kheri lawama kuliko uchochezi kama huu.Ukimpoteza huyu Mzee, utawapa sababu nyingine wafuasi wake kuhalalisha matendo yao ya ajabu. Kuwa karibu naye inatosha sana. Nimesikitika tu MwanaHalisi inafungiwa kwa muda usiojulikana, redio Imaan inafungiwa kwa miezi sita tu!
Ok. Nawe chukua hili darsa halafu utanieleza kama Mwalimu aliwasahau Waislam. Nakupa Cabinet ya KWANZA ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar:Kaka si tupo kwenye munakasha tunapeana darsa.
Una habari zozote za Tanganyika kama nchi chini ya udhamini wa umoja wa mataifa.
Ok. Nawe chukua hili darsa halafu utanieleza kama Mwalimu aliwasahau Waislam. Nakupa Cabinet ya KWANZA ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar:
-Rais- Julius Kambarage Nyerre;
-Makamu wa Kwanza wa Rais- Abeid Amani Karume;
-Makamu wa Pili wa Rais- Rashid Mfaume Kawawa;
-Mawaziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Nsilo Swai, Mohamed A Babu, Amir Jamal;
-Waziri wa Nchi Makamu wa Kwanza wa Rais-Aboud Jumbe;
-Mawaziri wa Nchi Makamu wa Pili wa Rais- Lawi Sijaona, Bhoke Munanka;
-Waziri Kilimo, Misitu na Mifugo-Said Ali Maswanya;
-Waziri Biashara na Ushirika-Jeremiah Kasambala;
-Waziri Uchukuzi na Ujenzi-Sir George Kahama;
-Waziri Fedha-Paul Bomani;
-Waziri Mambo ya Nje- Oscar Kambona;
-Waziri Mambo ya Ndani-Job Lusinde;
-Waziri Ardhi, Makazi, Maji-Tewa Said Tewa;
-Waziri Viwanda, Migodi-Abdullah Kassim Hanga;
-Waziri Elimu- Solomon Eliufoo;
-Waziri Afya- Dereck Bryceson;
-Waziri Kazi- Michael Kamaliza;
-Waziri Maendeleo ya Jamii, Utamaduni-Sheikh Amri Abeid;
-Waziri Serikali za mitaa-Austin Shaba;
-Waziri Sheria-Hassan Nassoro Moyo;
-Waziri Habari, Utalii- Idrissa A Wakil.
Hapo haikuangaliwa DINI ya mtu, KABILA ya mtu wala Ukanda. Humo kuna Waafrika, Wahindi, Waarabu na Mzungu. Leo hii wanazuka watu wanasema kuna Waislam walisahaulika.
-
Afya ya kupambana na wewe ninayo sana hata wewe unajua hilo.Nguruvi,
Mimi siye niliyshindwa kuhusu hotuba ya muago ya Nyerere.
Ndani ya kitabu changu hilo la yeye kusahau cheo cha Abdu
nimelisema.
Na usidhani nyie ndiyo wa kwanza kushangazwa na hilo.
Sasa leteni video tuisikize na ilikubalika lakini hadi leo haijaletwa.
Vipi utanilaumu mimi?
Leteni hiyo video tuisikize mnikamate uongo.
Namba za mitihani sijashindwa.
Wakujibu si nyie ni Wizara ya Elimu.
Sasa tuje kwa Aboud Jumbe.
Mimi nilikuwa mhariri wa kitabu chake Partnership.
Inakutosha au nikuongezee?
Tuje kwa Hassan Nassor Moyo.
Alikuwa jirani yangu kwa miaka 15.
Inatosha au nikuongezee?
Unasema kuhusu mapinduzi ya Zanzibar...
Mimi nimemuhoji Kamanda wa Majeshi ya Wamakonde Mohamed
Omar Mkwawa.
Soma ''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru'' cha Dk Harith Ghassany.
Ipo na picha yangu nimeshika video camera pwani ya Kipumbwi.
Iko picha ya Mzee Omar Mkwawa pia.
Unadhani mambo yale yalikuwa ya akina Moyo na Karume?
Mpate Mzee Aboud Mmasai, Jimmy Ringo mratibu toka TANU Office
Tanga.
Mpate Mzee Baramia.
Mpate Jumanne Abdallah aliyekuwa akitoa ulinzi kwa vijana wa Kimakonde
katika pori la Sakura.
Mpate Kassim Hanga na Oscar Kambona.
We unadhani utakaa hapo la laptop yako upambane na mimi katika haya.
Unataka nikuwekee mimi nilimjua vipi Hanga?
Akija mtaani kwetu nyumbani kwa Mama Abdu Mgunya kucheza bao.
Na siku alipoletwa Mnazi Mmoja kuadhiriwa na Nyerere kwenye mkutano
wa hadhara mimi na wenzangu tupo pale tunalaani maana kiwanja chetu
cha mpira kimetekwa hatuwezi kucheza.
Halafu wale walokuwa pale nawaju kwa majina.
Yule Mzee Omari Londo.
Yule Hamza Aziz nk. nk.
Na wao wananijua mtoto wa Said Salum mjukuu wa Baba Popo.
Soma kwanza ndiyo ujishauri kama una afya ya kuvaana na mimi.
Mimi sijaparamia historia hii ni historia ya mji wangu ya wazee wangu.
Naijua ndani nje
Ok. Nawe chukua hili darsa halafu utanieleza kama Mwalimu aliwasahau Waislam. Nakupa Cabinet ya KWANZA ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar:
-Rais- Julius Kambarage Nyerre;
-Makamu wa Kwanza wa Rais- Abeid Amani Karume;
-Makamu wa Pili wa Rais- Rashid Mfaume Kawawa;
-Mawaziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Nsilo Swai, Mohamed A Babu, Amir Jamal;
-Waziri wa Nchi Makamu wa Kwanza wa Rais-Aboud Jumbe;
-Mawaziri wa Nchi Makamu wa Pili wa Rais- Lawi Sijaona, Bhoke Munanka;
-Waziri Kilimo, Misitu na Mifugo-Said Ali Maswanya;
-Waziri Biashara na Ushirika-Jeremiah Kasambala;
-Waziri Uchukuzi na Ujenzi-Sir George Kahama;
-Waziri Fedha-Paul Bomani;
-Waziri Mambo ya Nje- Oscar Kambona;
-Waziri Mambo ya Ndani-Job Lusinde;
-Waziri Ardhi, Makazi, Maji-Tewa Said Tewa;
-Waziri Viwanda, Migodi-Abdullah Kassim Hanga;
-Waziri Elimu- Solomon Eliufoo;
-Waziri Afya- Dereck Bryceson;
-Waziri Kazi- Michael Kamaliza;
-Waziri Maendeleo ya Jamii, Utamaduni-Sheikh Amri Abeid;
-Waziri Serikali za mitaa-Austin Shaba;
-Waziri Sheria-Hassan Nassoro Moyo;
-Waziri Habari, Utalii- Idrissa A Wakil.
Hapo haikuangaliwa DINI ya mtu, KABILA ya mtu wala Ukanda. Humo kuna Waafrika, Wahindi, Waarabu na Mzungu. Leo hii wanazuka watu wanasema kuna Waislam walisahaulika.
-
Afya ya kupambana na wewe ninayo sana hata wewe unajua hilo.
Si mara moja mbili au tatu nimekuwekea mambo ambayo huko Cambridge hawakuwahi kuyaona.
Si mara moja au mbili nime prove uongo wako 100% si mara moja au mbili nimeonyesha uzushi, si mara moja au mbili nimeonyesha ubazazi na hata kufuru yako juu ya mwenyezi mungu. Unajua fika kuwa tukisimama katika jukwaa bila vipande vya nukuu za vitabu dakika 10 utakuwa umejitahidi. Mimi si wale wa gogo vivu unajua hilo.
Kuhusu maneno ya Nyerere Jokakuu kaweka maaandishi hapa hujayakana. Lakini mwenye dhima ya ku-prove maneno yhayo ni wewe uliyezusha. Mimi niliisikiliza hotuba ya mwalimu kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Ninakuhakikishia kama kuna kufur uliowahi kufanya ni kumsingizia maneno hayo. Muombe mwenyezi mungu msamaha maana ulichokifanya ni kufur. Eti mtafiti anasubiri video badala ya yeye kuleta matokeo ya utafiti! phwee!
Mohamed, hilo Nyerere wewe umezusha, hakusema maneno hayo.Acha unafiki Mohamed
Kuhusu wazee wako kila mtu anajua majina ya watu wa mtaabi kwake. Kwa taarifa yako ni kutokana na masimulizi ya vibarazani ndio ukaja na ngano hii ambayo katika mizania yoyote ya kisomi ni rubbish. Honest it's rubbish. Kama mweandishi anaandika kitu asichoweza kukitetea kwanini mtu aamini kuwa hapo kuna elimu.
Huwezi ku-prove jambo hadi ufanye self quotation, halafu tuamini huyu ni mwandishi achilia mbali mtafiti.
Kitabu cha Ghesany umeandika wewe hal;afu unataka kufanya reference
Warsha wewe ulikuwa mtafiti leo unatudanganya ni organization kumbe ulikuwa wewe.
Nimekuwekea maelezo ya yule Mpakistani Maliki ukasema utakuja na habari zake! Guess what hukuweza kuja nazo na ungetia mhuu ningekumwaga vibaya maana huyu jamaa Malik I know him and his mission kuliko unavyomjua wewe.
Wewe ulikuwa unamsikiliza sisi tunamjua, fahamu hilo.
FYI Malik ana link na eveil organization na yupo katika black list. Tuseme zaidi.
Unawajua Haqqan wewe!
Mzee Mohamed,WC,
Mashaallah wewe hodari sana.
Hayo usemayo kweli.
Mambo yalikuja kuharibika baadae.
Sasa angalia mwaka 1968 wakati wa mgogoro wa EAMWS mambo yalikuwaje:
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]It is from these developments that we can now start tracing and analysing how the government finally moved to subvert Muslim unity through campaigns of intrigue, sabotage, bribery and misinformation against the EAMWS leadership, which it perceived as a threat to its own political domination over the Muslim majority.
The government was now literally in Christian hands. Apart from Zanzibaris in the union government - A.M. Maalim, Minister of Commerce and Industry; Aboud Jumbe, Minister of State; A.M. Babu, Minister of Lands, Settlement and Water development; Hasnu Makame, Minister of Information and Tourism; Nyerere's right-hand man, First-Vice President Rashid Mfaume Kawawa, the only Muslim minister from the Mainland in the fifteen-man cabinet was Said Ali Maswanya, Minister of Minister of Home Affairs. How could such a situation have arisen?
The answer to this question lies in the past history of Tanzania when the first missionaries arrived to ‘civilise the black continent'.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Nashukuru kwa darsa, huyu Amil Jamal ndiyo mwenye jengo pale Samora, JM MALL.
Mzee Mohamed,
Itoe Cabinet hiyo ya 1968 kama nilivyotoa hiyo ya 1964.
Sasa nakwambia tena ukweli wewe mfuasi wa shehe Ilunga, Hizo laana mnazomuombea mwalimu Nyerere hazitakaa zimpate, zitawapata ninyi mtakuwa watu wa kulalamika hadi kiama! mara mnaonewa, mara hamtendewi haki, huku viongozi wenu wakivaa ndala zilizo chanika....
Hapo ndipo mtajua huyo Mungu mnaemwomba atoe laana ni wa kweli au feki.....
Hata mimi nina hamu kujua hizo mission za Malik.Usisite kuziweka hapa ili na sisi tuweze kuangalia ukweli au uongo wako.Afya ya kupambana na wewe ninayo sana hata wewe unajua hilo.
Si mara moja mbili au tatu nimekuwekea mambo ambayo huko Cambridge hawakuwahi kuyaona.
Si mara moja au mbili nime prove uongo wako 100% , si mara moja au mbili nimeonyesha uzushi, si mara moja au mbili nimeonyesha ubazazi na hata kufuru yako juu ya mwenyezi mungu.
Unajua fika kuwa tukisimama katika jukwaa bila vipande vya nukuu za vitabu dakika 10 utakuwa umejitahidi.
Mimi si wale wa gogo vivu unajua hilo.
Kuhusu maneno ya Nyerere, Jokakuu kaweka maaandishi hapa hujayakana.
Lakini mwenye dhima ya ku-prove maneno yhayo ni wewe uliyezusha.
Mimi niliisikiliza hotuba ya mwalimu kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Ninakuhakikishia kama kuna kufur uliowahi kufanya ni kumsingizia maneno hayo.
Eti mtafiti anasubiri video badala ya yeye kuleta matokeo ya utafiti! phwee!
Mohamed, hilo Nyerere wewe umezusha, hakusema maneno hayo.Acha unafiki Mohamed
Kuhusu wazee wako kila mtu anajua majina ya watu wa mtaani kwake.
Kwa taarifa yako ni kutokana na masimulizi ya vibarazani ndio ukaja na ngano hii ambayo katika mizania yoyote ya kisomi ni rubbish. Honest it's rubbish. Kama mweandishi anaandika kitu asichoweza kukitetea kwanini mtu aamini kuwa hapo kuna elimu.
Huwezi ku-prove jambo hadi ufanye self quotation, halafu tuamini huyu ni mwandishi achilia mbali mtafiti.
Kitabu cha Ghesany umeandika wewe halafu unataka kufanya reference
Warsha wewe ulikuwa mtafiti leo unatudanganya ni organization kumbe ulikuwa wewe.
Leo tunajua wazi kuwa familia unazosema zilikuja kumkomboa Mtanganyika zilikuwa na element za utapel.
Familia ya Sykes imefisadi mali za TAA na wewe unalijua lakini hulisemi. Tunalijua na tutalisema.
Nimekuwekea maelezo ya yule Mpakistani Maliki ukasema utakuja na habari zake!
Guess what hukuweza kuja nazo na ungetia mguu ningekumwaga vibaya huyu Malik I know him and his mission kuliko unavyomjua wewe.Wewe ulikuwa unamsikiliza sisi tunamjua, fahamu hilo.
FYI Malik ana link na organization chafu sana hapa duniani. Tuseme zaidi.
Unawajua Haqqan wewe!
Sasa kama hauna hiyo full cabinet ya 1968 hicho kipande ulichojinukuu hapo unakitoaje kama ushahidi?WC,
Ndugu yangu utanipa kazi kubwa ya kutafuta.
Kwani huniamini unadhani ninefanya ujanja?
Nakuomba utosheke na hiyo la kama wewe unaweza
kuleta full cabinet itakuwa vyema.
WC unanichangamsha sana.
Thanx.
Afya ya kupambana na wewe ninayo sana hata wewe unajua hilo.
Si mara moja mbili au tatu nimekuwekea mambo ambayo huko Cambridge hawakuwahi kuyaona.
Si mara moja au mbili nime prove uongo wako 100% , si mara moja au mbili nimeonyesha uzushi, si mara moja au mbili nimeonyesha ubazazi na hata kufuru yako juu ya mwenyezi mungu.
Unajua fika kuwa tukisimama katika jukwaa bila vipande vya nukuu za vitabu dakika 10 utakuwa umejitahidi.
Mimi si wale wa gogo vivu unajua hilo.
Kuhusu maneno ya Nyerere, Jokakuu kaweka maaandishi hapa hujayakana.
Lakini mwenye dhima ya ku-prove maneno yhayo ni wewe uliyezusha.
Mimi niliisikiliza hotuba ya mwalimu kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Ninakuhakikishia kama kuna kufur uliowahi kufanya ni kumsingizia maneno hayo.
Eti mtafiti anasubiri video badala ya yeye kuleta matokeo ya utafiti! phwee!
Mohamed, hilo Nyerere wewe umezusha, hakusema maneno hayo.Acha unafiki Mohamed
Kuhusu wazee wako kila mtu anajua majina ya watu wa mtaani kwake.
Kwa taarifa yako ni kutokana na masimulizi ya vibarazani ndio ukaja na ngano hii ambayo katika mizania yoyote ya kisomi ni rubbish. Honest it's rubbish. Kama mweandishi anaandika kitu asichoweza kukitetea kwanini mtu aamini kuwa hapo kuna elimu.
Huwezi ku-prove jambo hadi ufanye self quotation, halafu tuamini huyu ni mwandishi achilia mbali mtafiti.
Kitabu cha Ghesany umeandika wewe halafu unataka kufanya reference
Warsha wewe ulikuwa mtafiti leo unatudanganya ni organization kumbe ulikuwa wewe.
Leo tunajua wazi kuwa familia unazosema zilikuja kumkomboa Mtanganyika zilikuwa na element za utapel.
Familia ya Sykes imefisadi mali za TAA na wewe unalijua lakini hulisemi. Tunalijua na tutalisema.
Nimekuwekea maelezo ya yule Mpakistani Maliki ukasema utakuja na habari zake!
Guess what hukuweza kuja nazo na ungetia mguu ningekumwaga vibaya huyu Malik I know him and his mission kuliko unavyomjua wewe.Wewe ulikuwa unamsikiliza sisi tunamjua, fahamu hilo.
FYI Malik ana link na organization chafu sana hapa duniani. Tuseme zaidi.
Unawajua Haqqan wewe!
Sasa kama hauna hiyo full cabinet ya 1968 hicho kipande ulichojinukuu hapo unakitoaje kama ushahidi?
dah! mzee kwa mbinu za kukwepa hoja sikuwezi,WC,
Usidhani mimi niko hapa kutoa ushahidi.
Mimi nilipoandika kitabu kile nia ilikuwa kutoa jibu kwa historia rasmi.
Ndiyo maana husisitiza ikiwa unahisi mie si mkweli soma jipitie zako.
Uingereza kuna gazeti linaitwa The Sun. Gazeti la kipuuzi sana mie
sikuwa napata tabu kulinunua.
Nikiingia kwenye treni nalikuta mtu kailinunua kalisoma kashuka kituo
chake na kuliacha kwenye kiti.
Nami nalichukua nalisoma kisha nikifika kituo changu nateremka gazeti
naliacha hapo hapo nilipolikuta.
Hivyo hivyo kila aingiae ataliacha maana ni upuuzi.
Huu ndiyo ushauri wangu kwako.
Usijitaabishe kitabu kina miaka sisi tunakijadili leo.
Nashukuru kwa darsa, huyu Amil Jamal ndiyo mwenye jengo pale Samora, JM MALL.
dah! mzee kwa mbinu za kukwepa hoja sikuwezi,
bahati mbaya mbinu zako za kukwepa hoja zimeshazeeka japo vijana wako wanajaribu kuzifanya zionekane bado mbichi,
sad!
WC,