Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uislam ni akili na fikra na imeandikwa wajinga pepo ni ndoto. Hutakiwi kuwa mjinga ili ku-qualify kuwa mwislam. Uislam ni dini yenye misingi yake. Haihitaji kusoma kitabu cha mwanadamu kuwa mwislam.Unashangaza sana,na unatia kichefu chefu hata kuendelea kukisoma hiko ulichokiandika..
Umeingiza maneno mengi sana katika andiko lako ya uzushi na uzandiki ili uendeleze na harakati zako za kuwatoa wasomaji walio wengi kuupata ujumbe unaostahiki,hivi kama kweli una nia ya kukosoa kwanin sasa ukosoe kwa kutumia uzushi?
wapi katika kitabu cha Mohamed Said aliposema yeye anashikilia maandiko yake na kile anachokieleza eti kwa kuwa wazee wake walikua mstari wa mbele katika kupigana uhuru basi na vizaz vyao vipewe jazaa ya aina fulan?kama vyeo na kadhalika?wapi ilipooneshwa hivyo katika mantik ya kitabu chake..
Na ni wapi alipoandika kitabu ku-attack christians?mbona unapotosha sana?
Kumbe sasa upo hapa ukipigana vita ya msalaba kutetea christians wenzako si ndiyo?
Na siwez kushangaa,kwa kila nimuonaye katika nyie mnaopinga wote ni christians,hakuna hata mmoja ambae kajitambulisha au kujionesha yeye ni mtu wa iman ya uislam,ni waz kbs nyinyi mmeamua kupigana Crusade war,lakini haitosaidia,kwan mliyoelezwa mmeelezwa kwa ushahid uliojitosheleza kabisa..
Hamna lolote mnalosi mamia zaid ya chuki zenu za kidini,wakati hapa kinazungumzwa kitu chenye uhalisia uliotukuka..
Haitawasaidia
King...
Amin.
Leo ninapopitia matokeo haya ya hawa wazee wetu ndivyo
ninavyozidi kuona tabu iliyowagubika wale waandishi wa historia
rasmi.
Kuweka historia kama hii kwa kweli kwao ilikuwa ni kuwatwisha
mzigo ambao siyo makamo yao.
Wao walianza na msimamo wa TAA chama cha starehe...
Sasa ukijamtia Abdu na Kenyatta katika mikutano ya siri tena
wakati wa Mau Mau...
Hebu nikuulize, hivi Kikwete naye alisoma madrasa? Sasa ufisadi kajifunzia wapi?
Shekh MS,
Mama Lucy Lameck alikuwa na mahusiano yoyote na kupigania uhuru au ni baba ake? naomba kujua habari hii maana kuna vumishwa habari ya kukanusha historia yako juu ya Mzee Yusufu Olotu na akina Mama Halima Selengia na kudai wapigania uhuru wa kutoka Kilimanjaro walikuwa Shangali, Marealle, Lucy Lameck Nsilo Swai na Mbowe! ni kweli?
Hiyo ni ngano yako. Nimekwenda Butiama pale kwenye library yake hakipo! Ulimpa wewe au ulitumia messenger?Jasusi,
Kitabu alipewa mkononi.
There we go again. No evidence no right to speak. Mutual contact? The guy took you to the cleaners.MM,
Mutual contact.
Kazi unayoifanya ni kubwa sana,
Nasisi tunajivunia sana kuwa na hazina ya mtu kama wewe,kwa hakika tunakuthamin sana..
There we go again. No evidence no right to speak. Mutual contact? The guy took you to the cleaners.
The book is not there in Nyerere's library.
Hiyo ni ngano yako. Nimekwenda Butiama pale kwenye library yake hakipo! Ulimpa wewe au ulitumia messenger?
Ilitokea kitu gani baada ya uhuru Mwalimu Nyerere na Wazee wa Dar es Salaam wakawa tena maadui wakati hapo mwanzo kuanzia mwaka 1950 walikuwa kitu kimoja.
Ilitokea kitu gani baada ya uhuru Mwalimu Nyerere na Wazee wa Dar es Salaam wakawa tena maadui wakati hapo mwanzo kuanzia mwaka 1950 walikuwa kitu kimoja.
Hiyo ni ngano yako. Nimekwenda Butiama pale kwenye library yake hakipo! Ulimpa wewe au ulitumia messenger?
Mzee wako Mohamed Saidi kakwambia yeye hakuandika kitabu kile kushindana, ila aliandika kueleza histohisia ya wazee wake wa Tandamti na Gerezani, sasa wewe na ushabiki wako unakuja na upuuzi wa ushindi. Tuamini umeamua kwenda kinyume na matakwa ya nabii wako?
Exactly!! I think you get the point
Kwa maana hio na wewe usingetokwa na povu kusema kuna uchochezi wakati yeye kaandika kuhusu wazee wake.
Unaweza na wewe kuandika kuhusu wazee wako au huna wazee?
Au wazee wako hawana jambo ambalo ni zuri kusikilizwa na watu wa JF na Tanzania nzima kwa ujumla au penginepo baadhi ya nchi za nje.
Kumbe waliopewa ban walikua wanamipa za usoni ;-)Gwalihenzi, achana nae huyo Boko Haram, atakusababishia ban tu, anakupandisha mori ili umpe za uso kisha ukutane Na rungu la jf,
Twende kwenye hoja za msingi na mzee wao mstaarabu mchochezi Mohamed Said
Mtu mzima upeo finyu..
Mohamed, hili la chuo kikuu tumeshakueleza na umeshindwa kulitetea nashangaa sijui kwanini unakuwa mgumu kuelewa! Umeeulizwa EAMWS ilikuwa na makao Mombasa nani ali iua na kwanini haikujenga chuo Mombasa?GG,
Kuna mengi ya chokochoko yalitokea Kigoma na Bukoba.
Wakatoliki waliweka watu wao katika chaguzi za serikali
za mitaa kuwapinga wagombea Waislam walowekwa na
TANU.
Waliwapinga wakisema Waislam walowekwa na TANU
hawana elimu.
Lakini kubwa liloleta uhasama ni ule mpango wa kujenga
Chuo Kikuu chini ya uongozi wa EAMWS.
Yapo mengi.
MM,
Mutual contact.