Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mzee Mohamed,Leo saa tatu na robo usiku ipo documentary moja nzuri ITV inayomhusu Mwalimu. Usiikose. Pole pia kwa radio yako kufungiwa miezi sita.

WC,

Sijapoa.

Ahsante kwa kunifariji.
Ahsante kwa taarifa ya documentary.

Iko moja Zuku History Channel walionyesha kama siku mbili tatuzilizopita
nayo ilikuwa nzuri.

Walihojiwa Jeneral Ulimwengu, Walter Bgoya, William Benjamin Mkapa,
Salma Maulid, Kenneth Kaunda, Ami Ramadhani Mpungwe, Mariam Zialor.

Katika hao asiyenijua ni Kaunda na Mkapa.
 
Wanaelewa,ila wanajitoa ufaham kwa makusudi..

Eti tunalamba buti zako,buti zako??

Wao wanataka ukweli upi zaid ya huu..

Wameishiwa hoja,wanaleta viroja...
 
Mwalimu hakuwaangusha wazee wako hawa hadi pale baadhi yao walipoanza kumchukia kwa sababu ya DINI yake. Hali ni shwari sana nchi hii isipokuwa kwa vi-pockets vichache vya hapa na pale ambavyo dola ikiamua, kwa sheria zilizopo, vinamalizika haraka tu
 
Mzee said umepoteza credibility kwangu siwezi kukuamini kamwe.

Ulinishangaza sana kusapoti kupitia radio imaan kitendo cha kihalifu walichofanya kina PONDA pale kwenye kiwanja kilichokuwa cha bakwata, na zaidi ulifurahishwa na kitendo cha msikiti ule wa muda mahala pale kupewa jina la sheikh hassan bin Ameir.
 
Mwalimu hakuwaangusha wazee wako hawa hadi pale baadhi yao walipoanza kumchukia kwa sababu ya DINI yake. Hali ni shwari sana nchi hii isipokuwa kwa vi-pockets vichache vya hapa na pale ambavyo dola ikiamua, kwa sheria zilizopo, vinamalizika haraka tu
ingekuwa enzi za nkapa angeshapotezwa huyu mzee mchochezi.
 
Jibu swali la msingi kijana Mwanakijiji na Wema Sepatu au Lulu nani maarufu?

Mimi simfahamu Mwanakijiji.

Nitakuwa sijatenda haki, ritz eeeh hapa kama unajua chess ni kwamba umeambiwa CHECK MATE
 
ingekuwa enzi za nkapa angeshapotezwa huyu mzee mchochezi.
Ukimpoteza huyu Mzee, utawapa sababu nyingine wafuasi wake kuhalalisha matendo yao ya ajabu. Kuwa karibu naye inatosha sana. Nimesikitika tu MwanaHalisi inafungiwa kwa muda usiojulikana, redio Imaan inafungiwa kwa miezi sita tu!
 
Duu! Hali ngumu kaka taangalia hata kwa jirani.
Hali ngumu ilikuwa enzi za Mwalimu. Enzi hizi za Jakaya hautakiwi kusema haya. Ni maisha bora kwa kila Mtanzania. Ukibisha muulize nduguyo zomba.
 
Last edited by a moderator:
Hali ngumu ilikuwa enzi za Mwalimu. Enzi hizi za Jakaya hautakiwi kusema haya. Ni maisha bora kwa kila Mtanzania. Ukibisha muulize nduguyo zomba.

WildCard,

Sisi watu wazima ndiyo kauli zetu hatuna majigambo.
 
Last edited by a moderator:
WildCard,

Nipe kisa cha Job Lusinde na Amon Nsekela, katika harakati za TANU.
 
Sasa nakwambia tena ukweli wewe mfuasi wa shehe Ilunga, Hizo laana mnazomuombea mwalimu Nyerere hazitakaa zimpate, zitawapata ninyi mtakuwa watu wa kulalamika hadi kiama! mara mnaonewa, mara hamtendewi haki, huku viongozi wenu wakivaa ndala zilizo chanika....

Hapo ndipo mtajua huyo Mungu mnaemwomba atoe laana ni wa kweli au feki.....
 
WildCard,

Nipe kisa cha Job Lusinde na Amon Nsekela, katika harakati za TANU.
Nawafahamu kidogo sana wazee hawa. Mzee Lusinde nilimfahamu wakati ule wa Cabinet ya kwanza ya Mwalimu, baadae akawa balozi wetu kule China. Amon Nsekela naye nilimsikia kwenye ubalozi na mabenki yetu hapa nchini. Wote hawa hawakutuibia kwenye taasisi walizoziongoza hadi wanastaafu.
 
Unaweza kututajia kamati ya utendaji ya TAA.
 
Nilidhani unajua habari zao wakati wa TANU.

Job Lusinde na Amon Nsekela nani alikuwa balozi wa Tanzania nchini Uingereza?
 
Unaweza kututajia kamati ya utendaji ya TAA.

Sasa nakwambia tena ukweli wewe mfuasi wa shehe Ilunga, Hizo laana mnazomuombea mwalimu Nyerere hazitakaa zimpate, zitawapata ninyi mtakuwa watu wa kulalamika hadi kiama! mara mnaonewa, mara hamtendewi haki, huku viongozi wenu wakivaa ndala zilizo chanika....

Hapo ndipo mtajua huyo Mungu mnaemwomba atoe laana ni wa kweli au feki.....
 
Una habari zozote za Tanganyika kama nchi chini ya udhamini wa umoja wa mataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…