Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mzee Mohamed,Leo saa tatu na robo usiku ipo documentary moja nzuri ITV inayomhusu Mwalimu. Usiikose. Pole pia kwa radio yako kufungiwa miezi sita.
WC,
Sijapoa.
Ahsante kwa kunifariji.
Ahsante kwa taarifa ya documentary.
Iko moja Zuku History Channel walionyesha kama siku mbili tatuzilizopita
nayo ilikuwa nzuri.
Walihojiwa Jeneral Ulimwengu, Walter Bgoya, William Benjamin Mkapa,
Salma Maulid, Kenneth Kaunda, Ami Ramadhani Mpungwe, Mariam Zialor.
Katika hao asiyenijua ni Kaunda na Mkapa.