Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mohamed Said, nimekuuliza kuwa unaikubali ile hituba ya mwalimu Nyerere hapo juu iliyo kwenye rangi ya maandishi ya bluu?

Ikiwa unaikubali, sasa naomba tujenge hoja ya msingi hapo kwenye madai yako kuwa Mzee Nyerere alisahau cheo cha Abdul Sykes kwanza, kisha tutasonga mbele kwa hoja mujarabu,
 
Gwalihenzi, achana nae huyo Boko Haram, atakusababishia ban tu, anakupandisha mori ili umpe za uso kisha ukutane Na rungu la jf,
Twende kwenye hoja za msingi na mzee wao mstaarabu mchochezi Mohamed Said
 
Asante sana Jasus kwa taarifa hii kwani kunawatu hapa wanatumia uislam wa Fundikira kama blanketi kufunika swala hilo. Nyerere mara nyingi alilizungumza jambo hilo alipokuwa anaonesha kukelwa na rushwa. Hakuwa anataja jina ila cheo. Sijui Mohamed anasemaje maana sijamsikia akigusia hilo ila kutaja sifa za kumbukumbu za majina ya vizazi!
Mohamed Said tunaomba darsa hapa- labda huyu Fundikira kasingiziwa
 
Last edited by a moderator:
Nikikuita mpumbavu itakuwa sahihi kabisa maana hufundishiki! utaogopaje kifo kitu ambacho hakiepukiki? mbona hukuogopa kuzaliwa. Kwa kiwango chako kidogo huwezi kuelewa Atheism!baki na umbumbumbu wako na endelea kulamba buti za mzee Mohamedi maana ndio kitu pekee unachokiweza.
Bora ya mzee MS yuko hai wewe unalamba la mfu ambaye hana fikira yoyote wala hana jipya kwako pole baba povu litakutoka sana ukikasirika sana nenda CHIT CHAT ukapumzishe roho yako
 
Gwalihenzi, achana nae huyo Boko Haram, atakusababishia ban tu, anakupandisha mori ili umpe za uso kisha ukutane Na rungu la jf,
Twende kwenye hoja za msingi na mzee wao mstaarabu mchochezi Mohamed Said

Haa na wewe upo? ha ha haa mimi siwezi kukujibu mpaka ujibu lile swali ulilo ulizwa na yule ndugu yako Andrew Nyerere mama yako ni nani?au mwambie huyu farao mwenzako unae mtetea
 
Haa na wewe upo? ha ha haa mimi siwezi kukujibu mpaka ujibu lile swali ulilo ulizwa na yule ndugu yako Andrew Nyerere mama yako ni nani?au mwambie huyu farao mwenzako unae mtetea
nenda kajilipue kwa makafiri upate thawabu kwa Allah wewe acha kuandika pumba humu.
 
Nimekuja kufyoza elimu lakini nimekutana na mipasho naenda zangu tarudi kesho.
 
Mkuu mbona unaonekana anajua mambo mengi kuhusu uhusiano wa jamaa zetu hawa Waislaam na Nyerere kabla ya uhuru, hii ndio mara yangu ya kwanza kuona unayahanisha vizuri tu. Kama sikosei M.S anazungumzia mahusiano ya Serikali ya awamu ya kwanza na Waislaam miezi michache baada ya kupata uhuru - ni kitu gani kilitokea mpaka wakafikia hatua ya kufarakana na baadhi ya Waislaam wanzilishi wa chama ambao wewe unasema na hapa nakunukuu "Wazee wa Kitanganyika ambao walipendana kweli na udugu wa kweli na ndugu zao Wakristu; hawa ambao hawakutaka kumdhuru Nyerere - sababu ya Ukatoliki wake - akikaa katikati yao" Mimi sina utaalamu wa kisaikolojia wa kumfikia Sigmund Freud lakini reading between the lines sina uhakika kama unayo yasema hapo juu huko sincere!! Ulikuwa na nia ya kuvuta wasomaji kwanza alafu baadae ndio uzungumzie uliyo kusudia, napata wakati mgumu kukuelewa kwa nini kila mtu anayezungumzia/kutoa mchango kuhusu historia ya kweli kuhusu Taifa letu wewe unamuona anamchukia Mh.Nyerere (R.I.P) nani Mtanzania mwenye akili timamu ambaye anaweza kuwa na ubavu wa kubeza beza mchango wa Kambarage au kumkosea heshima, hata Mohammed hakuna popote alipo mtukana/kumkosea heshima Baba wa Taifa.

Juzi hapa nilizungumzia kuhusu mzee wangu kutoa Landrover, Public Addressing System na kumpatia Kambarage kuhutubia wananchi, mzee wangu alivunja sheria za kikoloni bila woga; nilizungumzia vile vile kukutana kwangu na Mzee wa kikoloni aliyewahi kuwa PC Tanganyika na kitu gani alinieleza - lakini cha ajabu wewe ukaja na maswali ya kushangaza kidogo eti kwani Nyerere aliwachukia wazazi wangu au jamaa zangu!! Yaani unatumia tactics za ku-steer watu wazungumzie mambo ambayo yako biased na hayana ukweli wowote.

Hivi kwa nini baadhi yetu tumepania ku-derail mada!! Kinacho zungumziwa humu ni Historia ya Taifa letu kuanzia miaka ya 1920s mpaka tunapata uhuru sio DINI, kwa nini tunakazania mambo ya DINI tu? Kuna maswali yangu nayatayalisha kumuhuliza ndugu Mohammed Said, nina hakika atayajibu bila ya kuficha kitu kwamanufaa ya Wananchi wote specifically WAKRISTO.


Watu kama nyinyi ndio wenye akili timamu,hao wengine akili zao ni za kushikiwa tuh,,
Safi sana mkuu kwa maneno yako mazuri na yenye hekima
 
Haswaa, na zaidi kuhusu kesi yake ya rushwa akiwa waziri.

Gwalihenzi,

Sijui kwa sababu ipi unataka mimi nimzungumze Fundikira.
Mimi utafiti wangu na ndiyo ulonifikisha hapa JF ni historia ya Tanganyika.

Ngoja tuendelee na historia hiyo.

Niliweka hapa habari za mkutano wa Abdu Sykes na Jomo Kenyatta Nairobi 1950.

Mlishtuka sana.
Sasa ngoja nikumalizieni kile kisa:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] In 1951 Kenyatta proposed another meeting between KAU and TAA to be held in Arusha. [1]

In a message which was delivered by a mutual confidant, Kenyatta insisted that TAA leadership should go to the meeting armed.

TAA nominated Abdulwahid, Dossa Aziz and Stephen Mhando to attend the Arusha meeting.

Abdulwahid owned a pistol given to him during the war by a white officer as a birthday present because their birthday happened to conside.

Dossa Aziz was a proud owner of a powerful five-shot repeater gun. It is not known if Mhando owned any firearm.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752"] The TAA delegates travelled separately in order to cover their movements. Dossa Aziz was the first among the four delegates to leave for Arusha via Dodoma. In those days there was no direct route to Arusha.

Travellers to Arusha had to pass through Dodoma. Dossa Aziz took with him his five-shot repeater gun.

In Dodoma Dossa Aziz was received by Ali Juma Ponda, the TAA Central Province Secretary, and after being briefed by Dossa Aziz about the scheduled TAA and KAU meeting, Ponda informed Dossa Aziz that he had received report that there had been serious skimishes between the Mau Mau and British troops; that the KAU leadership was being rounded up and it was very unlikely that Kenyatta and his delegation would travel to Arusha.

Dossa Aziz changed his mind and proceeded to Mwanza by train to inspect TAA branches.

Abdulwahid and Mhando received similar reports on time and were warned not to proceed to Arusha because of the unforseen events in Kenya.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752"] In Mwanza Dossa Aziz was received by Dr Joseph Mutahangarwa, TAA Vice-President in Lake Province.

Dr Mutahangarwa was the first African to qualify as a medical doctor.

After learning about the Arusha meeting, Dr Mutahangarwa warned Dossa Aziz about the risk Abdulwahid was taking as Secretary and Acting President of the Association.

Dr Mutahangarwa pointed out to Dossa Aziz the dangers that the Association and its leadership would face should the government discover that TAA was trying to link its own struggle with that of KAU. These fears expressed by Dr Mutahangarwa were without doubt genuine because KAU was suspected of supporting and providing leadership to Mau Mau, with Kenyatta and Kaggia as ringleaders.

Dossa Aziz boarded a ship at Mwanza for Bukoba where he was received by Chief Rutinwa and other members of the TAA Bukoba branch, including veteran politician Ali Migeyo and Suedi Kagasheki. [2]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752"] Upon his return, Dossa Aziz was arrested at Dar es Salaam railway station, and marched off to the Central Police Station just across the road where he was interrogated.

The white police officer wanted to know where Dossa Aziz had been and why he was travelling around the country with a powerful gun.

Dossa's father, Aziz Ali, intervened and Dossa Aziz was set free without being charged.

Many years later Abdulwahid's friend, now a senior government official, had an audience with President Kenyatta at the State House in Nairobi.

Surprisingly Kenyatta remembered him as the person who accompanied Abdulwahid to that meeting.

With his broken Swahili and heavy Kikuyu accent, Kenyatta reminded him of the 1950 meeting.

He called his official photographer who took their photograph together.

This photograph decorates the living room of the former footballer to this day.
Kenyatta also presented him with a tie with the national colours of Kenya.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1] Information from Dossa Aziz.

[2] For a profile of Suedi Kagasheki, see Mutahaba, op. cit.
 
Nimekuja kufyoza elimu lakini nimekutana na mipasho naenda zangu tarudi kesho.

Spike,

Rudi.

Nakuahidi Insha Allah kukuwekea vitu vya
maana vya kumfanya mtu akae kitako na
kufikiri.

Hii ndiyo kawaida wa mnakasha huu.
Mara unakwenda juu mara unashuka.

Angalia nimekuwekea mkutano wa pili 1951
wa Abdu Sykes na Jomo Kenyatta safari
hii Arusha.
 
Bora ya mzee MS yuko hai wewe unalamba la mfu ambaye hana fikira yoyote wala hana jipya kwako pole baba povu litakutoka sana ukikasirika sana nenda CHIT CHAT ukapumzishe roho yako
Pole tena kwa kujitwisha zigo la upumbavu katika umri mdogo huo!
 
Spike,

Rudi.

Nakuahidi Insha Allah kukuweka vitu vya
maana vya kumfanya mtu akae kitako na
kufikiri.

Hii ndiyo kawaida wa mnakasha huu.
Mara unakwenda juu mara unashuka.

Angalia nimekuwekea mkutano wa pili
wa Abdu Sykes na Jomo Kenyatta safari
hii Arusha.



Jazakallahu kheir...
 
Nyerere mwenyewe alikuwepo hai wakati Mohamed Said ameandika kitabu hakuwahi kusema uchochezi sababu ni ukweli nyie baada ya miaka kumi na tano ndiyo mnalia lia.
Hivi, Nyerere alikuwa anaishi na Mohamed? Kitabu cha Mohamed kimechapishwa 1998. Nyerere amefariki 1999. Uwezekano kwamba Nyerere hakuwa na habari za hicho kitabu ni mkubwa kuliko uwezekano kwamba tetemeko la ardhi litatokea Dar-es-salaam kesho.
 
Jazakallahu kheir...

King...
Amin.

Leo ninapopitia matokeo haya ya hawa wazee wetu ndivyo
ninavyozidi kuona tabu iliyowagubika wale waandishi wa historia
rasmi.

Kuweka historia kama hii kwa kweli kwao ilikuwa ni kuwatwisha
mzigo ambao siyo makamo yao.

Wao walianza na msimamo wa TAA chama cha starehe...
Sasa ukijamtia Abdu na Kenyatta katika mikutano ya siri tena
wakati wa Mau Mau...
 
Hivi, Nyerere alikuwa anaishi na Mohamed? Kitabu cha Mohamed kimechapishwa 1998. Nyerere amefariki 1999. Uwezekano kwamba Nyerere hakuwa na habari za hicho kitabu ni mkubwa kuliko uwezekano kwamba tetemeko la ardhi litatokea Dar-es-salaam kesho.

Jasusi,
Kitabu alipewa mkononi.
 
Shekh MS,

Mama Lucy Lameck alikuwa na mahusiano yoyote na kupigania uhuru au ni baba ake? naomba kujua habari hii maana kuna vumishwa habari ya kukanusha historia yako juu ya Mzee Yusufu Olotu na akina Mama Halima Selengia na kudai wapigania uhuru wa kutoka Kilimanjaro walikuwa Shangali, Marealle, Lucy Lameck Nsilo Swai na Mbowe! ni kweli?
 
Sawa mkuu elimu yangu ndogo wewe mwenye elimu una nini cha maana? mimi siku fichi nimesoma madrasa sana na ndio kimbilio lenu la kudharau madrasa lakini kwangu madrasa na bora sanaaaa kuliko unavyofikiria wewe ni viongozi wangapi leo hii wamesoma lakini hao hao ndio mafisadi wakutupwa au lusoma sana ndio watu wanafundishwa ufisadi lakini kama kweli unaimani yako ya dini kweli Tanzania isingefika hapa ilipo lakini kwa vile nchi haina dini wacha watu wachote wachape mwendo,uislamu unasema mwizi akatwe mkono,anaezini apigwe fimbo 100 na masuala ya mirathi kitabu chetu kimeeleza yote leo hii ni wanawake wangapi waume zao wamekufa na wamedhulumiwa mtihani mkubwa kwahiyo mkuu usome kwanza uislamu siku force uingie wewe baki huko huko kwenye mambo yako
Hebu nikuulize, hivi Kikwete naye alisoma madrasa? Sasa ufisadi kajifunzia wapi?
 
Back
Top Bottom