Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wanajamvi, tuendelee kuangalia mtitiriko wa ngano kwa macho mawili.

Huko nyuma Mohamed amesema kuwa alipoandika kitabu chake Nyerere alikuwa hai na alikaa kimya bila kusema lolote pengine Mohamed akichukulia kuwa huo ni ushahidi wa Nyerere kukubalina na kitabu chake au udhaifu wa Nyerere kuzikabili hoja zake.

Huko nyuma Mohamed amesema baada ya kusoma kitabu chake, Profesa Haroub Othman kipenzi cha Nyerere kabla, alibadili mawazo na kumwendea Nyerere kumueleza aandike jambo kuhusu yasemayo kwasababu kukaa kimya kunatoa taswira na hisia tofauti. Nyerere alikaa kimya hadi anaingia kaburini

Kuna mambo tunajifunza kutoka kwa Abdu Sykes na Nyerere. Wote wanakitu wanafafana katika baadhi ya mambo.
Wote wawili walikaa kimya kuhusu historia ya TAA,TANU na hata majengo waliyotumia katika harakati.
Wote walikaa kimya hata pale walipopata shinikizo la kutakiwa kusema jambo.
Wote hawakupenda kuongelea yaliyotokea.
Wote hawakuandika vitabu kuhusu maisha yao binafsi ya kisiasa na harakati zao katika uhuru
Wote walikaa kimya hadi walipoingia kaburini kwa nyakati tofauti.

Hakuna anayeweza kujua hekima zao kukaa kimya hadi wanaingia kaburini.
Inatosha kusema kuwa huenda ni kuchelea kuligawa taifa au tu ni kwasababu hawakupenda kuzifanya jitihada zao kama silaha za vizazi vijavyo kwani hilo halikuwa lengo la kazi yao. Narudia, hakuna ajuaye kwanini walikaa kimya.

Wanapotokea watu na kuyatumia majina yao kufikia malengo yao au kukidhi haja zao za kibinadamu na hali, si kuwatendea haki hata kidogo zaidi ya kuudharau na kuudhalilisha mchango wao.

Hakuna mahali Mohamed amemkariri Abdu Sykes akidai kuwa harakati zake zililenga kuwakomboa Waislam
Hakuna mahali Mohamed amemkariri Nyerere akisema kuwa harakati zake zilikuwa kumkomboa Mkatoliki.
Ushujaa wa kudai wasichokisema hawa manguli waliobobea, sisi makapuku tunaupata wapi na kwanini na faida ta nani?

Kinachofikirisha zaidi ni kuwa Abdu Sykes na Nyerere wana mfafano(similarity) katika jambo hili.
Vipi mmoja wao apewe sifa za ukimya na mwingine abebe rungu zito la hukumu ya historia kwa ukimya ule ule?

Kwanini Nyerere ahukumiwe kwa kutojibu kitabu cha Mohamed, na Sykes asikuhumiwe kwa kutojibu kitabu cha kivukoni?
Kwanini Nyerere ahukumiwe kwa kutoandika kitabu cha historia kama alivyoshauriwa na Prof Othman lakini Sykes asihukumiwe kwa kutokubali shikizo la rafiki zake?

Kwanini Nyerere ahukumiwe kwa ukimya hadi alipoingia kaburini, na Sykes apewe sifa kwa ukimya wakati anaingia kaburini?

Hadi hapo tunaona kuwa hukumu ya Nyerere ilishaandaliwa kabla hajasomewa mashtaka, na mashtaka hayakuandaliwa kwa makosa yake bali kwasababu tu ni Nyerere mkatoliki kwa mintaarafu ya Mohamed Said.

Flip flop katika mambo ya kihistoria ni kitendo cha kutisha.
Historia ni dead subject iliyo katika facts. Ukiifanyia ''doctoring'' hukawii kukwama.

Tunaona double standard, gross interpretation and misrepresentation iliyochagizwa na prejudice.

Hayo ndio maajabu ya Allah.
Anatetea marehemu bila uwepo wao , leo historia ya Nyerere na Sykes inahadithiwa vyuoni Marekani.

Bondia anaweza pigwa kwa knockout, unanimous decision au technical knockout.

Hayo ndio makosa makubwa yaliyo kwenye kitabu cha Mohamed Said anayoyatetea kwa nguvu huku akikwepa baadhi ya hoja nzito!

Kimantiki Mohamed amewalisha maneno Nyerere na Sykes

Amewaamulia yeye, lakini ukikisoma kitabu chake chote mpaka ganda lake hakuna aliponukuu mahojiano ya Nyerere au Sykes! Zaidi imewekwa hisia au lengo la Mohamed Said tu.

Hii ndio hatari inayotukumba watanzania!

Nilieleza katika moja ya post zangu hapo juu kuwa ili ufahmu historia ya AA,TAA na TANU nilazima utulie sana na uangaze kuanzia ideology yao,

Kwa wazee wetu hawa wanaukombozi wa Tanganyika, ideology yao ileile ya AA iilitoka ikibadilika kibaiolojia hadi TANU na uhuru kamili ndani ya mapito yao kulikuwa na mageuzi mengi sana, kwanza kutoka uanaharakati na kuingia uanasiasa. Hapa ndipo palipo anza kuzaliwa makundi ya kisiasa kama ilivyo kwenye siasa za leo, na moja ya uchaguzi mgumu ni ule wa kura tatu wa 1953 uliomwingiza Mzee Nyerere kuwa rais wa TAA na kumbwaga mpinzani wake kisiasa Mzee Sykes!

Sasa Mohamed Said huenda anatumia makovu hayo ya kisiasa kufarakanisha watu,

Asilo lizingatia Mohamed ni kuwa wahusika hawakutoa neno lolote juu yao mpaka wanaingia kaburini zaidi ya hisia za mashabiki wao tu ambazo leo yeye Mohamed Said anatumia kupotoshea watu kwa minajri yake.

Nimeeleza kidogo kuwa moja ya makosa katika *ngano* za Mohamed Said ni kuakisi kuanzia miaka ya 1950,

Sasa kwamwanahistoria usie makini unaeziangaza harakati za ukombozi kwa miaka hiyo ya 1950 nilazima utaibuka na dhana yako sio ya historia husika,
 
Kaka! kweli umekisoma kitabu chote cha Mohamed Said.
 
hayo ndio makosa makubwa yaliyo kwenye kitabu cha mohamed said anayoyatetea kwa nguvu huku akikwepa baadhi ya hoja nzito!

Kimantiki mohamed amewalisha maneno nyerere na sykes

amewaamulia yeye, lakini ukikisoma kitabu chake chote mpaka ganda lake hakuna aliponukuu mahojiano ya nyerere au sykes! Zaidi imewekwa hisia au lengo la mohamed said tu.

Hii ndio hatari inayotukumba watanzania!

Nilieleza katika moja ya post zangu hapo juu kuwa ili ufahmu historia ya aa,taa na tanu nilazima utulie sana na uangaze kuanzia ideology yao,

kwa wazee wetu hawa wanaukombozi wa tanganyika, ideology yao ileile ya aa iilitoka ikibadilika kibaiolojia hadi tanu na uhuru kamili ndani ya mapito yao kulikuwa na mageuzi mengi sana, kwanza kutoka uanaharakati na kuingia uanasiasa. Hapa ndipo palipo anza kuzaliwa makundi ya kisiasa kama ilivyo kwenye siasa za leo, na moja ya uchaguzi mgumu ni ule wa kura tatu wa 1953 uliomwingiza mzee nyerere kuwa rais wa taa na kumbwaga mpinzani wake kisiasa mzee sykes!

Sasa mohamed said huenda anatumia makovu hayo ya kisiasa kufarakanisha watu,

asilo lizingatia mohamed ni kuwa wahusika hawakutoa neno lolote juu yao mpaka wanaingia kaburini zaidi ya hisia za mashabiki wao tu ambazo leo yeye mohamed said anatumia kupotoshea watu kwa minajri yake.

Nimeeleza kidogo kuwa moja ya makosa katika *ngano* za mohamed said ni kuakisi kuanzia miaka ya 1950,

sasa kwamwanahistoria usie makini unaeziangaza harakati za ukombozi kwa miaka hiyo ya 1950 nilazima utaibuka na dhana yako sio ya historia husika,
hapana yericko,hapo unakosea moja wa moja baina ya hao watu wawili,ndugu julius na ndugu sykes,,

nikuulize swali,unaenda kuwahoji watu wawili kuhusu kufanyika kwa tukio fulani,kati ya hao watu wawili mmoja baina yao alilifanya hilo tukio kwa mikono yake na mwingine alishuhudia kwa macho yake wakati tukio hilo likifanyika,na hao watu ni watu ambao walikuwa wanafahamiana kias flani,

unataka kuniambia baada ya kuwahoji na wote wawili wakakaa kimya je ukimya wa yule mfanyaji au mtendaji wa lile tukio unalandana na ukimya wa yule shuhuda wa hilo tukio??

Hapo utapata kuona ukimya wa nyerere ni dhidi ya kusutwa kwa yale anayoulizwa na ukimya wa sykes ni dhidi ya kuyaokoa mengine yasiyostahiki kutokea kwa maslahi ya taifa hili,huku akijua tu ya kwamba ukweli siku zote utadhihiri tuh na hauwezi potea kamwe,na leo ni kweli mwenye macho haambiwi ona na mwenye maskio haambiwi sikia,ile hoja ya huyu nguruvi haina mashiko,tafadhali turudi kwenye mantiki kuu.
 
Kwa kesi ya kitabu cha Mohamed Said, wenye dhamana ya mwisho walikuwa ni Mzee Nyerere na Mzee Sykes tu si vinginevyo,

Kwa hilo siasa haihitajiki bali ukweli pekee kutoka kinywani mwa Mzee Sykes na Mzee Nyerere sio kulishwa maneno!
 
Hayo ndio makosa makubwa yaliyo kwenye kitabu cha Mohamed Said anayoyatetea kwa nguvu huku akikwepa baadhi ya hoja nzito!

Kimantiki Mohamed amewalisha maneno Nyerere na Sykes

Amewaamulia yeye, lakini ukikisoma kitabu chake chote mpaka ganda lake hakuna aliponukuu mahojiano ya Nyerere au Sykes! Zaidi imewekwa hisia au lengo la Mohamed Said tu.

Hii ndio hatari inayotukumba watanzania!

Nilieleza katika moja ya post zangu hapo juu kuwa ili ufahmu historia ya AA,TAA na TANU nilazima utulie sana na uangaze kuanzia ideology yao,

Kwa wazee wetu hawa wanaukombozi wa Tanganyika, ideology yao ileile ya AA iilitoka ikibadilika kibaiolojia hadi TANU na uhuru kamili ndani ya mapito yao kulikuwa na mageuzi mengi sana, kwanza kutoka uanaharakati na kuingia uanasiasa. Hapa ndipo palipo anza kuzaliwa makundi ya kisiasa kama ilivyo kwenye siasa za leo, na moja ya uchaguzi mgumu ni ule wa kura tatu wa 1953 uliomwingiza Mzee Nyerere kuwa rais wa TAA na kumbwaga mpinzani wake kisiasa Mzee Sykes!

Sasa Mohamed Said huenda anatumia makovu hayo ya kisiasa kufarakanisha watu,

Asilo lizingatia Mohamed ni kuwa wahusika hawakutoa neno lolote juu yao mpaka wanaingia kaburini zaidi ya hisia za mashabiki wao tu ambazo leo yeye Mohamed Said anatumia kupotoshea watu kwa minajri yake.

Nimeeleza kidogo kuwa moja ya makosa katika *ngano* za Mohamed Said ni kuakisi kuanzia miaka ya 1950,

Sasa kwamwanahistoria usie makini unaeziangaza harakati za ukombozi kwa miaka hiyo ya 1950 nilazima utaibuka na dhana yako sio ya historia husika,
Sio tu kuwalisha maneno bali amefikiri kwa niaba yao, kaamua kwa niaba yao na wakati mwingine kahukumu kwa niaba yao! Mara kwa mara ataandika Mwalimu hakutaka hili lifanyike hivi, Mwalimu hakujibu hili kwa sababu hii, Mwalimu kakaa kimya kwa sababu hii,..., ni shutuma kwa kwenda mbele.

Waislamu wenyewe anaojidai kuwatetea amewagawa makundi mawili: Wale waliofanyakazi na Mwalimu au BAKWATA hao hawana nafasi kwake. Hawazungumzii kabisa kama akina Rashid Kawawa. Mzee wetu huyu hana tofauti na Sheikh Ponda isipokuwa kwa mbinu anazotumia kuwafikishia ujumbe Waislam.

Hata awapambe vipi WAKIMBIZI wake hawa, historia ya NCHI hii haitabadilika.
 
kwa kesi ya kitabu cha mohamed said, wenye dhamana ya mwisho walikuwa ni mzee nyerere na mzee sykes tu si vinginevyo,

kwa hilo siasa haihitajiki bali ukweli pekee utoka kinywani mwa mzee sykes na mzee nyerere sio kulishwa maneno!

basi na ingeleta mantiki kama julius angekanusha,hivi yericko mimi nakuja kwako nakushutumu na kukuletea picha za kukufumania na tukio fulani la aibu na nakuambia kabisa hizi ni picha zako mimi nimeshazitangaza kwa jamii,nawewe unajua kabisa zile picha si za kweli na ni za kutengeneza tuh ili niharibu reputation yako,kweli utathubutu kukaa kimya na usiseme chochote??

Sasa sembuse hili la mustakabali wa taifa na jins tunavomjua julius kweli angethubutu kukaa kimya hivi hivi bila kumchukulia hatua huyu mwenye choko choko??

Nadhani jibu kichwani mr big brother yericko unalo,thanks.
 
Kabla sijakujibu nikuulize swali:

Unafiki au kudhani ni kwanini Mzee Sykes hakujibu chochote juu ya mlishwayo na Mohamed Said mpaka anapoingia kaburini?
 
basi na ingeleta mantiki kama julius angekanusha,hivi yericko mimi nakuja kwako nakushutumu na kukuletea picha za kukufumania na tukio fulani la aibu na nakuambia kabisa hizi ni picha zako mimi nimeshazitangaza kwa jamii,nawewe unajua kabisa zile picha si za kweli na ni za kutengeneza tuh ili niharibu reputation yako,kweli utathubutu kukaa kimya na usiseme chochote??

Sasa sembuse hili la mustakabali wa taifa na jins tunavomjua julius kweli angethubutu kukaa kimya hivi hivi bila kumchukulia hatua huyu mwenye choko choko??

Nadhani jibu kichwani mr big brother yericko unalo,thanks.
Nadhani Kitabu cha Mohamed Said kilitoka 1998. Atusaidie mwenyewe kilianza kusambazwa hapa nchini mwezi gani. Marehemu Nyerere alifariki October 14, 1999. Hatujachukulia mda aliougua. Jamani tumtendee haki mzee wa watu siyo kusema tu hakujibu.
 
kabla sijakujibu nikuulize swali:

Unafiki au kudhani ni kwanini mzee sykes hakujibu chochote juu ya mlishwayo na mohamed said mpaka anapoingia kaburini?

thanks brother yericko,namimi naomba nikujibu ndugu yangu,
muhusika mkuu na mwenye kesi ya kujibu na kutolea maelezo alikuwa ndugu julius,pili pili asozila yeye sykes zimuwashie nini??
Mantiki alishajitosheleza yeye na ukweli ule,na muhusika limemchoma na kaamua kukaa kimya,yumkin sykes alikaa kimya ili amskie muhusika je,atakubali ama atakanusha?kama tujuaavyo,wale wote ni bin adam,na muda wao wa kufa ulipowadia wote wakafariki,lakini ukweli uliobakia wenye macho tumeuona,wenye maskio tumeuskia,na wenye akili tumeuzingatia na kuufikisha kwenye jamii,na ni ukweli huu tutazid kuwasimulia watoto wetu,wajukuu wetu na vitukuu,thanks a lot,nikuongeze??
 
Kaka! kweli umekisoma kitabu chote cha Mohamed Said.

Sina tatizo na uchambuzi wako.

Huenda umesimama hapo ulipo kwa kuwa umeshindwa kuona katika
yale niliyosema sababu za Abdu kunyamaza kimya pale TAA ilipoanza
kukashifiwa.

Kashfa ambazo hazikuishia kwa TAA bali zilitambaa hadi kwake yeye
kwa kuambiwa uongozi wake kati ya 1950 - 1954 hakuwa akiongoza
chama cha siasa bali chama cha "starehe."

Na hapa sitaki kusema kuwa maana ya maneno hayo kwa ukamilifu
wake ni kuwa yalikuwa yanakwenda nyuma hadi kwa baba yake
aliyeasisi African Association.

Kama wanaukumbi mtakumbuka nilishasema kuwa kulikuwa na mradi
wa kuandika historia ya TANU na kazi hiyo alipewa Abdu akisaidiwa na
Dr. Kleruu.

Mradi huu Nyerere aliuhujumu kwa kuwa yale aliyokuwa akiandika Abdu
hayakumpendeza Nyerere.

Abdu alianza kuandika kwa kuianza historia ya TANU na kuasisiwa kwa
African Association.

Hapa sitaki kueleza mengi kuhusu mafanikio ya TAA hadi kuwezakuja
kuundwa kwa TANU.

Nyerere hakupenda historia ile kwa sababu yeye alitegemea ile historia
ya TANU ingekuwa historia yake.

Haikuwa hivyo ilikuwa historia iliyokwenda nyuma hadi 1929 African
Association ilipoasisiwa.

Haya ninayoeleza huyo ni marehemu Abdu Sykes anazungumza wakati
wa uhai wake.

Ndiyo maana baada ya hapo Abdu akamnyamazia Nyerere na yeyote
kuhusu historia ya TANU.

Ndiyo maana hata Lady Judith Listowel alipomhoji Abdu mwaka 1962
Abdu hakufunguka.

Ndiyo maana ilipoandikwa historia ya TANU na Kivukoni College historia
ilianza na kumalizikia na Nyerere.

Ndiyo maana unaona nilipokuja kuandika katika Africa Events kuwa Abdu
Sykes ndiye muasisi wa TANU mwaka 1988 toleo zima la gazeti lilikusanywa
likachomwa moto.

Humu nimeandika mengi kuhusu harakati za uhuru naamini mengi kwa
wanaukumbi ni mambo mageni.

Narudia kusema tena.
Simlazimishi mtu kuamini niliyoandika hata kidogo.

Ninachosema ni kuwa hiyo ndiyo historia ya wazee wangu kama
nilivyopokea kutoka kwao.
 
Sio tu kuwalisha maneno bali amefikiri kwa niaba yao, kaamua kwa niaba yao na wakati mwingine kahukumu kwa niaba yao! Mara kwa mara ataandika Mwalimu hakutaka hili lifanyike hivi, Mwalimu hakujibu hili kwa sababu hii, Mwalimu kakaa kimya kwa sababu hii,..., ni shutuma kwa kwenda mbele.

Waislamu wenyewe anaojidai kuwatetea amewagawa makundi mawili: Wale waliofanyakazi na Mwalimu au BAKWATA hao hawana nafasi kwake. Hawazungumzii kabisa kama akina Rashid Kawawa. Mzee wetu huyu hana tofauti na Sheikh Ponda isipokuwa kwa mbinu anazotumia kuwafikishia ujumbe Waislam.

Hata awapambe vipi WAKIMBIZI wake hawa, historia ya NCHI hii haitabadilika.

Ndugu yangu umetoa hoja vizuri nami nakusoma.
Ghafla hamaki zimekupanda unaanza matusi tena
neno lenyewe unaliwekea HERUFI KUBWA.

Maana ya herufi kubwa kwenye maandishi ni kuwa
"unapiga kelele."

Huna haja ya kukasirika ndugu yangu hapa tunaelimishana.
 
Sio tu kuwalisha maneno bali amefikiri kwa niaba yao, kaamua kwa niaba yao na wakati mwingine kahukumu kwa niaba yao! Mara kwa mara ataandika Mwalimu hakutaka hili lifanyike hivi, Mwalimu hakujibu hili kwa sababu hii, Mwalimu kakaa kimya kwa sababu hii,..., ni shutuma kwa kwenda mbele. Waislamu wenyewe anaojidai kuwatetea amewagawa makundi mawili: Wale waliofanyakazi na Mwalimu au BAKWATA hao hawana nafasi kwake. Hawazungumzii kabisa kama akina Rashid Kawawa. Mzee wetu huyu hana tofauti na Sheikh Ponda isipokuwa kwa mbinu anazotumia kuwafikishia ujumbe Waislam. Hata awapambe vipi WAKIMBIZI wake hawa, historia ya NCHI hii haitabadilika.
Kwa tuliowahi kufanya kazi na Nyerere hilo si la kushangaza. YEYE ALIITWA HAAMBILIKI kwa sababu alikuwa mjuvi wa kila kitu. Nakumbuka nikiwa wizara ya Fedha kitengo cha bajeti wakti wa vuguvugu la kuhamishia makao makuu kwenda Dodoma kama wataalamu wa uchumi tuliandika paper nzuri sana tukielezea uchumi wa nchi na mwelekeo wake kwa wakti huo na kujiongezea mzigo wa kuhamisha makao makuu kwenda Dodoma. Nakumbuka siku hiyo alituita na kututukana kama watoto wadogo tusio na taaluma kisha akapitisha maamuzi yake ambayo mpaka leo Tz inawagharimu na makao makuu hayajafanikiwa. Kifupi alikuwa HAAMBILIKI kwa lolote wala chochote.
 
Sina tatizo na uchambuzi wako.

Huenda umesimama hapo ulipo kwa kuwa umeshindwa kuona katika
yale niliyosema sababu za Abdu kunyamaza kimya pale TAA ilipoanza
kukashifiwa.

Kashfa ambazo hazikuishia kwa TAA bali zilitambaa hadi kwake yeye
kwa kuambiwa uongozi wake kati ya 1950 - 1954 hakuwa akiongoza
chama cha siasa bali chama cha "starehe."

Na hapa sitaki kusema kuwa maana ya maneno hayo kwa ukamilifu
wake ni kuwa yalikuwa yanakwenda nyuma hadi kwa baba yake
aliyeasisi African Association.

Kama wanaukumbi mtakumbuka nilishasema kuwa kulikuwa na mradi
wa kuandika historia ya TANU na kazi hiyo alipewa Abdu akisaidiwa na
Dr. Kleruu.

Mradi huu Nyerere aliuhujumu kwa kuwa yale aliyokuwa akiandika Abdu
hayakumpendeza Nyerere.

Abdu alianza kuandika kwa kuianza historia ya TANU na kuasisiwa kwa
African Association.

Hapa sitaki kueleza mengi kuhusu mafanikio ya TAA hadi kuwezakuja
kuundwa kwa TANU.

Nyerere hakupenda historia ile kwa sababu yeye alitegemea ile historia
ya TANU ingekuwa historia yake.

Haikuwa hivyo ilikuwa historia iliyokwenda nyuma hadi 1929 African
Association ilipoasisiwa.

Haya ninayoeleza huyo ni marehemu Abdu Sykes anazungumza wakati
wa uhai wake.

Ndiyo maana baada ya hapo Abdu akamnyamazia Nyerere na yeyote
kuhusu historia ya TANU.

Ndiyo maana hata Lady Judith Listowel alipomhoji Abdu mwaka 1962
Abdu hakufunguka.

Ndiyo maana ilipoandikwa historia ya TANU na Kivukoni College historia
ilianza na kumalizikia na Nyerere.

Ndiyo maana unaona nilipokuja kuandika katika Africa Events kuwa Abdu
Sykes ndiye muasisi wa TANU mwaka 1988 toleo zima la gazeti lilikusanywa
likachomwa moto.

Humu nimeandika mengi kuhusu harakati za uhuru naamini mengi kwa
wanaukumbi ni mambo mageni.

Narudia kusema tena.
Simlazimishi mtu kuamini niliyoandika hata kidogo.

Ninachosema ni kuwa hiyo ndiyo historia ya wazee wangu kama
nilivyopokea kutoka kwao.

Mkuu niwe mkweli nisimamie weledi wa mambo.

Sio kwamba yote yaliyo katika kitabu chako ni batili la hasha, yapo mengi mazuri kama ilivyo kwenye kitabu cha Kivukoni.

Leo hii mimi nikitaka kuandika historia hii, yapo nitakayonukuu katika kitabu chako na cha kivukoni!

Kinachoondoa nguvu ya kitabu chako ni kuweka hisia zako ama za mitaani kuwa ndio uhalisia wa Mzee Nyerere na Sykes.

Hata post yako hii hapo juu unasema wazi kuwa Mwalimu Nyerere alihujumu mpango wa Dr Kreluu na Addu wa kuandika historia ya TANU, lakini tukisema uthibitishe hili utakuja na ushahidi kutoka kwenye kitabu chako hichohicho tunachokipinga kuwa ni cha kufikirika.

Hayo ni sehemu ya mapungufu makuu katika andiko lako mkuu!
 
Swali kwa @[Mohamed said]

Siku za nyuma, kwenye threads zako tulitofautiana katika mambo kadhaa, wewe ukiwa unasaidiwa na barubaru, mdondoaji, faizafoxy na topical just to mention a few. Katika mambo ambayo tulitofautiana ni pamoja na misingi ya "historia" yako kwamba:

1. Vita ya maji maji ilikuwa ni baina ya Waislam na Wakristo.

2. Hapa nchini kuna waislam na wakristo tu, hamna wapagani.

3. Majina yanaashiria dini fulani, kwa mfano Ally Songea lazima alikuwa muislam, na John Smith lazima alikuwa mkristo.

4. Kwamba kwa ujumla, waislam Tanzania ni wengi kuliko wakristo, ila kwasabau ya kukandamizwa/uonevu kwa waislam, ndio maana waislam wanakuwa wachache katika elimu ya juu, makazini na serikalini

5. Kwamba kanisa katoliki (Tanzania) lilikuwa na bado lina uadui na uislam na lina mpango mkakati wa kudhoofisha uislam afrika mashariki.

6. Mkatoliki Nyerere alikuwa anatimiza maagizo ya kanisa kuutokomeza uislam na ndio maana hata wizara ya elimu iliwahi kuongozwa na padre, na kwamba hata kupendekezwa kwake na kanisa kwenye sainthood kunatokana na kazi aliyofanya ya kudhibiti uislam.

Je bado unaamini kama nilivyoeleza hapo juu? Kama bado unaamini nitaomba ufafanuzi japo kidogo, sababu ya kuamini kwako.

Naomba swali hili lijibiwe na Mohamed Said na si mwingine wa "upande" huo.[/QUOT

Labda nikuulize kwa nini unataka maswali hayo yote nijbu mimi peke yangu ilhal humu ukumbini
ni jamajamala?

Huu ukumbi hauna ubaguzi kila mtu yuko huru kuchangia na ndiyo maana unaona mijadala inastawi.
Huu mjadala ukishakuwa baina ya watu wawili, mie na wewe utapoteza maana.
 
Mkuu niwe mkweli nisimamie weledi wa mambo.

Sio kwamba yote yaliyo katika kitabu chako ni batili la hasha, yapo mengi mazuri kama ilivyo kwenye kitabu cha Kivukoni.

Leo hii mimi nikitaka kuandika historia hii, yapo nitakayonukuu katika kitabu chako na cha kivukoni!

Kinachoondoa nguvu ya kitabu chako ni kuweka hisia zako ama za mitaani kuwa ndio uhalisia wa Mzee Nyerere na Sykes.

Hata post yako hii hapo juu unasema wazi kuwa Mwalimu Nyerere alihujumu mpango wa Dr Kreluu na Addu wa kuandika historia ya TANU, lakini tukisema uthibitishe hili utakuja na ushahidi kutoka kwenye kitabu chako hichohicho tunachokipinga kuwa ni cha kufikirika.

Hayo ni sehemu ya mapungufu makuu katika andiko lako mkuu!

Sina la kuongeza.
Nadhani wanaotusoma wameelewa hoja zetu sote.

Insha Alla tuwaachie wao.
 
Mkuu niwe mkweli nisimamie weledi wa mambo.

Sio kwamba yote yaliyo katika kitabu chako ni batili la hasha, yapo mengi mazuri kama ilivyo kwenye kitabu cha Kivukoni.

Leo hii mimi nikitaka kuandika historia hii, yapo nitakayonukuu katika kitabu chako na cha kivukoni!

Kinachoondoa nguvu ya kitabu chako ni kuweka hisia zako ama za mitaani kuwa ndio uhalisia wa Mzee Nyerere na Sykes.

Hata post yako hii hapo juu unasema wazi kuwa Mwalimu Nyerere alihujumu mpango wa Dr Kreluu na Addu wa kuandika historia ya TANU, lakini tukisema uthibitishe hili utakuja na ushahidi kutoka kwenye kitabu chako hichohicho tunachokipinga kuwa ni cha kufikirika.

Hayo ni sehemu ya mapungufu makuu katika andiko lako mkuu!

Naheshimu mawazo yako.

Narudia tena mimi humu ukumbini kazi yangu kubwa ilikuwa
kueleza historia ambayo si wengi walikuwa wanaifahamu.

Alhamdulilah nimejitahidi kadri ya uwezo wangu.

Sina uwezo wa kuwafanya waniamini ila ninachoamini ni kuwa
hawa wasomaji ni watu wenye akili na uwezo wa kuchambua
mambo.

Hawa ndiyo walengwa wangu na hakika ujumbe umewafikia.
 
Kwa tuliowahi kufanya kazi na Nyerere hilo si la kushangaza. YEYE ALIITWA HAAMBILIKI kwa sababu alikuwa mjuvi wa kila kitu. Nakumbuka nikiwa wizara ya Fedha kitengo cha bajeti wakti wa vuguvugu la kuhamishia makao makuu kwenda Dodoma kama wataalamu wa uchumi tuliandika paper nzuri sana tukielezea uchumi wa nchi na mwelekeo wake kwa wakti huo na kujiongezea mzigo wa kuhamisha makao makuu kwenda Dodoma. Nakumbuka siku hiyo alituita na kututukana kama watoto wadogo tusio na taaluma kisha akapitisha maamuzi yake ambayo mpaka leo Tz inawagharimu na makao makuu hayajafanikiwa. Kifupi alikuwa HAAMBILIKI kwa lolote wala chochote.

Ngano...
 
Nadhani Kitabu cha Mohamed Said kilitoka 1998. Atusaidie mwenyewe kilianza kusambazwa hapa nchini mwezi gani. Marehemu Nyerere alifariki October 14, 1999. Hatujachukulia mda aliougua. Jamani tumtendee haki mzee wa watu siyo kusema tu hakujibu.

Wakati mwingine hunijia huruma kwa kuwa mimi najua mengi katika haya
kupita hawa ninaojadiliananao.

Kuna habari nyingine huwa siona sababu ya kuziweka hapa na ni nyingi.

Nyerere si kama hakujibu.
Alikubali kuandika maisha yake na humo ataeleza upande wake wa historia.

Kazi hiyo alimpa Prof. Haroub Othman.
 
Hizi ndiyo Ngano wanazozisema wanajamvi. Nilikubandikia kitu hichohicho nilipokuuliza na wewe unakibandika tena kama jibu la hoja. Kwa ufupi ni hauna ushahidi wowote wa Cardinal Pengo kusema maneno hayo. Hauna. Mzee hauna haya weye...Yaani unatunga uongo ili kuchochea chuki za waislam dhidi ya Kanisa!? Ili iweje??

Ndugu yangu umefanya haraka.
Ushahidi uko hapo.

Nastaajabu vipi hukuuona.
Angalau basi ungeuliza kiungwana.

Mzee ushahidi uko wapi?
Insha Allah ningekujibu.

Umenitukana na kuniita muongo bila ya
sababu, mchochezi nk.

Angalia hizo footnote gazeti la Majira
ndilo lililomnukuu Kadinali Pengo.

Ikiwa wewe ni mjuzi katika mambo haya
utaelewa kwa nini ilikuwa muhimu nibandike
hicho kipande.
 
Back
Top Bottom