Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Neno wazee wangu alilotumia Mohammed Said lina maana kubwa kuliko upeo wa ufahamu wako.Katika historia aliyoandika na kuwataja wazee basi waliomzaa yeye ni asilimia ndogo kuliko waliowazaa watoto wenzake.Hivyo ukitaka kumuonesha Mohammed kuwa ameandika historia ya kuwatetea wazee wake waliomzaa tu itakuwa unajidanganya na kujaribu kutudanganya.Pamoja na hivyo Mzee utakuwa umeonesha dharau kubwa kwa kundi kubwa la watoto wa wazee hao akina sisi.
Hao akina sheikh Suleimana Takadir na Hassan bin Amiri kwani alisema wapi kuwa ndio waliomzaa yeye na mbona wamejaa kwenye historia yake.
Jaribu kuwa mkweli na unayetumia akili yako vizuri kulinda heshima za watu wengine na hata yako mwenyewe.Usivutwe mno na kutaka kutetea jambo ambalo ni gumu kulitetea mpaka ukasahau heshima za wengine na yako mwenyewe.
Hii mbinu yako ya kumkaba Mohammed Said hata kama hakuna sababu ni sehemu ya uchuro wenu kuelekea kamatakamata na fungia fungia ambayo imeanza.Kwa upande wako binafsi imekuwa kama uchoyo na chuki za kike zisizo na sababu.
Mwanzo ilikuwa Uamsho,UAMSHO.Ikaja Ponda,Pona.Halafu Annuur annuur,redio imani,redio imani.Imekuja Ilunga Ilunga........
Kinachofuatia ni Zomba zomba,Ami Ami.
Ukweli ni kuwa akina Mzee Mwanakijiji na mfumo wenu mumeishiwa.Mmebaki kutumia uadui na ubabe ambao hautotufaa sote na hautonyamazisha ukweli.
 
Jaribu kujadiliana na kila mtu basi kwa uzuri.Kuwa kama Mohammed Said anayejibu kila mtu.
Kuchagua watu wa kujadiliana nao kuna maana gani?.Unawaogopa wengine au umeishiwa na hoja hivyo unatafuta maeneo rahisi ya kuendelea na ubishi.

I know ndio maana nimesema wewe si wakujadiliana na mimi - naogopa hoja zako, umenizidi mno.
 
Duh Tanzania Kwanza Marehemu Baba yangu alifariki kwa ugonjwa wa kisukari tafadhali nijuze nani alimwachia laana.Lipo tatizo la baadhi ya masheikh kutoa mihadhara yenye kupotosha na matokeo yake ni maoni ya huyu mwanajamvi yamkini sheikh wake ni Ilunga.

Mheshimiwa A L Mrema ni mbunge wa Moshi vijijini pia mwenyekiti wa hesabu za serekali za mitaa.Nafasi zote hizi zinamhakikishia kipato cha uhakika mpaka hapo bado sijaona hiyo laana kama ni ugonjwa hata waziri mkuu mstaafu ni mgonjwa,Robert Manumbu mgonjwa....... Unataka kuniambia wagonjwa wote wameachiwa laana.





 
Last edited by a moderator:
Hiyo ya mwisho inajibiwa na maandishi haya ya Mohammed Said.
[SIZE=-1]"Ilikuwa katika ofisi ya zamani ya TANU tulipokuwa tukisubiri kufanya mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa. Ghafla tu Sheikh Takadir alisimama wima akishikilia bakora yake ya kutembelea na kumuelekezea Nyerere huku akisema, "Huyu mtu katu hatakuja kutujua ndugu zake. Usipoziba ufa utajenga ukuta." Sheikh Takadir alirudia maneno haya mara mbili. Sisi sote katika kile chumba cha mkutano tulishangazwa sana ama kwa maana ya maneno yale. Nilimwona Nyerere akilia. Nyerere alitugeukia sisi na kutuuliza, "Je, Sheikh Suleiman alisema maneno yale kwa niaba yenu ? Tulijibu kwa kwa pamoja hapana na ule mkutano ulivunjika papo hapo."[/SIZE]
Katika maelezo hayo utaona sheikh Suleiman Takadiri akimnyooshea kidole Nyerere ambaye alilia na mkutano ukavunjika
Jee huo ni ugomvi au si ugomvi?.
 
Mkuu Meg3 umezungumza mengi na mazito sana, ikiw ndugu yetu Mohamed Said atatuelewa bila shaka ataokoa wengi aliowapotosha
 

Mkuu Ngongo,
Nimecheka sana, sasa mbona Wachungaji nao kwenye mikutano yao uwa nawasikia wakisema neno laana hapa inakuaje.
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana nasema umenizidi kufikiri...
 
MM,

Nimuhoji Njozi kuhusu kitu gani?
We mgeni sana katika mambo haya.

Soma vitabu vyote vya Njozi utaniona.



Tatzio lake huyo babu mfia dini kitu nilichokigundua hasomi vitabu..

Ngoja tumpe hii hapa..

Kutoka katika kitabu cha Hamza Mustafa Njozi,

Muslims and the state in Tanzania..

"I ALSO WISH TO RECORD MY GRATITUDE TO MR FARAJ ABDALLAH TAMIM,ALHAJ YUSUF KALALA,ALHAJ RAMADHANI MADABIDA,MR OMAR J.MSANGI,ALHJAI RAMADHAN K DAU,MR MOHAMED SAID,ABEID GASPER,DR ABEID M.SIMBA,MR JUMA KILAGHAI,DR ABASI KIYIMBA,DR IBRAHIM JUMA AND DR ABDULAZIZ Y LODHI,,the value of whose encouragement.support and criticisms can not be adequately expressed..

Mohamed Said ni bwana mkubwa,huyo Mzee Mwanakijiji,sisi tushampuuza mda mrefu sana..

Wala asikughulishe akili,dawa ya watu sampuli hiyo ni kumpuuza tuh..
 
Mkuu Ritz Mheshimiwa Rais Kikwete ameanguka hadharani mara kadhaa nani alimwachia laana.


Mkuu Ngongo,
Nimecheka sana, sasa mbona Wachungaji nao kwenye mikutano yao uwa nawasikia wakisema neno laana hapa inakuaje.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ngongo,
Nimecheka sana, sasa mbona Wachungaji nao kwenye mikutano yao uwa nawasikia wakisema neno laana hapa inakuaje.
Ha ha haa RITZ umenifurahisha kunamchungaji mmoja huku anasema radio imaan ina laana ndio maana imefungiwa
 
Mkuu Ritz Mheshimiwa Rais Kikwete ameanguka hadharani mara kadhaa nani alimwachia laana.

Mkuu Ngongo,
Mie nimekuuliza kutokana na kauli yako kuhusu masheikh na mimi nikasema mbona wachungaji nao wanatumia neno laana ni hayo tu nimeuliza kujua.
 
Last edited by a moderator:
Nimemuhoji kuhusiana na alichoandika kwenye Mwembechai Killings...


Wewe sisi hautusumbui hata kidogo,tatizo lako unazeeka vibaya sana,

Huku nyuma umepewa kila aina ya uthubitisho na reference,umepuuzia na kuja hapa kugeuza geuza maneno,

Unajidharaulisha sana,,

UNAKUMBUKA HAYA??

""Kitabu changu hakihusu kutambulika au kutotambulika kwa
akina Sykes.

Angalia content za kitabu:

[TABLE="class: cms_table_MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 601"]Table of Contents
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]1. Dedication[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]2. Acknowledgements[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]3. Table of Contents[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]4. Introduction[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Part One
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Abdulwahid Sykes 1924-1968
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Chapter 1. The Sykes: Origins 1894-1929[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· The Old Town of Dar es Salaam and its Elites[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Kleist Sykes, Pioneer and Man of Ideas: 1894-1949[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· World War One 1914-1918[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· The Founding of the African Association and Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Muslim Association of Tanganyika), 1929-1933[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Chapter 2.The Second World War and Tanganyika's Political Foundation, 1938-1945
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· The Burma Infantry, 1942[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Chapter 3. Dar es SalaamDockworkers Movement 1947-1950[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Dar es Salaam Port, 1947[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Erika Fiah[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· The Dockworkers' Union, 1948[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Chapter 4. The Genesis of Open Politics in Tanganyika 1950 -1954[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· The Tanganyika African Association, 1950[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· TAA Political Subcommittee, 1951[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Tanganyika as a Mandate Territory[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Kenyan Nationalists in the Struggle of Tanganyika,1950[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· TAA and KAU: Attempts at Linkage and Solidarity, 1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· The Meru Land Evictions, 1950[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Chapter 5. Julius Kambarage Nyerere [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· The Story of Julius Nyerere, 1952[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Tanganyika African National Union (TANU)-The Party of Independence, 1954[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Chapter 6. The Pan African Congress of Northern Rhodesia, 1953[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Ally Kleist Sykes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Part Two
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Mass Mobilisation and Independence 1954-1961
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Chapter 7. Mass Mobilisation 1954[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· The Elders' Council and Nyerere's Visit to the United Nations, New York, 1954[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Idd Faiz Mafongo [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· The African Press-Ramadhani Mashado Plantan, 1950[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Ahmed Rashad Ali-Radio Free Africa (Radio ya Afrika Huru), 1952 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Propagandists-The Bantu Group,1955[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Incorporation of Swahili Women's Societies into the Struggle, 1955[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Football As a Political Weapon[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Chapter 8. The Formation of the Party in the Provinces[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Central Province, 1955[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Southern Province, 1955[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Western Province, 1955[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Tanga Province, 1956[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· TANU in Mombasa, Kenya, 1957[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Chapter 9. The Tabora Conference-The Road to Independence, 1958[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· The Tanga Strategy, 1958[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· The Debate for Tripartite Voting[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Pan-African Movement of East and Central Africa (PAFMECA), 1958[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Independence, 1961[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Part Three
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Conspiracy Against Islam 1961-1970
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Chapter 10. The Muslim Factor in Post-Independence Tanzania 1961-1970[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Islam: The Ideology of Colonial Resistance[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· The First Muslim Congress, 1962[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Resistance to Change[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· The Second Muslim Congress, 1963[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Proposal for an Islamic University, 1964[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· The Politics of Islam, Church, State and the African Christian[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]Chapter 11. The East African Muslim Welfare Society (EAMWS) ‘Crisis'[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Fomentation of the BAKWATA ‘Crisis'[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Nyerere, Tewa, Bibi Titi Encounter, 1968[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· The Islamic National Conference, 1968[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Omissions Analysed[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Betrayal of Ideals[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Conspiracy Theory[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]· Epilogue""

BY MOHAMED SAID..

kama huna la kusema,kwanini tu usikae kimya??[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mkuu Ritz mjadala ungekuwa unakwenda hivi ungeshafungwa zamani kumbe usipojibiwa hoja unajua ha ha ha ha ha nimetumia staili ya Ustadhi Mohamed Said akiulizwa swali anauliza swali darsa limenikolea haswa.

Mkuu Ngongo,
Mie nimekuuliza kutokana na kauli yako kuhusu masheikh na mimi nikasema mbona wachungaji nao wanatumia neno laana ni hayo tu nimeuliza kujua.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Ngongo,
hapo kwenye Masheikh mimi nimeweka Wachungaji.
 
Last edited by a moderator:

Unajua kipato cha Lyatonga wanasoma wapi? yeye mwenyewe analipwa kiasi gani sasa hivi? rushwa anayopewe huko kwenye kamati ya hesabu za serikali za mitaa?

Watoto wa alielaani wanalia na viongozi wao wanalalamika usiku kucha huku wana vaa ndala zilizo chanika, wa alie laaniwa wanasoma nje na kula bata!! tafakari
 
Mag3,

Chukua hii kutoka kwa Waswahili wanywa kahawa wa Kariakoo kabla ya wewe kufika Dar es Salaam.

Hawa wazee ndiyo waliomunga mkono Nyerere, Sheikh Sulemani Takadir, Jumbe Tambaza, Mshume Kiyate, Rajabu Diwani, Makisi Mbwana, Sheikh Haidari Mwinyimvua, Idd Faiz Mafongo na ndugu yake Idd Tosiri, na binamu yao Sheikh Mohamed Ramia wa Bagamoyo, Mashando Ramadhani Plantan, mhariri na mmiliki wa gazeti la Zuhra na kaka yake Scheider Abdullah Plantan. Watato wa Affande Plantan.

Pamoja na wazee wengine wengi wa mjini.

Kama unajua historia ya Tanganyika hapa ndiyo Kamati ya utendaji ya TAA miaka hiyo iliundwa unaweza kututajia.

Hizi habari zinawachoma sana.
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said, haya dnakujuza tu kuwa nduguyo mchochezi mwenzio wa maasi ya kiroho Shehe Ilunga yasemekana kashatiwa korokoroni na FBI, bado wewe na wenzio wengine,
 
Hawa hawakumuunga mkono Mwalimu. Walikuwa ni wenzake katika TANU. Waliiunga mkono TANU. Wala hawakuwa hawa wa Kariakoo peke yao. TANU iliungwa mkono nchi nzima hasa baada ya kumpata "Lionel Messi", sorry, "Christiano Ronaldo" wake kutoka Uzanakini kule Butyama.
 

WC,

Hivyo ulivyosema ni kweli kabisa.

Nyerere hakuwaangusha Watanganyika wala ile ''inner circle''
iliyomchagua.

Kikubwa ni kuwa ule uadilifu wake aloonyesha wakati TANU
sasa si masikini ina fedha nyingi.

Nyerere alikuwa ni yule yule waliyemjua 1953.
Hakufuja hata senti moja ya wananchi.

Dossa amemsifia sana katika hili maana Dossa ndiye alikuwa
''Paymaster General.''

Anasema hata akimpa fedha Nyerere zikibaki atarejesha kwake au
atafanya juhudi fedha zile zisitumike.

Mahali pa yeye kuchukua taxi atasema hapana haja hapa pafupi
tutembee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…