Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar




Vema sana BaruBaru..

hawa hawataki tuh kuskia huu ukweli kwa kuwa unasemwa na muislam,pia unaonekana kama vile unawatetea waislam na uislam,kitu ambacho ni kweli,

uislam uachwe kama ulivyo,waislam waache kama walivyo.,waangalie je,kilichoelezwa kipo ama hakipo?kina uhalisia ama hakina?kwa maana kila kitu wametafuniwa hapo,wao wamekaa kukashifu uislam na waislam,watu wa ajabu sana hao..

uislam ulikuepo tokea zama hizo,hapa iangaliwe hii historia inayofichuliwa kisha ipimwe uhalisia wake,sisi tushajitosheleza tayari kwa uhalisia wa historia hii inayoelezwa na Mohamed Said..
 
G,

Kusema kweli ndiyo uchochezi?
Mbons humlaumu Sivalon?

Au unataka nikuwekee hapa maneno
yake?
Huyo sivalon wewe ndo kila kitu kwako? Unamuamini sanaaaaaaaaaa?
Kama alikuwa kazini katika kutimiza ajenda za wagawe uwatawale.
Achana na huyo padri ungea uhalisia wake.
Je? Nyerere alishindwa kuwa kama mabutu? Au kama madikteta wengineo wa enzi zake mpaka ahangaike kutaifisha mashule ya wakristo watu wote wapate elimu.
 

Kwa sababu hakukujibu, basi itakuwa kweli... Nyerere hakuasisi TANU

Ila Nyerere alikuwa Rais wa kwanza wa TANU toka ilipozaliwa 1954.
Tatizo ni kuwa tukimwita Nyerere ni Muasisi, basi ujiko wote wa Abdu utapotea. Kwa hiyo Nyerere hakuasisi TANU. TANU iliasisisiwa BURMA... Hawa ndugu zetu wanaghafilika wanaposikia haya...
 

hapo kwenye RED ndio lilipo tatizo lako kuu.
 

Hao waligambana na Serikali na Sio Nyerere. Na ilikuwa ni kutokana uasi wao kwa mitizamo ya kisheria wakati huo. Kama walifungwa walifungwa na serikali, sio Nyerere wala Kanisa. Halafu, hata wasio na majina ya kiislam wapo waliogombana na Serikali na wengine wakafungwa. Yaliyomo ndani ya Kitabu cha Sivalon ni maoni ya mwandishi. Ningetegemea wewe uende deep zaidi, kuonesha sababu ya hisia zako, na sio kwa sababu Sivalon kasema.
 

kuna mtafiti mmoja alikuwa ni mzungu wa marekani alisilimu, basi akasikia choko choko ya kuwa sivalon hakuandika kweli kwenye kitabu chake. Alipoenda kwao marekani akamtafuta sivalon mpaka akampata. anamuelezea sivalon kuwa ni mtu mwenye uelewa wa mambo mengi sana. sivalon alimpa yule mzungu/muislamu habari nyingi sana za kihistoria. akamuuliza swali kwamba yeye katika kitabu chake cha kanisa katoliki na siasa za tanzania hakueleza ukweli amedanganya.Sivalon alikataa na kusema ule alioandika ni ukweli mtupu hakuna uongo.
 
Mkuu Mohamed Said

Nyerere kagombana na Oscar Kambona,sehemu kubwa ya maisha yake kaishi uamishoni UK.

Nyerere kagombana na John Samwel Malecella kama si Nyerere Malecella angekuwa Rais wa awamu ya tatu.

Nyerere kagomabana Kasella Bantu

Nyerere kagombana na Michael Kamaliza

Nyerere kagombana and the lists goes on

Tofauti yako na baadhi ya wachangiaji wengi ni tabia ya kutazama kila jambo kupitia mlango wa dini.


Awamu ya Kikwete tunajionea wenyewe akina Sheikh Ponda na wafuasi wake wakishtakiwa na kunyimwa dhamana,unataka tuamini Kikwete anauchukia uIslam ?.Vipi leo wakristo wakaibuka na madai ya kunyanyswa kwa mawaziri wa zamani Bwana Basil Mramba na Daniel Yona ?.Mifano ipo mingi lakini hautosikia hata siku moja kikundi cha wakristo wakiibua madai ya ajabu ajabu inashangaza kidogo pamoja na usomi wako wote umekubali kujivika dhana potufu na hapo hapo unafanya juhudi kubwa kutetea bila soni mchana kweupe.


 
Last edited by a moderator:

Nanren,

Mimi nimezijua dhulma za Nyerere dhidi ya Waislam kabla ya Mohamed Said ajaandika kitabu.

Kwa akili yako unadhani mimi nipo humu kukufurahisha wewe Mag3, Mwanakijiji, wewe ulivyokuwa mfuasi wa Nyerere unadhani kila mtu ni mfuasi wa mtu.

Wewe sijui utanieleza ni mimi baadhi ya wazee waliokamatwa na Nyerere na kuwekwa kizuizini nimewaona kwa macho siyo kwa kuambiwa.

Wewe kazi yako kupinga tu kila kitu lakini ukiambiwa ueleze chochote kuhusu historia ya Tanganyika huna.
 
Last edited by a moderator:
Akili za kuambiwa changanya na zako we mtu akisilimu,akiwa mzungu akikwambia kila kitu unaamini !.

 

mbona nyerere alikuwa ni dikteta ulikuwa ulifahamu hilo tafuta histori ya uongozi wake jinsi alivyowafanyia wabaya wake waliopingana nae
 

I see...
You win
Wewe ndio unaweza ukaleta vitu.
Ndio maana ukaleta Paraphrased words of Van Bergen na kudai ni direct quotes za mwandishi huyo. Mwalimu Nyerere - Articles, Transcripts and Legacies | Nyerere Against Islam in Zanzibar and Tanganyika
 
mbona nyerere alikuwa ni dikteta ulikuwa ulifahamu hilo tafuta histori ya uongozi wake jinsi alivyowafanyia wabaya wake waliopingana nae
Udikiteta wa mwalim ukiona kaufanya basi ni kwa maslahi ya jamii nzima.
Chukulia mfano wa shehe ilunga ingekuwa enzi ya mwalim huyu muda huu angekuwa segelea.
Kama kuwazibiti wachochezi dizain ya ilunga ni udikteta basi sawa.
Aliweza kuwazibiti wote waliokuwa wachochezi wa aman yetu ndo maana mpaka muda huu tu wamoja.
ila kuna wachochezi wachache ndo wakuwaangalia kwa ukalibu sana ijulikane nini malengo yao?
 
Watu kama hawa wakiumwa ndio utajua ukweli wao niwaoga vibaya kwavile sasahivi ana afya za safari lager anaona dunia yote mali yake pole bro avator yako kwanza inadhalilisha mama zetu!
Mbona unahofu za kijinga?hizo hofu ndio zinawafanya muamini kila kitu anachowaambia Mohamed Saidi! pole sana bwana mdogo!
 
Mohamed Saidi, hukuwa na sababu yoyote ya kisomi ya kumtenga pembeni (Peripherization)Nyerere ambaye alikuwa "central figure" kwenye zile harakati. Ulitakiwa upate maelezo kutoka upande wake "to be fair" badala ya kumlundikia shutuma na lawama za uzushi kama ulivyofanya. Ulikuwa na sababu gani ya kuamini tuhuma za akina Sivalon bila ya kumpa nafasi mhusika wa lawama hizo aseme chochote? Au ulikuwa unamuogopa? ulikuwa na sababu gani ya kumuogopa wakati alikuwa ameshaondoka madarakani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…