Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wanajamvi,
Mara nyingi tumemsikia Mohamed akimtuhumu Mkapa wakati akiwa mhariri wa magazeti.
Hivi karibuni alimtuhumu Mkapa kama mshabiki wa kifo cha EAMWS akiwa na Martin K.
Alimtuhumu kwa kushindwa kuelezea kifo cha Sykes, mtu muhimu sana katika taifa.

Nimemuuliza kuwa Amir Kweyamba anaaungikia wapi katika makundi yake (wazee wake au vibaraka).
Mohamed amesema hilo hana haja ya kulijibu. Japo kaonyesha uungwana kidogo wa kusema hivyo na si dharau na kejeli.

Mantiki ya hapo juu ni kuwa Mkapa anatuhumiwa si kwasababu ya utendaji wake(uwe mzuri au mbaya) bali njia mojawapo ya kumhusisha yeye na Nyerere na Kanisa ili kukidhi matakwa ya kila siku ya ya kujenga historia kwa kutanguliza maoni yake yakifuatiwa na majina na mikasa.

Mohamed ameshindwa kusema Amir Kweyamba ni wa kundi gani kwasababu huyu ni miongoni mwa waliokuwa wanafuatilia nyendo za Sheikh na wenzake. Mohamed anatatizika kusema ni kibaraka kwasababu hizi

1. Ni mwislam na historia yake watatajwa tu lakini si kueleza uovu wao kwa kushirikiana na ''dhalimu''
Kuwasema kutaondoa maana nzima ya waislam kuwa bega kwa bega na Nyerere na kwamba hakukuwa na hujuma zilizofanywa na kundi jingine isipokuwa waislam wenyewe kwa wenyewe.

2. Kumsema Amir Kweyemba kutaondoa dhana ya Nyerere kupandikiza vibaraka BAKWATA kwasababu zama hizo BAKWATA haikuwepo. Anachokikwepa ni kusema ukweli kwamba failure na sucess za waislam hazikuwa na mkono wa kundi analotuhumu bali wao wenyewe.

3. Kutandoa dhana kuwa wakristo walipinga uhuru kwasababu Amir Kweyamba naye si alifanya kazi special unit ya kuwapiga vita wazee wake, sasa hoja kuwa wapo waliopinga itatoka wapi.

Historia ilipaswa umwangalie Amir Kweyamba aliyezuaia harakati mapema kabisa zaidi kuliko mhariri wa gazeti bw. Mkapa aliyefuata baada ya uhuru na ambaye nafasi yake ni finyu kwa nyakati hizo.

Kwa vile lengo ni kupandikiza fikra za chuki hasa dhidi ya ukristo, Mohamed anachagua maovu na waovu wa kuwasema na hapa Mkapa si mwandishi bali Mkristo.Kwa mantiki hiyo hata pale alipofanya vizuri, Mohamed hatathubutu kuandika ili kutokinzana na simulizi yake.

Historia ni ''dead subject'' kwamba imekamilika kama ilivyo na haina nafasi ya evolution.
Anachokihadithia Mohamed ni kweli kilitokea kwa maana ya kuwa watu anaowataja walikuwepo, harakati zilikuwepo n.k. Ni ukweli Sykes walikuwepo, kama Mshume, Kyaruzi, Boman, Rupia, Chaurembo, Sheikh Amir n.k.

Historia yake inageuga kuwa ngano kwasababu, kwanza amejenga hisia halafu akaweka matukio juu ya hisia zake.
Hapo ndipo historia inakuwa hisia. Kwa vile anashindana na nguvu ya historia isiyohitaji ''evolution'' amekwama sana katika kujibu hoja, amejikita katika kukimbia hoja na kujiingiza katika trivial things za spelling ili mradi kujisitiri.

Kwa vile historia yake imejengwa katika hisia, Mohamed amejikuta anashambulia wakristo kwa majina na dini zao.
Hilo halikutokea kwa wazee wake hata kama walikuwa ''wahalifu'' kama Amir Kweyamba.
Huyu angekuwa mkristo hicho kingekuwa kiambata cha jina lake.
Hisia zake ndizo zimepelekea kusahau makundi mengine hasa wasio na dini walioshiriki uhuru.

Lengo lake la kuushambulia ukristo kwa hisia na si kwa historia iliyokuwepo limepelekea Mohamed kuwa katika wakati mgumu sana na Wazanzibar na Wanazuoni wengine.

Anamshambulia Nyerere kwa kuandaa mapinduzi huku Ali Hassan, Nosor Moyo, Jumbe na wengine wapo hai na anakutana nao kila mara bila kuwahoji.

Juzi WZNZ waliadhimisha mapinduzi, nikamuuliza Mohamed,je angewambia nini kuhusiana na hilo.
Hakuwa na jibu kwasababu historia ya mapinduzi ya ZNZ inamsuta na wanamapainduzi wanamsuta, waandishi kama Ahmed Rajab wanamsuta hadharani. Hii ni kwanini? Jibu ni rahisi alipokuwa anaandika alitafuta namna ya kumhusisha Nyerere na mapinduzi ili kudhihirisha chuki ya Nyerere dhidi ya Waislam na ushiriki wa kanisa katika dhulma ya waislam.

Hadi hapo kilichobaki ni nini kama si ngano na tamthilia.
Mohamed hakuna swali hapo, hii ni kwa wasomaji.

Nimekusoma na naheshimu fikra zako.
 
Nafurahi ninapoona watanzania wenzangu waliopevuka na wenye fikra sahihi katika dunia hii!

Mkuu umetoa mawazo mujarabu sana nami naheshimu sana na kukuita wewe ni tunu ya taifa hili.
 
NONDO zinazoshuka humu,lazima mtu uwe na afya-maana unaweza pata heart attack-naona Mohamed Said watu wanakwenda toe to toe na wewe na huu mpambano una kila dalili ya knockout- asanteni kwa shule
 
Last edited by a moderator:
Mohammed Said naomba niulize swali la moja kwa moja: Je wakati wa kupigania uhuru wazee ambao unawazungumzia sana humu walifanya harakati hizo kwa sababu ya kutaka Waislamu wapate haki zaidi au kufurahia yale ambayo walikuwa hawayafuraii chini ya mfumo Kristu wa Kikoloni? Au ni kitu gani kiliwaongoza kupigania uhuru kama siyo kupigania uhuru ili Waislamu wanufaike zaidi?
 
NONDO zinazoshuka humu,lazima mtu uwe na afya-maana unaweza pata heart attack-naona Mohamed Said watu wanakwenda toe to toe na wewe na huu mpambano una kila dalili ya knockout- asanteni kwa shule

Kwa kweli ndugu yangu Allah ana mambo ya ajabu sana.

Mzee wangu Ahmed Rashad Ally alikuwa akinambia kuwa ulipoanza msuguano kuhusu historia ya TAA na kejeli zikaanza
kusikika kubeza jitahada za Abdu na kukiita chama cha TAA chama cha ''starehe,'' TAA haikuwa chochote hadi alipokuja
Nyerere nk Abdu alikuwa akitiwa shinikizo na rafiki zake ajibu.

Abdu alikataa.

Hata pale ilipokuwa ikisemwa kuwa TANU imeasisiwa na Nyerere Abdu alikuwa kimya.
Hakutaka kusema lolote.

Abdu alinyamaza kimya hadi anaingia kaburini.

Hakupata kusema kuwa yeye ndiye aliyemtia Nyerere kwenye uongozi wala kusema hata hiyo ofisi ya TANU
ilipozaliwa hiyo TANU yenyewe alijenga baba yake miaka mingi huko nyuma.

Abdu hakutaka kusema chochote kuhusu historia ya TANU.

Alikuwa kimya hadi umauti ulipomfika mwaka 1968.

Leo miaka mingi baada ya kifo chake tumo humu JF maisha yake yanahadithiwa na ukweli wa mchango wake
kwa uhuru wa Tanganyika unaadhimishwa.

Nimehadhiri vyuo vikuu viwili Amerika kuhusu maisha yake na mchango wake katika uhuru wa Tanganyika.
Majarida maarufu ya historia Amerika na Ulaya yamechapa ''reviews'' ya kitabu chake.

Haya ndiyo maajabu ya Allah.

Kama ni ''knockout'' ''opponent'' alishaanguka siku nyingi.
Hapa mnashuhudia ''replay.''
 
Mohamed Said ,nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo kwenye kipande nilichoweka hapo chini. Umeelezea kifo cha Kighoma Malima halafu baada ya kifo tu ukaweka hiyo sentensi ya Cardinal Polycarp Pengo kutoa tamko kuhusu kumdhibiti Kighoma Malima kwa sababu uamuzi wake wa kugombea nje ya CCM.
Hii ni style ya uandishi wako tu au ulikuwa unalenga kulihusisha Kanisa na kifo cha Malima kwa kuchomeka hiyo sentensi ya mwisho?
Kwa sababu hilo tamko ni shutuma nzito kwa cardinal , unaweza ukatuonyesha ni wapi iwe kwenye gazeti au record yeyote aliposema hayo?

Unasema ni shutuma nzito kwa Cardinal Pengo.
Kama ikiwa tujaalie ni kweli kasema maneno hayo.

Sasa itakuwa nini?
Au mathalan nimemsingizia Cardinal Pengo hakusema.

Itakuwaje vilevile?

Naweka hapa kipande kwa wanaukumbi kusoma na kutafuta ukweli:

In his last act in before his death in London, Prof. Malima took wudhu (ablutions) as if he was getting ready for salat (prayers).

Around 01:25 hrs in the morning he laid down in bed. At around 01:30, precisely five minutes, he rose suddenly as if from a deep dream and said softly and pleasantly, "Alhamdulillah.' (All praise and gratitude is for Allah).

He then fell back again in a sleeping posture.

He was gone.

Polycarp Pengo head of the Catholic Church Dar es Salaam Region, issued a statement calling Prof. Malima a " highly dangerous individual who had to be contained"[1] for his decision to stand as presidential candidate outside CCM.

A new journal,
Tanzania Analysis in its maiden issue carried a report that Prof. Malima was part of a plot to smuggle arms into the country to be used by "Muslim fundamentalists" to disrupt the coming general elections.

[2]
This was a treasonable offence if the allegations could have been substantiated Prof. Malima would have been arrested for treason. But his enemies knew that what was being hurled at Prof. Malima was all lies but they had a mission to fulfil nothing mattered.

[1] Majira, 24 July, 1995. Amidst this conflict between Muslims and the government, it was published by the press that Muslims were to embark on a systematic campaign to elect a Muslim president in the elections of 1995. This in its entirety was a mere psychological warfare unleashed by the Christian Lobby upon Muslim ministers in the cabinet who anyway were far from Muslim politics. The bombardment from the press and within the Parliament was so overwhelming to those Muslims ministers mentioned by Muslims as possible presidential candidates that they had to stand up in the Parliament as Muslims to deny their capability to lead the country and disassociated themselves from the Muslim movement. Prof. Malima refused to be humiliated; he was of the opinion that the move by Muslim ministers was un-called for and unnecessary. To him Muslim ministers were just as qualified as any Christian to aspire for the presidency. His signature was not among those which Muslim ministers issued to the press as binding document of their commitment not to aspire for the highest office in the land. Jakaya Mrisho Kikwete later to become president of the country was among the signatories.

[2] Tanzania Analysis, 22 July, 1995. It was later revealed that the journal had its offices in BAKWATA building.
 
Mohammed Said naomba niulize swali la moja kwa moja: Je wakati wa kupigania uhuru wazee ambao unawazungumzia sana humu walifanya harakati hizo kwa sababu ya kutaka Waislamu wapate haki zaidi au kufurahia yale ambayo walikuwa hawayafuraii chini ya mfumo Kristu wa Kikoloni? Au ni kitu gani kiliwaongoza kupigania uhuru kama siyo kupigania uhuru ili Waislamu wanufaike zaidi?

Wazee wangu walipigania uhuru ili wajikomboe na madhila ya kutawaliwa.
Hapakuwa na mpango mwingine wowote.

Historia ipo wazi kabisa katika hili.
Madhila ya ukoloni hayahitaji maelezo.

Yanafahamika.
 
Kuna njama za makusudi zinafanywa za kubadilisha historia ya Tanganyika...sasa hivi, kwa mfano historia ya AA imebadilishwa (kulingana na wikipedia) ili isomeke hivi;
The Tanganyika African Association (TAA) was a Tanganyikan political association, formed in 1929. It was founded by civil servants including Ali Saidi, members...
Kwa mtindo huu tusije tukashangaa siku moja historia ya TANU nayo ikibadilishwa na kusomeka hivi mitandaoni
The Tanganyika African National Union (TANU) was a Tanganyikan political association, formed in 1954. It was founded by political activists including Abdu Sykes, members...
Wow! Hapa nina katuswali tuwili tu...

  1. Naomba yeyote mwenye ufahamu anitajie kwa majina viongozi wakuu wa AA toka iundwe mwaka 1929 mpaka inabadilika na kuwa TAA na viongozi wakuu wa TANU toka iundwe mwaka 1954 mpaka tunapata uhuru mwaka 1961.
  2. Je hawa viongozi walipatikanaje...walichaguliwa? Na kama walichaguliwa, sifa kuu zilikuwa zipi?
 
Kuna njama za makusudi zinafanywa za kubadilisha historia ya Tanganyika...sasa hivi, kwa mfano historia ya AA imebadilishwa (kulingana na wikipedia) ili isomeke hivi;

Kwa mtindo huu tusije tukashangaa siku moja historia ya TANU nayo ikibadilishwa na kusomeka hivi mitandaoni

Wow! Hapa nina katuswali tuwili tu...

  1. Naomba yeyote mwenye ufahamu anitajie kwa majina viongozi wakuu wa AA toka iundwe mwaka 1929 mpaka inabadilika na kuwa TAA na viongozi wakuu wa TANU toka iundwe mwaka 1954 mpaka tunapata uhuru mwaka 1961.
  2. Je hawa viongozi walipatikanaje...walichaguliwa? Na kama walichaguliwa, sifa kuu zilikuwa zipi?

Ikiwa AA imeandikwa hivyo usemavyo hayo ni makosa huenda aliyeandika hana ujuzi na hilo aliandikalo.
Hii ndiyo hatari ambayo mimi niliiona siku nyingi.

Laiti TANU wenyewe wangeliandika historia yao kwa ukweli haya yote yasingelitokea hivi sasa.
Mimi sijaona hicho kipande kutoka Wikipedia hivi ninavyoandika lakini Insha Allah nitapita huko.

Nakuwekea hapa historia ya kuasisiwa AA kwa muhtsari kama nilivyoandika katika kitabu changu:

Mwaka wa 1929 Kleist na baadhi ya rafiki zake wa karibu kama Mzee bin Sudi, ambaye wazazi wake walikuwa Wamanyema kutoka Belgian Congo, Ibrahim Hamis - Mnubi ambaye baba yake alitoka Daffur nchini Sudan, Zibe Kidasi, Ali Said Mpima - Mzaramo, Suleiman Majisu, Raikes Kusi, Rawson Watts na Cecil Matola - Myao kutoka Masasi walianzisha African Association, Kleist akiwa katibu muasisi.

Wakati ule Gavana wa Tanganyika alikuwa Sir Donald Cameron ambae alitawala Tanganyika kuanzia mwaka wa 1925 - 1929. Cameron alikuwa gavana mliberali na alikuwa akifahamiana na Kleist. Cameron ndiye aliyeanzisha Baraza la Kutunga Sheria la kwanza na mfumo wa Indirect Rule katika Tanganyika. Msimamo wake huu ndiyo hasa uliochangia katika kuwezesha kunzishwa kwa African Association.

Lakini juu ya haya yote, chama hiki kiliaswa kisijiingize kabisa katika siasa. Wakati chama hiki kinaanza tayari kulikuwepo na chama cha Wazungu na Waasia. Lakini katika Baraza la Kutunga Sheria Waafrika walikuwa wakiwakilishwa na padri wa Kikatoliki, Father Gibbons, ambae hakuwa hata anaishi na Waafrika bali akikaa Minaki Misheni nje ya Dar es Salaam. Abdulwahid anakumbuka baba yake akimwambia sababu ya kuanzishwa kwa African Association:

''Wakati ule vilikuwepo vyama viwili. Kilikuwapo European Association na Indian Association. Vyote viwili vilishugulika na watu wao wenyewe. Lakini Waafrika hawakuwa na chama kama hicho kuwatetea. Katika Baraza la Kutunga Sheria Waafrika waliwakilishwa na mmishionari Mzungu jina lake Father Gibbons, aliyekuwa akifanya kazi Misheni ya Minaki maili kadhaa nje ya Dar es Salaam. Lakini kwa hakika mzungu huyu hakuwa na uhusiano wowote na Waafrika aliokuwa akiwawakilisha. Kwa ajili hii Waafrika walipohisi hawawakilishwi na hawana chama kama kile cha Wazungu na Waasia kutafuta haki zao, walikutana na kuamua kuunda chama chao wenyewe.''

Kwa bahati mbaya sina taarifa za viongozi wake wote lakini ukitaka kusoma zaidi kuhusu AA soma kitabu cha John Illife (Editor) ''Modern Tanzanians'' ndani kuna biography mbili: Kleist Sykes the Townsman na Ali Ponda and Hassan Suleiman zilizoandikwa na Aisha Daisy Sykes na Hajyvoyannis hizi zitakupa mengi kuhusu AA.

Mwaka 1948 AA ilibadilika kuwa TAA baada ya Zanzibar kuunda association yao.

Historia ya TANU ni maarufu.

Kama yupo mwanaukumbi ana taarifa zaidi tafadhali atujuvye.
 
NONDO zinazoshuka humu,lazima mtu uwe na afya-maana unaweza pata heart attack-naona Mohamed Said watu wanakwenda toe to toe na wewe na huu mpambano una kila dalili ya knockout- asanteni kwa shule

Ndugu yangu haya mambo ni ya kawaida sana kwetu sisi ambao wazee wetu walishiriki katika ukombozi wa Tanganyika.
Hivyo vituko na mikasa sasa imebaki historia ya kuhadithiwa mtu akacheka akasikitika nk.

Zuberi Mtemvu walinuniana na Nyerere kuanzia 1958 hawakusema hadi mwisho wa maisha yao.

Mimi niikuwa nikitaka kumchemsha Mzee Mtemvu (alikuwa jirani yangu akija kwa wanawe hapa Dar es Salaam kutoka Morogoro miaka ya mwisho wa uhai wake) namwambia ''Baba mbona Nyerere akikuita kibaraka umetoka TANU kuanzisha chama chako cha Congress kuwavunja wenzako nguvu...''

Hapo ndiyo utamsikia atakavyosema, ''Yeye Nyerere kawaleta Wazungu na Waasia katika TANU hebu niambie hawa walikuwa na shida gani katika Tanganyika. Nyerere ndiye msaliti katusaliti Waafrika kwenye Kura Tatu mwaka 1958. Hii ndiyo iliyonifanya mie nitoke TANU''

Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa.
Sasa ikiwa unaandika historia staili ya Kivukoni College haya utakuwa huyapati kabisa hata kwa mbali.
 
Hata waziri/naibu wa elimu/wakurugenzi wote baraza la mitihani/necta/watungaji/wasahihishaji mitihani wote wangekuwa ni waislam, bado waislam mngeendelea kulalama kuna mfumo kristo. Mkristo hana sababu ya kulalamikia NECTA ukizingatia mitihani ipo pale karibu mwaka mzima baada ya kusahihishwa...kama umeonewa ni suala la kuappeal tu...
Jamaa wanakuandikia mfumo ulivyo kwa wazi kabisa na ushahidi, wewe unaleta dhana zako za hovyo zilizojaa udini. unachafua uzi tu.
 
Kwa kweli ndugu yangu Allah ana mambo ya ajabu sana.

Mzee wangu Ahmed Rashad Ally alikuwa akinambia kuwa ulipoanza msuguano kuhusu historia ya TAA na kejeli zikaanza
kusikika kubeza jitahada za Abdu na kukiita chama cha TAA chama cha ''starehe,'' TAA haikuwa chochote hadi alipokuja
Nyerere nk Abdu alikuwa akitiwa shinikizo na rafiki zake ajibu.

Abdu alikataa.
Hata pale ilipokuwa ikisemwa kuwa TANU imeasisiwa na Nyerere Abdu alikuwa kimya.
Hakutaka kusema lolote.

Abdu alinyamaza kimya hadi anaingia kaburini.

Hakupata kusema kuwa yeye ndiye aliyemtia Nyerere kwenye uongozi wala kusema hata hiyo ofisi ya TANU
ilipozaliwa hiyo TANU yenyewe alijenga baba yake miaka mingi huko nyuma.

Abdu hakutaka kusema chochote kuhusu historia ya TANU.
Alikuwa kimya hadi umauti ulipomfika mwaka 1968.

Haya ndiyo maajabu ya Allah
Kama ni ''knockout'' ''opponent'' alishaanguka siku nyingi.
Hapa mnashuhudia ''replay.''
Wanajamvi, tuendelee kuangalia mtitiriko wa ngano kwa macho mawili.

Huko nyuma Mohamed amesema kuwa alipoandika kitabu chake Nyerere alikuwa hai na alikaa kimya bila kusema lolote pengine Mohamed akichukulia kuwa huo ni ushahidi wa Nyerere kukubalina na kitabu chake au udhaifu wa Nyerere kuzikabili hoja zake.

Huko nyuma Mohamed amesema baada ya kusoma kitabu chake, Profesa Haroub Othman kipenzi cha Nyerere kabla, alibadili mawazo na kumwendea Nyerere kumueleza aandike jambo kuhusu yasemayo kwasababu kukaa kimya kunatoa taswira na hisia tofauti. Nyerere alikaa kimya hadi anaingia kaburini

Kuna mambo tunajifunza kutoka kwa Abdu Sykes na Nyerere. Wote wanakitu wanafafana katika baadhi ya mambo.
Wote wawili walikaa kimya kuhusu historia ya TAA,TANU na hata majengo waliyotumia katika harakati.
Wote walikaa kimya hata pale walipopata shinikizo la kutakiwa kusema jambo.
Wote hawakupenda kuongelea yaliyotokea.
Wote hawakuandika vitabu kuhusu maisha yao binafsi ya kisiasa na harakati zao katika uhuru
Wote walikaa kimya hadi walipoingia kaburini kwa nyakati tofauti.

Hakuna anayeweza kujua hekima zao kukaa kimya hadi wanaingia kaburini.
Inatosha kusema kuwa huenda ni kuchelea kuligawa taifa au tu ni kwasababu hawakupenda kuzifanya jitihada zao kama silaha za vizazi vijavyo kwani hilo halikuwa lengo la kazi yao. Narudia, hakuna ajuaye kwanini walikaa kimya.

Wanapotokea watu na kuyatumia majina yao kufikia malengo yao au kukidhi haja zao za kibinadamu na hali, si kuwatendea haki hata kidogo zaidi ya kuudharau na kuudhalilisha mchango wao.

Hakuna mahali Mohamed amemkariri Abdu Sykes akidai kuwa harakati zake zililenga kuwakomboa Waislam
Hakuna mahali Mohamed amemkariri Nyerere akisema kuwa harakati zake zilikuwa kumkomboa Mkatoliki.
Ushujaa wa kudai wasichokisema hawa manguli waliobobea, sisi makapuku tunaupata wapi na kwanini na faida ta nani?

Kinachofikirisha zaidi ni kuwa Abdu Sykes na Nyerere wana mfafano(similarity) katika jambo hili.
Vipi mmoja wao apewe sifa za ukimya na mwingine abebe rungu zito la hukumu ya historia kwa ukimya ule ule?

Kwanini Nyerere ahukumiwe kwa kutojibu kitabu cha Mohamed, na Sykes asikuhumiwe kwa kutojibu kitabu cha kivukoni?
Kwanini Nyerere ahukumiwe kwa kutoandika kitabu cha historia kama alivyoshauriwa na Prof Othman lakini Sykes asihukumiwe kwa kutokubali shikizo la rafiki zake?

Kwanini Nyerere ahukumiwe kwa ukimya hadi alipoingia kaburini, na Sykes apewe sifa kwa ukimya wakati anaingia kaburini?

Hadi hapo tunaona kuwa hukumu ya Nyerere ilishaandaliwa kabla hajasomewa mashtaka, na mashtaka hayakuandaliwa kwa makosa yake bali kwasababu tu ni Nyerere mkatoliki kwa mintaarafu ya Mohamed Said.

Flip flop katika mambo ya kihistoria ni kitendo cha kutisha.
Historia ni dead subject iliyo katika facts. Ukiifanyia ''doctoring'' hukawii kukwama.

Tunaona double standard, gross interpretation and misrepresentation iliyochagizwa na prejudice.

.
 
Wazee wangu walipigania uhuru ili wajikomboe na madhila ya kutawaliwa.
Hapakuwa na mpango mwingine wowote.

Historia ipo wazi kabisa katika hili.
Madhila ya ukoloni hayahitaji maelezo.

Yanafahamika.

Kwa hiyo katika harakati zao hawakutumia dini yao kama msingi wa kupiga vita ukoloni na hawakufanya hivyo kwa sababu walikuwa ni Waislamu bali walikuwa ni watu waliokuwa katika kukandamizwa kule kule sivyo?

Je Wakristu weusi wakati wa Ukoloni maisha yao yalikuwa bora kwa kiasi gani hasa katika maeneo kama Dar? Je wale Wakristu walioupinga Ukoloni (ambao uliletwa na Wakristu wenzao) walifanya hivyo kwa sababu gani?

Kwanini unafikiri Wakristu - kama Nyerere, John Rupia, Kyaruzi, Mhando na wengine wengi walishiriki kikamilifu kupiga vita ukoloni?

Kwanini unafikiri Wakristu na Waislamu hawa walishirikiana pamoja - bila kujali dini zao - kumpinga vita mkoloni?
 
Hakupata kusema kuwa yeye ndiye aliyemtia Nyerere kwenye uongozi wala kusema hata hiyo ofisi ya TANU
ilipozaliwa hiyo TANU yenyewe alijenga baba yake miaka mingi huko nyuma.

Mzee Said wewe mwenyewe kwenye kitabu chako unaonesha kuwa Sykes aligombea dhidi ya Nyerere na alishindwa? Skykes alikataliwa na wazee wenzie wa Dar na Nyerere alikubaliwa. Ndivyo ulivyoandika unless nimesoma vibaya kuwa Skyes alijitoa kwenye uchaguzi ili kumpisha Nyerere.
 
Mzee mohamed said,hauna kazi nyingine za kufanya maana muda wote umo humu ukijibu hoja pasipo kuwaridhisha wanajamvi. Ufanye na kazi babu au hii ndo kazi bakwata wanakulipa per d m?
 
may be wewe ndiye uliekosa kazi ya kufanya,wenzako wanajadili hoja wewe unamjadili mtu.

kwa taarifa yako haya mambo yanayozungumzwa humu yanafuatiliwa na watu wote wenye akili timamu na werevu,na anayoyasema yana mantiki kubwa,kama huwez kuinga'amua ondoka tuachie mjadala wetu
 
Jamaa wanakuandikia mfumo ulivyo kwa wazi kabisa na ushahidi, wewe unaleta dhana zako za hovyo zilizojaa udini. unachafua uzi tu.
Tumeshatoka huko, na hapo nilikuwa namjibu ndugu yako aliyekuwa anasema kuna upendeleo wa dini NECTA...Ulitaka nimjibuje?
 
Unasema ni shutuma nzito kwa Cardinal Pengo.
Kama ikiwa tujaalie ni kweli kasema maneno hayo.

Sasa itakuwa nini?
Au mathalan nimemsingizia Cardinal Pengo hakusema.

Itakuwaje vilevile?

Naweka hapa kipande kwa wanaukumbi kusoma na kutafuta ukweli:

In his last act in before his death in London, Prof. Malima took wudhu (ablutions) as if he was getting ready for salat (prayers).

Around 01:25 hrs in the morning he laid down in bed. At around 01:30, precisely five minutes, he rose suddenly as if from a deep dream and said softly and pleasantly, "Alhamdulillah.' (All praise and gratitude is for Allah).

He then fell back again in a sleeping posture.

He was gone.

Polycarp Pengo head of the Catholic Church Dar es Salaam Region, issued a statement calling Prof. Malima a " highly dangerous individual who had to be contained"[1] for his decision to stand as presidential candidate outside CCM.

A new journal,
Tanzania Analysis in its maiden issue carried a report that Prof. Malima was part of a plot to smuggle arms into the country to be used by "Muslim fundamentalists" to disrupt the coming general elections.

[2]
This was a treasonable offence if the allegations could have been substantiated Prof. Malima would have been arrested for treason. But his enemies knew that what was being hurled at Prof. Malima was all lies but they had a mission to fulfil nothing mattered.

[1] Majira, 24 July, 1995. Amidst this conflict between Muslims and the government, it was published by the press that Muslims were to embark on a systematic campaign to elect a Muslim president in the elections of 1995. This in its entirety was a mere psychological warfare unleashed by the Christian Lobby upon Muslim ministers in the cabinet who anyway were far from Muslim politics. The bombardment from the press and within the Parliament was so overwhelming to those Muslims ministers mentioned by Muslims as possible presidential candidates that they had to stand up in the Parliament as Muslims to deny their capability to lead the country and disassociated themselves from the Muslim movement. Prof. Malima refused to be humiliated; he was of the opinion that the move by Muslim ministers was un-called for and unnecessary. To him Muslim ministers were just as qualified as any Christian to aspire for the presidency. His signature was not among those which Muslim ministers issued to the press as binding document of their commitment not to aspire for the highest office in the land. Jakaya Mrisho Kikwete later to become president of the country was among the signatories.

[2] Tanzania Analysis, 22 July, 1995. It was later revealed that the journal had its offices in BAKWATA building.
Hizi ndiyo Ngano wanazozisema wanajamvi. Nilikubandikia kitu hichohicho nilipokuuliza na wewe unakibandika tena kama jibu la hoja. Kwa ufupi ni hauna ushahidi wowote wa Cardinal Pengo kusema maneno hayo. Hauna. Mzee hauna haya weye...Yaani unatunga uongo ili kuchochea chuki za waislam dhidi ya Kanisa!? Ili iweje??
 
Swali kwa @[Mohamed said]

Siku za nyuma, kwenye threads zako tulitofautiana katika mambo kadhaa, wewe ukiwa unasaidiwa na barubaru, mdondoaji, faizafoxy na topical just to mention a few. Katika mambo ambayo tulitofautiana ni pamoja na misingi ya "historia" yako kwamba:

1. Vita ya maji maji ilikuwa ni baina ya Waislam na Wakristo.

2. Hapa nchini kuna waislam na wakristo tu, hamna wapagani.

3. Majina yanaashiria dini fulani, kwa mfano Ally Songea lazima alikuwa muislam, na John Smith lazima alikuwa mkristo.

4. Kwamba kwa ujumla, waislam Tanzania ni wengi kuliko wakristo, ila kwasabau ya kukandamizwa/uonevu kwa waislam, ndio maana waislam wanakuwa wachache katika elimu ya juu, makazini na serikalini

5. Kwamba kanisa katoliki (Tanzania) lilikuwa na bado lina uadui na uislam na lina mpango mkakati wa kudhoofisha uislam afrika mashariki.

6. Mkatoliki Nyerere alikuwa anatimiza maagizo ya kanisa kuutokomeza uislam na ndio maana hata wizara ya elimu iliwahi kuongozwa na padre, na kwamba hata kupendekezwa kwake na kanisa kwenye sainthood kunatokana na kazi aliyofanya ya kudhibiti uislam.

Je bado unaamini kama nilivyoeleza hapo juu? Kama bado unaamini nitaomba ufafanuzi japo kidogo, sababu ya kuamini kwako.

Naomba swali hili lijibiwe na Mohamed Said na si mwingine wa "upande" huo.
 
Back
Top Bottom