THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
sasa kwa kuwa na wewe umegundua makosa hayo. ni vizuri kama kweli haswa wewe ni msomi na una nia njema kabisa na nchi yako katika kuwatendea haki vizazi vijavyo na wale waliojazwa kasumba kuwa historia yenu ya uhuru ilianzia kwa Nyerere na kumalizikia kwa Nyerere.
Fanya tafiti na toa kitabu cha kurekebisha makosa ya Mohamed Said. Kwani mimi naamini kabisa na hata Ahli yangu Mohamed Said anakubali kabisa kuwa yeye si mkamilifu kama Mola, na kufanya makosa ni sehemu ya ubin'Adam lakin mbora ni yule mwenye kutubia makosa hayo na kuyarekebisha.
sasa tunasubiri kitabu chako cha kumrekebisha na kuiweka sawa historia hiyo kwa faida ya waTanzania wwote na vizazi vijavyo badala ya kuandika mistari sita au saba ya kukosoa utafiti uliokuwa ubaoni for more than 15 years.
hayo ni maoni yangu kwako.
Ritz, DULLAH MSAVIVOR, Jasusi, Pasco, Companero, Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji
Vema sana BaruBaru..
hawa hawataki tuh kuskia huu ukweli kwa kuwa unasemwa na muislam,pia unaonekana kama vile unawatetea waislam na uislam,kitu ambacho ni kweli,
uislam uachwe kama ulivyo,waislam waache kama walivyo.,waangalie je,kilichoelezwa kipo ama hakipo?kina uhalisia ama hakina?kwa maana kila kitu wametafuniwa hapo,wao wamekaa kukashifu uislam na waislam,watu wa ajabu sana hao..
uislam ulikuepo tokea zama hizo,hapa iangaliwe hii historia inayofichuliwa kisha ipimwe uhalisia wake,sisi tushajitosheleza tayari kwa uhalisia wa historia hii inayoelezwa na Mohamed Said..