Upi ukweli kati ya hayo mkuu? Kizazi hiki kipya kinatakiwa kulishwa yaliyomema na yahaki, sasa ikiwa wewe waamini lako nami naamini langu, je malimwengu waamini lipi?
Ndugu yangu Mohamed Said, ukweli utabaki kuwa kiongozi muasisi wa AA ni Cesil Matola, kiongizi muasisi wa TAA Klest Sykes akishirikiana na mwanae Abdul, Kiongozi muasisi wa TANU ni Julius Kambarage Nyerere na si mwingine yeyote, aliiasisi mtaa wa Lumumba na sio St. Frances Pugu,
Kumbuka na elewa hapa ili uwe mwasisi ni lazima uwe kiongozi mkuu wa chama hichonpale kinapoanzishwa ama kubuniwa au kwa lugha nyingine huitwa kuzaliwa kwa chama.
Tuache kupotosha historia ya kweli iliyojiumba yenyewe bila mawaa.