Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #8,481
Mkuu vibarazani huwezi kupata historia ya uhuru? Chukua mfano baba yako nyerere yupo barazani anapata upepo huku anapata chai au chochote kile (sitaki niseme kahawa)!, akakueleza mambo ya uhuru hutaamini kwa kuwa yupo barazani?
Nimekusoma...
We mzee umeanza usanii sasa!
Umeanza kuandika kitabu hiki Mwalimu akiwa hai na akili yake timamu. Ulijua unaandika ujinga mwingi kumhusu yeye. Haukutaka kum-consult ili kujiridhirisha na unachotaka kukiandika kumhusu yeye. Unamaliza kukiandika kitabu unatafuta watu kumpelekea kitabu kile. Unasubiri Mwalimu kwa hadhi yake akujibu simulizi zako hizi ulizoziita za wazee wako!G,
Nimeulizwa kama Nyerere kakisoma kitabu
changu.
Nikajibu alipewa mkononi.
Nikaulizwa Nyerere kapewa kitabu na nani.
Nikajibu na mtu sote akitufahamu.
Kejeli zikashuka.
Mimi kuondoa ngoma juani nikaona sina haja
ya kubisha na mtu.
Ndipo nikasema kwangu mimi kuwa Nyerere
kanisoma au vinginevyo si muhimu.
Juu ya hili Mwanakijiji akaendelea kunikejeli.
Ndipo nikamuuliza mbona tunafatanafatana?
Posts zinapitiliza 8500 kichwa ni kingine, utumbo mwingine. Hakuna thread imewahi kuchangiwa na kunoga kama hii humu JFAsalaam Aleykum.
Walinilamba ban ya "ubaguzi wa ujinga".
Naona wagala mpaka sasa wanahaha na hawajaweza kukionesha walichokiweka kama kichwa cha habari, "kichwa kingine, utumbo mwingine".
Umeanza kuandika kitabu hiki Mwalimu akiwa hai na akili yake timamu. Ulijua unaandika ujinga mwingi kumhusu yeye. Haukutaka kum-consult ili kujiridhirisha na unachotaka kukiandika kumhusu yeye. Unamaliza kukiandika kitabu unatafuta watu kumpelekea kitabu kile. Unasubiri Mwalimu kwa hadhi yake akujibu simulizi zako hizi ulizoziita za wazee wako!
Hivi kweli Mwalimu angeamua kujibu yote anayoyajua kuhusu wazee wako hawa nchi ingebaki? Mwalimu asingetegemea simulizi au mafaili ya mtu mwingine. Ridhika tu na chambuzi ulizopata humu. Ni nzito na kutoka kwa watu wengi. Simulizi zako nyingi ziko hivi:
It was believed Tewa's appointment to Peking was not unconnected with his efforts to mobilise Muslims and to unite them under one strong organisation.
Akuamini nani?
Pole sana kwa ban ndugu yangu mpendwa Zomba, furaha yangu ni kukuona upo hewani tena,Asalaam Aleykum.
Walinilamba ban ya "ubaguzi wa ujinga".
Naona wagala mpaka sasa wanahaha na hawajaweza kukionesha walichokiweka kama kichwa cha habari, "kichwa kingine, utumbo mwingine".
Umefanikiwa kiasi gani katika hili la kuwaweka kwenye historia ya Tanganyika? Wamebaki na watabaki kwenye kitabu chako tu. Hao wasikilizaji 90,000 tumechangia sote kuwavuta humu au wanakusoma wewe tu?WC,
Sikuandika kitabu kile ili niaminiwe.
Sikunyanyua kalamu ili Nyerere anijibu.
Nimeandika historia ya wazee wangu baada ya
kuona wamefutwa katika historia ya Tanganyika.
Wala siko humu kutaka niaminiwe haya nisemayo.
Mimi natosheka sana kuwa kuna wasilizaji sasa
wanakaribia 90,000 wako hadhir kusikiza historia
ambayo hawakupatapo kuisikia hata siku moja.
WC,
Sikuandika kitabu kile ili niaminiwe.
Sikunyanyua kalamu ili Nyerere anijibu.
Nimeandika historia ya wazee wangu baada ya
kuona wamefutwa katika historia ya Tanganyika.
Wala siko humu kutaka niaminiwe haya nisemayo.
Mimi natosheka sana kuwa kuna wasilizaji sasa
wanakaribia 90,000 wako hadhir kusikiza historia
ambayo hawakupatapo kuisikia hata siku moja.
Asalaam Aleykum.
Walinilamba ban ya "ubaguzi wa ujinga".
Naona wagala mpaka sasa wanahaha na hawajaweza kukionesha walichokiweka kama kichwa cha habari, "kichwa kingine, utumbo mwingine".
Pole sana kwa ban ndugu yangu mpendwa Zomba, furaha yangu ni kukuona upo hewani tena,
Karibu kwenye mnakasha huu kwamara nyingine mkuu
Vipi kwani! zomba aliteleza wapi? Namwona ni mtu makini kuliko hata mimi.sidekick zomba afadhali umerudi,maana wakati mwingine tone ya lugha ya Mohamed Said inaacha a lot to be desired,it seems the burden on his shoulders imekuwa unbearable,na anonyesha hallmarks zote za kicks of a dying horse
Namwombea Ritz msamaha kama Baba Askofu Macarios alivyomwombea msamaha yule Mgiriki kwa Mwalimu.Zomba umerudi bado Ritz.
Kama nulivyofanikiwa kukuweka katika uzi huu ndivyo nitakavyo kuweka katika andishi la kitabu ikiwa nitataka iwe hivyo.
Sioni sababu ya kushindwa, ikiwa tangu tarehe 12/1/2013 nimefanikiwa kukupa makazi yakudumu katika uzi huu kwa masaa 24/7, nitashindwaje kwa andishi la kitabu?
Faida unayoipata hapa ni robo tu ya kitakachu kuwamo kwenye andishi la kitabu hicho.
Asalaam Aleykum.
Walinilamba ban ya "ubaguzi wa ujinga".
Naona wagala mpaka sasa wanahaha na hawajaweza kukionesha walichokiweka kama kichwa cha habari, "kichwa kingine, utumbo mwingine".
Soma vizuri utauona ushahidi. Ushahidi si kutoka kwangu ni kutoka kwa Mohamed.naomba ushahidi wa hapo nilipoweka rangi.