole bro avator yako kwanza inadhalilisha mama zetu!


Upeo finyu wa watu kama hao,ndio wanapelekea mjadala huu kuwa na ukakasi,lakini wenye kujisimamia wenyewe na wenye kuwa na uelewa washaipata hoja kuu na wana kubaliana na ukweli huu kimoyo moyo.,japo hadharani wana pinga..
 
Watu kama hawa wakiumwa ndio utajua ukweli wao niwaoga vibaya kwavile sasahivi ana afya za safari lager anaona dunia yote mali yake pole bro avator yako kwanza inadhalilisha mama zetu!

Kuna jamaa mmoja naye alikuwa anajifanya ATHEIST alipata maradhi ya moyo kila saa kitandani anapiga kelele Mungu nisaidie.
 

G,

Sio na mtu anaeonesha kibri dhidi ya Allah.
Angalia ulimi wako ulivyokosa adabu.

''Huyo Allah.''

''Huyo'' niite mmi ''huyo Mohamed Said.''
 
Tatizo siyo Waislam ungebadilika, tatizo Wazee wetu walikuwa wametoshwa na historia alichofanya Mohamed Said ni kuwarudisha.
Ritz
Hivi wewe umepofushwa na ufuasi wako kwa Moh Said mpaka unafikiri kuwa tunampinga kila kitu?
Yeye akiandika Mshume Kiyate na Nyerere na Abdu walikuwa wanakula mara tano kwa siku au walikuwa wanacheza bao au mpira, sisi hatuwezi kupinga. Mbona ni stori nzuri tu, tena zipo entertaining..

Uchochezi wake ni ule unao-emanate kwenye hisia zake. Na hisia hizo kaziweka makusudi ili kuamsha chuki kwa waislam. Ni hisia hizo ndizo tunazopinga.
Kwa mfano atakwambai:
"Nyerere hakupenda historia ya TANU ihusishwe na waislam"-
"church lobby did this or that against muslims"
"Nyerere na kanisa waliua EAMWS ambayo ingejenga chuo kikuu cha waislam"​
Hayo na mengine mengi ya kihisia, ukimuuliza ushahidi anaji-quote mwenyewe, na mara nyingine anarudia kwa ku-paste ka-passage kale kale ka Sivalon. Tukimbana sana, anasema
"sijibu kila post",
"mdomo haumkatai bwana wake"​
Na mara nyingine anatusemea hisia zetu
"Ritz/Zomba hawa ndugu zetu wamestushwa na historia niliyoandika mimi"
"Hawapendi niliyoandika, wanataka historia ianzie na kuishia kwa nyerere"​

Stori zake ni nzuri na hata kama kaamua kuandika kuhusu wazee waliosahaulika, it is well and good. Hatuna shida na hilo. Ambacho hatukubaliani nacho ni hizo hisia alizoziingiza kwa makusudi ili kulazimisha CHUKI YAKE BINAFSI KWA NYERERE igeuke kuwa chuki ya Waislam dhidi ya Wakristo. Hizo hisia ndizo tunazipinga na tutazipinga, hata kama kitabu chake kitakuwepo kwa miaka mia moja.
 
Last edited by a moderator:

G,

Hili ndilo jibu la maneno ya Sivalon?
 

N,

Nyerere kagombana na Sheikh Suleiman Takadir 1958
Nyerere kagombana na akina Sheikh Hassan bin Amir na Bilal
Waikela 1963 hadi 1968 hali ikawa mbaya kupelekea Sheikh
Hassan kufukuzwa bara na kurejeshwa Unguja.

Hayo magomvi nilisababisha mimi?

Mbona mko kimya na maneno ya Sivalon?
Niyabandike upya?
 
Mjadala umekuwa mrefu sana kwenye uzi huu. Sasa tufanye majumuisho. Nini kifanyike?
Nashauri uitishwe mjadala wa kitaifa kuhusu suala la utangamano wa waumini wa dini mbili kuu nchini Tanzania
Wadau mnasemaje?
 

G,

Sasa kwa nini wewe hufanyi mahojiano na hao wengine ukaandika.
Nimuhoji Nyerere ili aseme nini?

Nini ambacho sikuwa nakijua kuhusu harakati za kuunda TANU hadi
nende kwa Nyerere?

Ingekuwa naandika kuhusu Azimio la Arusha na vijiji vya Ujamaa
kweli lakini historia ya AA 1929 hadi TANU 1954 nende kwa Nyerere
wakati yote wazee wangu walikuwapo na ndiyo wachezaji wakuu nende
kumhoji Nyerere...

Si umeona nyaraka nilizotumia?
Hazitoshelezi utafiti?
 

sasa kwa kuwa na wewe umegundua makosa hayo. ni vizuri kama kweli haswa wewe ni msomi na una nia njema kabisa na nchi yako katika kuwatendea haki vizazi vijavyo na wale waliojazwa kasumba kuwa historia yenu ya uhuru ilianzia kwa Nyerere na kumalizikia kwa Nyerere.

Fanya tafiti na toa kitabu cha kurekebisha makosa ya Mohamed Said. Kwani mimi naamini kabisa na hata Ahli yangu Mohamed Said anakubali kabisa kuwa yeye si mkamilifu kama Mola, na kufanya makosa ni sehemu ya ubin'Adam lakin mbora ni yule mwenye kutubia makosa hayo na kuyarekebisha.

sasa tunasubiri kitabu chako cha kumrekebisha na kuiweka sawa historia hiyo kwa faida ya waTanzania wwote na vizazi vijavyo badala ya kuandika mistari sita au saba ya kukosoa utafiti uliokuwa ubaoni for more than 15 years.

hayo ni maoni yangu kwako.

Ritz, DULLAH MSAVIVOR, Jasusi, Pasco, Companero, Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji
 
Hizo ni hisia zako binafsi wala hazinidhuru mimi. Kinacho nidhuru ni uchochezi wako wa kidini unaopelekea kuvunja amani yetu. Mimi ni ATHEIST kwahiyo mungu wako au mungu wa kikrsto hanihusu hata kidogo. Amani ya taifa letu inanihusu sana.

wewe una matatizo ya akili si bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…